Faida ya Kukaa Kimya - Pastor Sunbella Kyando.
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 16 ต.ค. 2021
- Kuendelea kupata mafundisho mengine zaidi tufuatilie kupitia mitandao yetu ya kijamiii:-
Facebook : / gospeltvshow
Instagram : / chomozanews
TH-cam : th-cam.com/users/ChomozaTV?su...
#ChomozaTv#2021 - บันเทิง
Nimebarikiwa na nimejifunza kitu kikubwqa kwa nenohili hakika Mungu akubariki mtumish
Amina mtumishi nimebarikiwa sana sana na neno lako,
Amina mtumishi. Barikiwa sana kwa neno zuri la kujenga, kukaa kimya kunajenga imani na kuimarika kiroho.
Mungu nisaidie kukaa kimya ilindoto zangu za 2023 zikamilike🙏🏼🙏🏼
Mungu akutangulie hakuna kitu kizuri kama kukaa kimpya
Baba hutatuacha mpaka ukamilifu wa dahari🖐️🖐️🖐️
Uyu baba ananibariki sanaa🙏
Mungu Asante Sana kwa mafundisho MAZURI ya MTUMISHI wa Mungu, mbariki Sana🙏🙏
Mungu naomba unisaidie kukaa kimya,Mungu akubariki xanaa baba yangu wa kiroho hakika mafundisho yako yamekuwa msaaada mkubwa kwangu
After listening to this powerful revelation I have learned something good be blessed
Amina mtumishi wa bwana nimejifunza kitu kikubwa sana
Amen..nasikia raha kufahamu vitu vikubwa
Waooh Amen pastor.
Ujumbe mzuri sana...!!
God has blessed me and he will sustain me from all demon plans,I believe that there is a reason God through this testimony will give me a proper answer towards my silence....
Pasta Asanteni sana kwa ufunuo huu. Umuhimu wa Jambo tunayo inabidi itufunze kufunga Mdomo
Barikiwe saana baba 🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼
Umebarikiwa mtumishi
Mtumishi MJNGU akutunze
Barikiwasana muchungaji
God bless you Mtumishi
Barikiwa sana Mtumishi
Glory to God
Nimejua aina ya watu ambao hawajaandaliwa kwa ajili ya maono yangu
Asante saana Mungu akubali Muchungaji
Hongera kwa kazi nzuri pastor
Amina mtumishi Mungu akubariki sana
Amina mtumishi wa mungu
Bwana Yesu asiwe nina ombi kwa baba mchungaji kama ata niruhusu please help me about this matter please. Ni saidie ninge kuwa TZ ninge kuja ku mtembelea face to face ni weze towa oni langu kwake
Amina.Mtumishi wa Mungu.
Well said Mtumishi wa Mungu
Nimejifunza jambo
Amna
Kweli kabisa marafiki wasaliti
Asante kukaa kimya ni jibu tosha
umehubiri facts tupu Mungu akutunze
Good man of God
Waaau, mtumishi wa Mungu umenibariki sana. Live long man of GOD
Nakupata mchungaji
Be blessed man of God nimebarikiwa mnooo
Dah nimejifunza kitu leo
Amina
Amina kubwaaaaaa
Silence is Gold for sure ,thanks pastor
Asantee mtumishi
Amen Asante Sana pastor Sanbella 🙏🙏🙏🙏🙏
Neno hili limekuja kwangu kwawakati sahihi Sanaa
Amen
Amen nimebarikiwa sana
Amen
Good news.
Amen Pastor 🙏🏾
Tupone kwa jina la yesu!
Ameeen
🙏Hallelujah 🙏
Ameeeeeen🙏🙏🙏
Kweli Mwalimu
Social network hazikuwepo kipindi hicho cha yusuphu pasta
Kwan walikuwa hawana commucation na jinsi ya kutangaza kama unadhan technology imeanza Leo go back to class technology imeanza zamani
🙏🙏🙏
Halleluiaaaaààaaaaàaaaaaaaaaaaaaaaa
Ameeeena mtumshi
Natamani ningekuwa dar,tupate wapi mtu Kama huyu? Niko bukoba kijijini rubya hospitali,nifanyej? Naomba umuombee mtu wa mungu nimejenga nyumba lakini kulala ni shida Kuna ushilikina mwingi,
💯
Haha haa Trust nobody .,, 😂😂
Nimejifunza kitu hpa
Yusufu au Yusuf Acheni Kuharibu Majina Yawatu Mana yusuf Nineno Na Allah
Lkn ci umeshapata ujumbe..
Allah ndo nn🚮🚮
@@selector728 ALLAH ndio muumba aridh na mbingu na kila kitu
"HUYU mtu anatekenywa 😂 Kuna sehemu inamuwasha " 9:48
Usinichekeshe bhana😂😂😂😂
Kweli kabisa
Kabisa
Kanisa liko maeneo gani
Sinza Mori karibu na TAMWA,
Asante sanaa mtumishi
Lnaitwaje
@@suzanamunisi7514inaitwa REALITY OF CHRIST
@@suzanamunisi7514 The Reality of Christ Ministry (ROC)
Amen
Amina
Amen
Amen
Amina
Amina
Amen
Amen
Amen
Amen