Semina ya Neno la Mungu | Part 3 | Pastor Tony Kapola | 12nd Nov 2020
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 3 ต.ค. 2024
- Life Chapel International Church, Morogoro, Tanzania.
Preaching the Word of Life through Our Man Of God Pastor Tony Kapola.
Unaweza kunifutalia kwenye mitandao yangu mingine kwa kubonyeza links hapa chini:-
Facebook: / pastortonykapola
Instagram: / pastortonykapola
Subscribe My TH-cam: / @pastortonykapola
Kwa mawasiliano zaidi: +255 659 085 731 au +255 713 702 187
NAMBA YA SADAKA : +255 762 153 539 (NEEMA MASENGA)
Bwana YESU Asifiwe ahsante mtumishi Kwa somo hili hakika ni la kwangu kabisa kusamehe au kutoomba msamaha ni utumwa ni kweli mtumishi nimetuma sadaka yangu Ili nijazwe nguvu za roho mtakatifu niombe msamaha niwe na amani moyo wangu unaumia sana MUNGU anisaidie Amen
Ubarikiwe mtumishi wa MUNGU now Nina amani nimesamehewa na kusamehe ninajiona na Amani kabisa ahsante Kwa somo hili mtumishi hakika umenisaidia na kupona 🙏🙏
Nimebarikiwa sana pst.
Ee Mwenyezi Mungu ulinipa msaidizi kwenye maisha yangu ambae ni Roho Mtakatifu, nami naomba Roho.wako mtakatifu akanisaidie kusamehe niliumia kwa vitu nilivyofanyiwa lakini baada ya somo hili hili nmejifunza kuwa natakiwa kusamehe.
Naachilia uchungu wote uliokuwa moyoni mwangu baada ya kuumizwa na ninasamehe wote niliowakosea kwa msaada wa Roho wako Mtakatifu. Na katika wale niliowakosea naomba ukaachilie amani ndani ya mioyo yao ukawagange na ukawawezeshe kuachilia msamaha ndani ya o
Watching From Kenya.kiukweli mimi nilikuwa napitia mambo mengi nikafikia hatua ya kukataa tamaa ya kimaisha ila kupitia mafundisho yako mazuri,nimepata nguvu mpya
Mungu nisaidie roho mtakatifu aniwezeshe kusamehe na kiwachilia wote walio nikwaza,nkapate kuishi kulingana na mapenzi yako
Amen
Ameen
Ee Mungu nimewasamehe wote walionikosea naomba Mungu unisamehe na mimi niliyokukosea amina
Amen Nabarikiwaa sana,,,, MWENYEZI MUNGU AKUPE LOLOTE JEMAAA mbele zake
I forgive myself
I forgive my siblings
I forgive my parents
I forgive my friends and others heavily father forgive us🙏🙏🙏
Ee Mwenyezi Mungu ulinipa msaidizi kwenye maisha yangu ambae ni Roho Mtakatifu, nami naomba Roho.wako mtakatifu akanisaidie kusamehe niliumia kwa vitu nilivyofanyiwa lakini baada ya somo hili hili nmejifunza kuwa natakiwa kusamehe.
Naachilia uchungu wote uliokuwa moyoni mwangu baada ya kuumizwa na ninasamehe wote niliowakosea kwa msaada wa Roho wako Mtakatifu. Na katika wale niliowakosea naomba ukaachilie amani ndani ya mioyo yao ukawagange na ukawawezeshe kuachilia msamaha ndani ya o
kwa jina la yesu,naachilia msamaha kwa wote niliowakosea kwa namna yoyote,na kama kuna mtu nilimkosea kwa kujua au kutokujua Mungu awaponye na awame aman tena
Am blessed from Kenya.Healing word
Asante mtumish wa mungu .....
Nimepona. Mungu nipe roho wako niweze kusamehe ili nawe unisamehe.
Thank you man of God may God continue blessing you as you bless us with His word.....all the way from Kenya Shalom.......
Asante Sana nmebalikiwa kwa neno la leo
Mungu akuzidishie maarifA
Asante Mungu kwa ujumbe muhimu. Barikiwa Sana mtumishi wa Mungu.
Asante mtumishi Leo nimefunguliwa
Roho mtakatifu nipe nguvu na unijaze roho ya msamaha ndani yangu
May i be able to forgive with the help of His holy spirit
Ubarikiwe na MUNGU. Amina 🙏
Hata Nami mutumishi nimemusameh mume wangu kwamakosa aliyo nifanyiya ikasaba bisha natoko iche yandoa Nami pia naomba mungu anisameh
Napokea tiba ya milele,,,ya kusamehe kwa jina la YESU KRISTO
Amen mtumishi wa Mungu
Asante yesu
Amina pastor
Amen 🙏🏽
Dah nimepon san
.......our God can forgive 💪
HALELUYAAAAAA
asante YESU nimepona
Mungu nisamehe mm kil nikigombana na mme wang huw natamka kuachana na yeye nisamehe siwezi kumpoteza mwanaume mema kweny maisha yangu ni hasira tu 😢😢😢😢
Nimewasamehe wote walionikosea kwa Jina la Yesu
Amen
Child trauma znanitesa ila ntasamehe wote walionikosea nikiwa mdogo 😭😭😭
Amen 🙏
Amen
🙏AMEN
Amen mtumishi wa mungu nimebarikiwa
🙏🙏
Father i forgive my siblings.
I forgive my parents,i forgive sister in laws.
I forgive my former boss
I forgive myself in Jesus mighty name.
God help me.
Bwana Asifiwe sana naomba MUNGU niweze kuomba msamaha Ili nisamehewe na familia yangu 🙏🙏🙏moyo wangu umekuwa mzito sana ila kama MUNGU alisamehe na Mimi naamini nitasamehewa
Watching from Qatar Doha 🇶🇦🇶🇦🇶🇦 Shalom Shalom 🙏
Watch from Kenya I have been going through a very difficulty time ya kusengenywa,na haya yote yalitoka kanisani ninakohudumu ,,,,,ohhh my God had no forgiveness in me bt from now hence forth I have forgive them all who participated....may the holly spirit help me in Jesus name
Ninapokea nguvu ya kusamehe kwa jina la YESU Kristo Amen
All the glory be God, hallelujah🙌🏾🙌🏾
Amen
Nabarikiwa sana na mahubiri ya mtumishi
Hallelujah katika nguvu ya mungu pekee na kwauweza wake yeye nimesamehe wote walio nikosea na kunitendea mabaya mungu awabaliki na awape amani katik yeye aamen
Kufuatana na somo hili Nina swali linalo omba msaada katika MAISHA yangu,je nimeona mke wangu alafu akaamua kutoroshwa na bwana mwengine ndani yanyumba yangu baada ya siku kazaha nami nikahamua kuona Muke mwengine nakuanzisha familia nyine naye muda wasiku yule wakwanza akashundwa kule Aikoenda nakurudi ili ni msamee nakumrejesha nihishi nae nifanyeje,ni msamehe bila kuishi nae au vp ?
Ninawasamehe wote walio nikosea ninao wakumbuka na nisio wakumbuka ila moyoni niliwafunga katika Jina la Yesu Amen
Watching from Saudi, thank you for empowering me .....nmekumbuka jinsi mamangu mzazi na dada wangu walivyo nisaliti it was hard times but I managed to forgive without their acknowledgement☺️☺️
Same experience but working on it.
Me too am in Riyadh
Hata mimi My Mother alinipitishia mengi hii dunia,,,nilipata mtoto bahati mbaya 2010 bt my mother hakuni samehe alinitesa kama Mtoto wakambo,,,,nliishi nkilia machozi since 2010 hadi 2016,,,,,na pia aka nilaani nitatumiwa na wanaume wakiniacha kwa kweli hii dunia kila mwanaume alikuwa akinitimia ananiwacha bila sababu,,,,,hadi nkaamua nitokr kenya nikuje uku Lebanon,;,,,,,,,La kwa kweli Mama aliwacha kidonda kikubwa kwa Moyo wangu najaribu nisahau bt wakati nakumbuka uwa nalia sana😭😭😭😭😭😭
@@hdhdhdhdhdh3264 pole Sana mpendwa mungu akusaidie uachilie kama unavyosamehewa na mungu ukikosea
@@hdhdhdhdhdh3264 pole sana mpendwa Mungu akuponye nakuombea uweze kupona na kusahau usisahau kujitenga na hyo laana mwaka huu ukawe watofaut kwako ktk Kila idara comments yko imeniumiza coz nliwai kupitia the same thing through my mom ila nlisamehe 😭😭😭tusamehe dear neena ya Mungu ipo juu yetu our future is so bright
I noticed you Man of God at the right time your sermons/teachings speak to me directly.Thank you be blessed pastor.
Ameen mungu naomba unipe rohowako ili niwe mwepisi wa musamehe maana Nina roho ngumu ya kusamehe eemungu unisaidie
watched from UAE, it was so timely thank you Holy Spirit. I cried as i was releasing people from my heart.
Ameen Asante kwa neno nimebarikiwa
Vinauma kwa kweli mungu aingilie kati
I watch this when I needed the most,it was had for me but now I find peace and the way to forgive and forget
How did you forgive & forget????for me to forget it's had for me
🙏🙏🙏barikiwa mtumishi
Mtumishi MUNGU akubariki sana nenolimenijenga sana.
So powerful,God bless you man of God
Power powerful
Nami nimemsamehe mke wako kupitia roho wa Mungu
Hallelujah , Iam blessed by the word of God .
Amen. Roho mtakatifu msaidizi wangu nisaidie mahali hapa.
Can I ask? Nkimsamehe kosa lake namwambia nmekusamehe????
Wow! Just wow! Sir, you're a treasure in clay pot!!
Amen Amen Amen Amen I receive the power of forgiveness to all people who doing wrong to me and who doing wrong to me .ooh holy spirit come to me and give me the power of forgiveness to my family,children and marriage in Jesus might Name Amen .
Mungu akupe maisha marefu🙏🙏🙏
Amen.Barikiwa sana Mchungaji 🙏
Aminaàaa❤❤❤
Eeeh mungu wangu nifundishe kusamehe 😭🧎♀️🙏, watu hunikwaza sana na inakuwa ngumu kuwasamehe
Eeh mwenyenzi mungu nisaidie moyo wa kuwasamehe wote walio nihudu. Nina moyo mzito sana wa kusamehe mtu naweza sema to nimekusamehe lakini deep down bado inaniuma
Mungu nifundishe kusamehe🙏
Aminaa Sana Mtumishi
Since i started watching and following the sermons I'm growing spiritual i feel that the spirit of God in my soul 🙏 you are such a blessing to me ...Mungu aizindishe neema mtumishi wa Mungu 💚
Asante sana kwa neno hili limenitia nguvu kweli neno hili limenilenga mm kabisa
Mathew6:10-14
Mungu atukuzwe milele. Pastor Asante kwa mahubiri ya msamaha. Mungu akubariki.
Mtumishi nimekuskiliza kwa umakin nimegundua vingi binadam tunaish kwa unafki sana mungu aturehem
Hallelujah nimebarikiwa na u jumbe wa msamaha ingawa nimeusikiliza siku nyingine.
PT ahsante san
So powerful sermon ,nimejifunza mengi sana,barikiwa sana mtumishi wa Mungu
Hallelujah nimebarikiwa na u jumbe wa msamaha ingawa nimeusikiliza siku nyingine.
Aiseee nimepata kitu kipya....Mungu Asante Kwa kunipa akili ya kujua❤
Sarafina mndeme namsamehe kwalilaki2 alichonifanyia kwenye maisha yang
I nawasamehe wote walionikesea kwa jina la yesu kristo na Mungu awabaliki
Pastor Mungu akubariki umemitoa mahali
Ahsante Mungu nimepona mahali 🙏🙏
Pia na samehe ote walio nikosea kwanamna tofauti tofauti ikiwa na mbele za mungu
Mungu nime neema yakusamehe...thank you pastor 🙏🏻
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu mafundisho yako yananibariki
From tictok to here....from Kenya.much love
This is true without Jesus u can't..,.
Am healed thank you Man of God 🙏🏾
My favorite pastor all the time all the would ❤
Nimejifunza kitukikubwa balikiwasana
Kutokana ma mahubiri yako mtumishi nabarikiwa sana kwa kweli
Mtumish wamungu nasameh wario niandam wote
🙏🏼🙏🏼
its hard to swallow but it heal
Asante baba wa kiroho nakukubar kira sana
Amen nimewasamehe wadeni wangu walio wakosea
Asante Kwa neno zuri
Great follower from Kenya man of God we are grateful for you.