Asante sana kwa somo zuri me eneo ninaloona n muhimu kuweka nidhamu kwanza ni Eneo la kujiwekea malengo katika maisha sababu malengo yatakusaidia kujua vipaumbele,muda utakaowekeza kufikia hayo malengo ,aina ya watu wa kuambatan nao ,Maarifa ya kujifunza ,,,,kiufupi eneo la kuweka malengo kama ulivyoanza nalo namba Moja ndilo napaswa kuanza nalo sababu limebeba yote
Barikiwa Kaka,mm n irine toka Kenya,nliishi na ndoto za kujenga nyumba za wapangaji,nlingangana mpaka nkafanikiwa,na nlipomalza nkajikuta Sasa nmefika,lakn nlipoanza masomo yako ya kila cku,moraly ulinipanda tena,nkaiona biashara ya rental house ndiyo itanifaa mm,Sasa hivi nmejenga nyingine mwaka Jana na hata saii moraly bado imenifikia mahali pa kujenga nyingine kabla mwaka uishe,biashara yangu ndogo mno lakn mikopo ndiyo imenisaidia na nauhakika masomo yakobyatanipeleka juu zaidi,nakuombea Kaka mungu akuzidishie
Nimefanya kazi na wewe iringa wakati ulipo nialika kukupiga picha na kushoot pia ulinifunza mambo mengi juu ya kazi yangu thanks indeed now namiliki ofisi yangu na inakuwa vizur na nayaona matunda ya kuhudhuria semina zako Mungu akulipe na uishi miaka mingi Joel amiin
Kaka mimi nidhamu ya muda nahitaji sana kaka nitafulahi sana kama nitakua mwenye kushugulika na maisha yangu game,kuchati,marafiki nisiopata kitu kutoka kwao 👏👏
Asante kaka nanauka. Nipe like ndio kiu yangu. Hujui kwa material yako na uwezo wa MUNGU, nimefika mbali sana. Siku moja nitakutafuta nikupe ushuhuda wangu.
Hii ni moja ya speech ambayo sichoki kuisiikiliza inanitia Moyo Sana tangu nimeanza kuweka malengo yangu 2020 January umekuwa kiongozi wangu Sana Kaka pia nimejifunza vitu kwenye vitabu vyako Bro, Mongozo wa mafanikio, Elimu ya pesa thank you bro,,. Nizamu ya pesa ni kitu mhimu sana katika ujana wangu . Mungu aendelee kukulinda Sana Bro Joel Nanauka🙏🙏
Hakika wewe Ni Zaidi ya Darasa Katika Maisha yangu Nakukubali Sana Hakika wewe Ni Shujaa wa kweli Mungu Ameweka Jambo kubwa kwako Ili Wengine tupite kupitia Wewe
Asante sana ...nidhamu..ndo kilakitu...katika..kutimiza...malengo yako barikiwa Joel🙏
Asante sana kwa somo zuri me eneo ninaloona n muhimu kuweka nidhamu kwanza ni Eneo la kujiwekea malengo katika maisha sababu malengo yatakusaidia kujua vipaumbele,muda utakaowekeza kufikia hayo malengo ,aina ya watu wa kuambatan nao ,Maarifa ya kujifunza ,,,,kiufupi eneo la kuweka malengo kama ulivyoanza nalo namba Moja ndilo napaswa kuanza nalo sababu limebeba yote
Asante mwalimu wangu Nina subiria hicho kitabu
Yaan hili somo naona limeandaliwa kwaajili yangu asante sana kwa elim nzuri mim binafs vipengere vyote vinanihusu😢
Barikiwa Kaka,mm n irine toka Kenya,nliishi na ndoto za kujenga nyumba za wapangaji,nlingangana mpaka nkafanikiwa,na nlipomalza nkajikuta Sasa nmefika,lakn nlipoanza masomo yako ya kila cku,moraly ulinipanda tena,nkaiona biashara ya rental house ndiyo itanifaa mm,Sasa hivi nmejenga nyingine mwaka Jana na hata saii moraly bado imenifikia mahali pa kujenga nyingine kabla mwaka uishe,biashara yangu ndogo mno lakn mikopo ndiyo imenisaidia na nauhakika masomo yakobyatanipeleka juu zaidi,nakuombea Kaka mungu akuzidishie
We are sharing the same interest, I'm from Tanzania.
Nimefanya kazi na wewe iringa wakati ulipo nialika kukupiga picha na kushoot pia ulinifunza mambo mengi juu ya kazi yangu thanks indeed now namiliki ofisi yangu na inakuwa vizur na nayaona matunda ya kuhudhuria semina zako Mungu akulipe na uishi miaka mingi Joel amiin
Nidhamu ya marafiki,, mungu aniongoze
Nimekupata sana,Asante kwa maarifa sahihi
Kaka mimi nidhamu ya muda nahitaji sana kaka nitafulahi sana kama nitakua mwenye kushugulika na maisha yangu game,kuchati,marafiki nisiopata kitu kutoka kwao 👏👏
Asante sana my brother from another mother kwa hakika umenitoa mbali sana
Asante kaka nanauka. Nipe like ndio kiu yangu. Hujui kwa material yako na uwezo wa MUNGU, nimefika mbali sana. Siku moja nitakutafuta nikupe ushuhuda wangu.
Hii ni moja ya speech ambayo sichoki kuisiikiliza inanitia Moyo Sana tangu nimeanza kuweka malengo yangu 2020 January umekuwa kiongozi wangu Sana Kaka pia nimejifunza vitu kwenye vitabu vyako Bro, Mongozo wa mafanikio, Elimu ya pesa thank you bro,,. Nizamu ya pesa ni kitu mhimu sana katika ujana wangu . Mungu aendelee kukulinda Sana Bro Joel Nanauka🙏🙏
Bro vitabu vyako vinapatikana wapi
God bless you my brother
Nimejifunza and natamani kua nanidhamu ya mda yaviwango vya juu...Stay protected always
Nkuelewaga sana Kaka angu mungu akubarikii Sana unanisaidia Sana kiukweel toka nimeanzaa kkufulitia wew nmbdili Sana mfumo wa maisha yang
Asante sana umenijenga sana kuhusu nidhamu binafsi. Mungu akubariki
Mtumishi wa mungu hakika hili ni darasa tosha tunajifunza mengi. Mungu akubariki sana.
1.Kuweka Malengo
2.Muda
3.Vipaumbele(Setting Priorities)
4.Kujifunza(Self development)
5.Fedha
6.Marafiki
Joel Author you have changed my Life , thanks alot... Mungu Azidi Kukutunza...
Nimekupa vizuli mi uwasiweki malengo yoyot sasa nimejifuza
nimejifunza kutunza fedha kwa kupunguza matumizi yasio na lazima
nakufwa tilia , sana nashukuru, nidhamu ya pesa nimekuwa nayo, na muda pia endelea kutufufua.
AHSANTE SANA KAKA JOEL MUNGU AKUBARIKI SANAAAA
Shkran Sana Kaka Joel, ymebadilisha Sana maisha yangu🙏🙏. Kila siku naongeza fikra mpya kwenye ubongo wangu🙏
Be blessed Kaka Joel 🙏👏👏👏
Nimeipenda elimu yako mheshimiwa
Ni upande wa muda na kuandika malengo.Thanks my God bless you.
Pia nidham ya muda yaan napoteza sana muda adi babaangu na mamaangu wananilalamikia sana kuhusu swala mda naomba nisaidie
Wewe ni baraka kwangu
Asnt Sana kka Joel haswa hii nidhamu ya marafi ni nzuri mnoo lazima nitafute marafiki wapya wanaondana na maono yangu
Nakua na naendelea kukua kupitia maneno yako
MUNGU azidi kukupa
Asantee kaka joel kwa funzo
Toka nilivo anza kufatilizia video zako kwa kweli akili imebadilisha fikra zngu na mwenendo wngu pia.. Mungu akubariki
Asante Sana Kaka Joel..... Kwangu Mimi nahitaji Sana nidhamu ya marafiki
joel nanauka zuri sana
Hakika wewe Ni Zaidi ya Darasa Katika Maisha yangu Nakukubali Sana Hakika wewe Ni Shujaa wa kweli Mungu Ameweka Jambo kubwa kwako Ili Wengine tupite kupitia Wewe
Nakuelewa sanaa Joe ,nahitaji kujitathminii...asante.
Utumiaji wa fedha Asante sana
Asante sana mungu akubariki
Hapo ni kweli kabisa
Marafiki ukiwakwepa tena ndugu Joel, mbona unaonekana unadharau?
Nasoma sana Kila siku
Kaka Joel Mungu azidi kukutunza kwa ajili yetu unatusaidia mambo mengi umetusababishia tuishi kwa kujiamini
Habari bro Joel Ningependa kuanza kuijenga nidhamu ya Freya
Nidhamu ya fedha,kuweka malengo.
Nakuelewa mno
Nizam ya pesa inanitesa sana
Much thank you my life Coach
Congratuation brother
Thankx xo bcoz natapa motivation kubwa xn nckilizapo xpeech zako, , , ninaimani ntafika mbali xn bcoz of you
Lazima Nifanikiwe
Kaka nashukuru kwa somo hili naomba unisaidie kwenye kipengele cha marafiki
1)Mpangilio wa matumizi ya muda wangu
Nidhamu ya fedha,kaka joel bado changamoto
Nidhamu ya fedha mimi sina kabisa ni tatizo langu kubwaaa
Thanks a lot brother,Your brightening our life.
Your speech zinanipa moyo kupmbn zaidiii ngoja nimalizie kitabu cha rich dad poor dad
)Mpangilio wa matumizi ya muda wangu
Marafiki tunachagua isipokuwa ndg tu ndo atuchagui🙏
Amina barikiwa zaidi kaka Joel
nidhamu ya pesa kwa mimi nikianza nayo nahis ikuwa vizur
My life coach my mentor stay blessed Sir🙏🙏🙏🙏
The last1 ipo poa sana naisi kama ndio msingi wa yote
Vya kujifunza kupitia kwako ni vingi mno ubarikiwe sana
Thank niko Kenya nashukuru MUNGU akubariki nakufatilia sana
Marafiki
Big ma broo.
Nidhamu zote Joel
Thanks Kaka Nanauka, My self naona ni kuanza na nidhamu ya pesa.
Uchaguzi wa marafiki
Mungu azidi kukulinda
Asante kaka mimi ninapenda sana kusoma vitabu ila sijui nianzie wapi naomba unielekeze humu mtandaoni
I admire all motivation speech that you told us brother, Mungu akubariki maana umekua muonyesha njia kwa vijana
Mmmh nidhamu ya pesa na matumizi ya muda bila kusahau watu wanaonizunguka Mungu anisaidie napambana dah kujidhibiti naamini ipo ck nitakuwa sawaa
Nidhamu ya fedha kiongozi
Ubarikiwe,kwamasomo mazuri
Vipao mbele
Joel Nanauka you build me up everyday
Nidhamu ya malengo
Nidhamu ya fedha na mda
Asante sana
Brother Joel nidhamu ya 6
Kutumia muda wng na wa2 sahihi
Ahsante sana Brother
Allow it to be downloaded brov🙏🏾🙏🏾 #joelNanauka
Eneo la muda
Nakuelenga Sana brother
Nizam ya feza
Nidham ya pesa pia na marafiki sahihi
Ya marafiki
Napataje hiki kitabu na kinauzwaje
Mungu akuongoze
Mimi bwana hapo kwenye muda na marafiki ndo nafeli but from the video nita improve . Mungu akubariki.your the best Nanauka
m napenda nianze na nidhamu ya fedha na muda
Safi kabisa
Nakwelewa san
Nimekuelewa Sana kaka big up!
Nidhamu ya marafiki ndo yakwanza nafuata na nidhamu ya pesa ety mana viumbe hivi vinavyoitwa marafiki ni hatari sana
True!
Mh joel usiwe unafungia video
Me nahitaji kuweka malengo ya elimu yangu nipo chuo mwaka wa tatu saiv kila nikiweka malengo siyafikii ambapo natakiwa nifauli vizuri nifanye wanders
Ahsante kwa malifaa
Upo vizur
Nidhamu ya muda na uteuzi wa marafiki
Kujifunza
Kiukweli mimi nina Lundo la marafiki ,na ninapoteza muda mwingi kwenye group
Be blessed
Nakipataje hiko kitabu chako mkuu
Kaka nakusikiliza Sana hata akili yangu imeanza kubadilika kwanza nimegundua hata kua na malengo meng kwa wakat mmoja ni tatzo.
Blessed
Thanks alot