HUU NDIO UTOFAUTI WA MWANAMKE ALIYEFUNDWA NA ASIYEFUNDWA CHUMBANI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ต.ค. 2024
  • Kutoka AL FATAH TV .
    Usisahau ku like, comment naku subscribe kwenye chanal Alfatah tv online kwa mawasiliano zaidi piga simu: +255 777 858 490
    #AlfatahTvOnline​​​​​​​​​​​​
    #AlfatahCharitableAssociation​​​​​​​​​​​​
    #ZANZIBAR​​

ความคิดเห็น • 20

  • @FatmaOmar-r1t
    @FatmaOmar-r1t 2 หลายเดือนก่อน +2

    Sh .mi nachangia tofauti kati ya somo na mashauri,somo ni mshauri wa traditional way anatumia experience na haingii darasani kusoma ,lakin mashauri ni professional way experience ni ndogo zaidi,yy kwake kuingia darasani kusoma ni lazima , kwa yy ni ujuzi ambao unalindwa na theory maalum na practical zake ziko under special guidelines.

  • @salmamohamed1769
    @salmamohamed1769 2 หลายเดือนก่อน +5

    Naombeni pia muje muzungumzie na mada mipaka ya wazazi katika ndoa za watoto wao maana hapo napo Pana mengi

  • @zeinabathman4969
    @zeinabathman4969 2 หลายเดือนก่อน

    Swadakta somo mashallah hapo umegusa ndipo

  • @mohamedhussein-qb5sg
    @mohamedhussein-qb5sg 2 หลายเดือนก่อน

    Huyo somo pia nae aweamedumu kwenye ndoa na maadili mema , sio tena somo na kungwi wote wahuni wameachika ndoa millioni . Swadkta somo akiwa wa nasaba moja hapo kuna patikana stara .

  • @murangwahassan4291
    @murangwahassan4291 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hiyo chai jamani mbona hamutwambie inatengezwa visit?somo Lindsay.

    • @murangwahassan4291
      @murangwahassan4291 2 หลายเดือนก่อน

      Tunashukuru sana je munaweza kutufundisha jinsi ya kutengeneza hiyo chai?

    • @spreadlove5300
      @spreadlove5300 2 หลายเดือนก่อน

      Delusional 😂

    • @FatmaSaid-g3m
      @FatmaSaid-g3m 2 หลายเดือนก่อน

      Chai mbona anafundisha kwenye class zake? Join class zake tu utanufaik vingi

    • @KinguKingu-mg4ig
      @KinguKingu-mg4ig 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@FatmaSaid-g3m tunalipataje Hilo darsa lake

  • @hajiabdalla5772
    @hajiabdalla5772 2 หลายเดือนก่อน

    Hujui kiswahili.soma maana yake ni fundisho au mafundisho ya kiti fulani.na wajina ni mfanano wa kitu.iwe jina. Kungwi ni lugha ya kienyeji au ni laghaja ina maana ya maelekezo ya mahaba au mapenzi katika ndoa.

    • @AttiyaHassan_somomtoto
      @AttiyaHassan_somomtoto 2 หลายเดือนก่อน +1

      In shaa Allah kipindi kijacho unakaribishwa kuja kutufundisha kiswahili! Nami nijifunze 🙏

    • @hajiabdalla5772
      @hajiabdalla5772 2 หลายเดือนก่อน

      @@AttiyaHassan_somomtoto sawa sawa

  • @ramlaali4130
    @ramlaali4130 2 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤

  • @ModextaModexta-on7mi
    @ModextaModexta-on7mi 2 หลายเดือนก่อน

    🤲🤲🤲❤️❤️❤️❤️👌👌

  • @RashidiAlly-cl7fo
    @RashidiAlly-cl7fo 2 หลายเดือนก่อน

    Jee! yupo aliyekhitimu mafunzo ya ndoa?

    • @FatmaSaid-g3m
      @FatmaSaid-g3m 2 หลายเดือนก่อน

      Hakuna aliekhitimu mafunzo ya ndoa,kwasababu elimu ni bahari ni kubwa kila ukisoma unaona bado hujasoma utahitaji zaidi na zaidi imani kubwa hata wanaosomesha basi nao wana kiu pia yakusoma

  • @mohdahmed5389
    @mohdahmed5389 2 หลายเดือนก่อน

    Somo ina maana tofauti,mojawapo ni kufanana kwa majina haijalishi mwanamke kwa mwanamke au mwanaume kwa kwa mwanaume hapo dada yangu umekosea ,rudi kwa wazee wa wazamani wakujuze

    • @binamachano1342
      @binamachano1342 2 หลายเดือนก่อน

      Rudi tena darasan shoga mwanamme Hana somo ilo ulosema wew n wajna sio somo

    • @mohdahmed5389
      @mohdahmed5389 2 หลายเดือนก่อน

      @@binamachano1342 inawezekana umri wako ni mdogo ndio maana mnachanganya mambo,kwanza mambo hayo ya somo hayataki usasa hapo zamani hizi ni lugha zikitumika zaidi vijijini wala si mjini ,wajina hili ni lugha ikitumika zaidi na watu wa bara,wanzanzibar tumeiga tu kwasababu ya usasa ni sawa na kusema mawasiliano ila kwa usasa munaita miundo mbinu ni lugha zimekuja baada .wewe kama unaye babu ambae anafikia umri wa miaka 70 au 80 nenda kamuuluze nini maana ya somo?jaribu kuelewa kua kiswahili ni lugha ambayo nenomoja linaweza kua na maana zaidi ya mbili au tatu.ningelitamani murudishiwe kipindi cha tv znz( .Ndivyo tulivyo)ila mzee bakari abeid ameshatangulia mbele ya haki.

  • @theteacherchance6750
    @theteacherchance6750 2 หลายเดือนก่อน

    Mnadhani dunia ni ncha ya sindano 🪡 🪡 🧵