Mumenitoa mbali sana kaka Nanauka sichoki kukufatilia zikipita siku tatu sijakusikiliza huwa nahisi kuumwa nilitaka kukata tamaa ukanipa moyo naiona kesho yangu nzuri kupitia speech zako Mungu akutunze and see you at the top
Kaka Joel Nanauka mungu Akupe maisha marefu sana kaka mimi nipo japan lakini Unanifundisha mambo mengisana mwezi wa8 Nitakuja na nitajitaidi nikutafute 🙏🏿
Mimi nitakua nimeserve millions of money na ntafungua biashara ya pili mwez wA 12 trh 31 ntakuja hapa hapa serve my comment ....n this is possible due to the ebook of money formula najilipa sio tu 5% but 10% each day. Bless u bro.
Ahsante sana kwa elimu mwalimu, ila naomba hiyo sautu ya music inayosikika uibadilishe kama itakupendeza wazo hili, tafuta muziki mwingine mzuri maana sauti ikikutana na music nzuri somo au simuluzi inakuwa na ladha zaidi. Ahsante sana
@@RichardSanga-y6y unaposoma au kumsikiliza mtu jaribu kwanza kuelewa ulicho kisoma au ulicho kisikia kabla hujajibu, soma ili uwelewe nasio usome ili ujibu
Kaka Joel ahsat Kwa somo nzur nilipo kuwa Hadi Sasa najiona Mpya hapo Ni mda kidg nimeanza kukufwatilia hivyo sikati Tamara naaza upy a Na Joel Mungu akubariki ❤❤❤❤❤❤
kk mm shida wako sbili mwalko wangu kwako na uliad nasema aya nasbli mwalko t nimeaza kuyanyia kaz na matokeo umeaza kujitokez nukuwa my tofaut kila wakat awajuwi nayapata wap kumbe kwako kk nmekubal ww mwamba mungu ajalie u wai sisemi sana
Mungu Akubariki Sana ufikie viwango vikubwa kama vya akina Dr. Myles Munroe. Unaiwakilisha vema Sana nchi yetu ya Tanzania Hakika Tunajivunia Ume kuwa Masada Mkubwa Sana kwa nchi yetu na Dunia nzima kwa Ujumla. See you at the Top I❤ that.
Watu wenye malengo na wenye ndoto ngumu Yan ukiwaza kwa akili ya kawaida unaona kabisa it's impossible Ila tunaforce mpaka ijulikane, gonga like hapa and let's see each other at the top
Kaka nakupata naona unaniongelea mim hapa najiamin sina kitu kwa sasa najiamin na ninaamin,nitaakikisha napambana aijalishi changamoto ganizitanikuta ila lazima nitamize maono yangu maana mungu ndie mtoaji bas kaka naona uduma yako ipo kiroho kabisa mungu amekuinua kwa ajili ya watu
Joel wewe umezid kunifanya niweze kupanga malengo na natarajia kuwa billionare inshaallah joel napenda kaz zako
🤣 🤣 🤣 billionaire?
Huamni au usicheke huwezi kujua kesho ya mtu watu wana jipanga wewe@@lampadshigonko3006
Ameen 🙏
Insha Allah
Amen
Elimu nzuri
Kwanza mimi,2026 lazima tukutane,,yan na changanyikiwa kabx,from burundi
Tuombe uzima, Mungu atatufanikisha🙏
Naamini Sanaa katika masomo haya nauhakika baada ya mda flani sitakua hapa nilipo Mana matokeo nayaona Mungu Akubariki🙏
Kaka Joel usiwe unajificha jamani tumezoea kukuona ukiwa unafundisha pia Asante kwa somo zuri🎉🎉
Noted.
Mumenitoa mbali sana kaka Nanauka sichoki kukufatilia zikipita siku tatu sijakusikiliza huwa nahisi kuumwa nilitaka kukata tamaa ukanipa moyo naiona kesho yangu nzuri kupitia speech zako Mungu akutunze and see you at the top
Nakuelewa sanaa Joel birthday mate wangu lazima nitembee kwenye vision zangu
Kaka Joel Nanauka mungu Akupe maisha marefu sana kaka mimi nipo japan lakini Unanifundisha mambo mengisana mwezi wa8 Nitakuja na nitajitaidi nikutafute 🙏🏿
Every day i used to sharpen my life from your teachings,,,May our almighty God bless you.
Nafurahi coz today nimeamka mapema kumsikiliza bro wangu, now I have seen my self at the top
Wow, hongera sanaa🙏
Barikiwa Sana Mr.J.N
Mimi nitakua nimeserve millions of money na ntafungua biashara ya pili mwez wA 12 trh 31 ntakuja hapa hapa serve my comment ....n this is possible due to the ebook of money formula najilipa sio tu 5% but 10% each day. Bless u bro.
Big congratulations👏🏽👏🏽👏🏽 tunasubiria ushuhuda wako zaidi
Tunasubili bado cku 3 tu 😂 ulete ushuhuda
Thanks brother Joel Nanauka you were born to help many
Hongera xana braza
Mimi naomba mungu anijalie ning'ae kwenye biashara yangu
Mungu awenawe
MAONO🔥🔥🔥🔥
This Morning Today kuna kitu kizuri nimejifunza toka kwako MWL WANGU JOEL NANAUKA....
Nashukuru sana tuendelee kujifunza🙏
Wewe ndio maono yangu daaah
Ahsante sana kwa elimu mwalimu, ila naomba hiyo sautu ya music inayosikika uibadilishe kama itakupendeza wazo hili, tafuta muziki mwingine mzuri maana sauti ikikutana na music nzuri somo au simuluzi inakuwa na ladha zaidi. Ahsante sana
Akina sisi tuna enjoy zaidi tumuona hasa huwa nahisi nipo nae karibu akinipa advice
Usichokijua ni kwamba mziki wowote ambao hauna sound ama vocal ni special kaajili ya kutuliza akili yako,Ufahamu wako na usiwaze mambo mengine..
@@RichardSanga-y6y unaposoma au kumsikiliza mtu jaribu kwanza kuelewa ulicho kisoma au ulicho kisikia kabla hujajibu, soma ili uwelewe nasio usome ili ujibu
Unakuwa unanimotivat sana katika crip zako ubarikiwe sana
Somo Zuri sana bro, Bado napambana nipate clear vision
Powerful message 🔥🔥🙏
Ahsante Sana, Mungu akubariki na azidi kukuinua viwango hadi viwango hakika umekuwa baraka.
Amen amen 🙏🙏
Ahsante sana sana🙏
Asante kaka joel, hkika nimejifunza kitu🙏🏽. Mwenyezi mng akutunze daima ufike mbali zaidi , akukirimie afya ilo imala sikhu zote. Balikiwa mnoo kaka Joel 🙏🏽🙏🏽
Ameen Ameen 🙏
Amin kaka
Kaka Joel ahsat Kwa somo nzur nilipo kuwa Hadi Sasa najiona Mpya hapo Ni mda kidg nimeanza kukufwatilia hivyo sikati Tamara naaza upy a Na Joel Mungu akubariki ❤❤❤❤❤❤
Mafunzo yako yananifanya kuwa mtu mpya kila siku. Niko Netherlands lakini kila kukicha nafuatilia speech zako.
Mungu akubariki Joel
Brother ww ni mfano wa Jim rohn amazing contents ..👍
its my honour to meet you for more guidence❤❤
Mungu atatusaidia tutaonana🙏
Yani umekuwa baraka katika maisha ya wengi,Asante kaka unatuinua wengi tulio kuwa tumekata tamaa,Mungu Akutunze kaka yangu
Mungu azidi kukubariki nakukuinua kaka
Kila siku unanifanya niwe mpya ktk kufikia hatima yng asante sana
Asante nimejifunza kitu
Amen
Asante Kaka 🎉🎉🎉✍️🇨🇩
❤❤❤
Msshallah unaupiga mwingi brother
Barikiwa sana kaka joel
Ameen, ahsante sana🙏
Ahsante kaka ubarikiwe xana xana mungu azidi kukuinua.
kk mm shida wako sbili mwalko wangu kwako na uliad nasema aya nasbli mwalko t nimeaza kuyanyia kaz na matokeo umeaza kujitokez nukuwa my tofaut kila wakat awajuwi nayapata wap kumbe kwako kk nmekubal ww mwamba mungu ajalie u wai sisemi sana
Bora ukose macho lakini uwe na maono.
Vizuri brother nanauka.. But ningependa uwe unakuja na bonus ya online books ktk kila video ambazo tunaweza kuwa tunalipia.. GOD bless you
Asante umenielewesha meng san
Ushauri mzuriiii
Haya madini ya siku yatolewa siku hizi karibuni so valuable
Ahsante sana, nisaidie kushare🙏
Akika unanijenga sana brother 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
See you at the rop, you changed people's lives bro, God bless you
Ameen Ameen
Gud message Bro 👍
Ahsante kaka joel tunazidi kujinza🙏
Ameen Ameen
Ubarikiw
Mungu Akubariki Sana ufikie viwango vikubwa kama vya akina Dr. Myles Munroe. Unaiwakilisha vema Sana nchi yetu ya Tanzania Hakika Tunajivunia Ume kuwa Masada Mkubwa Sana kwa nchi yetu na Dunia nzima kwa Ujumla. See you at the Top I❤ that.
Nashukuru sana, na ahsante kwa dua njema🙏🙏
Ahsant sana kaka Joel kwa upeo wako tunazidi kupata maarifa kupitia wewe, Mungu azidi kukubariki kwa yote
Ameen Ameen
Mungu akupe maisha marefu kaka ❤
Mungu akubaliki sana Mr Joel ,
Watu wenye malengo na wenye ndoto ngumu Yan ukiwaza kwa akili ya kawaida unaona kabisa it's impossible Ila tunaforce mpaka ijulikane, gonga like hapa and let's see each other at the top
See You At The Top
Unajua mpaka unaboa Mungu akubariki❤❤❤🎉🎉
Thank u my brother ❤❤
Nanauka wewe ni mwalimu wangu
Nashukuru tuendelee kujifunza🙏
Perfect knouledge
Good..
See me at the top
Ahsante kaka joel
Mungu akulinde❤❤❤❤❤
Ameeen🙏🙏🙏
Asante kaka mungu akubariki umenipigisha hatua kwenye maisha
uzudi barikiwa Kaka
Asante sana ❤
Barikiwa sana kaka umenijenga sana nilikuwa siju maana ya vision xaxa nitaanza kuwa na maono
From south Africa Durban sijachelewa sana mwalimu Asante limenifikia
Hongera sana sanaa🙏
❤
Kaka kuna vitu umeningizia kichwani vinaniongoza vyema shukrani sana
Mungu akubariki pastor Joel,zikomo
Joel Nanauka ,, nakupenda sana kaka for real me binafsi umenikuwa life coach wangu katika maisha yangu
Asante Sana mtumishi barikiwa mno
Asante sana kwa mafunzo tangia nianze kukusikiza nimepata mafunzo mengi sana
Thanks
Amen baba,mungu akubariki
Ameen ahsante sana sana
Asanteh mr
💪🏿
Barikiwa Sana kaka Joel
🎉🎉
Asant bro
Bro Nanauka unajua adi unakela
Any way mungu aendelee kukuweka ili uendelee kutuelimisha
Ameen Ahsante sana sana🙏🙏
Kaka nakupata naona unaniongelea mim hapa najiamin sina kitu kwa sasa najiamin na ninaamin,nitaakikisha napambana aijalishi changamoto ganizitanikuta ila lazima nitamize maono yangu maana mungu ndie mtoaji bas kaka naona uduma yako ipo kiroho kabisa mungu amekuinua kwa ajili ya watu
Amen amen❤ Joel nanauka
Thanks Dr
😭👍🏽
🎉
KAZIYAKO NI NJEMAMNO,, NASHAURI VITABU UVITOE VIIIIINGI VISAMBAZE KATIKA NCHIYETU MAARIFAHAYA YATAINUA WATANZANIA WEENGI
Ameen nitajitahidi kufanya hivyo🙏🙏
Shukrani sana
Asante
Mr Joel nafakiwa kupitia mafunzo yako
Umenijenga sana kaka
Thanks bro
Kwani nyinyi hua mna fanya nn wenzangu kuweka ela kwenye kibubu mpaka kijae maana mm nikiweka buku mbili ikifika jioni sijaitoa labda sio mm 😂😂😂😂😂😂
Hujaiwekea malengo hyo ela unayoiwek kweny kibubu ndo maan ww kutoa unaona kawaida tu
Asant
Kila nikikusikiliza napata nguvu mpya
Broo nawitaji wa ebook of money formula nitapataje?❤
Bro umetsha
😊