Elimu Ya Pesa: Boom La Chuo Lilivyoweza Kununua Kiwanja | SALAMA NA DANIEL KIJO PART 2

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ส.ค. 2022
  • #SalamaNa #SendTip Through MPESA #5578460
    Kwenye maisha kuna watu ambao ukitutana nao tu unaamini wana kitu kizuri ndani yao na bila ya shaka watakua na mafanikio mengi tu huko mbele tuendako, hii ndo hisia ambayo mimi nimekua nayo toka siku ya kwanza naonana na Daniel Kijo. Mwerevu, mcheshi, ana muonekano mzuri na mkarimu, ila kubwa kabisa ana akili, mgunduzi na mtafutaji hasa, toka siku ya kwanza.
    Ukiachana na kwamba pengine ametoka kwenye familia ambayo kipato chake si kibaya na amesoma shule nzuri sana, Daniel hakuwahi kijikweza na kujiona yeye BORA zaidi ya wengine alionao chumba kimoja.
    Nilikutana nae EATV wakati yeye akiwa bado mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam lakini wakati huo huo anafanya kazi ili mambo yake mengine yaende vizuri. Na kazi alikua anaifanya kwelikweli, ikiwa ya kutaarisha yani kwenda kuitafuta habari na kuifanyia uchunguzi na kuhakikisha inarekodiwa vizuri, na kama itahitaji sauti basi ataiwekea na mwisho kabisa yeye ndo atakua mtangazaji wa hiko kipindi wakati watazamaji wanakiona kwa mara ya kwanza.
    Nadhani utashi huo ndo ulimfanya aone unajua nini, mbona mi naweza kufanya mwenyewe hii? Mbona nisitoke tu hapa na kuanzisha kitu changu mwenyewe? Na hilo alilifanya.
    Daniel ananielezea mitihani aliyopitia baada ya kuamini kama anaweza kufanya shughuli za uzalishaji wa vipindi na mauzo mara baada ya kujikusanyia PENSHENI yake, anakumbuka kama wakati huo ulikua ukiacha kufanya kazi, ulikua na uwezo wa kwenda kuchukua NSSF yako na ukajianzishia biashara yako. Daniel anasema alienda akanunua ma camera na vifaa vyengine akiamini kabisa kama maisha ndo yameanza sasa, ila dunia ndo ilimuonyesha kwamba ki ukweli vitu si RAHISI kama ambayo alikua anadhania. Na kwenye kipindi hiki ndo ambacho aliwajua Ndugu zake ni nani na marafiki zake ni nani. Maana Rhumba lilikua si la NCHI hii.
    Daniel ameshawahi kuanzisha na kufanya vipindi mbali mbali vya TV hapa nyumbani na kwenye TV stations tofauti tofauti kwahiyo ashakutana na mabosi na wafanyakazi wa aina tofauti tofauti sana. Na akiwa huko kwenye safari yake hiyo ndo imemjenga awe huyu ambaye tunampenda na kujifunza kutoka kwake sasa.
    Miaka ya hivi karibuni Daniel amekua akiyafanyia kazi mashirika mbalimbali ya habari ya kimataifa hapa nyumbani na hii ni kazi ambayo yeye na MKE wake walipambana nayo sana mpaka ikadondokea kwenye mapaja yao.
    Daniel pia anatuhadithia jinsi ambavyo alikutana na mke wake, mazingira ambayo walikutana na jinsi ambavyo walianza kuongea, mara ya kwanza alivyompeleka kwa wazazi wake na jinsi ambavyo wanaishi kwa misingi ya kujijali wao na afya zao. Daniel anatuambia jinsi ambavyo anapenda anavyokua anaenda shuleni kwa mtoto wake na kuwa yeye ndo Baba cool kuliko wazazi wengine, na hii anaipambania sana kwasababu ni moja ya vitu vinavyompa raha. Daniel anapenda mazoezi, analinda afya ya akili yake na mwili wake na ni mtu ambaye anajifunza sana, tena kila siku.
    Yangu matumaini episode hii yangu na Rafiki yangu itakusaidia hapa na pale kuhusu kujiamini na kujijali ki mwili na ki roho maana mwisho wa siku, hakuna anayekuja kukusaidia kwenye hayo. Mwisho wa siku hayo ni maisha yako na jinsi gani unataka kuyaishi ki ukweli ni juu yako.
    Tafadhali enjoy,
    Love,
    Salama.
    Support us through anchor.fm/yahstonetown/support
    SUBSRIBE TO OUR CHANNEL bit.ly/YahStoneTownSubs
    Listen our Podcast on
    Spotify Link spoti.fi/2Uxr6Cm‬
    ‪ApplePodcast Link apple.co/2Ou1bru‬
    GooglePodcast Link bit.ly/GooglePodcastSalamaNa
    Audiomack Link bit.ly/YahStoneTownAudioMack
    ‪TH-cam Link bit.ly/TH-camSalamaNa
    Soundtrack Yeah by @MarcoChali • Marco Chali Feat One T...
    Follow:
    Twitter: / yahstonetown
    Instagram: / yahstonetown
    Facebook: / yahstonetown
    Channel Administered by Slide Digital
    Instagram: slidedigitaltz
  • บันเทิง

ความคิดเห็น • 83

  • @arafantaalkanaan
    @arafantaalkanaan ปีที่แล้ว +22

    Sister Salama, Apo alie mzungumzia Daniel kijo anaitwa “ Ally Jape “ zanzibar ni one among young content creators.

  • @MRiki03
    @MRiki03 ปีที่แล้ว +9

    Salama huyu Brother amenifanya niumie xana napitia magumu ambayo one day ntaelezea
    God bless this man " Daniel Kijo "

  • @Frankvanmuniko
    @Frankvanmuniko ปีที่แล้ว +14

    Am in Tears 😭😭
    This is Probably the Best interview i ever watched in this Channel...Very Courageous, inspiring and Motivational
    Shout out to Dany Kijo Aseee...umefunguka sana sana,
    I remember watching u na Carol Ndosi back in the Days niseme tu ur my role model from today
    SALUTE 👏

  • @arnoldmbuya1579
    @arnoldmbuya1579 ปีที่แล้ว +6

    The only bad thing about this episode is that it ended.. 😔

  • @andrewmmbaga1665
    @andrewmmbaga1665 ปีที่แล้ว +6

    Dany Kijo is genius🔥🔥🔥

  • @octavianlunyanya9358
    @octavianlunyanya9358 ปีที่แล้ว +7

    One of the very best and even better ever interview Salama. Nimefurahi na kujifunza mengi kiukweli, asante sana na Mungu abariki kazi yako zaidi katika siku na siku...

  • @willynkya
    @willynkya ปีที่แล้ว +3

    Hakika salama na team nzima ya YahStone town mzidi kubarikiwa kwa kazi nzuri mnayofanya. Tunajifunza mengi sana kupitia kipindi hichi

  • @aishakirapo6956
    @aishakirapo6956 ปีที่แล้ว +2

    Interview yangu Bora kabisa,Nimejifunza mengi mnoo Asante kijo na Salama

  • @richardcastromzena5136
    @richardcastromzena5136 ปีที่แล้ว +2

    3:20 🔥 Danga Wana itwa ku hamasisha vijana kufanikiwa I wonder.
    7:20
    19:29 brother kila hatua Looks for help kutoka juu

  • @barakaaliyejuu7606
    @barakaaliyejuu7606 ปีที่แล้ว +5

    Very inspiring....good stuff

  • @arnoldaudax2472
    @arnoldaudax2472 ปีที่แล้ว +4

    What an interview🔥💪🏾

  • @bustani-inn7328
    @bustani-inn7328 ปีที่แล้ว +5

    Keep evolving! Loads of wisdom from both of you. Asante kwa interview ya maana

  • @SAMBACHEFOUNDATION
    @SAMBACHEFOUNDATION 4 หลายเดือนก่อน +1

    Bonge la interview 🔥

  • @samsonsitta6127
    @samsonsitta6127 ปีที่แล้ว +3

    Again this is one of the best editions

  • @johel882
    @johel882 ปีที่แล้ว +6

    SISTER SALAMA, you the best in wat you do, kwanini hupendi kusifiwa lakini??😂 you the best bhna we kila siku unawapa watu maua yao ila ukipewa wewe unayaepuka😂😂.. we love you.

    • @jane.mack_
      @jane.mack_ ปีที่แล้ว

      Yes we do.. eight months later and I rewatch this

    • @SAMBACHEFOUNDATION
      @SAMBACHEFOUNDATION 4 หลายเดือนก่อน

      😆

  • @doriceadrian1993
    @doriceadrian1993 7 หลายเดือนก่อน

    In love with this interview 👏

  • @sophiakassim6784
    @sophiakassim6784 ปีที่แล้ว +1

    Miongoni mwa interview chache nlizo enjoy za Salama hii moja wapo na nimejifunza vingi mnoooo I mean mnoooo

  • @shaabanlamania4763
    @shaabanlamania4763 9 หลายเดือนก่อน

    Best of the best interview

  • @rashidchimwenda
    @rashidchimwenda ปีที่แล้ว

    Huyu Kijo nilikuwa namu admire wakati anatangaza. Good interview iliyogusa mambo mengi ya kujifunza

  • @systematickader7583
    @systematickader7583 ปีที่แล้ว +1

    Ally Jape..... Yupo vizuri sana mashallah

  • @abelzedon7160
    @abelzedon7160 ปีที่แล้ว +1

    Bro upo vizur kichwan hongera sana

  • @johel882
    @johel882 ปีที่แล้ว +3

    very inspiring🔥🙏🏾

  • @julianajoseph1248
    @julianajoseph1248 ปีที่แล้ว +1

    Wow! Such an interview…

  • @freetz6064
    @freetz6064 5 หลายเดือนก่อน

    This wow..

  • @abdallahjuma27
    @abdallahjuma27 ปีที่แล้ว

    Nimemuelewa Sana kaka #Daniel_kijo kanielewesha pia kuji- brand lakini pia na kuangalia mikataba Kwa umakini zaidi.

  • @Lugongam
    @Lugongam ปีที่แล้ว +2

    this one is 💥legendary

  • @Nature_adventure
    @Nature_adventure ปีที่แล้ว

    Hii ni masterclass.

  • @mashigila8577
    @mashigila8577 ปีที่แล้ว

    Very inspiring

  • @raymondmlaki1120
    @raymondmlaki1120 ปีที่แล้ว

    Great session

  • @theophilwisdom2308
    @theophilwisdom2308 ปีที่แล้ว

    Very Fact brother Kijo

  • @ndelezi
    @ndelezi ปีที่แล้ว

    Nimeenjoy sana...

  • @shahiddy2825
    @shahiddy2825 ปีที่แล้ว +1

    Dada hii ni interview bora kabisa

  • @ndojes711
    @ndojes711 ปีที่แล้ว

    I real like the Interview

  • @rasta556
    @rasta556 ปีที่แล้ว

    Sis Salama we honestly enjoy and learning tulikuw tunaomba atleast a part iongezew muda maybe like 45 min a part ili tujifunze zaid

  • @AfiSoul103
    @AfiSoul103 ปีที่แล้ว

    Masha'Allahh 🤗

  • @johnmaina6081
    @johnmaina6081 ปีที่แล้ว +1

    I remember watching brother kijo's show ilikua TV 1 nadhan kilikua kinaitwa BOYS TALK (am not sure) but n kipndi kilichokua kinahusu mahojiano kati ya wanaume and i was in secondary school (A level). Sikuwahi kukikosa aisee. Nmeturahi sana kusikia mazungumzo yake. I'll take the advice of being a family guy na kuwa mbahili (hahaha)

  • @bushiryulaya1843
    @bushiryulaya1843 ปีที่แล้ว

    Nice interview

  • @rabielfadhili994
    @rabielfadhili994 ปีที่แล้ว

    I have learn something

  • @isacksamuel5503
    @isacksamuel5503 ปีที่แล้ว

    God bless you all

  • @the_Og5
    @the_Og5 ปีที่แล้ว +1

    More levels, new devils,,, rapcha daka hiyoooo😀😀😀

  • @frankmushi4846
    @frankmushi4846 ปีที่แล้ว

    Salute broh kijo
    Smart sana.
    Salute pia Sj bonge ya kipindi

    • @dfinalpatrick8555
      @dfinalpatrick8555 ปีที่แล้ว

      Shame on you men 😉😁😁😁salama bana

  • @theodoreconstantine2565
    @theodoreconstantine2565 ปีที่แล้ว +1

    salama anaakili sana

  • @saumusalimuhassan2499
    @saumusalimuhassan2499 ปีที่แล้ว

    Hii interview hatariiii fire 🔥🔥🔥🔥

  • @susancharles1660
    @susancharles1660 ปีที่แล้ว

    Interview nzuri sana👍🏾💯

  • @eveliynejoseph7944
    @eveliynejoseph7944 ปีที่แล้ว

    Wapo wasichana wa hivo,tatizo wanaume amsomek unaweza mvumilia mtu na kungaik na yy siku akipt ela anakupotezea,anatak wanawake wazur unaachwa solemba

  • @frankmushi4846
    @frankmushi4846 ปีที่แล้ว

    Hahahahah nakubali mwamba ajaleta Habari zakuvunga kuhusu kula Safi sana broh umetisha sana mzee wangu 😄 🤣 😂

  • @infortainment2557
    @infortainment2557 ปีที่แล้ว

    The best

  • @TemuTV
    @TemuTV ปีที่แล้ว

    MADINI TELE 🙌🙌

  • @daudhabona8897
    @daudhabona8897 ปีที่แล้ว +1

    Tujifunze kujua nafasi ya mwanamke kwenye mafanikio yetu. Ni jambo muhimu sanaa

  • @directoralvindata
    @directoralvindata ปีที่แล้ว +2

    Kunavitu vyakujifunza hapo

  • @mbwanamtessa8607
    @mbwanamtessa8607 ปีที่แล้ว

    Big brother kijo

  • @shahiddy2825
    @shahiddy2825 ปีที่แล้ว

    Dah! Hii interview kama isiishe!

  • @samsonnangai1286
    @samsonnangai1286 ปีที่แล้ว +2

    Mimi ni yule ninayesubiri kwa khamu sana

  • @ModernFlicks
    @ModernFlicks ปีที่แล้ว +3

    What a session!

  • @saidoahmed5929
    @saidoahmed5929 ปีที่แล้ว

    Why you guys you don’t post all the videos on TH-cam?

  • @jamaalsaleem2926
    @jamaalsaleem2926 ปีที่แล้ว +1

    Kwa kwanzaaaa kucoment

  • @ibrahimahead6133
    @ibrahimahead6133 ปีที่แล้ว

    Mjamaa nimetamani kuchek interviews zako nyingi zaid kijo

  • @tumlakimwaitumule
    @tumlakimwaitumule ปีที่แล้ว +1

    Best interview ever

  • @jabarmalid5393
    @jabarmalid5393 ปีที่แล้ว +1

    Wale waandishi wanaosema "AIKEI" BADALA YA "OK" WAACHE.

    • @nickylyanga2139
      @nickylyanga2139 ปีที่แล้ว

      Wanakera ...kingereza kiiiiiiiiiiing

  • @jumamuhando2504
    @jumamuhando2504 ปีที่แล้ว

    Jamaa ni genius

  • @joycelaizer4600
    @joycelaizer4600 ปีที่แล้ว

    Nimejifunza mengi. Aisee kila mtu na mapito yake

  • @emanuelmziray2541
    @emanuelmziray2541 ปีที่แล้ว

    Bonge la show

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 ปีที่แล้ว

    💃

  • @onlyservice4205
    @onlyservice4205 ปีที่แล้ว

    👊🙏👍

  • @emmamatemu8225
    @emmamatemu8225 ปีที่แล้ว

    Huyu jamaa ni mimi kabisa

  • @samsonnangai1286
    @samsonnangai1286 ปีที่แล้ว +1

    Kwa bahati mbaya imekuja Part 2 Instead of part 1

  • @ahmedaziz7853
    @ahmedaziz7853 ปีที่แล้ว

    Salama tuletee huyu jamaa anaemsema Daniel anaitwa Ali jape

  • @samirabdulla7675
    @samirabdulla7675 ปีที่แล้ว

    Alli jape huyo unawza kumpata hata tiktok

  • @gtunewaves2867
    @gtunewaves2867 ปีที่แล้ว

    DARASA

  • @joesimba
    @joesimba ปีที่แล้ว

    16:08

  • @sundaylema249
    @sundaylema249 ปีที่แล้ว

    I think huyo ni ally yape

  • @samsonnangai1286
    @samsonnangai1286 ปีที่แล้ว +1

    Nimekua wakwanza

  • @hassanhajj6804
    @hassanhajj6804 ปีที่แล้ว

    Ni ALI JAPE salama mtafute huyu dogo

  • @bushiryulaya1843
    @bushiryulaya1843 ปีที่แล้ว

    Nice interview