MAMA WA WATOTO NANE AONA MAAJABU MCHANA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 เม.ย. 2022
  • Kutoka AL FATAH TV .
    Usisahau ku like, comment naku subscribe kwenye chanal Alfatah tv online kwa mawasiliano zaidi piga simu: +255 777 858 490
    #AlfatahTvOnline​​​​​​​​​​​​
    #AlfatahCharitableAssociation​​​​​​​​​​​​
    #ZANZIBAR​​

ความคิดเห็น • 85

  • @bintmuhammad4913
    @bintmuhammad4913 ปีที่แล้ว +2

    Maa shaa Allah... Allah awazidishie barka waliotoa sadaka zao...amiin

  • @JUBRANBULAYHl-yb4ke
    @JUBRANBULAYHl-yb4ke 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Subira, mama yangu, hii ni punje moja tu ya suke ya mahindi, Mungu akipenda☝☝🤲🏼🤲🏼☝☝

  • @safiaothman5175
    @safiaothman5175 ปีที่แล้ว +1

    Jazakum Allahu Khairaan Kathiraan Al-Fatah.

  • @abdulmohd6880
    @abdulmohd6880 2 ปีที่แล้ว +10

    Assalamu alaikum Alfatahi mnafanya kazi kubwa na nzuri sn, ila tu kwa ushauri muctie miziki

  • @hajikabil2665
    @hajikabil2665 2 ปีที่แล้ว +3

    Mungu akujaalieni maisha marefu na akuzidishieni ktk kutoa ila ushauri wangu kwenu mx wachukue video au unaweza kuchkua video au pcha na kutuma kwa hauhxka ili waweze kuamin kua mzigo umeenda sehem huxka

  • @user-wd1tk1vw5i
    @user-wd1tk1vw5i 3 หลายเดือนก่อน +1

    Asalam aleykum mimi nahitaji munisajili kwenye kubeba mizigo bure kwaajili ya Allah

  • @sabihahamadi2287
    @sabihahamadi2287 2 ปีที่แล้ว +2

    Waghalaikum salamu warahmatullahi wabarakatu mugu awabariki nyote mulio jitoleya

  • @mariamsefukhamissi8809
    @mariamsefukhamissi8809 2 ปีที่แล้ว +3

    Takbri Allah akibru Allah awalipe kwatuwa zote walojitolea Allah awalipe kwakila jambo

  • @sheikhanasser4714
    @sheikhanasser4714 2 ปีที่แล้ว +1

    TabarakaAllah Ma Sha Allah

  • @eshasalim5496
    @eshasalim5496 2 ปีที่แล้ว

    Maa Shaa ALLAH, Tabaaraka ALLAH. ALHAMDULILLAH ALA KULLI HAALI

  • @shadiahshadiahshadiahshadi4060
    @shadiahshadiahshadiahshadi4060 2 ปีที่แล้ว +2

    Allah awawekey wepesi awape kira raheri leo nakesho ahera

  • @mudiplatnumz98
    @mudiplatnumz98 2 ปีที่แล้ว +2

    😭😭😭😭nime guswa nahii mungu atawa jaaliya maisha mema

  • @salmakaratta1420
    @salmakaratta1420 2 ปีที่แล้ว

    Allah awape uwezo wa kutosha muwasaidie nawengine wa aina hy.Hii ni mitihani ya Allah,hvy wasijione wapweke.Mzidishiwe zaidi pale mlipo punguza inshaallah.

  • @supumoto6819
    @supumoto6819 2 ปีที่แล้ว

    Al hamdulillah,in sha Allah kheir ziko njiani

  • @nasrimswaki4824
    @nasrimswaki4824 2 ปีที่แล้ว +1

    maashaallah mungu awazidishie afya njema

  • @aminaabdalla9949
    @aminaabdalla9949 ปีที่แล้ว

    MashaAllah Alfataha Allah awaongoze kwakazizrnu

  • @user-wd1tk1vw5i
    @user-wd1tk1vw5i 3 หลายเดือนก่อน

    Allah atukutanishe duniani na peponi

  • @shadiahshadiahshadiahshadi4060
    @shadiahshadiahshadiahshadi4060 2 ปีที่แล้ว +1

    Walakyum Salam Warhumatullah wabarakatuh

  • @hadijaalpha7547
    @hadijaalpha7547 2 ปีที่แล้ว

    Mashaallah Mashaallah ☝️ Allah anawaona basi in shaa Allah 🤲🤲🤲❤

  • @allyhamad2823
    @allyhamad2823 2 ปีที่แล้ว +2

    Asalam alaykm warahmatullh wabarakatu nimeguswa na hili nitumie nomba zao mama

  • @aishaamwalimu2887
    @aishaamwalimu2887 ปีที่แล้ว

    Poleni Sana kuondokewa na wazazi pagumu Sana.

  • @abdularuffin9308
    @abdularuffin9308 2 ปีที่แล้ว

    Mashaaallah jazzaallah kheri

  • @nassiraliy5669
    @nassiraliy5669 2 ปีที่แล้ว +3

    الله يبارك فيكم التجارة مع الله ليس فيها خسارة
    فتاجر مع الله يرى الدنيا مزرعة يزع فيها الأعمال الصالحة غداً توفى النفوس ويحصد الزارعون مازرعوا إن أحسنوا أحسنوا لأنفسكم وإن أساءوا فبئس ماصنعوا

  • @yasalaam590
    @yasalaam590 2 ปีที่แล้ว

    Mashaallah tabarakallah kszi nzuri sana malipo yenu mtayakuta mnele ya allah

  • @husna34562
    @husna34562 2 ปีที่แล้ว

    Mashallah 105 Allah amlipe jannah

  • @user-he5im1vr7j
    @user-he5im1vr7j 2 ปีที่แล้ว +1

    بارك الله في مسعاكم و سهل عليكم كل صعب لأجل خدمة الفقراء خاصة في هذا الشهر الكريم

  • @asiakheir8684
    @asiakheir8684 2 ปีที่แล้ว +1

    Yaa Allah wape kheir wote wanao saidia jamii

  • @mussakitabu8716
    @mussakitabu8716 2 ปีที่แล้ว

    Mashaallah Allah Aiendeleze mpaka kufikia kwenye Taasisi

  • @zainajuma4266
    @zainajuma4266 2 ปีที่แล้ว +2

    Asalam aleykum mnafanya vizur al falah lkin ushaur wang allah anasem toa zaka lkin mkono wak wa kushoto usipate habar saw chkueni video vzur ili watu waelew zaid ila msaada munotoa pia zur ila kma ivo pesa so vizur kusem ni kiasi gan na kila mtu akajua...tunaelew kila mtu n roho yak wawez wakaj uliwa n kupat shida kuliko izo asanten nadhan maan yang umeelew vizur mungu awabarik zaid inshallah amin

    • @kheiramour2973
      @kheiramour2973 2 ปีที่แล้ว

      Kutaja kima ni kwa ajili ya wale wanaotoa wasijehic kuwa pesa wamezila wao

    • @zainajuma4266
      @zainajuma4266 2 ปีที่แล้ว

      @@kheiramour2973 saw ni kwel lakin haimnish km nd kwel zimo zile zile wawez ukasem zim kias gan il so kwel but inshallah kher hmn ttz

  • @khadijahali4837
    @khadijahali4837 2 ปีที่แล้ว

    Maa shaa Allah

  • @abdiabdallah1995
    @abdiabdallah1995 2 ปีที่แล้ว +1

    Allah akulileni malipo makubwa

  • @saudahassan6667
    @saudahassan6667 2 ปีที่แล้ว

    Mashaallah mashaallah allah atawalipa wale mlojitolea kuistir familia hii

  • @bibasulesh7866
    @bibasulesh7866 2 ปีที่แล้ว

    Bismillah mashaallah 💞

  • @welcomeorange7357
    @welcomeorange7357 2 ปีที่แล้ว

    Mashaallah tabarak Rahman mungu atawalipa

  • @dimpoadim2980
    @dimpoadim2980 2 ปีที่แล้ว

    Allah awape kher na Imani kubwa Zaid ili muwajengee na kijumb chao

  • @halimaomari3413
    @halimaomari3413 2 ปีที่แล้ว

    MashaAllah MashaAllah

  • @ahmadsayyeed7910
    @ahmadsayyeed7910 ปีที่แล้ว

    Subhaanallah Allah awalipe kheri jamani wenzetu wanaishi katika maisha duni

  • @zaipazzi9490
    @zaipazzi9490 2 ปีที่แล้ว

    Masha Allah

  • @mwanakomborajab2091
    @mwanakomborajab2091 2 ปีที่แล้ว

    Hongereni sana lakini na vijijj vya kaskazini wapo mayatima wanahitaji msaada

  • @mohamnedsalum2150
    @mohamnedsalum2150 2 ปีที่แล้ว

    Mashaalha

  • @khadidjasuleiman8006
    @khadidjasuleiman8006 2 ปีที่แล้ว

    Mashallah tabaraka llah 😭 Alhamduli llah aala kulli Hali 😥😭🙏

  • @IbrahimMadowea-kv4rb
    @IbrahimMadowea-kv4rb 2 หลายเดือนก่อน

    Allah awape subra

  • @hakizimanaomar8992
    @hakizimanaomar8992 2 ปีที่แล้ว

    Asalamu araikum warahmatullah wabarakatu munimewapenda Dana nataka uyumama aniozeshe naomba

  • @issaathumani7554
    @issaathumani7554 2 ปีที่แล้ว

    Mashaallah Allah awalipeni khery

  • @valenakomba7686
    @valenakomba7686 2 ปีที่แล้ว

    AMINAAA.

  • @fardoshnassor7847
    @fardoshnassor7847 2 ปีที่แล้ว

    Mashallah Allah

  • @daprince7545
    @daprince7545 2 ปีที่แล้ว +1

    Al fatah ningeomba mtuekee namba za Simu zao. Kama Mimi ningependa ata kuongea nao na kuwatumia chochote kile. Na pia kuwajulia hali zao . Wahadha assalamualaikum shukran 🙏🙏🙏

  • @salmasalim6055
    @salmasalim6055 2 ปีที่แล้ว

    Mashallah mashallah

  • @setiseti5281
    @setiseti5281 2 ปีที่แล้ว

    Asante mungu

  • @jebellwallace3509
    @jebellwallace3509 2 ปีที่แล้ว

    Mashallah

  • @mwanaidatkhamis5310
    @mwanaidatkhamis5310 ปีที่แล้ว

    Mashallah Allah awalipe mema

  • @baimarrajahbuayan6237
    @baimarrajahbuayan6237 2 ปีที่แล้ว

    Mungu akuzidishie kaka
    Webye nazo Wanaenda kufturisha bungeni 🙄🙄🙄🙄Dunia hiiii ngumu

  • @saidrakwe8727
    @saidrakwe8727 ปีที่แล้ว

    Allah akbar

  • @salummzee9739
    @salummzee9739 ปีที่แล้ว

    Allah hapendi watu wanaotoa sada km hivyo kujionesha huna malipo kwa Allah ww nikama umejifurahisha tu

    • @SalimSalim-ec9jo
      @SalimSalim-ec9jo ปีที่แล้ว

      Kaka usihukumu hakika mwenye funguo za pepo ni Allah pekee na yeye ndie mwenye kuhukumu... Na Hawa sio kua wanajionyesha Bali wa nafanya kuonyesha mtu kama wewe na mimi ili tukiguswa na yale wanayofanya Ya kheir kwa kusaidia MASIKINI basi na sisi tuchangie ila pole kama nitakua nimekujibu makosa..

  • @hakizimanaomar8992
    @hakizimanaomar8992 2 ปีที่แล้ว

    Mimi myarwana IRA nimewapenda

  • @adam-saffi211
    @adam-saffi211 2 ปีที่แล้ว

    Does Samia and Mwinyi watch these photos or watch these videos?

  • @abdullahmbishi3435
    @abdullahmbishi3435 2 ปีที่แล้ว

    mmi nime umia san ila ila nime pendrzewa na maish mnayo ishii na kugus waumin wa kiislam mungu ata lipia ila ktk awa watto yatima wakike mmi nilitak kuowa moja nimeon km itawezekn

  • @TheAbrahman
    @TheAbrahman 2 ปีที่แล้ว

    Wapo wapi, Kijiji gani,

  • @sweetyahmed4506
    @sweetyahmed4506 2 ปีที่แล้ว +1

    Nataman mee nikae nae uyo m1 maan km mie sn baba

  • @adam-saffi211
    @adam-saffi211 2 ปีที่แล้ว

    Samia acha safari angalia hali halisi

  • @mwanakomborajab2091
    @mwanakomborajab2091 2 ปีที่แล้ว

    Nawao wanaomba msaada mkubwa

  • @mgalamohamed6956
    @mgalamohamed6956 2 ปีที่แล้ว

    As/alkm?nisawa mnavyofanya lkn mnafanya ibadan ya riya

  • @alichau3831
    @alichau3831 ปีที่แล้ว

    Hi ni ria kwani lazima mumtangaze

  • @adam-saffi211
    @adam-saffi211 2 ปีที่แล้ว

    Hawa viongozi wetu hawaoni aibu kula hela zetu na watu waishi hivi. We shuould shoot all politicians! This is a very sad story

  • @chalulumanyenga1151
    @chalulumanyenga1151 2 ปีที่แล้ว +1

    huyo mtoto alie ongea mwanzo alfatah nimempenda kwa ajili ya allah nifanyieni mpago

    • @selemohd9060
      @selemohd9060 2 ปีที่แล้ว

      Fafanua vizuri😂😂

    • @husna34562
      @husna34562 2 ปีที่แล้ว

      😃😃

    • @kiehbhzh7044
      @kiehbhzh7044 2 ปีที่แล้ว

      wtt masha llah polen sn na Allah atawafanyia wepesi

    • @kheiramour2973
      @kheiramour2973 2 ปีที่แล้ว +1

      Sema bath umempenda kvp kumfkia ni mara moja uyo

    • @mwanamisirama1836
      @mwanamisirama1836 2 ปีที่แล้ว

      tuambie bana

  • @hamidmweusiii35
    @hamidmweusiii35 2 ปีที่แล้ว

    Na miezi mingne mnafnya kama hv au ndo mwez huu t wa ramadhn mpate mjioneshe kwny channel yenu

    • @kheiramour2973
      @kheiramour2973 2 ปีที่แล้ว +1

      Wanafny san mbon labda hujafuatlia2

    • @sleifikhajjir262
      @sleifikhajjir262 2 ปีที่แล้ว

      hujafatilia kwa umakini unakurupuka tu kucoment

    • @hamidmweusiii35
      @hamidmweusiii35 2 ปีที่แล้ว

      @@kheiramour2973 aya barka ishaallah

    • @hamidmweusiii35
      @hamidmweusiii35 2 ปีที่แล้ว

      @@sleifikhajjir262 sw barka inshaallah

    • @fathiyaalrawahi6382
      @fathiyaalrawahi6382 2 ปีที่แล้ว

      Wanajitahidi sana mashaallah sio Ramadhani tu

  • @bibasulesh7866
    @bibasulesh7866 2 ปีที่แล้ว

    Bismillah mashaallah 💞