YUPO MLIPAJI WA YOTE HAYA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 ต.ค. 2024
  • Kutoka AL FATAH TV .
    Usisahau ku like, comment naku subscribe kwenye chanal Alfatah tv online kwa mawasiliano zaidi piga simu: +255 777 858 490
    #AlfatahTvOnline​​​​​​​​​​​​
    #AlfatahCharitableAssociation​​​​​​​​​​​​
    #ZANZIBAR​​

ความคิดเห็น • 11

  • @muhamedkhatib4913
    @muhamedkhatib4913 10 หลายเดือนก่อน +1

    Subhanallah yan kumbe tunafrahi kufunguwa viwanja vya michezo wakat afya za wachezaji haziko salama inauma sanaaa ila Allah ndo muweza wa yote

  • @shamsilmunnirislamic5005
    @shamsilmunnirislamic5005 10 หลายเดือนก่อน +2

    Humm!! Subhanaallah, Allah awalipe Kila la kheri Alfatah Inshaallah, MashaAllah Shekhe Rashid Salim na timu yako nzima mumefanya kazi kubwa na Inshaallah Allah atawalipa fungu kubwa hapa Duniani na kesho Akhera Inshaallah
    Allah bless you 🤲

  • @alliyharith3457
    @alliyharith3457 10 หลายเดือนก่อน +3

    Allah akulipeni Kila la kheri. Wabunge wawakilishi mko wap Hadi hamyaoni haya ktk majimbo yenu!!! Inahuzunisha sana.
    Viongozi tutembeeni Kwa wananchi wetu kujua changamoto zao.

  • @issarashid7707
    @issarashid7707 10 หลายเดือนก่อน +2

    Allah awalipe Alfattah mnafanya kazi kubwa mbele ya Allah na jamii

  • @fatimasaid9469
    @fatimasaid9469 10 หลายเดือนก่อน

    Alhamdulilah.
    Baraqah-llah

  • @waheedaw1953
    @waheedaw1953 10 หลายเดือนก่อน

    Alhamdulillah Rabbil alamina
    ALLAHUMMA Ameen thumma Ameen
    Tuko pamoja SHEIKH
    Allah atuwezeshe wallahi nimefurahi sana kwa ushauri mzuri

  • @fatmam1997
    @fatmam1997 10 หลายเดือนก่อน

    Mashaallah Allah awalipe kheiry nyote wahusika❤

  • @jumamambo7471
    @jumamambo7471 10 หลายเดือนก่อน

    Masha-alah baraka alah kheir insha-alah alah atawalipa kheir alfatah chini ya jemedar sheikh Rashid na time nzima ya alfata cherita

  • @bentybenty2343
    @bentybenty2343 10 หลายเดือนก่อน +1

    SUBHANALLAH
    ALHAMDULILLAH
    ALLAHU AKBAR..😢

  • @salamabakari8384
    @salamabakari8384 10 หลายเดือนก่อน

    Mashallah ❤❤

  • @shaameshaame9721
    @shaameshaame9721 10 หลายเดือนก่อน

    hivi hao viongozi mnawachagua Wana faida gani?