JIFUNZE KUKAA KIMYA - PASTOR SUNBELLA KYANDO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 14 ต.ค. 2021
  • Pamoja na nguvu ya Mungu iliyokua juu ya Mariamu mpaka kuumba kitu ndani, Mariamu alijifunza kufunga mdomo.Kitu cha muhimu na cha kuzingatia, jifunze kufunga mdomo. Sio kila anayekupongeza kwa mazuri yako, anakufurahia kutoka moyoni.Mariamu hakumueleza kila mtu kuhusu kitu alichokibeba, kulikua na mtu sahihi aliyeandaliwa ku-share naye jambo lake. Elizabeth aliandaliwa kwa ajili ya Mariamu.
    Ukiona unatumia nguvu kubwa kumshawishi mtu aamini kuhusu maono yako, ujue hajaandaliwa kwa ajili yako. #PastorSunbella#Jifunze#KukaaKimya

ความคิดเห็น • 403

  • @irenenyauhele2122
    @irenenyauhele2122 2 ปีที่แล้ว +35

    Mungu nisaidie kuanzia leo ninyamaze kwa jina lá yesu

  • @carolinamponji4294
    @carolinamponji4294 2 ปีที่แล้ว +5

    Mungu nipe neema ya kunyamaza ni tatizo langu kubwa nawashwa San mungu wa madhabau hii nifundishe kunyamaza

  • @teresiaakinyi3282
    @teresiaakinyi3282 2 ปีที่แล้ว +15

    From experience nimejifunza kunyamaza kwa yote, nimepitia usaliti mwingi maishani but nashukuru Mungu cz it made me Wiser, my life and secrets are safe with God! Asante kwa kunikumbusha haya

  • @gabriellyadam9415
    @gabriellyadam9415 2 ปีที่แล้ว +20

    Mungu wangu nisaidie nisiongeeeeee kila kitu.

  • @wandedalushi2984
    @wandedalushi2984 2 ปีที่แล้ว +25

    Mungu nisaidie nijifunze kutunza siri

  • @johnvitalis7580
    @johnvitalis7580 2 ปีที่แล้ว +6

    Amina Mtumishi umenisaidia sana naomba uniombee ili nifikie malego yangu

  • @NivessKomba
    @NivessKomba 3 วันที่ผ่านมา

    Bwana YESU nisaidie kukaa Kimya ktk maisha yangu.

  • @maryandason1815
    @maryandason1815 2 ปีที่แล้ว +12

    Amen barikiwa Sana pastor Sanbella 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏. nmejifunza kufunga mdomo wangu..ujumbe n mzur sana

  • @lidyanapegwa8154
    @lidyanapegwa8154 2 ปีที่แล้ว +10

    Nimekuelewa mtumishi wa Bwana, Mungu akubariki sana

  • @anittasamwely8297
    @anittasamwely8297 2 ปีที่แล้ว +24

    Eee mungu🤲 nisaidie kutambua jinsi ya kutunza Siri, nawoto nilio waambia yasiyo stahili, Mungu naomba uni epushie Hatar zote mbaya wanazo niwazia ktk maisha yangu Emen🙏

  • @lindavfwazipachieng6443
    @lindavfwazipachieng6443 2 ปีที่แล้ว +28

    Asking God for wisdom, to know when to talk what to say and to who. This preaching has touched on me

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 2 ปีที่แล้ว +6

    Mariamu alikuwa na akili nzuri ndiyo maana Mungu aka mchagua kuwa mama yake Yesu.Abarikiwe mama mtakatifu

  • @samsonmkumbo4793
    @samsonmkumbo4793 2 ปีที่แล้ว +3

    Nami somo hili ni langu naomba mungu awafunge mdomo wale marafiki zangu wabaya yesu nisaidie🙏

  • @doricasoribo4820
    @doricasoribo4820 2 ปีที่แล้ว +20

    Pastor you are right.....work hard in silence ...,.let success make noise.

  • @edsonsilumbe758
    @edsonsilumbe758 2 ปีที่แล้ว +4

    "An untested friend is just a neighbor",Pastor I am exceedingly blessed by your sermon! May God Bless You!

  • @MAUREENKNIGHT-qs8cx
    @MAUREENKNIGHT-qs8cx 28 วันที่ผ่านมา

    Ameen hallelujah ❤naona kitabu kina hubiriwa🙏

  • @janebeky
    @janebeky 2 ปีที่แล้ว +56

    Kuanzia Leo nitajifunza kukaa kimya ktka maisha yangu god bless you

    • @otrishxavi8350
      @otrishxavi8350 2 ปีที่แล้ว +1

      Ni vizuri sana na mm nakuombea kheri kutoka kwa mwenyezi mungu

    • @innocentmichael7725
      @innocentmichael7725 2 ปีที่แล้ว

      Mungu akubariki mtumishi wa Mungu

    • @marryjohn8716
      @marryjohn8716 2 ปีที่แล้ว +2

      Amen 🙏 mtumishi wamungu,kuanzia leo nitakaa kimyaa 😷

    • @evecristiano
      @evecristiano 2 ปีที่แล้ว

      Hakika nimejifunza pia

    • @jimmybongotz1751
      @jimmybongotz1751 2 ปีที่แล้ว

      Napenda unavyofundisha neno Mungu

  • @alextercisio
    @alextercisio 2 ปีที่แล้ว +2

    Truth pastor ...u get me offside surely ntajifunza kunyamaza ... people are not good at all...

  • @lidyanapegwa8154
    @lidyanapegwa8154 2 ปีที่แล้ว +10

    Amen. Ni kweli mtumishiii Mungu naomba unisaidie kutunza Siri.

  • @raveenagasper8491
    @raveenagasper8491 2 ปีที่แล้ว +3

    I love him😍...baba Kama ananiambiaa Mimi🙏🙏🙏umejua kuniponyaaa

  • @florencemzungu9979
    @florencemzungu9979 2 ปีที่แล้ว +1

    Nifundishe kunyamaza na unipe wepesi palipo na ugumu amen 🙏🙌💖❤👏😊🙏🙌💖

  • @rachelkimambo9804
    @rachelkimambo9804 2 ปีที่แล้ว +2

    Ee Bwana YESU nisaidie niweze kukaa kimya🙏🙏

  • @theckssuperstar.gusiiqueen1994
    @theckssuperstar.gusiiqueen1994 2 ปีที่แล้ว +1

    Eeeeh mungu wangu nifundishe kunyamanza,
    Ni mengi niliyoyaongea Kwa maadui waliojifanya marafiki na yakafeli, nashukuru mungu alinifungua jicho la ndani nikaweza kuona na kutambua
    Amen amen

  • @loyceyahya2622
    @loyceyahya2622 8 หลายเดือนก่อน +1

    Amen Amen Mtumishi wa MUNGU umenifundisha kitu kikubwa... Barikiwa sana

  • @jacintamuinde3426
    @jacintamuinde3426 2 ปีที่แล้ว +1

    Leo umeongea ukweli ni vizuri kunyamaza sio Kila mtu anakutakia mema.Amen.

  • @aloycejoseph22
    @aloycejoseph22 2 ปีที่แล้ว +4

    Hakika unanifundisha sana mtumishi na UBARIKIWE sana uwe VIWANGO na VIWANGO

  • @michaelbwoma2760
    @michaelbwoma2760 2 ปีที่แล้ว +29

    This Pastor can real preach, he follows the steps of apostle Christopher Mwakasege.. can someone share his location please?

    • @vailethmbulule8339
      @vailethmbulule8339 2 ปีที่แล้ว +4

      Sinza mori, opposite na la chaz bar

    • @noelpaul640
      @noelpaul640 2 ปีที่แล้ว +1

      Reality of Christ Ministry (ROC) Lipo sinza Mori karibu na ofisi za Tamwa

    • @noelpaul640
      @noelpaul640 2 ปีที่แล้ว

      Dar es salaam

  • @binmicjackie3148
    @binmicjackie3148 2 ปีที่แล้ว +14

    I agree with you Pastor, silence is the language of the wise too. N poa kunyamaza tu 😊

    • @nafualaanna475
      @nafualaanna475 2 ปีที่แล้ว +1

      Nikweli ni vyema kuwa kimya

  • @adelacasmiry9134
    @adelacasmiry9134 2 ปีที่แล้ว +2

    Mungu nisaidie niweze kutunza siri zangu hadi za familia yng had watu wengine 🙏

  • @evangelisteJordanmirimo-bp3ob
    @evangelisteJordanmirimo-bp3ob 6 หลายเดือนก่อน

    asante baba yangu mungu akupe nguvu zaidi

  • @penninahmuchiri5458
    @penninahmuchiri5458 2 ปีที่แล้ว +1

    AMEN AMEN HALLELUYAH, IT'S TRUE PASTOR, GOD help me to be silent 🤫, may God continue to lift you more and more, teaching 👌👏👏❤❤🙏🙏

  • @lydiakanah4478
    @lydiakanah4478 2 ปีที่แล้ว +14

    This hit me hard oh LORD help me to stay SILENT

  • @mariathomas4850
    @mariathomas4850 2 ปีที่แล้ว +1

    Nimejifunza kitu kikubwa sana katika maisha yangu.......You mean tuwe na upako wa kuficha mambo.Barikiwa sana mtumishi wa Mungu.

  • @didasstanley3769
    @didasstanley3769 2 ปีที่แล้ว +4

    Baba nimepokea ujumbe kwa mikono miwili 🙏🙏ubarikiwe sana

  • @faridapatel7584
    @faridapatel7584 2 ปีที่แล้ว +10

    Kaka mchungaji nakuonmbea mungu akupe nguvu ya kupunguza mwili.kwa afya tunakuhitaji sana mchungaji.

    • @viddamgeneka8881
      @viddamgeneka8881 2 ปีที่แล้ว

      Hahaa! Dunia nzima wote waweza kuwa wembamba? Mungu aliamua watu wawe tofautitofauti.

    • @marykarebeti9410
      @marykarebeti9410 2 ปีที่แล้ว +3

      Yamkini ni unene wa kuzaliwa maana kazi ya Mungu sio rahisi, ina hekaheka sana. Wee unadhani anavyotembea hapo hadi akimaliza kuongea si atakuwa amesafiri Moshi to Arusha!!!

    • @marrykavete-6916
      @marrykavete-6916 ปีที่แล้ว +1

      Huyu mtumishi wa Mungu ana neema ya ajabu ata akiwa jinsi alivyo.

  • @graceoisso3238
    @graceoisso3238 2 ปีที่แล้ว +2

    Ee Mungu wangu nisaidie, mi pia Nina kiherehere. Nanyamaza kuanzia leo.

    • @jacquejapheth8814
      @jacquejapheth8814 2 ปีที่แล้ว

      Chako kidogo mi changu ndio balaaa😂😂Mungu anisaidie

  • @yusuphpaul7406
    @yusuphpaul7406 ปีที่แล้ว

    Sijui nampataje huyu Kamanda nakuelewa sana mtu wa Mungu

  • @user-vm8gj8bs2r
    @user-vm8gj8bs2r 4 หลายเดือนก่อน

    Mungu ni fundishe kunyamanza,

  • @maggiemkawuda5870
    @maggiemkawuda5870 2 ปีที่แล้ว +1

    Eeeh mungu nijalie neema ya kukaa kimya,roho mtakatifu nielekeze kwa right friend

  • @dorothyshiyyo3370
    @dorothyshiyyo3370 ปีที่แล้ว +1

    Somo zuri sana. Mungu azidi kukutia nguvu pastor.

  • @jackrenesanga8728
    @jackrenesanga8728 2 ปีที่แล้ว +1

    Nimepokea 🙏🙏🙏nimejifunza pia nimuhanga pia 😭😭😭😭hasa kwa watu ninao waamini

  • @dorcasmajela6238
    @dorcasmajela6238 2 ปีที่แล้ว +1

    Asante sana iyo nikweli MWENYEZI MUNGU anisaidiye

  • @joycekemani1706
    @joycekemani1706 2 ปีที่แล้ว +3

    Come on pastor I feel blessed HALLELUYA

  • @timothyumeme1521
    @timothyumeme1521 2 ปีที่แล้ว +1

    Thanks alot Pastor ,I have learnt to be quite in my life after the experience i had 4 yrs ago..To date am always at peace and pray to God alot .Am from Kenya and saved ..

  • @dorithmagige7557
    @dorithmagige7557 ปีที่แล้ว

    Asante MUNGU nimejifunza naomba nisimamie uniongoze unikumbushe kila wakati

  • @JacklinaJeremaya-jb3zw
    @JacklinaJeremaya-jb3zw ปีที่แล้ว

    Asante mtumishii nimejifunza kitu

  • @carolinewairimu224
    @carolinewairimu224 2 ปีที่แล้ว +11

    Wonderful sermon

  • @user-mb9np7hp2u
    @user-mb9np7hp2u 8 หลายเดือนก่อน

    Mungu wangu sisaidiye kbs ndo tatizo yangu hiyo ,Niwezeshe Mungu wangu

  • @michaelassam5789
    @michaelassam5789 2 ปีที่แล้ว +6

    Pastor miti mingi, ambaye bwana ametuletea
    Ubarikiwe sana 🙏🏽

  • @user-vm8gj8bs2r
    @user-vm8gj8bs2r 4 หลายเดือนก่อน

    Mungu ni fundishe kunyamanza

  • @veronicamangwela9665
    @veronicamangwela9665 2 ปีที่แล้ว +7

    Ameen 🙏 Baba ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu

  • @user-mi7eo3hz5t
    @user-mi7eo3hz5t 4 หลายเดือนก่อน

    Mungu nipe ukimya😊

  • @listerlujiso6009
    @listerlujiso6009 2 ปีที่แล้ว

    Ahsanteee Yesu Nimejifunza Leo Trh 1/12/2021 Nifundishe Kunyamaza Maana Kwakweli Sikujua Kunyamaza Kunafaida Ila Kwanzia Leo Mungu Nisaidie Nijue Kunyamaza.

  • @blessedtumaini516
    @blessedtumaini516 2 ปีที่แล้ว

    Bwana Yesu Kristo unirehemu kwa kuto kunyamaza nifundishe kunyamaza naomba neema yako initoshe kunyamaza ninapopaswa kunyamaza. Roho Mtakatifu naomba unisaidie mimi kunyamaza.

  • @lookbabes8710
    @lookbabes8710 2 ปีที่แล้ว +4

    God bless you man of God. God help me to keep quiet all the time.

  • @estherkinganga6202
    @estherkinganga6202 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu nifundishe kunyamaza

  • @MaombiPhilimon
    @MaombiPhilimon 27 วันที่ผ่านมา

    Nifundishe kunyamanza yeah wangu

  • @fatiaali1959
    @fatiaali1959 2 ปีที่แล้ว +2

    Mm ni Muslim lkn nimejifunza kitu pastor ubarikiwe sn kwa maneno mazuri na mungu anisaidie kutunza siri inshaallah

    • @shamisahmed4806
      @shamisahmed4806 4 หลายเดือนก่อน

      Hekima ni kitu kilichompotea Muislam,popote akikutapo anatakiwa akichukue!!

  • @LucieKe
    @LucieKe 2 ปีที่แล้ว

    Praise God through Our LORD and Savior Jesus Christ.Personally have gone through such,nikawa na maono ya mtu niliyekuwa karibu naye.Nilimwahadithia akasema mawazo tu hayo...Tena mara ya pili nikamwendea akasema ndoto za kitoto hizo,Mwishoye nikamwarifu ikatendeka waziwazi.Nimejifunza siku sote sio wote walio na macho ya kiroho,Mungu nipe hekima na maarifa niwe kimya kama Mariam,wakati natarajia kuzaa maono yaliyo ndani yangu. Pastor and brethren kwa ujumla Barikiwa...Following from Kenya.We love you so much.Shalom

  • @BG15540
    @BG15540 2 ปีที่แล้ว +24

    Wise people knows how to keep their lives private and being silence

  • @user-ty8nl7zn3n
    @user-ty8nl7zn3n หลายเดือนก่อน

    Mungu akubariki sana

  • @johnsonbagambi1908
    @johnsonbagambi1908 2 ปีที่แล้ว +3

    Asante mtumishi wa mungu

  • @obillaezra6205
    @obillaezra6205 2 ปีที่แล้ว +2

    Good doctrine you have poured into us” Silence is the source of all success”

  • @MusukwaAmos
    @MusukwaAmos 10 หลายเดือนก่อน

    Amen baba am Amos musukwa from Zambia

  • @elly-jacquelinerowland4919
    @elly-jacquelinerowland4919 2 ปีที่แล้ว

    Amen Amen
    Mungu nisaidie nijifunze kukaa kimya

  • @irenemendez7715
    @irenemendez7715 10 หลายเดือนก่อน

    Mungu nisaidie sana niweze kufunga mdomo wangu kwa damu ya YESU 🙏

  • @dalaedaklienyi7733
    @dalaedaklienyi7733 3 หลายเดือนก่อน

    Ee Mungu nipe nguvu ya kukaaaa kimy Kwa Kila jambooo🙏🙏🙏

  • @derrickdowsetmwesige9800
    @derrickdowsetmwesige9800 2 ปีที่แล้ว +1

    God bless you, Pastor

  • @neemapanga4784
    @neemapanga4784 2 ปีที่แล้ว +2

    Amen God is the reedimer at any moment

  • @tumwaminiamenya4265
    @tumwaminiamenya4265 ปีที่แล้ว

    Naamin sijachelewa kuyasikiliza haya maneno Mungu atafanya Amina Mungu nikumbushe kukaa kimyaa

  • @loisekigio7438
    @loisekigio7438 2 ปีที่แล้ว +1

    Mwenyezi Mungu nifunze kukaa kimya

  • @GilgariMinistryTanzania
    @GilgariMinistryTanzania 4 หลายเดือนก่อน

    Nakupenda Sanaa Sanaa pastor

  • @happinessmtani7621
    @happinessmtani7621 2 ปีที่แล้ว +1

    Umeninyoosha akiii mweeh asanteh nimejifunza

  • @pstmoseskamwela6196
    @pstmoseskamwela6196 2 ปีที่แล้ว +5

    Ameen barikiwa sana

  • @esthermliga4875
    @esthermliga4875 ปีที่แล้ว

    Amen amen mtumishi wa Mungu , asante kwa mafundisho mazuri

  • @ernestchilons944
    @ernestchilons944 2 ปีที่แล้ว +8

    Love from Kenya, powerful Sir

  • @christaeletlawe1804
    @christaeletlawe1804 2 ปีที่แล้ว +1

    We Mungu wangu nisaidie kufunza kwako
    Nifundishe kunyamaza

  • @joshuasteven321
    @joshuasteven321 2 ปีที่แล้ว

    Mungu wa mbingun akubaliki sana paster azidishe kalama hiyo zaidi na zaidi ili uzid kuwasaidia mamilion ya watu wenye uhitaji wa kumjua mungu ubalikiwe sana,,

  • @neemamuchuruza8631
    @neemamuchuruza8631 2 ปีที่แล้ว +5

    Amen nabarikiwa

  • @eleanemusic4139
    @eleanemusic4139 2 ปีที่แล้ว +2

    Nimejifunza sana, be blessed pastor.

  • @EverineJaques10
    @EverineJaques10 2 ปีที่แล้ว

    Mungu akulinde Babaangu 🙏 una fanya kazi nzuri sana katika Kristin🙌🏾🙌🏾🤲🏽 mema nakuombeya Baba 🙌🏾🙌🏾🤲🏽🤲🏽

  • @fettyfrans5458
    @fettyfrans5458 2 ปีที่แล้ว

    Amen pastor ubarikiwe sana kweli tunakosea sana ila nimejifunza be blessed pastor

  • @filomenabarongo693
    @filomenabarongo693 2 ปีที่แล้ว +1

    Shukrani kwa somo baba.Mdomo sio mzuri!.

  • @nelithamimwani4516
    @nelithamimwani4516 2 ปีที่แล้ว +1

    Amen MUNGU nisaidie kutunza siri za mambo yangu

  • @elizabethwilliam520
    @elizabethwilliam520 2 ปีที่แล้ว +11

    I normally get alot from your teaching ,may God continue depositing His wisdom a pon your life because of us 🙏🙏

    • @Helen-uh1ww
      @Helen-uh1ww 2 ปีที่แล้ว

      Iapreceit your preaching may God bless you in talent which God has given to you amen

  • @aronkinoti575
    @aronkinoti575 2 ปีที่แล้ว +1

    Thiz very true for I have learn something here be blessed pastor

  • @paulamaya9472
    @paulamaya9472 2 ปีที่แล้ว

    Nimejifunza baba AMEN ubarikiwe.

  • @user-ty8nl7zn3n
    @user-ty8nl7zn3n หลายเดือนก่อน

    Asante mtumishi😊

  • @meetitus5187
    @meetitus5187 2 ปีที่แล้ว +2

    Amen. I got it🙇

  • @mamaleyoko8673
    @mamaleyoko8673 2 ปีที่แล้ว

    Barikiwa mnooo nimepona kwa Jina la Yesu Krito

  • @margaretwambui1421
    @margaretwambui1421 2 ปีที่แล้ว +2

    Wow what a blessing message

  • @lorraineatieno6544
    @lorraineatieno6544 2 ปีที่แล้ว

    It's true..my hus alitangaza kuwa kijana wetu amepata kazi bado kuanza tu. Nilikuwa naulizwa..nayeye kijana anaulizwa kila mahali. Hiyo kazi hakuipata na baba alikoma..

  • @rebecasanke4758
    @rebecasanke4758 10 หลายเดือนก่อน

    Hili ni somo langu 😭eeh MUNGU nisaidie mwana wako niepushe na mabaya yoote🙏🏼🙇

  • @georgegama8379
    @georgegama8379 2 ปีที่แล้ว

    Asante Pastor kwa neno lenye pumzi ya uwepo.
    Kukaa kimya ni tiba na suluhisho jema

  • @emerencianalazaro3339
    @emerencianalazaro3339 11 หลายเดือนก่อน

    Halleluya!! Nilikuwa namsikilizisha mtu mafundisho haya hakupata kitu nilichokipata sababu ya mixer ya language naona haupati uhondo wenyew sababu hajui English, nashauri ikiwezekana Mtumishi wa Mungu muhibiri English na swahili translation totally

  • @djackishara-lj6zd
    @djackishara-lj6zd ปีที่แล้ว

    Amina 🙏

  • @ipyanaedwin2916
    @ipyanaedwin2916 2 ปีที่แล้ว +1

    Ameen pastor

  • @Empressever254
    @Empressever254 2 ปีที่แล้ว

    Amen🙏🙏from today I'll learn to keep silence 🤐🤐🤐Not all that you share out your issues and happy with it🤔🙏🙏Let God's presence be upon me🙏

  • @ndore-mushikaazarias2640
    @ndore-mushikaazarias2640 2 ปีที่แล้ว

    sina la kusema Mchungaji, be blessed, I meet God again today

  • @oliversebastian3808
    @oliversebastian3808 2 ปีที่แล้ว +1

    Amina, kuanzia Leo nitakaa kimnya nimejifunza