I lost track on how many times nimeangalia haya mahubiri, na kila mara ni mapya masikioni mwangu... Mungu azidi kukutunza Pastor Sunbella, You are such a blessing to us
Amen I receive the anointing in Jesus mighty name from Kenya ...God bless you man of God Sunbella....I raise my hand ✋ up to receive that annointing.....
Yan pastor unaongea mambo ambayo ndo yananitokea kwenye maisha yangu...yan kuna muda naumia sana katika mapito nayopitia..kiukweli MUNGU anipumzishe...kuna muda moyo wangu unachoka sana kwa kuumia...naumia sana mpaka kuna muda na mwambia MUNGU naomba unipumzishe..kama kweli wewe ni Baba wa yatima..basi nionekanie yatima wako nimechoka sana..Naomba msaada pia uniombee mtumishi.
Hili somo ni 2yrs now ila Hua sichoki kumsikiliza Huyu mtumishi wa MUNGU, mimi ni Yehu, napita pagumu more than 18yrs now ,nafanya kazi ,nilichobaki nacho ni madeni niliyonayo.sijui natokea mlango upi nipo utumwani wa madeni
Mungu akubariki Mtumishi wa Bwana, kwa mafundishi kama haya ni vizuri sauti ya viombo vinakuwa kwa sauti ya chini sana ao pakae kimya sana, Asante sana na Mungu awabariki kwa usikivu mwema
Hakika Pastor Sunbella ninakufurahia sana. Mungu ajua moyo wangu unavyokufurahia. Wewe ni baraka sana maisha mwangu. Mungu akubariki sana baba
😅 14:57 😮😮😮😅😊😅😮
Haleluya baba Mungu akunze sana sjawai skiliza nikabaki kamanilivyo Mungu ana kutumia kuponya roho yangu sana
This man of God is anointed 🙌🙌hallelujah
Amina Mungu akubariki mimi sio wa Tanzania to nitaenda nje kwa jina la Yesu
Amen adui naachie kiti changu kwa jina la Yesu
Nagiunganisha na madhabahu ya upako wa Mungu ❤🇷🇼🙏🙌
Lazima nikanyage madhabahu hii yenye upako Mungu wangu nisaidie
Asante Mungu kwaajili ya huyu baba uendelee kumlinda na kumtunza ili mapenzi yako kwangu yatimizwe .
Ameen
Neno hili ni kweli Nina farijika kweli kweli. Ni mchungaji Gad kazembe kutoka Drc
Napokea mafuta ya roho mtakatifu juu yangu ktk jina la Yesu kristo aliye hai
I lost track on how many times nimeangalia haya mahubiri, na kila mara ni mapya masikioni mwangu... Mungu azidi kukutunza Pastor Sunbella, You are such a blessing to us
Amen amen it is my time
Asante Mungu kwa ajili ya huyu baba
Asantee baba
Ameen mtumishi unajua kutufunza
Pastor sunbella 🙏🙏🙏your are a blessing to me,ipo siku 😭😭😭nitashuhudia ukuu wa Mungu kupitia haya mafundisho yako 🙏🙏
God bless you all the way from Kenya,am real blessed,
Am blessed with this anointing Hallelujah
Amen I receive the anointing in Jesus mighty name from Kenya ...God bless you man of God Sunbella....I raise my hand ✋ up to receive that annointing.....
Amen Amen Amen Kwa Jina la YESU Kristo wa Nazareth ALIYE Hai Amina
Amen! I receive God's anointing for revival, renewal, breakthrough IJN 🙏
Mungu anakitumia sana kuuganga moyo wangu
Mungu azidi kukupa maisha marefu yenye afya tele, umekuwa baraka sana kwangu
Amina
Amlna
Ubarikiwe sana mtumishi wa mungu napenda sana mafundisho yako mungu kakupa kipawa chatofauti unafundisha naunaeleweka fana
Amen mtumishi barikiwa sana
Mungu akubariki saana sana mtumishi wake Sunbella Kyando uzidi kuifanya kaz yake
Such a great surmon🙏
Am blessed
Wakati nasikiliza hili soma kichwa kiliniuma Sana... Barikiwa pia naomba nafasi ya kukuona nipo na changamoto Mtumishi...
Mungu akubariki sana Mtumishi wa Mungu. Hakika nimebarikiwa sana na hili neno na limenitia nguvu ya kusonga mbele.
Mtumishi Pastor Sunbella naomba msaada wako wa Maombezi n muda mrefu Sasa... Naomba msaada wa Maombezi
Tuma ujumbe kwa namba hii 0658173322
yes lord this is what you have declared thankiu so much paster
Asante sana Bwana abarikiwe nguvu ya roho mtakatifu yupo hapa
I connect in Jesus name.
Ashukuriwe MUNGU kwa Neno lako mtumishi,Napona ROHONI na mwilini
Nakupenda Sana Pastor sunbella Mungu akubaliki sana 🕊️🕊️🕊️
Shalom Mtumishi, Amen Man of God , hili neno ni la kwangu kabisa napokea haya Mafuta katika hii mathabahu kwa Jina kuu la Yesu.
Mungu mbona wewe huwa unashangaza iv,lv u God
Amen nipakwe kwa mafuta kwa jina la Yesu
Amen Mungu naomba uwe upande wangu wamenigandhamiza vya kutosha bwana yesu kupitia somo hili Mungu ikawe ni siku yangu nikakalie kiti changa
Hallelujah hallelujah Mtumishi Mbarikiwaaa
AMEN UMEONGEA NA MIMI KABISAA NASHUKURU MUNGU KWAKUWA NIMEWEZA KUSIKILIZA HILI NENO KUTOKA KWAKO MTUMISHI WA MUNGU
Mungu akubariki mtumishi wa MUNGU mafundisho Mungu anayokupa hakika yamenisaidia
😭😭😭😭💔💔💔Adui wewe imetosha kwa mateso ipo siku Mungu atayafuta haya machozi 🙇♀️🙇♀️🙇♀️🙏🙏
Amen mtumishi wa mungu
Mbona nayaona maisha yangu kabisaaaa
Hallelujah 🙏🙏🙏 barikiwa sana mutumishe wa mungu
Yan pastor unaongea mambo ambayo ndo yananitokea kwenye maisha yangu...yan kuna muda naumia sana katika mapito nayopitia..kiukweli MUNGU anipumzishe...kuna muda moyo wangu unachoka sana kwa kuumia...naumia sana mpaka kuna muda na mwambia MUNGU naomba unipumzishe..kama kweli wewe ni Baba wa yatima..basi nionekanie yatima wako nimechoka sana..Naomba msaada pia uniombee mtumishi.
Amen this word has touched me this is what exactly is happening to me i can't wait for my anointing may God see me through
ubarikiwe sana pasta kwa ujumbe wenye nguvu sana ..nilibarikiwa sana na ujumbe faida za kukaa kimya
Amina Mungu akaniponye kwa Imani nitashinda
Hili somo ni 2yrs now ila Hua sichoki kumsikiliza Huyu mtumishi wa MUNGU, mimi ni Yehu, napita pagumu more than 18yrs now ,nafanya kazi ,nilichobaki nacho ni madeni niliyonayo.sijui natokea mlango upi nipo utumwani wa madeni
Mungu anajibu kwa wakati wake
🙏🙏🙏🙏 hallelujah
Mchungaji mafundisho yako yanibariki sana.....ila Niko na tatizo Moja linansumbua sana ni hofu na woga
Barikiwa Pastor Mungu akutunze kwaajili ya kuvusha maelfu ya watu.
Asante Yesu🙏🙏🙏
ameeeen mtumishi wa MUNGU ALIYEHAI UBARIKIWE
Amen..thank you Jesus for this is the right time for me to get this word
Nabarikiwa mnoo na mahubiri ( mafundish ) mar nyng yana ukwl mtupu ktk maish ye2 ila hatuach kumtegemea na kumuamn Mungu
This was Me Lord 🙏🙏🙏
Thanks again my pastor my God bless you 🙏
I need that anointing in my life,🙏🙏
REMIND ME OF THIS SERIES
Kilichopangwa na mungu nwanadamu hawezi kukizuia🙌🏻
Nimeelewa sana pastor
Nabarikiwa San na mafundisho yako yananikuza iman yangu baba mungu asikupungukie
Mtumishi wa Mungu anaongelea maisha yangu
Amina mtumishi mungu akubariki Sana sijuwi nsemenini nimebarikiwe Sana mimi ninyehu naomba elisha ajenamafuta jamani nimechoka maigodo
Mungu akuinue kwa viwango vingine mtumishi wa Mungu
Barikiwa xana
Be blessed Pastor.
Amina amina
Amina nimekuelewa Mtumishi
asante naitaji kutoka nilipowekwa kwa damu ya yesu
Nimebarikiwa sana mtumishi.Listening from Mbezi beach Dar
Mtumishi ubarikiwe na mafundisho natamani kukutana na wewe by solomoni from mwanza
Amen Baba ubarikiwe
Amina sana nakwekewasana pasta
Man of God this is what I am going through now ..for a long time...what do you think I can do about this,.. advice.
🙌🏼🙌🏼 Anoint me afresh Lord🙏🏼
Amen, pastor ooh I take my massage
I received that oil in Jesus name
May the almighty God bless you pastor for this message
Be blessed pastor
Ameni I receive it is me man of God
Ameen Thank you for your help .me men
Blessed Pastor. u touch me
Amen amen pastor..am receiving the annointing in Jesus name
I receive in Jesus name
Ubarikiweee sanaa Baba
Ubarikiwe saaana baba
Am blessed so much by the word you shared with us,..keep the fire burning.
HILI NI NENO LANGU MIMI BWANA WETU YESU ANAENDA KUNIPONYA NA KUNIFUNGUA NA UZAO WANGU
Vita kubwa maono makubwa ,amen
Mungu akubariki
Brother thnk you xO much
Amen thank you
Imetosha sasa imetosha sasa kwaji la yesu KIRISTO iniachie kwajina la yesu
Mahubiri ni mazuri sana ila mtoe hiyo sauti
Mungu akubariki Mtumishi wa Bwana, kwa mafundishi kama haya ni vizuri sauti ya viombo vinakuwa kwa sauti ya chini sana ao pakae kimya sana, Asante sana na Mungu awabariki kwa usikivu mwema