WAZIRI SILAA ANGILIA KATI MGOGORO WA WANANCHI NA MWEKEZAJI KURASINI | WADAI ENEO KUUZWA KINYEMELA.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 มิ.ย. 2024
  • Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi Jerry Silaa ameingilia kati mgogoro wa muda mrefu kati ya wananchi wapatao 246 na muwekezaji anayejulikana kama Tanzania Road Haulage katika eneo la kurasini wilayani Temeke jijini Dar Es Salaam ambapo wananchi wanadai kutolipwa malipo stahiki kulingana na uthamini wa maeneo yao mwaka 2008.
    Aidha Waziri Silaa baada kupitia nyaraka hizo na kuwasikiliza amewataka wananchi hao kuanzia jumatatu wafike ofisi za ardhi mkoa wa Dar Es Salaam kuhakiki malipo yake ili waweze kuona uhalali wa kile kilicholipwa na kama serkali iweze kuona inawasiadiaje wananchi wake.
  • บันเทิง

ความคิดเห็น •