Kaka nanauka wewe nizaidi ya noma umenifanya nijione JOKA refu kwenye biashara yangu nakuiboresha zaidi na zaidi asante sana mungu akubariki sana nanime donlod
So powerful..Be blessed brother Asante sana Njia ya kwanza(Market Penetration) na ya tatu (Market Development) ntaanza nazo. "Mafanikio yako yamefichwa kwenye ujasiri wako wa kutafuta masoko mapya"
Nashukuru kaka unatoa elim nzr ya ujasiliamali.Tupo nyuma yk haraf nashukuru umefanyia kaz ushaur wangu kwamba ulikuwa unaongea haraka harak mno kipindi cha nyuma ila kwa ss umebadilika unaongea taratibu tunakuellewa na unasikika barabara asante kaka Mungu akupe masikio na maarifa mengi pia
Mwanzo nilikuwa nauza chipsi nilikuwa naogopa kuibadili kazi ile kwa miaka mingi. Nilikuwa muoga sana wa kuthubutu kuiacha. Baada ya kufuatilia kwa makini masomo yako Siku izi nimefungua duka la vipodozi na ninaendelea vizuri sana.# asante Mr jn Mungu akubariki sana na akuwezeshe ktk kazi yako.
Asante sana bwana Joel. Nimeshasoma vitabu vyako yaani timiza malengo yako, nguvu ya mwanamke, ishi ndoto yako, tabia ya kughairisha mambo. Kwa kweli vyote ni vizuri. Kama utatoa kingine naomba unijulishe niweze kupata softcopy yake maana naamini bei yake itakuwa sio kubwa kama ya hardcopy. Mungu akubariki.
Joel great point lakini nataka unisaidie nimekuwa na maono ya kufungua saloon ya kiume na Hadi nimenunua vifaa lakini kutokana na mazingira nayo ishi vyumba vimekuwa gharama Zaid nisiyo iweza na Kwa nje na mazingira yangu imekuwa ngumu kufatilia sababu ya majukumu na kuogopa namna ya usimamiaji sasa nataka kujua nifanye nini biashara yangu ianze kufanya kazi
Naongezea mbinu nyingine hapo. Kutoa elimu namna bidhaa au huduma unayoitoa itakavyowasaidia unaowahudumi. Wengne wanaweza wakaelewa huduma/bidhaa ila wasitambue msaada inayowapatia. Wanunuzi wengi huangalia pesa wanasahau umuhimu wake. Asante!!
Waaoh!! Thanks so much nimekuelewa bro🙏🙏mm ndio kwañza nimeanza ka biashar kangu ya urembo lyke cheni,hereni, blacelet na vinginevyooo so naomba ushaurii zaidi nifanyeje ili nikuze zaidii ya hapo.
Joel ,, binafsi kupitia post zako nibayaona mapungufu yangu mengi ambayo ninaamini yamenifanya niwe haoa nilipo natamani kufanya uoya kadri niwezavyo . Asante
Mm lengo langu ni kukuza biashara yang iwe kubwa kwa kias chake ila kila nikifanya naona bd sjafikia lengo maana mahitaji yanakuwa mengi nifanye nn ili kutatua tatz hili
Bado nakufata, nakutazama, najifunza, na-like na pia ninatafiti-sisi watazamaji hasa tunaokomenti na wewe vile vile. Kuna watu walikuwa wanakomenti hapa ili kutafuta followers kwenye account zao za TH-cam, hilo nimegundua, ushahidi upo katika somo moja wakati unamalizia mwishoni ulisema pongezi, shukurani zakweli/kinafki na hata tabasamu(sija-quote kama ilivyo) ulisema inajulikana apewapo mtu, wakajua umewashtukia mara watu wale wakasepa, sijaona tena komenti zao. Tuliopo thabiti kama kawaida unatuona. Mungu akuinue zaidi kaka. Ninabarikiwa na mafunzo yako.
Safi sana mwalimu wangu mwaka 2018 niliahidi kwamba nwaka 2019 ntafungua duka LA nguo nimefungau narudisha marejesho asante kwa masomo yako mazur
👍
Brazaa nakufatilia sanaa vipind vyako
Mungu akulinde Sir❤
Kiukwery ume gusa maisha yangu kwa utofati zaid
Kaka nanauka wewe nizaidi ya noma umenifanya nijione JOKA refu kwenye biashara yangu nakuiboresha zaidi na zaidi asante sana mungu akubariki sana nanime donlod
So powerful..Be blessed brother
Asante sana
Njia ya kwanza(Market Penetration) na ya tatu (Market Development) ntaanza nazo.
"Mafanikio yako yamefichwa kwenye ujasiri wako wa kutafuta masoko mapya"
We salute my fover right ad viser wesh your long life 💘🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Your always my friend nanauka although I never see you facely, thank you for the good advice in business issues
Nashukuru kuanzia nianze kukufatilia nayaona mabadiliko kwenye biashara zangu kutokana na kujitangaza zaidi🙏
Nashukuru kaka unatoa elim nzr ya ujasiliamali.Tupo nyuma yk haraf nashukuru umefanyia kaz ushaur wangu kwamba ulikuwa unaongea haraka harak mno kipindi cha nyuma ila kwa ss umebadilika unaongea taratibu tunakuellewa na unasikika barabara asante kaka Mungu akupe masikio na maarifa mengi pia
Hatua ya tatu ndio natakiwa kuanza nayo . Asante kwa kuendelea kutuelimisha Neema za Mungu ziendelee kuwa juu yako
Thanx so much kwa darasa but mim napenda kutumia marketing penetration na diversification nadhani hizo zitanifaa zaidi
Hey....tunahitaji waalimu wengi zaidi kama hawa maana kwasasa tatizo si pesa tuu ila fahamu zetu MUNGU AKUTUNZE MWALIMU PROUD OF YOU
Asante sana Joel,bado naendelea kuelimika kupitia wewe. Mungu akubariki.
Mwanzo nilikuwa nauza chipsi nilikuwa naogopa kuibadili kazi ile kwa miaka mingi. Nilikuwa muoga sana wa kuthubutu kuiacha. Baada ya kufuatilia kwa makini masomo yako Siku izi nimefungua duka la vipodozi na ninaendelea vizuri sana.# asante Mr jn Mungu akubariki sana na akuwezeshe ktk kazi yako.
Nice
Umenifurahisha sana kaka nimepata madini kidogo endapo nilichelewa
Kaka umenitoa nilipo nimesogea sehemu nyingine,kuanzia kesho nitatafta Wateja wapya wa chakula maofisini,Mungu akubariki sana.
mm namini uki amu kwa moyo moja ina wesekana
2024 nakuskilza mwalm wang Mungu akutunze
Nimekuelewa sana
Asante sana bwana Joel.
Nimeshasoma vitabu vyako yaani timiza malengo yako, nguvu ya mwanamke, ishi ndoto yako, tabia ya kughairisha mambo.
Kwa kweli vyote ni vizuri.
Kama utatoa kingine naomba unijulishe niweze kupata softcopy yake maana naamini bei yake itakuwa sio kubwa kama ya hardcopy.
Mungu akubariki.
ANOLD KISHUMU hongera sana kwa kuwa mfuatiliaji mzuri sana .Sawa nitakujulisha
softcopy ulipataje ndugu nahitaji
@@joelnanauka m ntaka ushauri
Najifunza sana kwako unanifundisha sana nimeshaanza kubadilika kiufaham na mtazamo wangu umebadilika kabisa nataman unitembelee kwenye duka langu
u r the best broh….lemme start dealing with this ideas ❤❤❤
Nakushkur Sana blaz kwa kunfundisha somo Leo ntatafta wateja wapya
thank you so much to teach us every day if to do work, ibelive yourself we go to succesfull....God belless you ... see you at the top#
Kuhama mji n kuongeza vtu vnavyoendana.. Bst fr me
Asante Mr Joel nayafanyia kazi hayo mawazo... See you at the top
Yes, ni kweli moja ya point muhimu uliyozungumza ni kuhusu matangazo na discount, nakukubali mkuu
Asante kwa kufungua mind set yangu .natamani kukuza biashara yangu ya duka genge.
Jazaaaq LLAH kheir..
Thanks brother my regards ALLAH BLESSING you..and towerds efforts for all you wish in your life
asante sana maana hadi kichwa kili stuck umenipa wazo
SoMo zuri me ni mmoja wapo ninaetaka kufunga biashara
Nashkuru nimekutana na mtu sahihi. Asante sana
ahsante brother binafsi nimejifunza mengi kupitiaa ww accha niyafanyia kazi kisha penye tatizo nikujulisha kwa msaada zaidi
Very helpful presentation. God bless you
Asante sana kwa somo zuri
Asante sana Kaka. Umenipa kitu.
Bomba sana Mkuu
Mm naomba ushauri kutoka kwako
Daah umeniongezea maarifa, asante kaka. Sikuwahi kugundua kama kuna mambo mazuri huku.
Asante kaka kwa ushauri wako mzuri mungu akubariki kwa kutupa elimu nzuri
Joel great point lakini nataka unisaidie nimekuwa na maono ya kufungua saloon ya kiume na Hadi nimenunua vifaa lakini kutokana na mazingira nayo ishi vyumba vimekuwa gharama Zaid nisiyo iweza na Kwa nje na mazingira yangu imekuwa ngumu kufatilia sababu ya majukumu na kuogopa namna ya usimamiaji sasa nataka kujua nifanye nini biashara yangu ianze kufanya kazi
Shukran b blessed
Naongezea mbinu nyingine hapo. Kutoa elimu namna bidhaa au huduma unayoitoa itakavyowasaidia unaowahudumi. Wengne wanaweza wakaelewa huduma/bidhaa ila wasitambue msaada inayowapatia. Wanunuzi wengi huangalia pesa wanasahau umuhimu wake. Asante!!
Karibu morogoro bro. Nikuandalie semina ya vijana
Hi hilda
Asante kwa darasa
Daaaa safi sana
Mimi bd sema naitaji kuwa mfanya biashala hapo baadae enderea kutuelimisha kaka mungu hawe pamoja nawe🙏🙏🙏
Your lesson it's nice I have learnt something ...Thanksgiving 🙏🙏💯
Ahsante Sana broo Mungu azidi kuku uongoza vyema zaidi kiongozi
Thank you brother
Mungu akubariki sana
Unazidi kutufundisha sana kaka yake
Asante sana schoolmate, unrelated and related business na kufanya promotion ktk biashara yako
Shukurani sana mwalim
I really enjoyed it brother,. that's lit!,,you rock,.!.,
Blessing for u brother
Asantee kwa somo zurii kaka i real appreciate you
Noted brother
Asante kwa mafunzo,lakini nina swali niko na salon nataka kugawanya pande moja iwe duka,inawezekana ama haziko related.
Good brother..real appreciate. God bless you
Somo zur Sana mwalimu
Nimekuelewa Kaka nimeferi muda mrefu Sana kwenye biashara yangu
From Burundi nakufuatilia saaana haswa katika mtandao wa Facebook daaaah ubarikiwe kwa saaaaana tuu
Waaoh!! Thanks so much nimekuelewa bro🙏🙏mm ndio kwañza nimeanza ka biashar kangu ya urembo lyke cheni,hereni, blacelet na vinginevyooo so naomba ushaurii zaidi nifanyeje ili nikuze zaidii ya hapo.
Asante sana nimejifunza kitu
Nimeipenda
Kaka njoo na somo LA uwekezaji katika njia mbal mbal tunakuomba
Joel ,, binafsi kupitia post zako nibayaona mapungufu yangu mengi ambayo ninaamini yamenifanya niwe haoa nilipo natamani kufanya uoya kadri niwezavyo . Asante
Mm lengo langu ni kukuza biashara yang iwe kubwa kwa kias chake ila kila nikifanya naona bd sjafikia lengo maana mahitaji yanakuwa mengi nifanye nn ili kutatua tatz hili
Binafis najifunza zaidi kwako kaka ww kweli nimfano wa kuigwa
Vip bei ya utengenezaji naomba kujua
Ubalikiwe kak
Nakukubali Cana Mr Nanauka
Nataka nianze na step 1 up step 4.
Nauza viungo sokoni mali mbichi vitu vinahalibika natamani nifanye biashala nyingine ila mtaji mdogo
God bless you....!!
Bado nakufata, nakutazama, najifunza, na-like na pia ninatafiti-sisi watazamaji hasa tunaokomenti na wewe vile vile.
Kuna watu walikuwa wanakomenti hapa ili kutafuta followers kwenye account zao za TH-cam, hilo nimegundua, ushahidi upo katika somo moja wakati unamalizia mwishoni ulisema pongezi, shukurani zakweli/kinafki na hata tabasamu(sija-quote kama ilivyo) ulisema inajulikana apewapo mtu, wakajua umewashtukia mara watu wale wakasepa, sijaona tena komenti zao. Tuliopo thabiti kama kawaida unatuona.
Mungu akuinue zaidi kaka. Ninabarikiwa na mafunzo yako.
Nmekuelewa sana, inayonifaa kwa sasa ni market penetration
Asante kaka yang mungu akubariki sana
Naomba Musada wakibiashar
Mim lengo Ni kufanya biashara vizuri Ila najikutaa napoteza mtaji kutokana na mahitaj kuwa mengii na biashara kuwa ndogo nifanyaje
Shukraan brother kwa somo makini sana ubarikiwe 🙏🙏
asante kwa chakula cha ubongo..
Asante sana kaka
Nimejifunza
My mentor
Asanteh sana brother
Kwakweli izo njia ni nuli sana
Thank you nataman ungekuwa dodoma
Bado narudia hili somo
Merci bouquet..+250
Umenifungua kwa kiasi kikubwa
njema sana
NJIA GANI NA WEZA KUANZISHA BIASHARA
Najaribu kukuza lakini inaniwia vingimu
Nimejifunza mengi
Mm sina mtaji bt naitaji nifanye biashara ya kuuza nguo za mtumba
Najifunza mengi kutoka kwako kaka
Nataka kukuza biashara yangu ya duka ni duka la vitu vidogo vidogo vya matumizi ya nyumbn