Nimefurahi saaana hili somo na ntakuwa naludia Mara nyingi video ili kila ntakachofanya nifanye kwa vitendo elimu tunayopata hata vyuoni haifundishwi na unatufundisha bila malipo mungu amekuleta kwa namna ya tofauti elimu ya kujitambua ni ya msingi saaana kuliko hata elimu ya darasani asante saaana nanauka
MUNGU akubariki saana, umekuwa mwalimu wangu tangu nikujue, na tatizo langu kubwa nidhamu inapungua, unakuta napanga jambo au lengo lkn nidhamu ya kufanya jambo ilo kwa mwendelezo inapungua. Ila leo nimeamua kuanza upya katika mambo ambayo nimekosea kufanikiwa. MUNGU akubariki saana
Bro mungu akuzidishie nguvu na uwezo zaidi katika hizi darasa zako mana unafanya mambo makubwa na mazuri sana.sisi kama wanajamii tunanufaika sana kuwa na msomi bora kama wewe joel
Asanteni Joel wewe sasa ndo mwalimu wangu muhimu sana katija maisha!!! Mimi nipo chuo kikuu lakini naona kabisa elimu ninayopata hapa ni nzuri sana na haipatikani mashuleni!! Nimeipenda na ninafanyia kazi Mungu azidi kukubariki Mimi nimependa nidhamu ya malengo .lkn kiukweli zote ni muhimu sana naweza kusema ni vizuri kuwa nazo zote kwasababu zina husiana sana
Mh asante san kaka kwa hili somo jmn yani mimi hapo vitu vyote ulivovitaja vinanihusu kuzingatia 1-6 sana ....you can help me to ascape from those things ..... GOD bless you my Brother . sijui nikuite Doc Joeli maan sio kwa sindano hizi
Nidhamu ya muda ni muhimu sana kuanza nayo. Time is everthing, zingine zitafuata baada tu ya kupangilia muda wangu vizuri. Knowledge is power God bless u
Asante Kaka joel kwa elimu yako inayonitia nguvu naimani unanitengeneza kua bora zaid ya hapa nilipo ,muda marafik Na midham ya fedha naendelea kuvifanyia kaz
kwa kweli ndugu Joel mimi nimefarajika sana na malengo uliofundisha na kwa kweli mimi ninaona kwa upende wangu nilikuwa nikifanya makoso sana kwani nilikuwa sina malengo ya kuweze kuchagua marafiki wenye tija na mmm na vile vile nilikuwa sina nidhamu katika matumizi yangu lakini kwa kweli sasa nimejifunza. ahsante sana . Mungu akupe upeo zaidi ya zaidi
Nimeshukuru kwakweli kaka Ungonjwa wangu ni kwenye nindam ya vipaombele Na matumizi ya muda nachukia sana kuzikosa hiz kakaangu Ubarikiwe saana kwa kuniongezea thamani
points zote ni logical kabisa na wakati mwingine zinategemeana. ntajifunza zaidi kadri ninavyoendelea kupata dondo hasa bullet ya 4 (Self development). Its so inspiring you know! hongera Ndg. Nanauka. Quotation "education will make a leaving but self development will make your fortune, Jim Lone" impact fully in daily life.
Thank you broo Joel, umenifundisha kufanya self-evaluatio. Na nilichojifunza kikubwa ni kuwa "My net friend is my net worth " nadhani eneo la kushughulikia sana kwangu kwa wakati huu ni eneo la marafiki.
Ukweli ni kwamba kama ingekuwa nimeambiwa nimebakiza siku moja ya kuishi ningeutumia muda kwa nguvu zangu zote na kujutia mambo ambayo sikuyafanya ktk muda niliokuwa nao kuliko niliyoyafanya.. Somo hili ni adhim limegusa maeneo mengi ktk maisha.. Mungu akuzidishie
nidhamu ya muda na kueka malengo ni nidhamu kubwa sana kwani huwezi tumia muda vzuri ikiwa hujajua unataka kufika wapi... thank you bro Joel I learn something... u are my inspiration.
Sir joel "nitangulize shukurani kwako kwa elimu ulionipa saiv naweza jisimamia mwenyewe na kuna marengo niliwek na nimefanikisha ila kuna vitu sjaviweza sijui nashindwa nn "1:bajeti 2:nidhamu ya fedha na3:muda ila hili naliweza maana niweza kujali muda " shauri hapa joel
Salute Mzee,huliyosema nimeyasikia na nikweli kabisa ,Shida yangu Mimi nimekuwa mtu wa huruma sana na hicho naona nikama kinanifanya nistaki ktk maendereo nifanyeje? Lakini yote hulioyazungumza kiukweli nimshukuru Mungu niliyafaamu kabla kutokana na mapito niliyo pitia.
Ahsante sana,Shida yangu sina rafiki yoyote,wale ambao natamani wawe ni marafki ni watu ambao wapo busy sana kukutana nao ni vigumu.Lakini naendelea vzr na mafundisho yako.
Kaka nashukuru kila unachofundisha Kama vile unaona ninachotafuta wakati huo,namshukuru Mungu kwa ajili yako, naamini siku moj nitaonana na ww, Ana kwa Ana,
Naanza na nidhamu kwenye marafik, nafata nidhamu kwenye Muda, halafu nidhamu kwenye vipaumbele, Ila nidhamu kwenye malengo, fedha na kujifunza nilishaanza bila kujijua Kama najiwekea nidhamu. Kauzembe kalikuwa kidogo sana lakin kwenye marafik, Muda na vipaumbele ndio sizingatii
UA real Tz one, hukuiba mtihani kaka. Natafuta kitabu chako cha Timiza malengo yako. Nipo mwanza, sijaelewa nipate wapi!. Umenibadilisha sana kaka, big up JN.
Ndugu Joel minafikili yote ayo nisawa lakini ni dhamu ya fedha ndokiini cha mambo yote. Nakuelewa sana kwakweli unasitaili pongezi mungu abaliki kazi ya mikono yako Joel. mimi nilikuwa nashida nawewe binafusi sasa sijui tuta wasiliana vipi kaka asante.
Kaka joel mimi baada ya kuskiliza clip zako nimebadilika sana,mwanzo nilikuwa na ndoto za kuwa docta jambo ambalo lilinifanya nipende sana PCB shuleni,lakini kutokana na kuogopeshwa na wenzangu physics miliacha,baada ya kumaliza shule licha ya kuwa nilipata four,Bioligy na chemistry nikafaulu kwa wastani ambao naruhusiwa kwenda nursing ila ajabu na bahati mbaya niliacha physics,basi mission ikafeli,kumbe ningekuwa na uwezo wa kwenda nursing na baadae kujiendeleza zaidi nifikie ndoto zangu ila tatizo ilikuwa physics niliacha. Ni zaidi ya miaka mitano tokea nimemaliza form four na sikujiendeleza Lakini baada ya kumfatilia huyu mtaalamu nanauka nimejikuta narudia ndoto yangu ambayo nilikuwa nayo na nimekuwa mtu tofauti kabisa,na hapa ninapozungumza nimefanya yafuatayo. .wiki ijayo naenda kununua mtihani wa kidato cha nne na kituo cha mtihani,naanza kusoma PHYSICS NA CHEMISTRY ILI NIPATE CREDIT za kwenda advance nikasome PCB na nina hakika NAWEEZA. Nikimaliza advance nina amini 100% ntafaulu vizuriii kwa sababu ntakuwa nasoma kwa uchungu na then nitaenda chuo kusomea doctor . Miaka minne mbeleni kaka joel nitaleta ushuhuda juu ya hiki ninachokisema,namtegemea Mumgu lakini nina juhudi na pia ninapenda na kuwa na molari na ninachokifanya. Kusomea malengo yako ukubwani kuna raha sana kwa sababu unajua unachokitafuta. Nashkuru sana kaka JOEL NANAUKA. UPDATE : ikiwa leo ni tarehe 28 mwezi wa 7 mwaka 2021 miaka miwili baada ya kuweka hiyo comment hapo juu. Sasa hivi ninamaliza mwaka wa kwanza kusoma clinical medicine bado miaka miwili. Nilisharudia mtihani na nikafaulu vizuri na nikaomba chuo diploma nimekubaliwa na sasa nasoma. Nina hakika nitafika malengo yangu ya kuwa daktari aliyespecialize kabisa katika utaalamu fulani.
Duuu 3% tu wanaoweka malengo,8% ndio wanaofuatilia malengo mpaka mwisho wa mwaka #TIMIZA_MALENGO I have it. 1.MALENGO 2.MUDA 3.VIPAUMBELE 4.KUJIFUNZA 5. FEDHA 6.FRIENDS #LEADER_IS_A_READER Powerful #Sir
Nimefurahi saaana hili somo na ntakuwa naludia Mara nyingi video ili kila ntakachofanya nifanye kwa vitendo elimu tunayopata hata vyuoni haifundishwi na unatufundisha bila malipo mungu amekuleta kwa namna ya tofauti elimu ya kujitambua ni ya msingi saaana kuliko hata elimu ya darasani asante saaana nanauka
That's true
lomeo mbata Ahsante kwa kuwa mfuatiliaji mzuri na kufanyia kazi.Nakutakia mafanikio Makubwa zaidi 2019
@@joelnanauka amina
Kutimiza malengo kwa wakati
MUNGU akubariki saana, umekuwa mwalimu wangu tangu nikujue, na tatizo langu kubwa nidhamu inapungua, unakuta napanga jambo au lengo lkn nidhamu ya kufanya jambo ilo kwa mwendelezo inapungua. Ila leo nimeamua kuanza upya katika mambo ambayo nimekosea kufanikiwa. MUNGU akubariki saana
Mungu akubariki sana
Tangu nimeanza kukufuatilia naona kufunguka kwenye ubongo wangu.
Ninachangamoto kweye budget, marafiki, vipaumbele
Bro mungu akuzidishie nguvu na uwezo zaidi katika hizi darasa zako mana unafanya mambo makubwa na mazuri sana.sisi kama wanajamii tunanufaika sana kuwa na msomi bora kama wewe joel
Asanteni Joel wewe sasa ndo mwalimu wangu muhimu sana katija maisha!!! Mimi nipo chuo kikuu lakini naona kabisa elimu ninayopata hapa ni nzuri sana na haipatikani mashuleni!! Nimeipenda na ninafanyia kazi Mungu azidi kukubariki
Mimi nimependa nidhamu ya malengo .lkn kiukweli zote ni muhimu sana naweza kusema ni vizuri kuwa nazo zote kwasababu zina husiana sana
Mambo ya msingi sana haya kaka. Asante kwa kuitumikia vyema jamii yetu. #Powerful
Ezden Jumanne Ahsante sana Ezden,pamoja sana
asante Nataka nianze namuda
kaka nakuona tena uku basi WOTE NI FAMILIA MOJA
Kaka Ezden nyie watu ndo mnatubadilisha sana kutoka Maisha mabaya kwenda mazuri🙏
Mh asante san kaka kwa hili somo jmn yani mimi hapo vitu vyote ulivovitaja vinanihusu kuzingatia 1-6 sana ....you can help me to ascape from those things ..... GOD bless you my Brother . sijui nikuite Doc Joeli maan sio kwa sindano hizi
Nidhamu ya muda ni muhimu sana kuanza nayo. Time is everthing, zingine zitafuata baada tu ya kupangilia muda wangu vizuri. Knowledge is power God bless u
zuhura Abdilah safi sana tafuta pia video niliyoelezea vitu vinavyoiba Muda wako
Asante Kaka joel kwa elimu yako inayonitia nguvu naimani unanitengeneza kua bora zaid ya hapa nilipo ,muda marafik Na midham ya fedha naendelea kuvifanyia kaz
asante sana kwa somo zuri. nidhamu ya mda imenigusa sana inabidi nichukuwe hatua
Ahsante sana Joel wish siku moja tutaonana maisha yangu sasa yanabadilika kila siku, your my mentor.
kwa kweli ndugu Joel mimi nimefarajika sana na malengo uliofundisha na kwa kweli mimi ninaona kwa upende wangu nilikuwa nikifanya makoso sana kwani nilikuwa sina malengo ya kuweze kuchagua marafiki wenye tija na mmm na vile vile nilikuwa sina nidhamu katika matumizi yangu lakini kwa kweli sasa nimejifunza. ahsante sana . Mungu akupe upeo zaidi ya zaidi
Nimeshukuru kwakweli kaka
Ungonjwa wangu ni kwenye nindam ya vipaombele
Na matumizi ya muda nachukia sana kuzikosa hiz kakaangu
Ubarikiwe saana kwa kuniongezea thamani
Joel umetuvusha watu wengi sana. Keep this up for the benefit of swahili listener all over the world. Barikiwa.
Pando Emmanuel Ameen kaka,endeela kuniombea kaka🙏🏻
points zote ni logical kabisa na wakati mwingine zinategemeana. ntajifunza zaidi kadri ninavyoendelea kupata dondo hasa bullet ya 4 (Self development). Its so inspiring you know! hongera Ndg. Nanauka. Quotation "education will make a leaving but self development will make your fortune, Jim Lone" impact fully in daily life.
Nashukuru kwa mafundisho yako naitaji kitabu chako nipo kigoma
Naitaji malengo yakutunza pesa pamoja na marafik maana mm sinabaati marafiki asante
Mr Joel, huwa unanibariki Sana kwa makala zako. Mungu azidi kukuinua na kukupa ufahamu zaidi
marafiki ndio watu wameweza kunirudisha nyumaa be blessed bro video is awesome
Thank you broo Joel, umenifundisha kufanya self-evaluatio. Na nilichojifunza kikubwa ni kuwa "My net friend is my net worth " nadhani eneo la kushughulikia sana kwangu kwa wakati huu ni eneo la marafiki.
natakiwa kuwa makini na muda
Asante Ndosi safi sana,anza kulifanyia kazi mapema kabisa ni kuchelewa
Kaka nashukulu Sana umenibadilisha sAna
Asante sana kaka kwa mafundisho mazuri sana. Mungu azidi kukubariki na kukuepusha na mabaya yote.
Ukweli ni kwamba kama ingekuwa nimeambiwa nimebakiza siku moja ya kuishi ningeutumia muda kwa nguvu zangu zote na kujutia mambo ambayo sikuyafanya ktk muda niliokuwa nao kuliko niliyoyafanya.. Somo hili ni adhim limegusa maeneo mengi ktk maisha.. Mungu akuzidishie
Omary Shafii ni vizuri umejua mapema Omary,ni Muda sasa wa kuanza kutumia kila sekunde yako vizuri
1,Malengo, 2.muda, 3.vipaumbele, 4.kujifunza, 5.fedha 6.marafiki
Mbizo Supanova 👏👏👏
Kweli kaka unatu inspired sana mungu azidi kukupa nguvu tunufaike na matunda yako
toka nianza kukufatilia na miez minne sasa lakn na mabsdiliko makubwa sana tena sana,shukran nanauka,kuwa na nidham ya fedha ni msing sana
Juma Seif safi sana Juma Nafurahia kusikia hivyo kwa kweli
Asante sana kwa mafundisho mema natamani kufahamu rule of 50,30,20 msaada
Nidhamu ya kujifunza,na nidhamu ya pesa ni changamoto kwangu ,be blessed bro nimepona nw
Natamani kuwa bora zaidi katika nidhamu ya Fedha na kipaumbele
Thank you joel, nilikua na changamoto juu ya displine ya muda na vipaumbele now i know what to do
kweli kaka, nimekuelewa, marafiki waliniponza sana mwaka Jana, ila tangu nianze kukusikiliza nimewaacha nasonga mbele, barikiwa sana
MYGODISGREATER Abraham safi sana 👏👏👏
Mungu akupe maisha mlefu zaidi
nidhamu ya muda na kueka malengo ni nidhamu kubwa sana kwani huwezi tumia muda vzuri ikiwa hujajua unataka kufika wapi... thank you bro Joel I learn something... u are my inspiration.
Aiseee hili moja kati ya masomo bora kabisa kwenye mwanzo wa mwaka huu” i wish kila mtu angeskiza
EntertainmentVevo safi sana naamini Kila atakayesikiliza litamfaa
Hakika kaka Joel Mungu akuzidishie baraka... Maana masomo yako mazuri...
Sir joel "nitangulize shukurani kwako kwa elimu ulionipa saiv naweza jisimamia mwenyewe na kuna marengo niliwek na nimefanikisha ila kuna vitu sjaviweza sijui nashindwa nn "1:bajeti 2:nidhamu ya fedha na3:muda ila hili naliweza maana niweza kujali muda " shauri hapa joel
Somo zuri sana Kaka katika swala zima la muda kwakweli nahitaji msaada mkubwa sana
Hkk kaka Joel point zote nitazizingatia kbsa.
Be blessed more yamkin najifunza mengi pitia kwako .
Ahsante kwa ujumbe mzur Nina shida kwenye nidham ya fedha na marafiki
Kweli tujiwekeze kusoma vitabu tuongeze maarifa... Ahsante Nanauka..
Kaka Joel Mungu akubaliki xnaaa kwanii tnajifunzaa mengi xnaaa kutka kwako ,hakika Mungu azidii kukulindaaa Kaka Joel!!!
Nice teachings, ahsante bro masomo yako yananifundisha sana
Ibzan Ruheta nashukuru sana,pamoja
Salute Mzee,huliyosema nimeyasikia na nikweli kabisa ,Shida yangu Mimi nimekuwa mtu wa huruma sana na hicho naona nikama kinanifanya nistaki ktk maendereo nifanyeje?
Lakini yote hulioyazungumza kiukweli nimshukuru Mungu niliyafaamu kabla kutokana na mapito niliyo pitia.
Ahsante saaana kwa mafundisho yako. Nitayafanyia KAZI.
Thanks brother Joel,umenifundisha vizur
Nimekuelewa sana kaka kwangu mim nidhamu ya muda imekuwa ikinisumbua sana, naahidi ntalifanyia kazi kuanzia sasa.
Ahsante sana,Shida yangu sina rafiki yoyote,wale ambao natamani wawe ni marafki ni watu ambao wapo busy sana kukutana nao ni vigumu.Lakini naendelea vzr na mafundisho yako.
Pastor Joel, Praise Jesus Christ.. I love the lessons you teach us. Nimeanza kuweka malengo na kuwekeza(nidhamu ya fedha) ahsante kwa elimu,
Joel sio pastor. Is he?
Nakufatilia sana na kujifunza sahii nashukuru sana mungu akuobariki kwa kazi nzuri
Asante sana ndugu yangu kila leo napata kuwa mpya kwa mafundisho sahihi. Mungu akubariki kaka... Endelea kutumegea mafundisho mteule.
dah mada nzuri sana me nimependa nidhamj ya fedha na kuweka malengo
Asantee sana nimejifunza somo zuri marafiki wanarudisha nyumaa na wanarokho za wivuu
Asante mwanangu sikuwa najua chochote kuusu mpangilio WA Maisha Mungu akubaliki ssna
Nashukuru sana nimejifunza kitu ntaanza kuweka malenngo
Mmmh... Bro uko vzr saan hapa nimejifunza nidham ya marafik wasio na maan kweny maisha yang
Asante... Hakika nimepata vingi hasa vipaumbele na marafiki kwangu ilikuwa changamoto zaidi ila sasa nimeelewa. Asnte kaka Joel
Eliezer Mtokoma 💪💪💪 Nasubiria Habari njema kutoka kwako
Usijal wewe utakuwa sehem ya ushuhuda wangu kaka Joel.
Hakika nahitaji mabadiliko makubwa ktk utendaji wangu. Asante sana.
Beatrice Mapembe 👏👏👏
Unabarikiwa upeo kaka, nimefatilia sana speech zako.
Asante kwa masomo mazuri,Mungu akubariki sana .
Hili somo ni zr Sana nimekuelewa Kaka Joel shukran
rahemah Rahemah nashukuru,pamoja sana
50,30,20 hii mbinu imenisaidia sana mwana jana 😍
Asante Sana kaka,, umenisaidia Sana kujitambua natakiwa niweje,, natangaza kubadilika kuanzia sasa naanaza na nidhamu ya muda√ then marafiki√
Asante kwaushauriwako nimejifunza kitu sasa
Safi sana kwa Elimu nzuri kaka hii ni jambo nimeanza kulifanyia kazi mwaka huu naamini miaka 5 ijayo nitakuwa mbali kimaisha kwa kujiwekea malengo
Asante bwana Joel kwa clip nzuri.
Kitabu chako cha 'Timiza malengo yako' ni kuzuri sana, tayari nimeishakisoma sijatoka bure.
ANOLD KISHUMU safi sanaaaa
@@joelnanauka kaka joel mimi nina ndoto ya kuwa mfanyabiashara mkubwa, hebu nishauri kitabu cha kusoma kati ya ulivyoandika au vya waandishi wengine.
Nakushur kk kwa elim yako naimani itatusaidia ktka maisha yet kama tutazingatia
Nakukubali sana brother Joel unansaidia sana ubarikiwe
Umetisha kaka yangu umenifanya niwe mtu wakubana pesa ndugu sasa hivi niko poa sana asee mungu akubariki sana
Hilary Godfrey 💪💪💪
Nidhamu ya muda hapa ndo naona ni mhimu sana kwangu kuaza nayo Asante kaka
Kaka nashukuru kila unachofundisha Kama vile unaona ninachotafuta wakati huo,namshukuru Mungu kwa ajili yako, naamini siku moj nitaonana na ww, Ana kwa Ana,
Mr.joel mungu akuinue zaidi na zaid......nidhamu ya fedha na marafiki imenigusa sana
Mimi pia nipo hapa kwenye nidhamu yafedha namarafiki tusaidie
Victoria tety hongera kwa kugundua maeneo ya kufanyia kazi,anza mara moja bila kuchelewa
Ama kweli Mungu akubariki sana kaka...kwa elimu muhimu namna hii..
Nidhamu ya kwanza na pia ya mwisho Asante sana.Mimi ni mpeenzi mkubwa sana ya kazi zako.please let see each other at the top
thanks sana Mr.Joel eneo la marafiki ndilo nitaanza nalo
Aseeeee nilikuwa wapi Mimi ila sijachelewa Sana,nmekuelewa bro Joel naamka Sasa.
Nimefurahia sana sana mafundisho yako,naomba nisaidie juu ya nidhamu ya fedha na marafiki
Marafiki na matumizi ya pesa your the best nanauka I hope kwa kukusikiliza nitapiga hatua inshallah, ubarikiwe 🤝
Hapo kweny fedha,vipaombele na marafiki nahitaji mabadiliko makubwa sana
Asee haya madini sana kaka Joel. Asante kwa kunifunza. Video imeisha haraka haraka. Vile nilitamani niendelee kuskiza😀😀
Asante Sana ndugu
Ubarikiwe sana kwakuniongezea ujuzi,nitafanyia kazi
Josée Faida Butu Ameen nashukuru sana
Hakika haya ni madini yasiyopungua ubora,Kila ukiyasikiliza unasikia nguvu za kusonga mbele... You nail it bro every sentence. #BBlcdSir
Naanza na nidhamu kwenye marafik, nafata nidhamu kwenye Muda, halafu nidhamu kwenye vipaumbele, Ila nidhamu kwenye malengo, fedha na kujifunza nilishaanza bila kujijua Kama najiwekea nidhamu. Kauzembe kalikuwa kidogo sana lakin kwenye marafik, Muda na vipaumbele ndio sizingatii
Nakushukulu sana umebadlsha maisha yangu kutokana na semina zako
Pamoja na mafundisho mazuri kaka.Umependeza sana.
Clara Prosper nashukuru sana 🙏🏼🙏🏼🙏🏼
UA real Tz one, hukuiba mtihani kaka. Natafuta kitabu chako cha Timiza malengo yako. Nipo mwanza, sijaelewa nipate wapi!. Umenibadilisha sana kaka, big up JN.
Ndugu Joel minafikili yote ayo nisawa lakini ni dhamu ya fedha ndokiini cha mambo yote. Nakuelewa sana kwakweli unasitaili pongezi mungu abaliki kazi ya mikono yako Joel. mimi nilikuwa nashida nawewe binafusi sasa sijui tuta wasiliana vipi kaka asante.
Kulwa Madaha Ameen ahsnate kwa Baraka.Kuwasiliana 0756094875
Nimehudumiwa sana nahitaji kujenga nidhamu zote sita kwa usahihi kabisa!
Kuongeza nguvu kwenye malifa na malafiki Yani wengi majanga tu Asante kaka kwa somo zuli 🙏🙏🙏
Mwajuma Mwishehe 👏👏👏👏
Mkuu nimependa masomo yako mno...hongera una masomo mazuri sanaa
Marasfiki nimeipenda itanifunza
Ahsante sana mm nahitaji kitabu chako.
spriano simponda wasiliana na 0756094875 utakipata
@@joelnanaukaelimu unayonipa siwezi kukulipa ila mungu atakulipa zaidi..
Daaaah maneno yako yamenigusa sana,nawezaje kupata soft copy ya vitabu vyako kaka!
Kaka joel mimi baada ya kuskiliza clip zako nimebadilika sana,mwanzo nilikuwa na ndoto za kuwa docta jambo ambalo lilinifanya nipende sana PCB shuleni,lakini kutokana na kuogopeshwa na wenzangu physics miliacha,baada ya kumaliza shule licha ya kuwa nilipata four,Bioligy na chemistry nikafaulu kwa wastani ambao naruhusiwa kwenda nursing ila ajabu na bahati mbaya niliacha physics,basi mission ikafeli,kumbe ningekuwa na uwezo wa kwenda nursing na baadae kujiendeleza zaidi nifikie ndoto zangu ila tatizo ilikuwa physics niliacha.
Ni zaidi ya miaka mitano tokea nimemaliza form four na sikujiendeleza
Lakini baada ya kumfatilia huyu mtaalamu nanauka nimejikuta narudia ndoto yangu ambayo nilikuwa nayo na nimekuwa mtu tofauti kabisa,na hapa ninapozungumza nimefanya yafuatayo.
.wiki ijayo naenda kununua mtihani wa kidato cha nne na kituo cha mtihani,naanza kusoma PHYSICS NA CHEMISTRY ILI NIPATE CREDIT za kwenda advance nikasome PCB na nina hakika NAWEEZA.
Nikimaliza advance nina amini 100% ntafaulu vizuriii kwa sababu ntakuwa nasoma kwa uchungu na then nitaenda chuo kusomea doctor .
Miaka minne mbeleni kaka joel nitaleta ushuhuda juu ya hiki ninachokisema,namtegemea Mumgu lakini nina juhudi na pia ninapenda na kuwa na molari na ninachokifanya.
Kusomea malengo yako ukubwani kuna raha sana kwa sababu unajua unachokitafuta.
Nashkuru sana kaka JOEL NANAUKA.
UPDATE : ikiwa leo ni tarehe 28 mwezi wa 7 mwaka 2021 miaka miwili baada ya kuweka hiyo comment hapo juu.
Sasa hivi ninamaliza mwaka wa kwanza kusoma clinical medicine bado miaka miwili.
Nilisharudia mtihani na nikafaulu vizuri na nikaomba chuo diploma nimekubaliwa na sasa nasoma.
Nina hakika nitafika malengo yangu ya kuwa daktari aliyespecialize kabisa katika utaalamu fulani.
Nimependa sana ushuhuda wako.
Hongera sana kaka,
Inspired,powerful &motivation comment
Nimejifunza kitu #be_blessed
Duuu 3% tu wanaoweka malengo,8% ndio wanaofuatilia malengo mpaka mwisho wa mwaka #TIMIZA_MALENGO I have it.
1.MALENGO 2.MUDA 3.VIPAUMBELE 4.KUJIFUNZA 5. FEDHA 6.FRIENDS
#LEADER_IS_A_READER
Powerful #Sir
Justine Mrope 👏👏👏
Ahsante Sana Mr. JN! Since knowing you, everyday in every way I'm getting better and better!! See you at the top
Paul James so happy to hear about that 🙏🏼🙏🏼🙏🏼
Joel Nanauka kwakweli nidham zote maana nimegundua sina nidham hata moja ya kieleweka. Asante sana na utusaidie zaidi hata ushauri wa inbox
Nithamu na muda
Huu mwaka kwa uweza wa mungu naamini ntapata matokeo chanya. umekua msaada sana kupitia mafundisho yako
DEE MASTER Ahsante sana,pamoja tuendlee kujifunza
Shukran sana imenisaidia
Umebadilisha maisha yangu
Nidhamu ya fedha tatizo sana kwangu,pamoja muda
Kujiepushana na malafiki Ambo hawana mtazamo wa maisha ya mbele
Safi sanaaa 👏👏👏
Uko vizur chifu wewe unajua sanaa
Ahsante sana kaka kwangu hasa nidhamu maeneo ya Malengo na Pesa
Geofrey Katto Maadam umeshayajua,anza kushughulika nayo mapema
Ahsante sana kaka
Mimi binafsi ya na Sita muhimu sana