Waziri Mchengerwa aagiza kusimamishwa kwa Mkurugenzi wa Igunga na watumishi wawili kwa upigaji

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 ส.ค. 2024
  • Waziri wa Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) Mohamed Mchengerwa ameelekeza Mkurugenzi wa Halmashauri ya Igunga aliyekuwa Halmashauri ya Kigoma Athumani Msabila pamoja na watendaji wawili wa mifumo waliopo Tamisemi kusimamishwa kazi maramoja kwa kutajwa na ripoti ya CAG kuhusika kwenye ufujaji wa fedha za mifumo.
    Mchengerwa ametoa maelekezo hayo leo Jumamosi, Novemba 4, 2023 ambapo bunge linajadili taarifa tatu za Kamati za Kudumu za Bunge za Hesabu za Serikali (PAC), Serikali za Mitaa (LAAC) na ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC) kuhusu Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) inayoishia Juni 30, 2022.

ความคิดเห็น • 14

  • @user-de2rg9kk7u
    @user-de2rg9kk7u 9 หลายเดือนก่อน

    Pole sana MKURUGENZI wa Igunga tumekupa Kazi umeshindwa nenda kalale na mke wako na watoto wako nyumbani Mpumbavu mshenzi Kuwahi kutokea

  • @bahatichombo7209
    @bahatichombo7209 9 หลายเดือนก่อน

    Maadamu mawaziribwote angekua kama huyu Mh waziri ingekua safi sana

  • @bahatichombo7209
    @bahatichombo7209 9 หลายเดือนก่อน

    Safi sana

  • @user-de2rg9kk7u
    @user-de2rg9kk7u 9 หลายเดือนก่อน

    Mchengerwa ni jembe la Kazi 💪💪💪🇹🇿

  • @user-de2rg9kk7u
    @user-de2rg9kk7u 9 หลายเดือนก่อน

    Mchengerwa ni Mtoto wa SAMIA SULUHU HASSAN NAMKUBALI SANA MWAMBA huyu HAPA 💪 jembe la Kazi 🙌🇹🇿

  • @user-de2rg9kk7u
    @user-de2rg9kk7u 9 หลายเดือนก่อน

    Mchengerwa ni Mtoto wa SAMIA SULUHU HASSAN. Ni jembe la Kazi 💪 chuma Cha Kazi iendelee 💪🙌🇹🇿

  • @fmngombaela551
    @fmngombaela551 9 หลายเดือนก่อน

    Kigoma kigoma kigoma vijiji jamani

  • @methuselamiligo614
    @methuselamiligo614 9 หลายเดือนก่อน

    Sawa wamjibu luhaga mpna hoja zake

  • @uswegemwakalobo6220
    @uswegemwakalobo6220 9 หลายเดือนก่อน

    Safi sana waziri Mchengerwa

  • @fmngombaela551
    @fmngombaela551 9 หลายเดือนก่อน

    Kigoma vijijini je

  • @jitabojilala6162
    @jitabojilala6162 9 หลายเดือนก่อน

    Nakukubari sana wewe na bashe wengine ,wanatetea maovu

  • @lordsm.k-db3wy
    @lordsm.k-db3wy 9 หลายเดือนก่อน

    Uongo huo

  • @MATHEIHAULE
    @MATHEIHAULE 9 หลายเดือนก่อน

    Kaka hapo tu nakuelewanga