Ally Kamwe: Manara aliwashawishi Azam TV wanipe ajira, aliongea na wenye mali | First Eleven Part 1
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 5 มิ.ย. 2021
- Karibu kwenye show mpya ya Michezo hapa SnS iitwayo #FirstEleven ikiongozwa na Martin Kiyumbi. Mgeni kwenye episode hii ni Ally Kamwe, mchambuzi wa soka Azam TV
One of my best journalist in football confidence? Intellectual?? and good thinker.
Namba 4 na 5 umewapanga vizuri sana kweli we mchamuzi wa mpira
Ally anajua Alf ana nyota ya kupendwaa
Indeed.... He's a good person with a good heart ✌🏽
@@latriciah01augustino67 absolutely
Huyu Jamaa yuko na Vitu Vingi Kichwani Yan Ana Visions Kubwa Sana Halafu Anajua kujieleza vizuri Ally Kamwe Your the best Aiseee Go on Brother Nimekusikiliza kwa Makini Brother Utafika Mbali sana zaidi ya ulipo Big up sana Allah Azidi Kukupandisha viwango vya juu, Great Brother!
Very intelligent guy.
Ally Kamwe, you're the best bro.
Keep it up.
Daah ,,Ally big up! Ila naahid nami one day ntakuwa hapo mana now nipo safarini nakaribia soon,,af kama tunarelate hv!!!!!!!!!! One day yes!
Huyu jamaa Ana Akili nyingi halafu ana hekima haya Ni matokeo ya malezii..
George ambangile the next one
Next awe George Ambangile please;
Kipindi kikopoa sana ila musiwe wabahili muweke ata juice kwa ajili ya kupoza koo kidogo
😄😄😄😄😄
SnS tudondosheeni George Ambangile aka baba Jojiiii au genius pacha ke na huyu Ali.
Mchambuzi nambari moja Tanzaniaa💥💥💥😀
Finally segment ya sports imeanzaa
Idea Kali Sana hii
Next time goerge ambangile
Apo sawa
Hajji salutiiiii
Ajae awe #GeorgeAmbangile please
Acheni ubahiri wekeni hata na ka juice mtu koo linakauka! Bt idea iko poa sana na kipindi kiko poa sana
Brother uko very good yan kiukwel
Ila wadau naomba sapot yenu kwa kusikiliza nyimbo zangu ziko tayr kweny chanl yangu ya TH-cam kwajina la Frans kalitusi
NICE
Kipindi kizuri sana, Ally amefanikiwa ku-Dictate Dialog, amejua kurelate Jina la kipindi na Anachojadili, bas hapo Studio mspitepite kuna shade imijitokeza hapo..
💥💥🔥
Creativity kwenye jina la kipindi! Mtiririko mzuri!!
Huyu mdogo wangu anachoongea ni Cha kweli kabisaaa Wala akinachenga na watu wengi awajajua samani ya changamoto wawo wameweka chili kwa wake waliowaletea vikwazo mawaze yake ndio yangu kabisaaa wengi wao walioniwekea vikwazo nimekuja kuwasaidia baadae pasipo wao wenyewe kuamini daa Kama kaliweza Hilo Ana tabu kufanikiwa
Sawa
Mimi naishi swizerland ila siku zote huwa namfatilia ally
nipo Germany apa Mr Suleiman
Haji kama haji.
Huyu dogo ana hekma sana....huyu Sasa anafaa kuwa mfano wa vijana!!! Sio akina baba levo
Maelekezo Kutoka Juuuuuu
Safari ya maisha Ni ndefu sana hakuna kukata tamaa
Acha tu.
Kumbe ndio Mana wewe ni chawa wa Maharage Fc
Haji mwenye manara yake
Ally kmb umesoma somangira 😊
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌✌
🤩🤩🤩