Sababu Ya Baadhi Ya Watu Wenye Akili Kushindwa Kufanikiwa - Joel Nanauka

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 มี.ค. 2024
  • Hii ndio sababu ya kwanini baadhi ya watu wenye akili wanashindwa kufanikiwa kwenye maisha - Joel Nanauka

ความคิดเห็น • 33

  • @victoriasarwat4736
    @victoriasarwat4736 28 วันที่ผ่านมา

    Ahsante kaka ubarikiwe kwa mafunzo

  • @victorcharlesmwakikoti7764
    @victorcharlesmwakikoti7764 3 หลายเดือนก่อน +2

    Asante mtumishi ,mafundisho yako yamebadilisha maisha yangu sasa na hata milele,Amina

  • @user-ku4xq4nd9v
    @user-ku4xq4nd9v 3 หลายเดือนก่อน +2

    Ubarikiwe sana mtu wa Mungu Usingekuwa wewe kunielimisha nisinge fika nilipo sasa

  • @mr.kaporo2479
    @mr.kaporo2479 3 หลายเดือนก่อน +2

    Bro Joel ndani ya moyowangu nimekuchongea sanamu nakusikiliza na kukuelewa mungu akubaliki sana

  • @bernadetachari7648
    @bernadetachari7648 3 หลายเดือนก่อน +2

    Kwakweli mwalimu njia mbili ninghumu sana kuziendea

  • @ibrahimabdallah7639
    @ibrahimabdallah7639 หลายเดือนก่อน +1

    Asante mwalimu

  • @rachaelmasunga4548
    @rachaelmasunga4548 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hakika barikiwa

  • @Aloycestephanomathew
    @Aloycestephanomathew 3 หลายเดือนก่อน +1

    Saw mkuu🎉

  • @PharesMajinge-dc9vq
    @PharesMajinge-dc9vq หลายเดือนก่อน

    Ni Kweli kaka Mimi napendwa kafanya Sana biashara Lakin ofu inanisumbua Sababu kila ninachokiona naona kinafaa

  • @Aloycestephanomathew
    @Aloycestephanomathew 3 หลายเดือนก่อน +1

    Saw mkuu

  • @divinemalachi
    @divinemalachi 3 หลายเดือนก่อน +1

    fact bro Joel God bless you

  • @FrolaJoram-eg1ng
    @FrolaJoram-eg1ng 3 หลายเดือนก่อน +2

    Asante

  • @EdwardSamson-uf1ee
    @EdwardSamson-uf1ee 3 หลายเดือนก่อน +1

    the power of conscistency💪💪

  • @virgosixthemoon9652
    @virgosixthemoon9652 2 หลายเดือนก่อน

    That's right mr joel i appriciate you

  • @ezemgana6403
    @ezemgana6403 3 หลายเดือนก่อน +1

    Je,Kama nilichokichagua hakilipi

  • @naomitheobald125
    @naomitheobald125 2 หลายเดือนก่อน +1

    Brother joel mungu aliyehai akutendee mema nilisoma kile kitabu cha kuweka aslimia kumi ktk kila unacho kipata ndani ya mwezi nimeenda vairo sana.
    One day nitaleta zawadi ya gari kama sadaka yangu ❤🙏🙏

  • @julianalaly2095
    @julianalaly2095 3 หลายเดือนก่อน +1

    Sawa sawa

  • @user-iv3fd1wp7p
    @user-iv3fd1wp7p 3 หลายเดือนก่อน +3

    Km mm nimechagua kitu ambacho akitoki kichwani

  • @SimonNgweta
    @SimonNgweta หลายเดือนก่อน

    Barikiwà Santa

  • @amourmtungo623
    @amourmtungo623 3 หลายเดือนก่อน

    🤝🤛

  • @LevocatusGaitan
    @LevocatusGaitan 10 วันที่ผ่านมา +1

    Sasa hapo sio wenye akiri wasio na hakir ndyo Wana taman kufanya mambo meng mwisho wanakosa yoote

  • @user-lp8dg4bn6c
    @user-lp8dg4bn6c 3 หลายเดือนก่อน

    Asante sana kaka nimekupata

  • @paschalmasanilo2617
    @paschalmasanilo2617 2 หลายเดือนก่อน

    🎉🎉🎉

  • @EdwardSamson-uf1ee
    @EdwardSamson-uf1ee 3 หลายเดือนก่อน +1

    Hii ni hot sana

  • @dijohbanks4312
    @dijohbanks4312 3 หลายเดือนก่อน +15

    samahan kaka joel naomba nikuulize swali kwa mfano kama mtu ni muajiriwa wa serikali halafu ana interest ya kufanya biashara hapo napo itabidi aache kimoja?

    • @sautikuu212
      @sautikuu212 3 หลายเดือนก่อน +4

      Ndio, aache ajira

    • @mbirionline4916
      @mbirionline4916 3 หลายเดือนก่อน

      😢

    • @agreymbwilo5874
      @agreymbwilo5874 3 หลายเดือนก่อน +6

      Hapana sio lazima.....ila atatakiwa afanye biashara ambayo haichukui muda wake mwingi. Mfano: Anaweza kufanya biashara ya usafirishaji mfano kua na bajaji, daladala, Taxi. Anaweza kuwekeza kwenye biashara ya kilimo cha muda mrefu mf: Miti, matunda kama maparachichi. Anaweza kuwekeza kwenye majengo n.k

    • @dicksamhezmas847
      @dicksamhezmas847 3 หลายเดือนก่อน

      Ajira ya nn tena😂

    • @SagalaBosco
      @SagalaBosco 3 หลายเดือนก่อน

      😅 a. ,