Shukran sana wallah. Uzuri kuyajua hayo wallah uchungu sana utanaduni wetu unakufa. Shukran saha mzee wetu na alfatah TV kwa kutuletea wazee wetu hawa na kutupa history yetu .
Wallahi MaashaAllah amenikumbusha mbali Sana kwani hakika michezo hiyo tulicheza Enzi zetu tujitahid wazanzibar kuenzi asili zetu na kutunza tamaduni zetu
Shekh Salum ,,ujue kama kwa maisha yetu ya leo uongozi sio dhamana bali wengi tunaamini ,,ni fursa ya kiuchumi,,ukiupata uongozi ,,ndio umepata fursa ya kujikomboa wewe mwenyewe kiuchumi
@@awatifalghanim1106 katika mchezo nilioufaidi basi nage 😅 mana mwisho tulikua tunashindana sisi wa Mwembetanga na Vikokotoni au michenzani hadi raha honi ikilia ndani laa unaendelea utakuja kushtukia fimbo 😂
Shekh salim said salim,umezungumza mambo mzr,kijuki penya penya,majani ya mdimu saga saga,njugu nilembwe,kweli mambo yameenda arijojo hata hio Zanzibar ipo arijojo,
Zamani watu wanajali sana katika kitika kila nyumba kuna kuana uwanja katikati kwa ajili ya kulea watoto na kucheza michezo mbali mbali na wazee wakituangalia ukifanya kosa unagombwa na mzazi yeyote ilikua raha sana na uwanja ikitokea shughuli yoyote iwe msiba au harusi watu wote hujumuika kwa ushirikiano wote
WANYASA WENYEJI NCHI HII. NA NDIO WATAWALA HAPA ZANZIBAR. WAZIRI MKUU WA KWANZA NI MNDENGEREKO. NA RAIS WA KWANZA WA SERIKALI YA MAPINDUZI ZANZIBAR NI MNYASA ASILIA
Hio michezo sie wa rika la 80s ndio kizazi cha mwisho kuicheza na tmpaka miaka ya early 90s ipo inachezwa imeanza kupotea kuanzia late 90s hivyo kuanzia vizazi vya 2000 kwao wao hayo ni hadithi tu.
Ndugu mtangazaji una umri gani hata mchezo wa maji ya mdimu uwe hukuusikia au ulikuja bada ya kumaliza darasa la 7 upande wa pili? Dont take it personal ni maoni tu na kufurahishana.
Tamaduni za nchi husimamiwa vyema na serekali zao, kilichopo nikwetu ni kutengeza mawizara na vyeo kula pesa walipa kodi , hawaja kazi wanayo ifanya. Na jamii nayo imeshindwa kushindikiza serekali yao kwenye hayo..
KWA SASA ZANZIBAR INAKWENDA ARIJOJO,HAKUNA KITAKACHO BAKI KATIKA UTAMADUNI WA ZANZIBAR,FIKIRIA HICHI KISIWA NI KIDOGO SANA HAKINA UDHIBITI ANAETOKA NA KUINGIA NCHINI WATU KUTOKA BARA WAMESHSKUWA WENGI NA KARIBU WATATUZIDI ,,HII NI HATARI SANA ,VITAMBULISHO VYETU WAZANZIBARI WANAPEWA WAO NA WAZANZIBARI WANAKOSESHWA ,,TAIFA LA ZANZIBAR LINAONDOKA NA WANALICHUKUWA WATANGANYIKA KWA UBWETE NA UTAMADUNI UKO ARIJOJO
Nyie wandishi wa khabar ndio mjifunze khasaa mana kiswahili chenu pia sio kizuri umesikia hapo katamka shamba nyie mnasema kijiji utasikia nipo hapa kijiji cha Nungwi sie tunasema tuu Shamba Nungwi kwahio jirekebisheni na changamoto iondoweni tena turudi kwenye asli museme matatizo
Shukran sana wallah. Uzuri kuyajua hayo wallah uchungu sana utanaduni wetu unakufa. Shukran saha mzee wetu na alfatah TV kwa kutuletea wazee wetu hawa na kutupa history yetu .
Shukraan saana kwa kuendelea kutuelimisha ❤
Mashallah tabaraqah.
Elimu pana sana tunapata awe nakipindi chake hapo maalum
Mimi namkubali mwandishi nguli Salim jinsi anavyoelezea mambo hongera Al Fatah ALLAH awalipe
Wallahi MaashaAllah amenikumbusha mbali Sana kwani hakika michezo hiyo tulicheza Enzi zetu tujitahid wazanzibar kuenzi asili zetu na kutunza tamaduni zetu
Shekh Salum ,,ujue kama kwa maisha yetu ya leo uongozi sio dhamana bali wengi tunaamini ,,ni fursa ya kiuchumi,,ukiupata uongozi ,,ndio umepata fursa ya kujikomboa wewe mwenyewe kiuchumi
Hm mashallah. Tukicheza maji ya mdimu. Bado tunaukumbuka. Na hiyo pia njuguni rembwe. Kwa kweli. Umetukumbusha mbali
Nilicheza michezo hiyo yote mashaa Allah umenikumbusha mbali mzee
Aslama alekum huyo Mzee kwa kweli kanifurahisha sana kwa kuichambua historical ya ZANZIBAR na mitaa yake
Nage ❤ Mkamasini jamani….michezo minyi sana ilikuwa Zanzibar. Ukumbusho mkubwa Leo.
@@awatifalghanim1106 katika mchezo nilioufaidi basi nage 😅 mana mwisho tulikua tunashindana sisi wa Mwembetanga na Vikokotoni au michenzani hadi raha honi ikilia ndani laa unaendelea utakuja kushtukia fimbo 😂
@@nailamohd-wn6sb Kkkk kweli 😂😂😂🤝
@@nailamohd-wn6sbyamenikuta hayo nilitumwa nikanunue makaa nikajisahau kwenye nage ... nilishtukia mikwaju tu 😅
Shukran kwa kipindi hichi kinatukumbusha mbali
Historia nzuri sana
Aslam alikum apo shekh rashid nakupa mauwa yako wallah
Kumbe mimi nimepata maadili mazuri Alhamdulillah
Babu kasema kweli wazenji hatuishi kuiga
Nimekuelewa mzee
Hii kibibi nipe maji, imenikumbusha mbali sana. Kweli ni kipima imani ya mtoto 😅😅😅😂😂😂
Shekh salim said salim,umezungumza mambo mzr,kijuki penya penya,majani ya mdimu saga saga,njugu nilembwe,kweli mambo yameenda arijojo hata hio Zanzibar ipo arijojo,
“Tuchimbue Hazina Iliyopotea” ❤
Naukumbuka mwembe wa sixfour hapo palikua na nyumba yetu
KISHADA ARIJOJO
NA
ZANZIBAR ARIJOJO
Haa haaa
Al fatah basi mukimualika mtu ekeni maji hapo
Zamani watu wanajali sana katika kitika kila nyumba kuna kuana uwanja katikati kwa ajili ya kulea watoto na kucheza michezo mbali mbali na wazee wakituangalia ukifanya kosa unagombwa na mzazi yeyote ilikua raha sana na uwanja ikitokea shughuli yoyote iwe msiba au harusi watu wote hujumuika kwa ushirikiano wote
Mashaallah❤
"MTU JINA LAKE HALIJUI." 😢😭
Hiyo ni mipango malum iliotengenezwa
Sawaaa😅😅😂😂😂
Yaani Maalim Rashid mchezo hii ni safi sana pamoja na maji ya mdimu mdimu.😂.
WANYASA WENYEJI NCHI HII. NA NDIO WATAWALA HAPA ZANZIBAR. WAZIRI MKUU WA KWANZA NI MNDENGEREKO. NA RAIS WA KWANZA WA SERIKALI YA MAPINDUZI ZANZIBAR NI MNYASA ASILIA
Kinyuki kipenya ilikua raha sana
Vitu hivi vya asili sio rahisi kuvipata mpaka kwa wazee wa busara kama hawa
Inasikitisha kwakweli
ZANZIBAR IN HISTORY
"Zanzibar has too much history in Africa after Egypt but has little geography."
Viwanja walokuwa watoto wakicheza Mitaani sasa kila mtu kazidisha nyumba yake kumekuwa hata hakuna hivyo viwanja.
Hio michezo sie wa rika la 80s ndio kizazi cha mwisho kuicheza na tmpaka miaka ya early 90s ipo inachezwa imeanza kupotea kuanzia late 90s hivyo kuanzia vizazi vya 2000 kwao wao hayo ni hadithi tu.
😭
AFAFANUE VIZURI ANAPOSEMA WAZANZIBAR SIO WAZANZIBAR HAWA WALIOJIPACHIKA. NANI MZANZIBAR NA NANI ALIYEJIPACHIKA.
Tunaomba huyu mzee aletwe tena atuelezee historia ya mapinduzi.
Haijui atatupakia tu
@@saidhamad7504 wewe unaeijuwa nipatie namba yako nikufuate ili nijifunze
Ndugu mtangazaji una umri gani hata mchezo wa maji ya mdimu uwe hukuusikia au ulikuja bada ya kumaliza darasa la 7 upande wa pili? Dont take it personal ni maoni tu na kufurahishana.
Tamaduni za nchi husimamiwa vyema na serekali zao, kilichopo nikwetu ni kutengeza mawizara na vyeo kula pesa walipa kodi , hawaja kazi wanayo ifanya.
Na jamii nayo imeshindwa kushindikiza serekali yao kwenye hayo..
Kweli maneno yko
Kabisa mjomba
KWA SASA ZANZIBAR INAKWENDA ARIJOJO,HAKUNA KITAKACHO BAKI KATIKA UTAMADUNI WA ZANZIBAR,FIKIRIA HICHI KISIWA NI KIDOGO SANA HAKINA UDHIBITI ANAETOKA NA KUINGIA NCHINI WATU KUTOKA BARA WAMESHSKUWA WENGI NA KARIBU WATATUZIDI ,,HII NI HATARI SANA ,VITAMBULISHO VYETU WAZANZIBARI WANAPEWA WAO NA WAZANZIBARI WANAKOSESHWA ,,TAIFA LA ZANZIBAR LINAONDOKA NA WANALICHUKUWA WATANGANYIKA KWA UBWETE NA UTAMADUNI UKO ARIJOJO
HANA JIPYA. TUNAMJUA VILIVYO
Nyie wandishi wa khabar ndio mjifunze khasaa mana kiswahili chenu pia sio kizuri umesikia hapo katamka shamba nyie mnasema kijiji utasikia nipo hapa kijiji cha Nungwi sie tunasema tuu Shamba Nungwi kwahio jirekebisheni na changamoto iondoweni tena turudi kwenye asli museme matatizo
Kijiji na hiyo changamoto vichekesho khassa 😂
@@awatifalghanim1106 vichekesho voo kiswahili chetu kizurii kisafii lkn wao wanaiga km alivosema hapo wazanzibar wazur kwa kuiga 😅