ZIJUE ISHARA ZA ROHO MTAKATIFU KATIKA NDOTO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 13 ต.ค. 2020
  • MWL MWAKASEGE, SOMO LINALOHUSIANA NA NDOTO

ความคิดเห็น • 519

  • @miriammollel1755
    @miriammollel1755 3 ปีที่แล้ว +28

    Namshukuru sana Mungu kutupatia Mwalimu Mwakasege ambaye Roho wa Mungu yupo ndani take.🙏🙏.

  • @celinayohane7994
    @celinayohane7994 3 ปีที่แล้ว +27

    Damu ya Yesu ikanene mema maishani mwako baba 🙏.

  • @ikanaelmshana8182
    @ikanaelmshana8182 ปีที่แล้ว +9

    Amen Mungu tusaidie tupe Roho wako mtakatifu atuwezeshe kutukumbusha ndoto tunazoziota kwa jina la Yesu
    Kes

  • @servantjosiahtv3129
    @servantjosiahtv3129 3 ปีที่แล้ว +11

    Oooh yes.. Asante sana Roho mtakatifu kwaajiri ya ujumbe huu kupitia Mtumishi wako mwakasege

  • @betinaernest2766
    @betinaernest2766 ปีที่แล้ว +10

    NiliwAhi kuota ndoto Fulani ilikuwa ngumu Sana kuitafsir na hata mpaka leo hii siikumbuki,, baada ya kuiota hiyo ndoto nikaamka usiku huo huo na mda huo huo nikamuomba mwenyezi mungu anipe lugha rahisi niweze kuielew ile ndoto yaani anioteshe ndoto nyingine iliyo rahsi niweze kujua, nilivyolala tu haikupita mda mrefu nikapata mafunuo makubwa yaliyorahisi Sana ambayo hata mtoto mdogo anaweza kujua... Asante mungu

  • @dianasimon7202
    @dianasimon7202 3 ปีที่แล้ว +9

    Asante mtumishi wa MUNGU barikiwa utokapo na uingiapo,MUNGU asikupungukie HEKIMA

  • @Yasintamaiko
    @Yasintamaiko 13 วันที่ผ่านมา +1

    Naomba uniombe nipatekazi nimechoka kufanya kazi zandani sikia maombi yangu BABA na Mungu akubaliki sana tena sana naitwa yasinta maiko🤲🤲😭

  • @jovithaclavery6474
    @jovithaclavery6474 3 ปีที่แล้ว +8

    Amen, ubarikiwe Sana mtumishi ,nami nimeelewa sasa ,kuna ndoto naotaga mno inajirudiarudia Sana ,na huwa nafadhaika Sana kwasababu ni Mara nyingi sasa zinajirudia hizo ndoto🙏🙏🙏

    • @joyjilien5432
      @joyjilien5432 2 ปีที่แล้ว

      Mwambie mtu yeyote haswa mtumishi wa mungu akuombee na baadae muulize tafsiri yake 🙏🙏

  • @emmanuelirunde8715
    @emmanuelirunde8715 3 ปีที่แล้ว +23

    Amen Ubarikiwe Baba, Ninakutakia Baraka Za BWANA Na MUNGU MKUU, Aendelee Kukupa Upako.

    • @kaicy165
      @kaicy165 10 หลายเดือนก่อน

      Amina🙏🏾

  • @susiehollo7434
    @susiehollo7434 ปีที่แล้ว +1

    Ndo leo napata ujumbe huu wakati nikiuhitaji zaidi, hakika wakati wa Bwana ndo wakati sahihi. Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu na Bwana aendelee kukutumia kwa ajili ya Utukufu wake 🙏

  • @Yasintamaiko
    @Yasintamaiko 13 วันที่ผ่านมา

    Mwalimu natamani kukutana nawewe lkn nashindwa me kumfwata kwangu Mungu ndugu wamenitenga sijui nifanye nini na moyo wangu unaniambia nikikutana nawewe bc yote yataisha akuna ndugu anae niitaji kwasababu nimeamua kumfwata Mungu nashindwa kuendelea mbele vita nikubwa sana Baba kwangu maisha yangu yanaangamia naomba nisaidie 🤲🤲🤲🤲🤲🙏🙏🙏🙏🙏😭😭😭😭😭😭😭😭😭kilio changu nikikubwa mno sijui nifanye nini Mungu anipe neema ya kukutananawewe vikwazo nivingi sana pale ninapotamani kukutana nawewe naomba nisaidie mwalimu 🤲🤲🙏

  • @patriciameshacky2158
    @patriciameshacky2158 2 ปีที่แล้ว +4

    Amen amen barikiwa sana baba nimekuanikikufatilia tangia nikiwa mdogo nasoma shule ya msingi hakika ufunuo wako kwangu uwanashuuda sana Baba yangu Mungu hakubariki sana 🙏🙏🙏

  • @PaulineIlolo
    @PaulineIlolo 12 วันที่ผ่านมา +1

    Niliwai kuota ndoto kuhusu baba angu aliekua mgonjwa kesho yake baba angu akafariki nilitamani kuhama dunia💔

  • @marrytesha6779
    @marrytesha6779 3 ปีที่แล้ว +14

    Mungu azidi kukupa nguvu mwalimu tunakupenda😍

    • @italegeleo5624
      @italegeleo5624 3 ปีที่แล้ว

      baba nashukulu kwa chakula charoho

  • @evaristagabriel4960
    @evaristagabriel4960 3 ปีที่แล้ว +4

    Namshukuru Mungu kwa ajili yako mwalimu na mtumishi wa Mungu.

  • @CatheLorry
    @CatheLorry นาทีที่ผ่านมา

    Mungu azidi kukubariki baba

  • @elizabethjakobo279
    @elizabethjakobo279 11 หลายเดือนก่อน +7

    Uyu mtumishi nilikuwa na mskiliza tangu nikiwa mtoto adi Sasa niko mtu mzima Mungu akutuze baba yangu wakirooh 🇰🇪

  • @jacklinemomanyi1651
    @jacklinemomanyi1651 2 ปีที่แล้ว +11

    Thanks to God !!! It has touched my heart and l am blessed too much .God bless the words of your mouth

  • @hellenkintebwe2319
    @hellenkintebwe2319 3 ปีที่แล้ว +4

    Thanks,Man of God. Umenisaidia sana kwa hili. Be blessed.

  • @angelbless7070
    @angelbless7070 3 ปีที่แล้ว +2

    God bless you daily,your my teacher in my life

  • @victoriasuleiman1066
    @victoriasuleiman1066 ปีที่แล้ว +7

    Your Blessed Man of God... I'm Healed.Glory to Almighty God.

  • @asiamtatifikolo6477
    @asiamtatifikolo6477 3 ปีที่แล้ว +10

    Asante Mwakasege Mimi din nyingine lakin, nakuelewa saana/

    • @amedeusmodestikimey9888
      @amedeusmodestikimey9888 3 ปีที่แล้ว

      Mungu anakutambua

    • @aoman5214
      @aoman5214 3 ปีที่แล้ว

      Amen mwenyez Mungu akupe maisha marefu uzidi kujua yaliyo ya Mungu na kuyatenda

    • @aoman5214
      @aoman5214 3 ปีที่แล้ว

      Ubarikiwe Sana dada

  • @marylynliseche773
    @marylynliseche773 ปีที่แล้ว +2

    Amen mtumishi wa mungu Kwa kweli umenibariki sana and be blessed 🙏🙏🙏🙏❤️

  • @nancykigamwamureli9197
    @nancykigamwamureli9197 3 ปีที่แล้ว +14

    Amen Amen glory to God am glad to hear from this channel. Asante kwa kunifungua macho ya ndani na kunifungisha kwajili ya ndoto be blessed too Amen watching from Germany

  • @lucyjeremia1381
    @lucyjeremia1381 3 ปีที่แล้ว +6

    Mungu akupe afya zaid mtumishi wa mungu

  • @elibarikieliatunawapatavzr7872
    @elibarikieliatunawapatavzr7872 3 ปีที่แล้ว +4

    Amen umeniongezea kitu Mungu aendelee kukupa ufunuo zaidi

  • @user-ll5dl5kh1s
    @user-ll5dl5kh1s 2 หลายเดือนก่อน +3

    Asante Yesu Kwa kumtumia mtumishi wako, Mungu azidi kukuinua na kukutia nguvu mno

  • @fatumaluze7724
    @fatumaluze7724 3 ปีที่แล้ว +5

    Mungu akupe umri mrefu Amina somo zuri sana

  • @pendonziku8731
    @pendonziku8731 3 ปีที่แล้ว +4

    Ubarikiwe sana mtishi wa MUNGU umenifumgua kitu nilikuwa sijui

  • @jacquelinemwakatika
    @jacquelinemwakatika 3 ปีที่แล้ว +9

    Natamani kama wewe au zaidi ya wewe,unanibariki sana MUNGU azidi kukunza nakukutumia zaidi

  • @johnmwilolezi3924
    @johnmwilolezi3924 3 ปีที่แล้ว +5

    Bwana yesu asifiwe watu wa mungu, mm nilikuwa naomba juu ya kupata mume. sahihi kwa muda wa siku kadhaa, lakin gafla naskia sauti ikiniambia mume wako anakuja ila hana mbuz wala kondooo ila ana kiu ya upendo mmpokeee. Jaman nisaidien kuhusu hili jambo

  • @samsonnashon9719
    @samsonnashon9719 3 ปีที่แล้ว +3

    hakika somo hili ni jema na MUNGU akubariki sana mwalimu mwakasege I LOVE YOU

    • @sophiampolo3281
      @sophiampolo3281 3 ปีที่แล้ว +1

      Mungu akubariki mwalimu you are the best

  • @YUSUPHIGUNGU
    @YUSUPHIGUNGU 2 หลายเดือนก่อน

    Umebarikiwa sana mtumishi wa mungu. Mungu azidi kukubarki uzidi kutufundisha ile kweli tuipasayo kuenenda

  • @chipetapeter6804
    @chipetapeter6804 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu akupe maisha marefu baba yangu nakupenda Sana naomba niombeee uchumi wangu ukatulie baba

  • @connieconny3584
    @connieconny3584 3 ปีที่แล้ว +17

    Be blessed man of God!! This has really touched my heart....

  • @godlovemwakabuba8960
    @godlovemwakabuba8960 3 ปีที่แล้ว +3

    Mungu wa Mbinguni aendelee kukutia nguvu katika utumishi wako.

  • @gracemsuya895
    @gracemsuya895 3 ปีที่แล้ว +4

    Mungu akubariki na akutunze mwalimu

  • @beatricentyangiri9254
    @beatricentyangiri9254 3 ปีที่แล้ว +9

    Am blessed with ths 🙏🙏

  • @shininisoipano4973
    @shininisoipano4973 3 ปีที่แล้ว +2

    Nabarikiwa Sana Mungu akubariki Sana mtumishi wa Mungu 🙏🙏🙏🙏🙏

  • @clementmusalege2477
    @clementmusalege2477 2 ปีที่แล้ว

    Thank you for good massage to us God bless you forever.

  • @sadickwalker2795
    @sadickwalker2795 3 ปีที่แล้ว +3

    Amen Man of God.

  • @ErnestKayombo
    @ErnestKayombo 9 หลายเดือนก่อน +1

    Mchungaji naitwa Lili nipo njombe naomba uniombee rehema mchungaji tangu mwezi wa Saba nimekuwa nikiota na kuwaza hizo ndoto za kumkufuru mungu wangu nampenda mungu wangu niombee mchungaji

  • @rhodasamwel2485
    @rhodasamwel2485 3 ปีที่แล้ว +9

    Ameen Ameen Yesu akutunze mwl wetu

  • @happyiskaka7318
    @happyiskaka7318 3 ปีที่แล้ว +3

    Mungu akuinue mtumishi Asante nimeijua Siri

  • @clementkigelulye7915
    @clementkigelulye7915 3 ปีที่แล้ว +2

    I'm so happy umeongea mengi yananihusu ukiwa na kupewa Cha utambuzi utawe tafsiri ndoto zako Kuna siku nilipata ndoto ya kufunguliwa anga Mungu azidi kukubariki Mtumishi wetu

  • @rahabnkya8276
    @rahabnkya8276 3 ปีที่แล้ว +15

    NDOTO NI VITA NDANI YA NAFSI.EEEH MUNGU NIZIJUE NA KUTAMBUA NINI MANAKE NA NIFANYE NINI NA NDOTO SUMBUFU ZA ROHO CHAFU ZINIACHE KTK JINA LA YESU.AMINA.

  • @RosePatrick-vh2or
    @RosePatrick-vh2or หลายเดือนก่อน

    Damu ya yesu inanena mwema maishani mwangu Amina mtumishi

  • @lucialeoter934
    @lucialeoter934 2 ปีที่แล้ว +1

    Amina mtumishi BWANA yesu akubaliki.

  • @giselamkwele7745
    @giselamkwele7745 3 ปีที่แล้ว +1

    Asante sana Mchungaji,nahitaji sana huduma yako,Mungu akubariki

  • @happytimpiyian1347
    @happytimpiyian1347 3 ปีที่แล้ว +7

    Mwendelezo maana neno ni tamu sana

  • @joycefuraha264
    @joycefuraha264 3 ปีที่แล้ว +2

    Thank you so much mwalimu.Mungu wa mbinguni akubariki sana na akuongezee ufunuo mkuu kwakusaidia watu wote.aksanti sana papa

  • @richarddavidmk
    @richarddavidmk 3 ปีที่แล้ว +17

    Baba asante kwa hii chanel. Sala ya Bwana ,ilinifungua sana

  • @ndakitv8148
    @ndakitv8148 2 ปีที่แล้ว +6

    To God be the glory..!

  • @albertcharles6174
    @albertcharles6174 3 ปีที่แล้ว +2

    Ameni mtumish wa Mungu napenda hudumazako.

  • @nuhumasika8000
    @nuhumasika8000 ปีที่แล้ว

    Amina mtumishi wa mungu, mungu atusaidie katika ndoto na niwe na kiu ya kukujua wewe zaidi

  • @reymasenya6450
    @reymasenya6450 3 ปีที่แล้ว +2

    Ubalikiwe Sana Mtumishi Wa Mungu

  • @harunimwita7976
    @harunimwita7976 3 ปีที่แล้ว +4

    mungu akubariki sana mzee mwakasege.

  • @tumainimosha644
    @tumainimosha644 ปีที่แล้ว

    Amina Baba, Baraka za Mungu ziwe juu yako!

  • @neemaharnaa4553
    @neemaharnaa4553 ปีที่แล้ว

    God bless you Dad, it touch my heart

  • @mariamukasyupa6817
    @mariamukasyupa6817 3 ปีที่แล้ว +5

    Ubarikiwe Mwalim

  • @hosianapanga9343
    @hosianapanga9343 ปีที่แล้ว

    Nabarikiwa sana na mahubiri yako,be blessed baba.

  • @dativadiocles2714
    @dativadiocles2714 3 ปีที่แล้ว +4

    Tumsifu Yesu Kristo mwalimu nimeota nakufa ila naomba adi nafufuka na nizaidi ya mara moja na kwa mfurulizo nn maana yake nisaidie mwalimu

  • @benjaminngholope3191
    @benjaminngholope3191 3 ปีที่แล้ว

    Mungu akuzidishe nguvu ktk kazi yako ya kutufundisha neno la Mungu

  • @waziriamina1740
    @waziriamina1740 3 ปีที่แล้ว +6

    Bwana yesu asifiwe ,naitwa AMINA HAMADI WAZIRI kutoka mbeya,
    Naomba tafsiri ya ndoto hii niliota ninakula ugali maharage ,ndoto hii niliiota kwa siku tatu mfululizo

    • @richarddavidmk
      @richarddavidmk 3 ปีที่แล้ว +3

      Wakati unaendelea kuitafakari, weka kinga, yaani Achilia damu Ya Yesu,juu Ya ndotohiyo. Na uiharibu kwa Damu Ya Yesu.kwamaana kula ktk ndoto si jambo jema.

    • @cynlym1847
      @cynlym1847 3 ปีที่แล้ว

      Muombe Mungu uvunje hyo ndoto yamkini inamaana ya jela! Mungu akutie nguvu ubarikiwe

    • @toliamgaya4217
      @toliamgaya4217 3 ปีที่แล้ว

      Soma biblia Sana maana yake kula neno la mungu

    • @mohsixtus7048
      @mohsixtus7048 2 ปีที่แล้ว

      Kula ndotoni ni ambatano la urithi wa kichawi

  • @anjelasaid6098
    @anjelasaid6098 3 ปีที่แล้ว +2

    Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu

  • @rebbymichelle6056
    @rebbymichelle6056 3 ปีที่แล้ว +3

    Ubarikiwe sana mtumishi..

  • @stevenkyando151
    @stevenkyando151 3 ปีที่แล้ว +2

    Ubarikiwe sana mwalimu kwa somo zuri

  • @ikanaelmshana8182
    @ikanaelmshana8182 ปีที่แล้ว

    Amen Mungu akubariki mtumishi wake kwa kutulisha kiroho

  • @jacksonbiswalo8360
    @jacksonbiswalo8360 3 ปีที่แล้ว +3

    Ninakukubali sana MTUMISHI wa MUNGU.Mungu akujaalie maisha marefu.

  • @dannymlewa6852
    @dannymlewa6852 3 ปีที่แล้ว +3

    Powerful massage

  • @abcujamaa6151
    @abcujamaa6151 3 ปีที่แล้ว +2

    Ameen MTUMISHI barikiwa sana

  • @venitarugemalila9290
    @venitarugemalila9290 ปีที่แล้ว

    Asante mwalimu kumbe nilifanya bila kuelewa km niko sahihi nitaendelea kufuata hayo mafundisho

  • @mossesjoseph2202
    @mossesjoseph2202 3 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu aliye hai.

  • @brightmollel6698
    @brightmollel6698 3 ปีที่แล้ว +18

    Powerful msg! Praise the Holy- spirit

  • @aloycesilas171
    @aloycesilas171 ปีที่แล้ว

    Asante kwa mafundisho yako mtumishi wa mungu akubariki sana

  • @dorelnbraison348
    @dorelnbraison348 3 ปีที่แล้ว

    Amina mungu akubariki karikibu utuhubirie injiri iringa mtumish wa mungu

  • @palmomfwango45
    @palmomfwango45 ปีที่แล้ว

    Mungu akulinde na akupe hekima zaid asathe kwa neno la kutukumbussha

  • @successsafari5250
    @successsafari5250 2 ปีที่แล้ว

    mwl bwana yesu asifiwe....asante sana kwa somo zuri ila naomba unisaidie maana kuna ndoto naiyota mala kwa mala ila cjui maana yake (naota na paa hewani)

  • @lizzybahati3739
    @lizzybahati3739 2 ปีที่แล้ว

    Amen Nashukuru sana baba Mungu akubarki

  • @elimika01
    @elimika01 3 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe Sana mtumishi.🙌🙌🙌

  • @esterisengela3345
    @esterisengela3345 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu abariki huduma yako maana inatusaidia sana, Amen 🙏

  • @fridahissole122
    @fridahissole122 3 ปีที่แล้ว +1

    Am blessed!!

  • @sadickmajaliwa1296
    @sadickmajaliwa1296 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe mtumishi kwa mafundisho mazuri.

  • @agustinashayo7247
    @agustinashayo7247 3 ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki mtumishi wa mungu kwa neno zuri

  • @tatushemsanga1642
    @tatushemsanga1642 2 ปีที่แล้ว

    Ameeeen ubarikiwe sana mtumishi was mungu kwa mafundisho

  • @emmanuelmakinga-tr3zu
    @emmanuelmakinga-tr3zu ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe sana kwa mafundisho Mazuri Mwalimu

  • @amosmwenda2634
    @amosmwenda2634 ปีที่แล้ว

    Amen mtumishi ubarikiwe Sana🙏🙏

  • @vivianmauya9302
    @vivianmauya9302 3 ปีที่แล้ว +5

    Amen..be bless A man of God

  • @calvinmosha505
    @calvinmosha505 3 ปีที่แล้ว +2

    Thanks father

  • @eliethkwesigabo1990
    @eliethkwesigabo1990 ปีที่แล้ว +2

    Niliota mwanaume niliyekuwa nae ananitoa mimba,,,duh kumbe Mungu alikuwa ananionyesha nikapuuzia na akaitoa kweli😭kwa kuniwekea dawa kwenye chakula

    • @eliethkwesigabo1990
      @eliethkwesigabo1990 ปีที่แล้ว

      Duh nimejifunza kitu,,niliomba kwa kulashia lashia😭,,,Maana kwa siku moja niliota ndoto mbili tofauti ambazo zilikuja kuwa kweli!

  • @bethmbwilo3092
    @bethmbwilo3092 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe Sana Mtu mishi wa Bwana Yesu

  • @renaldatemu538
    @renaldatemu538 ปีที่แล้ว

    Ahsante Kwa mafunuo haya mwl.
    Mungu àkutunze.

  • @nissiabalthasar8196
    @nissiabalthasar8196 3 ปีที่แล้ว +1

    God be with you father..

  • @dayemukalai3427
    @dayemukalai3427 ปีที่แล้ว

    Ameeen umbarikiwe🙏🙏🙏🙏

  • @zennahissah6068
    @zennahissah6068 3 ปีที่แล้ว +1

    Asante baba kwa kuniponya na kunifundisha

  • @miriamopiyo4825
    @miriamopiyo4825 3 ปีที่แล้ว +2

    Wachungaji wa mungu bwanayesu asifiwe.. Naitwa miriam ..Naomba mnisaidie nimekwa nikiota ndoto kuhusu mtoto wangu mara kwa mara .. Naota mtoto wangu amefura uvimbe mkubwa sehemu zake za siri tena naota analia kwa uchungu sana kuenda niangalie nikaona mtu ametoka hapo huyu mtu nikama amemba mtoto wangu tena naota mama yangu amemwinua mtoto wangu juu akamwangusha na tumbo macho ya mtoto ikatoa damu na mdomo nikalia kwa uchungu zaidi...sasa hi si ndoto mtoto wangu akiwa amelala ana tafuna sana meno nisaidieni tafathali ...

    • @aoman5214
      @aoman5214 3 ปีที่แล้ว

      Hmmmm pole Sana mpenz ukiona hivyo basi jua kuna nguvu flani inayowez kumjarb mtoto wako hivyo umepewa maono ili uweze kusimama na kumwombea mwanao na pia unapopat ndoto km hizi ni muhimu Sana kusali na kukemea nguvu za magonjwa au za Giza maan unaweza kuot kumbe si mwanao akawa ni mtoto wa mwingine kupitia maombi yako yakamponya

    • @evdanifordyphilipo7017
      @evdanifordyphilipo7017 2 ปีที่แล้ว

      Mmh

  • @edinakamendu3316
    @edinakamendu3316 3 ปีที่แล้ว +3

    Ubarikiwe mtumishi

  • @albertnestorylukoo9716
    @albertnestorylukoo9716 3 ปีที่แล้ว +3

    We hakika ni mtumishi wa Mungu. Mungu azidi kukupatia nguvu

  • @grace.mtibwapigahaosimbayo4586
    @grace.mtibwapigahaosimbayo4586 3 ปีที่แล้ว +1

    Ameen,ubarikiwe sana.

  • @erishaerisha7989
    @erishaerisha7989 2 ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki mtumishi mpaka natamani ningekusimulia ndoto ambayo hua hujirudiaridia ukanifasilia