ความคิดเห็น •

  • @user-no7pz1bz4y
    @user-no7pz1bz4y 3 หลายเดือนก่อน +5

    Eliud anaroho nzuri sana, Mungu azd kukusimamia Eliud wetu❤❤

  • @inspiringmediarecords4391
    @inspiringmediarecords4391 3 ปีที่แล้ว +154

    Ushawahi cheka kwasababu mtu hachekeshi??😂😂tujuane kwa likes

  • @georgelyego6256
    @georgelyego6256 3 ปีที่แล้ว +170

    Kama wewe umekuja kucheki hii video coz ya kucheka tu naomba like yako

  • @DAVID-wp4vc
    @DAVID-wp4vc 3 ปีที่แล้ว +26

    Ila coy mzungu ni mtu na anajua alipotoka namkubali sana coy he is a real man,father and Brother naingalia nikiwa iringa aje tu na huku

  • @badmanno.1650
    @badmanno.1650 3 ปีที่แล้ว +10

    Huyo msenge aloambiwa akalete chakula mimi kaniumiza mbavu kabisa ... The guy is naturally funny aisee😁😁😁😁🤦🏾‍♂️

  • @creatymnyanga3237
    @creatymnyanga3237 3 ปีที่แล้ว +9

    Wazo ni zuri sana kwa utafutaji wa standup comedian. Ila kwa upande wa programme production haikuwa poa kwani ni copy and paste ya programme production nyingine. Hakuna ubunifu mpya kabisa!!

  • @thomasponera6018
    @thomasponera6018 3 ปีที่แล้ว +15

    Safi sana mwanzo mzuri Coy Mzungu, Mungu awabariki mpate wachekeshaji wenye vipaji haswa

  • @simba_de_leo5042
    @simba_de_leo5042 3 ปีที่แล้ว +25

    Daaah coy is really genius by that way he make decision good up bro

  • @ungwamwangaza7297
    @ungwamwangaza7297 3 ปีที่แล้ว +12

    Dhh uyo kaka mwenye ako na Da Neema nime penda alivyo sema❤️😍😍

  • @romakoko2292
    @romakoko2292 3 ปีที่แล้ว +7

    Kuna jamaa alipoteza kila kitu kwa stage😂😂😂

  • @gehazmakoga1018
    @gehazmakoga1018 3 ปีที่แล้ว +31

    Dah kuchekesha haijawahi kuwa rahisi imagine kuna watu hapo wanaona wanachekesha aibu napata mimi huku aisee majaji wanakazi sana

  • @bibahwabae3066
    @bibahwabae3066 3 ปีที่แล้ว +14

    Baba Levo alivyo seriously utazan sio yeye Yule chzi 🤣🤣🤣🤣

  • @officialbntrasool5223
    @officialbntrasool5223 3 ปีที่แล้ว +10

    Yan hpo majaj wanacheka sio kwamba wanachekeshwa ila wanahuzunika to😂😂😂😂😂

  • @Richesfam
    @Richesfam 3 ปีที่แล้ว +22

    😂😂😂 The host njo anachekesha
    Mbona hawa watu awachekeshi

  • @afterfull-time1348
    @afterfull-time1348 3 ปีที่แล้ว +7

    Wasafi n kiwanda cha sanaa Africa 🌍

  • @nestoemanuel2821
    @nestoemanuel2821 3 ปีที่แล้ว +25

    Nembo ya mtaa mo town Sanya🔥🔥

  • @official_bhachuri5684
    @official_bhachuri5684 3 ปีที่แล้ว +5

    Sina chakusema juu ya broo mungu ampe moyo huo huo maana kwenye dunia hii yupo peke yake

  • @Kingkadir24
    @Kingkadir24 3 ปีที่แล้ว +12

    Huyu interviewer hapo nje mnafki sana😂😂😂💔💔💔💔

  • @mototv1599
    @mototv1599 3 ปีที่แล้ว +42

    Anaechekesha mwengine aibu naona Mimi😂😂😂🤣🤣

  • @tumatijr_9142
    @tumatijr_9142 3 ปีที่แล้ว +6

    mchekeshaji anaenda kuchekesha afu anachekeshwa yeyeee😆😆

  • @j.bjacobbasubi2187
    @j.bjacobbasubi2187 3 ปีที่แล้ว +2

    Asante sana Éric Mungu akubariki kwasababu ulifanya ile ambayo kristoyesu anayo itaka yani nilazima kujitowa kwaajili ya mwengine 🇺🇬🇨🇩🇨🇦

  • @frankblessy2482
    @frankblessy2482 3 ปีที่แล้ว +5

    From Kenya I silute Eluid, his a really Gentleman

  • @jafetzmwacha1503
    @jafetzmwacha1503 3 ปีที่แล้ว +8

    Daaah uyo jamaa alio poteza netwek hahahha

  • @barutiboniphace4335
    @barutiboniphace4335 3 ปีที่แล้ว +7

    Cheka tu. Hapo nimegundua kitu washiriki wanao kuja wanahofu ya muda ndomana wengine wanatumua muda mchache sana so ingekua vyema washiriki wawekewe saa hapo ukutani

  • @ibnmoses979
    @ibnmoses979 3 ปีที่แล้ว +2

    Eliudi alivyomchagua huyo binti niumia but judge alivyomrudisha nilitoka chizi jamaa anajua afu ana upendo

    • @angellomarcel5677
      @angellomarcel5677 3 ปีที่แล้ว

      Eliud anafaa kuwa Judge Big up sana kwako Eliud

  • @asibumwande7896
    @asibumwande7896 3 ปีที่แล้ว +2

    Mwamba elidy nakubali brooo we mkali mungu akubresss sana

  • @yusuphbaracha6137
    @yusuphbaracha6137 3 ปีที่แล้ว +9

    Hii ni moja ya show niliyofurahi kuona so nimependa jajiz mlivyofanya selection lakin msiwaache tu bali wafundishen jinsi ya kutengeneza or format ya delivering hizo content

  • @bighead8184
    @bighead8184 3 ปีที่แล้ว +1

    Uwezo kuchekesha unazaliwa na kipaji. hata ukiwa hana experience atakuchekesha. Mimi sijafurahi hata moja. Comedians ni kazi nguvu sana. Nice show

  • @salimomary6279
    @salimomary6279 3 ปีที่แล้ว +3

    Hapo ndo ushamfikisha baba levo 🤣🤣🤣🤣

  • @jescagodwin2732
    @jescagodwin2732 3 ปีที่แล้ว +8

    Halafu wawekwe audiencesi at least 20 wawepo live. wao ndio watadetermine kama mchekeshaji anachekesha pale watakapo cheka. The Number of people who laugh can determine the competence of the presenter.

    • @madsofttz1718
      @madsofttz1718 3 ปีที่แล้ว +1

      That's really bro, audiences wanaumuhime sana make uharisia unakuwepo pia kuna ushawishi wa mchekeshaji kufristyle

  • @philomenagathoni2861
    @philomenagathoni2861 2 ปีที่แล้ว

    Coy your judgement is promising you never demoralize anyone, God bless you, ( wanjala Toka Kenya )

  • @sumamwamba3708
    @sumamwamba3708 3 ปีที่แล้ว +6

    0991 mshiriki kanichekesha kweli Yan akifika kwenye stegi anasahau mwisho akakubali kushindwa tu

  • @cheiknamouna2058
    @cheiknamouna2058 3 ปีที่แล้ว +5

    Mama mchungaji ameziajiri mbavu zangu kwa muda🤣🤣🤣🤣🙌

    • @SandeMwikuyu
      @SandeMwikuyu 11 หลายเดือนก่อน

      We jamaa hautaiona mbingu😂😂😂😂

  • @nzitogondwe9976
    @nzitogondwe9976 3 ปีที่แล้ว +1

    Ulie igiza kama dogo langu kinyambe yaani umearibu sana ivi bless ulikua skabda uyole ulikua wap na aliko mkangafu ulikua wap tatu ulikua wap vipaji tunduma ilemi kwa samu video center yaani wote rama sombe nguvu zimenishia kweri samwer vwawa mbeya mmetutia aibu

  • @jasminegabriel4247
    @jasminegabriel4247 3 ปีที่แล้ว +3

    Jamani mimi kwa ushauli naomba muwape washiliki mda waku weza kufanya kile wana choweza hata waki weza kuigiza kama mtu mwingine

  • @tamarablack254
    @tamarablack254 2 ปีที่แล้ว +3

    Hizi comedy nazo .😂😂😂Mbona una kipara🇰🇪🇰🇪

  • @Mr_Highlights360
    @Mr_Highlights360 3 ปีที่แล้ว +4

    Jamani kwani wanashindwa hata kuchukua JOKES za GOT TALENT zile unatranslater unaleta hapa,

    • @evelinaluvata1471
      @evelinaluvata1471 3 ปีที่แล้ว

      Simbaka uwe una jua English 🤣🤣🤣

  • @elizamaiko7789
    @elizamaiko7789 3 ปีที่แล้ว +6

    😂😂😂😂😂baba levo nakupenda Sana

  • @victoriabulambo2029
    @victoriabulambo2029 2 ปีที่แล้ว +2

    Zembwela sijawai kumuona akicheka, kwaiyo ukitaka kumchekesha inaitaji kazi kubwa sana

  • @yusuphmohamed2816
    @yusuphmohamed2816 3 ปีที่แล้ว +19

    Hey wasafi me cjawah kukoment hat cku moja ila huyo jamaa na uyo dem hapo wameniliza 4sure😭huo cyo msaada bali ni upendo

  • @fredrickmatiku7783
    @fredrickmatiku7783 3 ปีที่แล้ว +3

    Jamaaa kauza kampuni yake Cheka tu kwa tajiri kwa mark x kawa mwajiriwa tu sasa hivi

  • @professormacomplexa7422
    @professormacomplexa7422 3 ปีที่แล้ว +5

    Inaitwa Stand Up Comedy. Sio mchezo😃

  • @marynyabenda4414
    @marynyabenda4414 3 ปีที่แล้ว +11

    Jmn loooooooh uyo wa pili anaongea upuuzi tuu

  • @nzitogondwe9976
    @nzitogondwe9976 3 ปีที่แล้ว +1

    Lkn naona mulichukua watu sio mbeya vipaji vipo lkn mulichagua sijuhi au matangaxo yalikua sio ya kutosha maana vipaji mbeya Vincng

  • @mahamedabdi1881
    @mahamedabdi1881 3 ปีที่แล้ว +7

    Tanzania hatowezi Comedy tuwaachie wakenya Comedy za Kenya utacheka tu 😆🤣😄

  • @ramsikhamis7083
    @ramsikhamis7083 3 ปีที่แล้ว +1

    😅😅😅Denis kaomba aondoke mwenyew aisee... pesa hii daaa

  • @joharichaima4309
    @joharichaima4309 3 ปีที่แล้ว +4

    Nyie mi nampendaga baba levo akiongea ata kawaida tu nacheka

  • @masinzamark7051
    @masinzamark7051 3 ปีที่แล้ว +2

    Mo town bro uko juu huwa wanipinga sana from 254

  • @mussamivache4986
    @mussamivache4986 3 ปีที่แล้ว +11

    Mwaisa mtu mbadi yuko wapi jmn🤣🤣🤣❤️

    • @kingcicero1708
      @kingcicero1708 3 ปีที่แล้ว

      Kwani wa wapi uyo jamaa? From Mozambique 🇲🇿 hapa

    • @alextanzania
      @alextanzania 3 ปีที่แล้ว +1

      @@kingcicero1708 wa Mbeya - Isengo

  • @mndemetv8851
    @mndemetv8851 3 ปีที่แล้ว +3

    Jamani kwa dar es salaam ni lini na programe kujiunga ni vipi vipaji tunavyo tutaishia kuvionesha mashuleni

  • @godfreymlula6466
    @godfreymlula6466 3 ปีที่แล้ว

    Mm binafsi nimependa uyo jaji na majaji wote pia kwakulipa wema wa uyo jamaa aliekua tayali kubaki yeye na kukubali mwanamke aende kiukweli kwangu mm imenitoa machozi kabisa ameonyesha kuwasapoti wanawake wanawake wanaweza mwanamke ni Tai mungu awabariki wasafi kanzi nzuli sana

  • @malickkasuga4805
    @malickkasuga4805 2 ปีที่แล้ว +1

    nimecheka sanaa sio kwa ubaya nimependa program iwe endelevuu

  • @momylaviel
    @momylaviel 2 หลายเดือนก่อน +1

    Eliud ana roho nzuri sana jamanii

  • @sellinakapama4375
    @sellinakapama4375 3 ปีที่แล้ว +3

    Kipindi kizuri sana! Safi Sana Wasafi TV kwa kutupa burudani tosha!

  • @novusengineering_tz4523
    @novusengineering_tz4523 3 ปีที่แล้ว +6

    Shikamoo standup comedy hahaha
    Kumbe co rahisi

  • @meshack3266
    @meshack3266 3 ปีที่แล้ว +3

    Mtu imala bhana hapo kwa kinyambe hahahah

  • @syntaxerror9217
    @syntaxerror9217 3 ปีที่แล้ว +3

    Yaan apa utacheka sio sababu washiriki wanavichekesho hamna ila wanachochekesha kinachekesha🙄🙄😂

  • @chembeakhalifan7828
    @chembeakhalifan7828 3 ปีที่แล้ว +2

    Uyu mzee baada ya kuchekesha anatoa nasaha hahahahah

  • @shadyamollel1453
    @shadyamollel1453 3 ปีที่แล้ว +4

    nmependa iyo matching items

  • @rb3176
    @rb3176 3 ปีที่แล้ว +2

    Habari zenu ? Mzuri...Mumekula ? ndio..
    Aya kalete chakula basi😂😂😂 Hii kali wadau😂😂😂😂

  • @Stayawayfromislam2
    @Stayawayfromislam2 3 ปีที่แล้ว +1

    Chiff dguje anaheshima sana I like that

  • @angelokihaka7216
    @angelokihaka7216 3 ปีที่แล้ว +5

    Huyu Jose wa kweny Tunu huko wasaf anakipind siku gan?????? Napendag anavosema jion ya leo

    • @stn4873
      @stn4873 3 ปีที่แล้ว

      Ni Giiiiii. GIONII YA LEOOO

  • @mosesg.pendael8381
    @mosesg.pendael8381 3 ปีที่แล้ว

    Neema. Nimekupenda sana. Next time tufurahishe sisi wahanga wa hisia. Wakati Eliud alipoanguka chini....nilitamani ungemuinua na kum hug sana kwa sababu ya kile alichofanya yeye kwako. Hongera sana.

  • @joakimndanga1170
    @joakimndanga1170 3 ปีที่แล้ว +3

    tisha sana.
    ila mmetunyim utamu wa round ya pili

  • @musamgulila577
    @musamgulila577 3 ปีที่แล้ว +1

    Jo master hachekesh bana labda lkn uwezo mdogo sana

  • @rojasramadhan476
    @rojasramadhan476 3 ปีที่แล้ว +2

    Kwaupande wangu hapo sijaona wachekeshaji ila waigizaji wa movies wamo.

    • @andrewkilave3532
      @andrewkilave3532 3 ปีที่แล้ว

      Kabsa yaani ingekuwa inaandaliwa tamthilia wangechukuliwa wengi sana

  • @Tajiriabasy
    @Tajiriabasy 3 ปีที่แล้ว +2

    Tatizo majaji wenywe wana kaaza wamenuna sura ngumu utachekeshaje aisee

    • @BigZhumbe
      @BigZhumbe 3 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤣🤣 Majaji wenyewe ni wakuokota tu

  • @josephmanyama435
    @josephmanyama435 3 ปีที่แล้ว

    Nakubali sana Jose wa mama Jose safi sana wajina unakipaji sana man piga kazi

  • @DAVID-wp4vc
    @DAVID-wp4vc 3 ปีที่แล้ว +5

    Nimempenda huyo aliyecopy jolmaster 🤣🤣🤣

  • @petermaingu6454
    @petermaingu6454 3 ปีที่แล้ว

    Ann nimejifunzaa kituu kikubwaa saana kutokaa kwa eliudi kama katika maishaa yako yotee lengo lako nikufanikiwaa tuu hutakujaa kufanikiwaa kamwee lazima tuwaze na hekima naa busara pia

  • @azizaaziza9113
    @azizaaziza9113 3 ปีที่แล้ว +1

    Zembwera saruti kwako nilijua tu lzm umukumbatie neema😁😁

  • @jafetzmwacha1503
    @jafetzmwacha1503 3 ปีที่แล้ว +2

    Uyo jamaa mpishi nime cheka sana yani hahaha

  • @chrismwanakwetu3677
    @chrismwanakwetu3677 3 ปีที่แล้ว +3

    mnaishia Mbeya tu tuaomba mje pia Rukwa tumo tusiovuma mtacheka kuachia hews

  • @janesmbuzi3935
    @janesmbuzi3935 ปีที่แล้ว

    Coy mzungu has a free heart.. he is really trying to see good in them

  • @queencharles3987
    @queencharles3987 2 ปีที่แล้ว +1

    Yaani nacheka kwakuwa sielewi kinachoendelea kweli kuchekesha kazi aise 😂😂😂😂😂😂😂 Et naona kama sukar ya zuchu yote kama amelala nayo yeye 🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️

  • @salehalzakwani3283
    @salehalzakwani3283 3 ปีที่แล้ว +2

    Ma judge wiki ongea waki hoji ndio raha yake hahahhaha Safi Sana kutoka Dubai pamoja sana

  • @lynucylavezzy3232
    @lynucylavezzy3232 3 ปีที่แล้ว +6

    Dah kucheksha n kaz wallah

    • @ramsikhamis7083
      @ramsikhamis7083 3 ปีที่แล้ว

      Sio ndogo dam yanguu... 😅😅😅

  • @aishaomary230
    @aishaomary230 3 ปีที่แล้ว +3

    Nenden arusha ndo mtawapata wengi wa arusha wapo serious mno halaf wanamaneno yakuchekesha saana

  • @KAPOPACOMEDY
    @KAPOPACOMEDY 2 หลายเดือนก่อน

    Nimechelewa kuangalia ila eliudi shikamoo sina dada wakukupa umuoe una moyo wa upendo sana
    Muje kunisaport na mimi kipaji ninacho gonga sabuscribe apo

  • @shedrackmwaipopo9427
    @shedrackmwaipopo9427 3 ปีที่แล้ว +3

    Sema huyo dadaa ziro kabsa na kisuruari chake

  • @kelvinmuthami4147
    @kelvinmuthami4147 3 ปีที่แล้ว +4

    Nafikiri Comedy bado haijashika mizizi TZ, wako 'comic' lakini Delivery ndio shida

  • @reganclarence4657
    @reganclarence4657 3 ปีที่แล้ว +2

    Oya wanangu zembwela ni kauzu zaidi ya dagaaa uyu jamaaa hanatakiwa kuwa usalama wa taifa.😎😎😎 kwakweli🤠🤠

  • @lawrencesilas3050
    @lawrencesilas3050 3 ปีที่แล้ว +2

    Hakuna kitu kwakwel sijaona mchekeshaji inawezekana hawajaelewa nn maana ya kuchekesha

  • @lucymkude2853
    @lucymkude2853 3 ปีที่แล้ว +2

    Sijaelewa alomleta Baba levo Baba levo kuwa judge ni Nani, kwa kweli hafai

  • @jescagodwin2732
    @jescagodwin2732 3 ปีที่แล้ว +4

    Yaan wanaochekesha sio watainiwa n majaji

  • @wa-mbeyaTv4725
    @wa-mbeyaTv4725 3 ปีที่แล้ว +5

    Mbn hii inanipita jamaan mpo mbeya sehem gan... WA-MBEYA COMEDY

    • @waheedahtanzania4912
      @waheedahtanzania4912 3 ปีที่แล้ว +1

      Imeisha hiyooo 😂😂njoo dar kesho Asubuhi kinondoni viwanja vya leaders 🚶🚶🚶

  • @asibumwande7896
    @asibumwande7896 3 ปีที่แล้ว +3

    Big nimemwelewaaaa sana

  • @nyimbozangu3684
    @nyimbozangu3684 3 ปีที่แล้ว +1

    Kwamba kachiri on dis one nakukubali kinoma noma an

  • @supermaestrograndmasteramo8466
    @supermaestrograndmasteramo8466 2 ปีที่แล้ว +1

    Mwanza Lin au mmeisha toka by king killer

  • @bensonhamis3303
    @bensonhamis3303 3 ปีที่แล้ว +3

    Hili zoezi gumu mno😄

  • @einsteinmboje4730
    @einsteinmboje4730 3 ปีที่แล้ว +1

    Hakuna Kazi Ngumu Kama Kuchekesha...Tena Unamchekesha Usiyemjua Nn Kinamchekeshaga Akiwa Kanuna 😅😅😅

  • @ommietrendz7175
    @ommietrendz7175 3 ปีที่แล้ว +9

    No Confidence, No comedy
    Simple

  • @michaelnyello-nh6uk
    @michaelnyello-nh6uk ปีที่แล้ว

    Eliud ni mwamba yupo tayari kujitoa kwa ajili ya mwingine big up bro

  • @mussahaji1152
    @mussahaji1152 3 ปีที่แล้ว +4

    mzee mtapwela ni jeur htri

  • @kelvin8324
    @kelvin8324 3 ปีที่แล้ว +2

    No.0991---😄😆😅sema blackout 🌚.....pole bro tha is always next time👊🏿

  • @kisakim5660
    @kisakim5660 3 ปีที่แล้ว +3

    😂🤣😂🤣🤣🤣🤣🤣zebwela nakuolewa

  • @lyrics_forum
    @lyrics_forum 5 หลายเดือนก่อน

    Aisee Ninacheka kwasababu Hawachekeshi 😂😂

  • @lyrics_forum
    @lyrics_forum 5 หลายเดือนก่อน +1

    Sijamaliz Kuangalia, mtanipa feedback kama kuna aliyechekesha 😂😂😂

  • @THESTARKIDS.0
    @THESTARKIDS.0 3 ปีที่แล้ว +14

    I love the third one he was the unique one🤣🤣🤣🌏🌎🌎🔥

  • @worldchanneltv1809
    @worldchanneltv1809 3 ปีที่แล้ว +2

    Ila kuwa mwanaume kazi kinoma