Asante kaka umeniongeze kitu kikubwa katika maisha kwanzia leo nitaanza kufatilia mafuzo yako najua kuna kitu kikubwa kitaongezeka kwenye maisha yangu na biashara yangu.
Ok tunashukuru kwa semina yako ambayo umetupa apa mpanda lakini mm nashukuru sana na nitaendelea kufuatilia mafundisho yako .lakini kama kikundi tutakwalika tena
Asante nipo Leo darasani nafutilia masomo yako I'm 48 mpaka Leo nilikuwa sijui jinsi ya kutenganisha fedha ya kula,biashara na akiba asante Sana Kwa kunielimisha but naomba nifundishe jinsi ya kutunza kumbukumbu kwenye daftari yaani mapato,matumizi,mauzo
Chalambo hapa nipo live katika darasa nilipendalo nipo tayari kubadilika nakuzngatia Kwa ufasaha
We mwamba noma god bless you,lisha watu madini wazidi kufufuka
Kaongea vizur sana apa mhhhhh
Asante kaka umeniongeze kitu kikubwa katika maisha kwanzia leo nitaanza kufatilia mafuzo yako najua kuna kitu kikubwa kitaongezeka kwenye maisha yangu na biashara yangu.
Hongera Sana Kwa Kujifunza.
Kaka victor asante nimejifunza katanguliza AMINA kabla ya matumizi
Ila we jamaa unajua unanifundisha na yanaingia Asante 🙏
Napenda sana unachofanya na commitment yako .. keep moving brother
Dah nimechelewa sana kukufaham kiongoz nimepata kitu hapa
Takbirrr nimekutana na mtu sahihi leo Asante Allah nimefurahia mno mafunzo
Daaah broo nakukubali saana, na najifunza hayo kupitia ushauri wako, ni darasa nimejifunza nimepata somo zur, Mungu anisaidie kutunza pesa
Asante Sana Kwa Somo hili. Haya ndio mambo ya msingi
❤asante sana kaka nimependa mafunzo yako
Asante sana, je sisi ambao hatupokei mshahara kwa njia ya kibenk tufanyeje
Njia zipo 5 chagua ingine
Pesa naweka mwenyewe, sitaki vikoba wala bank, pesa ni yangu na kuitunza ni jukumu langu na nimefanikiwa bila kutunziwa na mtu.
Cha umuhimu ni kuweka akiba njia yoyote ni sawa ila uwwze kuweka akiba
Asante sana mungu akubariki sana 🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Asnte sana bro keep moving
Kweli kabisa mimi umenikosha kesho naenda benk kufunga acaut
Hii ya kujilazimisha bila kisingizio nimeipenda mno
😂😂
Hii nimeipenda mjomba
Mungu akutunze Kwa msaada huu unaotutia nguvu
Aloo nimekutana na somo ambalo nimelitafta kwa mda mrefu sana hadi nahis nimechelewa
Aksante kwa funzo,
Umenitoa taka za maskio,nashukuru kakangu kwa somo lako zuri
Tutakuwa pamoja sana kaka.tupambane pia malengo..🎉
shukran san kk nashukuru na namshukuru pia alie nifanya nikufaham ❤❤
Ok tunashukuru kwa semina yako ambayo umetupa apa mpanda lakini mm nashukuru sana na nitaendelea kufuatilia mafundisho yako .lakini kama kikundi tutakwalika tena
Ubarikiwe sana kaka nitalifanyia kazi.
Asante kaka somo lako nimelipenda
Ansante kwa kunifundisha mtalaamu.nimekuelewa sana.
Good my blood brother hapa somo limeniingia
Asante sana upo vizuriiii brooo
Tumefikiwa.. Barikiwa
Ahsante sana kiongozi wangu Kwa kunipa mafunzo
Asante Sana kaka nimejifunza kitu barikiwa
Nashukuru Kwa mafunzo ❤
Asante sana kwa mafunzo Yako mazuri mungu akubariki uzidi kuturlimisha
Asante nimejifunza kitu
Nimekuelewa
Thank so much my brother
Asante mkuu naomba kujua hii M.pawa au Mgodi je ni sawa au ni vikoba tu
Mgodi nishawah kuweka elfu50 nilipotaka kutoa ikawa inagoma mpaka kuwapigia wa mtandao walinisumbua kalibia wiki nzima😢
Kikundi cha kuweka na kutoa unapotaka hapafai
Asatesana nimekufwata toka Congo Rdc
Asante kaka kwa mafuzo yako nime jifuza
Asante mwanangu kwa darasa zuri
Nimejifunza
Asante sana Nimejifunza
Asante sana mwakimu
Wewe nimtu wa maana sana Asante sana umenipa challenge kubwa sana
Asanteeeee saaaaana kaka nimekuelewa mnooooo
Asante sana kaka
Shukrani sana Victoria naomba
Asante❤
Ahsante sana 🙏
Asante sana kaka nimejifunza
❤❤me mwenyew wajina wko
Asante baba...🎉
Asante kwairi.ubora
Barikiwa sana kaka
Mmmmh we jamaa kuna kitu umenifungua asante sana
Shukran sana
Ahsante sana nimejifunza,barikiwa.
Dooh nashukuru
Asante mno nmejifunza
Sahihi mkuu
Asante kaka
Kwel mwali asante kwa ushaur
Kweli kaka nimeongeza ufahamu mungu akubaliki
Shukuran sana victor mwambene
Nikweliiiii broo Mung akubalkiiii🎉🎉🎉🎉❤
Asantee mkuu
point ya 5 ipo bomba sana kaka mkuubw
Bro, i salute you 🖐️
Ubarikiwe Sana kaka
Yani asante sana nashkuru kwakutufungua akili kwakel
Masomo Yako mazuri sana kaka nimepata elimu kubwa sana, hii mada kama ilikuwa inanigusa.
Da Asante San nilikuwa nakuomba tu ela
Thanks
Kweli kabisa unachosema kaka nimepata kitu apa
Thanks brothers ❤
Brother umenipa elimu kubwa sana shukrani nafanya kuanzia sasa
Nakubali bro
Cheers brother
Nakubali
Richest man in the world
Asante
Mafunzo mazuri kaka
Kabisa kaka
Asante nipo Leo darasani nafutilia masomo yako I'm 48 mpaka Leo nilikuwa sijui jinsi ya kutenganisha fedha ya kula,biashara na akiba asante Sana Kwa kunielimisha but naomba nifundishe jinsi ya kutunza kumbukumbu kwenye daftari yaani mapato,matumizi,mauzo
Asante kwa somo zuri sana
Kaka naomba kujua U.T.T na hisa zipoje 🙏🙏🙏
Uko vizuri mtaalam wa fedha
I get ya
Nimekupata sana umeniongezea kitu
Kak unafundisha sana
Ssissi tulio soma kiuba tunakuelewA😊
👍
nimekupata sna kaka . hapo kwenye vikoba na standing order. ndo inanisaidia . barikiwa sana kaka
Ipoje hii ndugu
Tawile baba
Leo nimeona jina lako status ya sharifu nikakimbia huku. Asante mwalimu
tuko pamoja kaka
Hesima kwako wajina
🙏🙏
Nimejifunza kitu kikubwa Sana leo
Je kwa wanafunzi tunawezaj kuweka akiba brother
Inawezekana