NYUMBANI KWA ASKARI ALIYEJICHIMBIA KABURI, AMETUMIA MILIONI 4 "NAANDIKA WOSIA"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ต.ค. 2024
  • Patrick Kimaro maarufu kama sabasita mkazi wa Kijiji cha Mbosho Wilayani Hai Mkoani Kilimanjaro amejichimbia kaburi lake lenye thamani ya shilingi million 4 nakusema amefanya hivyo kwa lengo la kuandaa Mazingira mapema ili kutokusumbua watu baadaye.

ความคิดเห็น • 539

  • @ernestsinje7887
    @ernestsinje7887 2 ปีที่แล้ว +21

    Hongera sana mzee una busara una upendo una amani umenifundisha kitu kizuri cha maisha Duniani tunapita tu

  • @jumakapilima5674
    @jumakapilima5674 2 ปีที่แล้ว +42

    Dunia ni matembezi kwa binadaamu!! Hongera Mzee!!

  • @johnmasanja1762
    @johnmasanja1762 2 ปีที่แล้ว +54

    Mzee Yuko sawa, kufa kupo tu hata ufanye nn, Mzee upo sawa, lakini jeneza usinunuwe kwa ushauri wng, maana sehem ya kulihifazi ni changamoto.

    • @ciarmnyone738
      @ciarmnyone738 2 ปีที่แล้ว +6

      😂😂Analiweka umo umo ndani ya kabur...cku akifariki linatolewaa wanafutaa vumbii TU kidogo

    • @neema_mollel
      @neema_mollel 2 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤣

    • @khadijahali4837
      @khadijahali4837 2 ปีที่แล้ว

      @@ciarmnyone738 afadhali nilijua ataliweka ndani watu wafike waaze kukimbizana

    • @InfinixTechnology
      @InfinixTechnology 2 ปีที่แล้ว

      Mzee.kimaro.uko.sawa.kwani.marafiki.sii.wema.has a.ukifa.bora.ufiwe.hongera.sana.Mr.kaburu.kimati.mbuyuni.moshi

    • @kbclassicbeat
      @kbclassicbeat 2 ปีที่แล้ว

      😂

  • @michaelkapaya5996
    @michaelkapaya5996 2 ปีที่แล้ว +96

    Baba angu alifariki akiwa na miaka 86..kipind anaumwa alihisi ataaga dunia,kuna siku akiwa hospital aliniita akanambia kwa hali aliyonayo hatoweza kupona amechoka kutumia mashine kupumua..akanielekeza kwenye documents zake alificha historia ya maisha yake..aliyoandika kwa mkono wake,alisema ipo kwenye diary moja niende nikaichukue alaf nikae na ndugu zangu panapotakiwa kurekebisha turekebishe(editing) niliona km anaota au kakata tamaa ila kesho yake tu Baba alifariki..R .I.P Baba yangu😭😭

  • @naphtalkingori8811
    @naphtalkingori8811 2 ปีที่แล้ว +6

    Hii inaitwa foward thinking. Nakupongeza mzee mwenzangu kwa ujasiri wako. Ninakuunga mkono. Hata mm nimeshaonyesha mahali pa kuzikwa ingawa sijajenga kaburi. Umenipa wazo. Mungu akulinde na akufikishe kwisho mwema.

    • @princessdiana5350
      @princessdiana5350 2 ปีที่แล้ว

      Hiii ni nzuri sanaaaa,Mama yangu alionyesha sehemu yakuzikwa kila mtu alikuwa anamuonyesha,siku alipumzika ikawa rahisi wala hakuna kuulizana mpaka wajukuu wote walikuwa wanajua atazikwa wapi.

  • @timothmwakakusyu4563
    @timothmwakakusyu4563 2 ปีที่แล้ว +23

    Nakuombea mwili wako usipotee siku ya kufa kwako mzee, maana hilo kaburi litabaki kama box tupu 😊😊😊😊😊😊😊 Mungu akujalie maisha mema babu alovera

    • @naomypaul2761
      @naomypaul2761 2 ปีที่แล้ว +1

      Hakuna ajuae kifo atakachokufa cha ajabu anaweza asiingi kwenye hilo kabur mwil ukaishia hewan MUNGU hakadiliwi

  • @salomemunishi1695
    @salomemunishi1695 2 ปีที่แล้ว +7

    Mzee ana busara sana. Wachache tunamuelewa. Hasa hapo kwenye Wosia mtu akishafariki familia inasumbuliwaga sana, wakati mtu akiwa hai pengine alikuwa hana ukaribu kivile. Big up Dady

  • @nobbylovetv4977
    @nobbylovetv4977 2 ปีที่แล้ว +16

    Bora kajichimbia sehemu yake nzuri kabsa.. Maana walimwengu hawa unapesa kibaoooo unakuja kuzikwa kama mbwa rambirambi zinapigwa juu kwa juu.. Wanabaki kusema kila siku tutajengea kaburi tutajengea..

    • @nishaabdula5015
      @nishaabdula5015 2 ปีที่แล้ว +1

      Kbs yn Tena mtu unakufa unaacha pesa lkn unazikwa porini

  • @azizawaziri1507
    @azizawaziri1507 2 ปีที่แล้ว +10

    Nakukumbuka sana ingawa nilikua mdogo ulikimbizana sana na vijana watukutu mitaa ya Ungalimited BIG UP sana

  • @godfreymwamaso2424
    @godfreymwamaso2424 2 ปีที่แล้ว +11

    Mzee Saba Sita namkumbuka miaka ya 2002 alikuwa tishio pale Arusha majambazi walikuwa wanajisalimisha Hongera mzee kwa maandalizi mema wa Safari yako ya milele

    • @Dantaata
      @Dantaata 2 ปีที่แล้ว

      mimi namkumbuka morogoro huyu jamaa asee 76 ni hatari

  • @lailatysamia9377
    @lailatysamia9377 2 ปีที่แล้ว +3

    Upo vizur sana baba full amani hii ndo halihalisi mtu inatakiwa uwe na kuomba ufe katika hali hii ya iman ya mungu

  • @estermsuya8818
    @estermsuya8818 2 ปีที่แล้ว +10

    Mungu akuongoze sana

  • @juliananaivasha7283
    @juliananaivasha7283 2 ปีที่แล้ว +13

    Kwakweli huyu msee namfahamu sana maranyingi nalimaga na trekita lake na mke wangu anaenda kuchukua mboga nyumbani kwake kiteto

  • @Kindishi
    @Kindishi 2 ปีที่แล้ว +1

    Safi sana sie tulioko nje ya nchi tunaona wenzetu wanaanzalipia mazishi yao mapema mno kwakuwa kuna systems nzuri. Kwahiyo kwa nyumbani kama mtu anawezafanya hivi nisafi sana. Anapunguzia familia vurugu na stress na badala yakuwa stressed kukusanya hela zamazishi wanapata wakati wakuomboleza au kucelebrate maisha yaaliekufa.

  • @gabrielmunamudin1249
    @gabrielmunamudin1249 2 ปีที่แล้ว +6

    Andaa roho yako tubu dhambi na mpokee Yesu awe Bwana na mkozi wa maisha yako ndipo uje uandae kaburi.

    • @sadamissa5687
      @sadamissa5687 2 ปีที่แล้ว

      Ampokee yesu? How issue ni kurejea kwa mola wako na kutubu zambi zako na kumuabudu yy tu, hayo mapokezi vp

  • @onlygame5110
    @onlygame5110 2 ปีที่แล้ว +5

    nimuislam nilianza Kununua sanda yangu 2016 nakwasasa Nina umri 28 nilijiwekea utaratu huo baada ya yakutambua hapa ulimwenguni nipakupita tu 2016 Hadi Sasa nimebadilisha sanda 9 nazote hizo nimezigawa kama zawadi Kwa walionitangulia kabla yangu nakila nikitoa sanda Ile nilio nunua kwamarehemu najichanga Tena nanunua nyingine nikisubiria siku yangu nitakapo tangulia.

    • @allywaziry6419
      @allywaziry6419 2 ปีที่แล้ว

      Mm naogopa sana wallah..

    • @raffeiystar2870
      @raffeiystar2870 2 ปีที่แล้ว

      Mambo hayo umeyatoa kwenye hadithi gani au aya gani maalim?? Sisi waislam kila kitu tunatoa kwenye quran na Sunnah sio vinginevyo wala sio kwenye mawazo yetu. Je hayo unayoyafanya umeyatoa wapi ewe ndugu muislam??
      Unakosea.
      Kipo kisa cha mama mmoja kugundua kuwa umri ni mdogo sana akatamka kuwa kama umri ni mdogo kias tu cha miaka 60 basi yeye atakaa tu kwenye kijumba chake na kumuabudu Allah lakn nabii akamwambia hapana, Hayo ni makosa

  • @zeddybass6672
    @zeddybass6672 2 ปีที่แล้ว +4

    🙌🙌🙌maelezo yako yanajitosheleza uko Sawa kabsa mzee

  • @christinachriss9231
    @christinachriss9231 2 ปีที่แล้ว +1

    Yesuu Babu Lola nakukumbuka Sana Ar Kisha mor tulikua wote,Mungu akuongezee maisha kaka

  • @piusphilip307
    @piusphilip307 2 ปีที่แล้ว +27

    Huu utamaduni Kwa Africa ni mgeni lakini Kwa nchi za ulaya na marekani hii ipo

    • @coazoneone1174
      @coazoneone1174 2 ปีที่แล้ว

      afrika tunamaeneo maalum ya kuzikana sio kuzikana katika makazi yetu sasa kila mtu akiwa na mtazamo huu kujenga kaburi ktk nyumba zao mji utakuwaje? unaachia watu waishi katika nyumba yenye makaburi? unaweza kwenda kupanga ktk nyumba yenye makaburi ndani?

    • @amanibwire4423
      @amanibwire4423 2 ปีที่แล้ว

      @@coazoneone1174 hapo kaburi zinabaki mbili Mama na Baba ili watoto na wajukuu na vijukuu vijuwe vilitokea wapi

    • @winfridamakoyola4213
      @winfridamakoyola4213 2 ปีที่แล้ว

      one wajenge zao😀

  • @wilbardchuwa8772
    @wilbardchuwa8772 2 ปีที่แล้ว +2

    Hongera Mr kimaro hata kaburi la yesu kristo lilikuwa limeandaliwa, imini utaishi miaka mingi

  • @neemaruben5427
    @neemaruben5427 2 ปีที่แล้ว +1

    😭💔💔💔🙆🙆🙆🙆🙆🙆nivizuri kujiandaa tu hesema yko nzuri yakupumzika sehemu nzuri sana

  • @hassanmussa3664
    @hassanmussa3664 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akujaalie uwe musilam kabla y kufa kwako ili uwe mfano mwema ambao uliokua hata hujaufikiria Aamin

  • @salehemaga8733
    @salehemaga8733 2 ปีที่แล้ว +40

    kujenga kabuli sio maandalizi wa mwisho mwema maandalizi nikumcha allah

    • @paullubida8058
      @paullubida8058 2 ปีที่แล้ว +5

      Sikiliza vzr interview yote kabla ya comment yako

    • @estermsuya8818
      @estermsuya8818 2 ปีที่แล้ว +3

      Msikilize vizuri utamuelewa..Ana mjua Mungu wake sivyo unavyowaza wewe. Amesema.anafanya maandalizi ya mwili na roho yake. Mungu akubariki mtumishi wa Mungu

    • @awadhally1052
      @awadhally1052 2 ปีที่แล้ว

      Kwel kabisa

    • @nishaabdula5015
      @nishaabdula5015 2 ปีที่แล้ว +2

      Unajuwaje km ana mcha mungu yn mnajishauwa utasema ww unamcja uyo mungu au a unqtqka ajiwekee bangi km mqmchanmungu

    • @nishaabdula5015
      @nishaabdula5015 2 ปีที่แล้ว

      @@paullubida8058 yn umbea tu umemjqq

  • @benedictmrisho5947
    @benedictmrisho5947 2 ปีที่แล้ว +3

    Hongera kuwaenzi wajukuu Sabasita. Mungu akikujalia miaka 125 litakuwa fasheni imepita. Wewe ni shujaa.

  • @anjelinakasembe845
    @anjelinakasembe845 2 ปีที่แล้ว +2

    Ubarikiwe🙏🙏🙏

  • @basilisamsaka8469
    @basilisamsaka8469 2 ปีที่แล้ว +2

    Jitayarishe kwa kuweka maisha yk na Mungu

  • @goodluckmponji8127
    @goodluckmponji8127 ปีที่แล้ว

    Mungu akubarki sanaa kwa hilo.

  • @anorldmgata496
    @anorldmgata496 2 ปีที่แล้ว +1

    Mzee una imani kubwa sana mungu akulinde,

  • @nelsonmaleo3342
    @nelsonmaleo3342 2 ปีที่แล้ว

    Hongera vipi shabaha uko vizuri kama zamani meku

  • @aminatanzanya7475
    @aminatanzanya7475 2 ปีที่แล้ว +8

    Mungu akupe maisha maref zaid 🙏🙏

  • @stefanokileo1294
    @stefanokileo1294 2 ปีที่แล้ว +1

    Nakukubali mzee wakazi ata mm najifuza kuto kuwapa watu majukumu

  • @nyabahailani3169
    @nyabahailani3169 2 ปีที่แล้ว +6

    🙏🙏 mtu mzuri sana huyu sidhani kama alikua mla rushwa mungu amutunze

  • @charlsemodest7640
    @charlsemodest7640 2 ปีที่แล้ว +18

    Kila kitu ni suala la muda tu.
    Wanaokumbuka Hapo mwanzo watu walikuwa hawaandiki kabisa wosia
    Kwa madai ni jambo baya kabisa maana kwa kufanya vile unajitabiria mambo mabaya ya kifo.
    Lakini kwa sasa hali ikoje?😆😆
    Kadiri siku zinavokwenda na hili litapita vzr sana.
    Naunga mkono mawazo yake huyu mzee maana sasa ameanza kuyaishi maisha kabisa.
    Wanaofikiri kwamba kakosea ama anajitabiria mabaya bado wapo gizani tena kwenye giza nene.
    Pumzika mzee wangu.
    Pata ugali wako na kipande cha samaki pale kula na ukune kitambi chako.asante.

    • @mdl6463
      @mdl6463 2 ปีที่แล้ว

      Kwan anaumwa nn mwambieni asitembelee ukelewe anaweza bebwa na mamba alafu tusimuone Tena

  • @priscahzebedayo2917
    @priscahzebedayo2917 2 ปีที่แล้ว

    Hongera baba......kuish n kristo kufa n faida

  • @ruthobiga4778
    @ruthobiga4778 2 ปีที่แล้ว +3

    Congratulations mzee, mm na mume wangu tulishalipa insurance ya mazishi sitaki kutesa wanangu baadae na madeni !!!

  • @saidiomari5269
    @saidiomari5269 2 ปีที่แล้ว +2

    Huyo Askari namjuwa miaka ya 97 mpaka 2002 alitupeleka sana kibabe arusha, akijulikana Kama 76, yaani ukisikia 76 anakuja unaweza jiharishia

  • @goldengordian6835
    @goldengordian6835 2 ปีที่แล้ว +1

    Hongera sana Tunda una Baba Mzuri na wa Mfano kwa Taifa.

  • @yussuphshilingi3258
    @yussuphshilingi3258 2 ปีที่แล้ว +2

    Innalillahi wainnailayhi rajjiun ,namshukuru mungu kunipa neema ya UISLAM

  • @darajalakidatukilomgi2362
    @darajalakidatukilomgi2362 2 ปีที่แล้ว

    Kwa wazungu haya mambo ni ya kawaida, ila hapa kwetu bado hatujazoea, Asante Mzee kwa ujasiri wako, tutaanza kuzoea kidogo kidogo na sisi wengine tutafatisha

    • @faithjonathan3845
      @faithjonathan3845 2 ปีที่แล้ว

      Sis tuna utamaduni wa kutokuwa responsible na maisha yetu. Mtu anasema nikifa watajijua wao walobaki. Halafu anaacha mashart kibao..mara nizikwe hivi na hivi na wakati hajaavha hata pesa ya kuzikwa anavotaka.

    • @lore4837
      @lore4837 2 ปีที่แล้ว

      kila mtu ana utaratibu wake, acha kutukuza wazunga

  • @petermarwa3871
    @petermarwa3871 2 ปีที่แล้ว +2

    umeweka histori katika nchi hii saba sita nimeipenda sana

  • @leroykunda9832
    @leroykunda9832 2 ปีที่แล้ว +1

    Mwaka huu usiishe Mungu akutendee hil.

  • @mohamedabdulkadiri1955
    @mohamedabdulkadiri1955 2 ปีที่แล้ว +3

    Huyu Mzee ana vituko sana, zamani alikuwa anavaa suruali kifuani pamoja na tai ndefu mpaka magotini

    • @carolinemariki4029
      @carolinemariki4029 2 ปีที่แล้ว

      Kweli alikuwaga mbuguni na alikuwa anaogopeka sana.

  • @agriparose3942
    @agriparose3942 2 ปีที่แล้ว +1

    Yupo sahihi kabisaa ifike mahali kila mja natambua kua dunia njia na kujiandalia mwenyewe makazi ya kuhifadhiwa mwili wako na kumrejea mola just like this

  • @berthamringo5706
    @berthamringo5706 2 ปีที่แล้ว +4

    Safi mzee nakumbuka msiba was mama yangu kuna ndug alipiga hela yote kwa madai ya kutulea na hakufanya hivyo had Leo kabur LA mamang alijajengewa,no vyema kujiandaa mwenyewe

  • @michaelolandisa7573
    @michaelolandisa7573 ปีที่แล้ว

    Baba napenda uendeelee kufundisha kifo sio laana kwa kiumbe chochote, ni kujitambua tu ss waafrika hatuna utambuzi mungu akupe upeo mpana sana, tunamkosea na anatusamehe jina lake lihimidiwe milele.

  • @halimamohammed4108
    @halimamohammed4108 2 ปีที่แล้ว +2

    Uwishi miaka mingi baba mungu awe na ww babu yetu namuombea wuishi sanaaa

  • @hamisikitwana7957
    @hamisikitwana7957 2 ปีที่แล้ว +2

    upo sahihi sana mkuu ni vinzuri kubana matumizi kwenye msiba wako ni wa kuingwa

  • @ernestshendama691
    @ernestshendama691 2 ปีที่แล้ว

    Hilo Ni Jambo la kawaida Sana. Hata Bwana Yesu alizikwa kwenye kaburi la Yusufu Almataya alilokuwa amejiandalia. Bali Mimi Kama Bwana Yesu atawahi sitahitaji kaburi.

  • @sabrinasabrina8395
    @sabrinasabrina8395 2 ปีที่แล้ว +1

    Hongera mzee uhakika tulionao haha dunian ni kifo tu na si kuihsi ulivhokifanya uko sahihi na Wala sio uchuto Wala zambi

  • @MengMengi
    @MengMengi 6 หลายเดือนก่อน

    Uyo police ana roho mbaya sana wallahi. Wana morogolo awata kusahau kwa ubaya ulio wafanyia kuwahuwa na kuwafanya wawe na vilema vya maisha pale kituo kikubwa karibu na uwanja wa mpira wa jamuhuri

  • @jumaamanghi8764
    @jumaamanghi8764 2 ปีที่แล้ว +8

    Baba Tunda kweli kidume

  • @ycliffbitabo3135
    @ycliffbitabo3135 2 ปีที่แล้ว +2

    Iko vizuri sana ata mimi cku mfuko ukikaa vzuri lazma nifanye ivyo

  • @boazambokile2587
    @boazambokile2587 2 ปีที่แล้ว +1

    hongera mzee nanyie wazee wengine igini hapo

    • @stevenhinjo9664
      @stevenhinjo9664 2 ปีที่แล้ว

      Hata vijana pia maana kufa ni umri wowote

  • @farhanhassan6858
    @farhanhassan6858 2 ปีที่แล้ว +2

    Yuko sahihi kabisa dunia ni mapito hii💪

  • @mariamally1913
    @mariamally1913 2 ปีที่แล้ว +3

    ila kweli ukifikilia mtu akifa wengine ndo wanafanya sehemu yakazi kupiga pesa ukiwa tayar unaandaatu vitu vyako

  • @ibrahimjoseph9417
    @ibrahimjoseph9417 2 ปีที่แล้ว +12

    Mzee Saba sita Arusha moja ya maaskari tishio umeacha alama Ars na mikoa mingine

    • @rademm8924
      @rademm8924 2 ปีที่แล้ว

      Alitisha Arusha enzi hizo miaka ya 1990's ukisikia 7'6 unaweza kimbia bila kosa lolote

  • @sintaibra355
    @sintaibra355 2 ปีที่แล้ว

    Hongera Saana Mzee Wetu

  • @costivemloboka8897
    @costivemloboka8897 ปีที่แล้ว

    Mimi ni Costiven, MUNGU wa mbinguni akutegemeze akutie nguvu na akuvushe ktk magumu unayoyapitia.

  • @joycekaje8755
    @joycekaje8755 2 ปีที่แล้ว +10

    Mzee Kimaro hutakufa bali utaishi uangaze,matendo ya Bwana wetu Yesu Kristu

    • @kafulyawilson8567
      @kafulyawilson8567 2 ปีที่แล้ว +1

      Unajidanganya halafu hujui kama unajidanganya.....Tafsiri vizuri maandiko usiwe unayachukua kama maandiko ya kwenye gazeti

    • @sweetbertrwiza5982
      @sweetbertrwiza5982 2 ปีที่แล้ว

      Yeye mwenyewe amesema atakufa wewe unamkatalia kama nani kwake? Je wewe ni Mungu?

    • @barakamanga5502
      @barakamanga5502 2 ปีที่แล้ว

      Kufa atakufa tu sema analofanya ninjema saana

  • @braycetz99
    @braycetz99 2 ปีที่แล้ว +3

    Umefanya nimkumbuke mama yangu aliefarik KWA vvu mwaka 2015 nikiwa na miaka 10 nakufanya nitapetape mpk leo hata elimu ilixhindikana rip my mother 😭😭😭

  • @nsajigwamwasumbi4990
    @nsajigwamwasumbi4990 2 ปีที่แล้ว +1

    Binadamu waweza kufia baharini na mwili usionekane hilo likabaki kuwa pango badala ya kaburi. Muhimu zaidi tumche Mungu.

  • @neema_mollel
    @neema_mollel 2 ปีที่แล้ว +1

    Maelezo yake mazuri anyway Mungu ampe maisha marefu sanaaa

  • @maryjoviny6991
    @maryjoviny6991 2 ปีที่แล้ว +1

    Duniani tunapita, Toba nimuhimu Sana umesema vyema

  • @liliankessy1255
    @liliankessy1255 2 ปีที่แล้ว

    Huyu Mzee ako na strong faith balaa...hautokufa utaishi miaka mingi kma Job🙏

  • @ibrahimissakhamis4268
    @ibrahimissakhamis4268 2 ปีที่แล้ว +2

    Tatizo la huyu Mzee anaona kustafu kazi ndiyo mwisho wa Maisha kuishi

  • @Vailethndossy
    @Vailethndossy 2 ปีที่แล้ว

    Ulikuwa unapenda vitu vizuri tokea nakujua😊

  • @rinaldaoman7892
    @rinaldaoman7892 2 ปีที่แล้ว +1

    Je ukitunbukia baharini ukiwa kwenye ndege na abiria wote msipatikane

  • @dalali_professionalwa_dodo8330
    @dalali_professionalwa_dodo8330 2 ปีที่แล้ว +2

    7 6 naona jua linazama na ukali wake... Sema poti umeona mbali, ungekuwa na mtoto wa kiume usingefkiria haya mambo... Ila umeona hizo nyau zitapiga mnada kina whozu waje kula.... Akili za kiintelijensia... Wachaga oyeeeeee

  • @irine8353
    @irine8353 ปีที่แล้ว

    Hongera mzee

  • @josephinenyakato8372
    @josephinenyakato8372 2 ปีที่แล้ว

    Upo vizuri nimependa Mahandalizi yako

  • @rahabnkya8276
    @rahabnkya8276 2 ปีที่แล้ว

    Mr. Saba Sita, ninakukumbuka sana ukiwa Central pale Arusha mjini. Tuliziona kazi nzuri ya kiaskari! Kuh kujitayarisha kaburi nk. Ni sahihi. Wanangu naye alitenga eneo, na mbao za sanduku, alitushirikisha. Naliheshimu fika maamuzi yake, waliopingana naye, amini, wamepata tabu na wewe si wa kwanza, endelea na maono yako. Ninakupongeza afande!

  • @romanuskayanda4613
    @romanuskayanda4613 2 ปีที่แล้ว +2

    Weka na Air Condition kabisa kwenye hilo kaburi

  • @revocatustitus1926
    @revocatustitus1926 2 ปีที่แล้ว

    Uko vizuri Sana kamanda 7 6

  • @singidaone5628
    @singidaone5628 2 ปีที่แล้ว +1

    Upo sawa mzee lakini mara nyingi wanaojiandalia kaburi hua hawadumu muda mrefu mfano yule mzee wa njombe alikua mganga wa jadi

  • @peterchesam5737
    @peterchesam5737 2 ปีที่แล้ว

    Hongera kwa kumtumaini MUNGU ukistaafu uwe Mwalimu wa Neno la MUNGU kwakuwa lipo moyoni mwako linaonekana

  • @preciousrobson3394
    @preciousrobson3394 2 ปีที่แล้ว +3

    Alikuwa antirobary huyu amekuwa sana huyu walimwua jamaa moja morogoro bila kosa anajua atakufa mwache ajichimbie kaburi

  • @khadijahali4837
    @khadijahali4837 2 ปีที่แล้ว

    Ni sawa tuu

  • @christianndegeya8473
    @christianndegeya8473 2 ปีที่แล้ว

    Minafurahi sana kuona tena mwalimu wangu 76 , mimi nilikuwa CCP Moshi Mwaka 2000, Naomba number yake plz

  • @patriciambita4469
    @patriciambita4469 2 ปีที่แล้ว +2

    Aaa...saba sita,kweli umeokoka!!

  • @respikiusiraphaery6284
    @respikiusiraphaery6284 2 ปีที่แล้ว +1

    Kaburi unaandaa mapema lakini neno LA Mungu unasubiri kustafu hapo sijaelewa kipi bora kuchimba au kumuhubiri Mungu

    • @dianedavid5110
      @dianedavid5110 2 ปีที่แล้ว

      Je umemuelewa vizuri ? Msikilize tena usije ukamhukumu bure.

  • @benedictmrisho5947
    @benedictmrisho5947 2 ปีที่แล้ว +4

    Naomba ukawe mwalimu wa kufundisha ukakamavu. Nakumbuka ukakamavu wako Arusha. Sabasita wengi walifurahia ukakamavu wako .

  • @happyfihavango4151
    @happyfihavango4151 2 ปีที่แล้ว +1

    Sasa la mkeo lipo wapi?

  • @oleiei434
    @oleiei434 2 ปีที่แล้ว +2

    Ama kweli huyu polisi anajipenda. Kila mtu akijijengea kaburi kubwa kiasi hicho punde si punde kutakuwa hamna ardhi ya kulima.

  • @hamadsuleiman5177
    @hamadsuleiman5177 2 ปีที่แล้ว

    Duh ule msemo wa kale sasa naona faida yake, wanasema hivi **KUA UKUE MWANANGU DUNIA INA MENGI**☝️☝️☝️...Tukishakufa kilichobakia ni dead body ambayo hata ukiweka njiani no effect but Mungu source yetu katuambia ni udongo na tutarudi kwny udongo...Baada ya kufa gharama ni kujitakia maana hata ukapelekwa kinamna gani utafika tu kwa Mungu....

  • @mtimti3912
    @mtimti3912 2 ปีที่แล้ว +2

    Mzee huyu yupo sawa...Kwa sababu mtu aliye hai anatambuwa kuwa siku moja atakufa lakini aliyekufa hajui kama atakufa sababau ameshakufa.

  • @dominicjulius3108
    @dominicjulius3108 2 ปีที่แล้ว +1

    Uko sawa mana unaweza zikwa kwenye vichaka na arthi nzuri ulinunua

  • @michaelmazoya9244
    @michaelmazoya9244 2 ปีที่แล้ว +5

    Ni akili ya ki first born. Watoto wa milango

  • @georgepaul5165
    @georgepaul5165 2 ปีที่แล้ว

    Mzee uko smart sana…Mungu akuongoze inshallah 🤲🏿

  • @sk-wj9or
    @sk-wj9or 2 ปีที่แล้ว

    Nimekuelewa sana na nimeipenda mno

  • @masudimillanzi994
    @masudimillanzi994 2 ปีที่แล้ว +2

    76 huyo katusumbua xana morogoro enzi zetu saiv keshaisha

  • @petershedrack4668
    @petershedrack4668 2 ปีที่แล้ว +8

    Aaisee hivi huyu mwamba ndio yule aliye pambana na wasomali kule loliondo au kuna mwingine

    • @dullydully550
      @dullydully550 2 ปีที่แล้ว

      Ndio huyo huyo..hichi kichwa acha kabisa

    • @aminatanzanya7475
      @aminatanzanya7475 2 ปีที่แล้ว

      Ndio huy mi nashangaa kwann hakupew cheo kikubwa kwa hay matukio ya tz watu wangekuw naadabu

    • @ukhtynaa1096
      @ukhtynaa1096 2 ปีที่แล้ว

      Mkwe wake whozu

    • @lusajokafuko3450
      @lusajokafuko3450 2 ปีที่แล้ว

      Ndiye huyo

  • @hoseajackson8127
    @hoseajackson8127 2 ปีที่แล้ว

    Nakukumbuka sana bro 7'6 tukiwa ktt nimeipenda nakuja Feb nitakutafuta mkuu

  • @olivervalentino9788
    @olivervalentino9788 2 ปีที่แล้ว

    Hongera sana duniani tunapita

  • @tusajigwemathias9185
    @tusajigwemathias9185 2 ปีที่แล้ว

    Mungu akusaidie mzee maiti ije ipatikane sbb Mungu anatupangia kufia popote

  • @dottohamisi9844
    @dottohamisi9844 2 ปีที่แล้ว +1

    Kumbe huyu baba ake tunda mashaallah

  • @mansourussi1612
    @mansourussi1612 2 ปีที่แล้ว +13

    Kumbe ni first born ndo maana..
    Maana first born wote huwa na akili za ajabu sana😂haya baba mkwe

  • @jebellwallace3509
    @jebellwallace3509 ปีที่แล้ว

    Idea yako nimeipenda sana.
    Ila Kwa mfano ikitokea ukafia kwenye ndege itakuaje???

  • @mfalmekaitaba2425
    @mfalmekaitaba2425 2 ปีที่แล้ว +1

    Mimi namuunga mkono ni bora kujiandalia mazingira bora ya kukustili maana unaweza kufa alafu waliobakia wakakuzika ndivyo sivyo,mm naona kafanya kitu bora maana kafanya kitu apendavyo.

  • @faithjonathan3845
    @faithjonathan3845 2 ปีที่แล้ว

    Safi sana. Watu wasio na uelewa wanaweza kuona anajichulia lakini wote yatupasa kujiandaa na kifo maana ni lazima. Na pia inasaidia kuondoa gharama kwa wanaobaki. Huyu ni mtu ambaye hana ubinafsi hataki watu wasumbuke akifa

  • @naomypaul2761
    @naomypaul2761 2 ปีที่แล้ว +1

    Cha ajabu mungu atakuweka miaka mingi mpaka utashangaa,mungu syo mjomba ako umpangie

    • @sweetbertrwiza5982
      @sweetbertrwiza5982 2 ปีที่แล้ว

      Amejiandaa kwa vyovyote au hujamsikia? Amesema Mungu anaweza kumpa kuishi zaidi lakini amefanya hivyo akiwa na nguvu kabla ya miaka ya tabu

    • @naomypaul2761
      @naomypaul2761 2 ปีที่แล้ว

      @@sweetbertrwiza5982 hivi mungu unaweza ukamkadlia kweli??,je anauhakika atazikwa humo ktk kabur alolijenga ?...anajua kifo atakachokufa au alitaka kuleta drama tu

    • @sweetbertrwiza5982
      @sweetbertrwiza5982 2 ปีที่แล้ว

      @@naomypaul2761 Yeye kajiandaa akifa kifo cha kawaida, akifa kifo kichojulika hapo sawa