DR.SULLE:MANENO YA YESU WIKI TATU KABLA YA KUPAA MBINGUNI || UISLAM NDANI YA VITABU VYA KALE.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 24 มิ.ย. 2021
  • #DrSulle #VitabuVyaKale #Zvponlinetv

ความคิดเห็น • 816

  • @ShamsaKwizera-vn1on
    @ShamsaKwizera-vn1on 5 หลายเดือนก่อน +2

    Katima shekh wote nakupenda wewe nimutumishiwangu ubarikiwesana Mimi ni mu kristo nakufatiria 💯/🙏

  • @justusngonyani165
    @justusngonyani165 7 หลายเดือนก่อน +3

    Tunakushukuru sana Dr.Unamtangaza BWANA YESU Kristo

    • @yasiromar9862
      @yasiromar9862 6 หลายเดือนก่อน

      katika uislamu huezi kua na imani kamili km hutowaamini mitume na kuamini vitabu vinne vya mitume na mtu akisema nabii issa(yesu) c nabii haiitwii muumini kwa dini ya kislamu

  • @suzie-2023
    @suzie-2023 5 หลายเดือนก่อน +2

    Baba yangu , ikiwezekana Kikombe hichi kiniepuke, basi Yesu alimuomba baba yake , Yesu ni mwana wa Mungu . Yesu alikuwepo, yopo na ataendelea kuwepo, jihimidiwe jina takatifu la Yesu Kristo mwana wa Mungu aliewahi ! Amen.

    • @kaoretosha6668
      @kaoretosha6668 3 หลายเดือนก่อน

      Kila mtu ni mwana wa Mungu, tumia akili...

  • @tanzaniaonechannel8998
    @tanzaniaonechannel8998 3 ปีที่แล้ว +12

    Mweyezi mungu awaongoze hii ni zaidi ya jihadi. Kuwarudisha watu katika dini ya kweli. Amina.

    • @josephmchila6467
      @josephmchila6467 3 ปีที่แล้ว

      No

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  3 ปีที่แล้ว +1

      Amiin Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv

    • @faisalashraf8031
      @faisalashraf8031 3 ปีที่แล้ว

      Mashaalah shukarani doct sule kuwakumbusha wasio waislamu

    • @joycewangui9780
      @joycewangui9780 ปีที่แล้ว

      Kunsyo tifauti ya kumjya Mungu na mapenzi yake na dini. Hakuna anayefika jwa baba bila kupitia kwake bwana yesu. Hekalu kuu sasa si mjengo, bali linajengwa ndani yetu.

    • @joramsengi9123
      @joramsengi9123 7 หลายเดือนก่อน

      Wewe unafuata Dini ?

  • @MtauliPatrice-so8pl
    @MtauliPatrice-so8pl ปีที่แล้ว +21

    Neno la Mungu kila anayejaribu kulitafakari kwa lengo lake ataelewa sawasawa na malengo yake....kabla ya kusoma Biblia ili uelewe sawasawa na mapenzi ya Mungu, muite Roho mtakatifu akuongoze utaelewa sawasaw na mapenzi ya Mungu..tofauti na hapo utakuwa kama wapiga dili wengine wenye makanisa yao huku duniani..Ila nikupongeze Doctor Sule ..ipo siku utaifahamu biblia vizuri.
    Sisi wakristu tunakupenda endelea kufanya kazi ya Mungu...hubiri Amani na upendo. Uislamu na Ukristu ni Ndugu wa Mama tofauti bali Baba yetu ni Mmoja hivyo Tunapendana na tunafundishana iliyo kweli.
    Tuendelee kupendana na kufundishana.
    Amin

    • @khalfanali
      @khalfanali ปีที่แล้ว +5

      Ipe akili Yako nafasi, moyo wako unakupeleka pasipo, akili Yako ndio itakuweka huru, silimu usalimike.

    • @MtauliPatrice-so8pl
      @MtauliPatrice-so8pl ปีที่แล้ว

      @@khalfanali usimwamini kamwe mtu yeyote aliebadili Imani yake...chukua hiyo

    • @daud405
      @daud405 ปีที่แล้ว

      hamna cha mtaka vitu shauri yako

    • @khalfanali
      @khalfanali ปีที่แล้ว +1

      Hauhitaji roho mtakatifu kufanya hesabu rahisi 2+2=4, vivyo hivyo huhitaji roho mtakatifu kusoma ukoo wa Yesu, kujua Yesu alitumwa mahsusi kwa Wana wa Israel na kubwa zaidi Kuna aliyemtuma. Huhitaji roho mtakatifu kujua kwamba wanaojiita wakristo Leo hawafuati hata Moja alilolileta Yesu, na badala yake wanafuata maagizo na maigizo ya waandishi.

    • @sammyaron3818
      @sammyaron3818 8 หลายเดือนก่อน

      @@khalfanali akili inakuweka huru ? Naona tayari umesha jipa hadhi ya u Mungu kuwa Unaweza kujiweka huru Kwa akili yako na kufanya chochote Kwa kujitegemea akili yako huo ni mtazamo wa kidunia ambao hata bible imeukataza unahitaji utulivu sana kuweza kuelewa hili
      Unasema unasema Yesu alikuja kwaajili ya Wana wa Israel upo serious kweli ? Hataivo sishangai kwann hujui kwakuw hata Mungu wa Quran haujui ukristo vizuri
      Any way kwakifupi Yesu alikuja kutimiza agano la Ibrahim na Mungu kama ni mfuatiliaji utaona Mungu ana muahidi Ibrahim kuw atamfanya kuwa taifa kubwa kitu ambacho Alisha kifanya lakin akamwambia kupitia uzao wake atabariki mataifa yote na Yesu alikuja kwaajiri ya kufanya mataifa yote yabarikiwe kupitia yeye kuhusu kuja Kwa wayahudi yes nikweli ilikuw lazima azaliwe ndan ya wayahudi kwasababu ya agano la Mungu na Ibrahim
      Lakin kingine nikuw wayahudi waliahidiwa na Mungu kuwa atakuja mtu ambaye atawaunganisha pamoja Yesu alipo kuja walidhan amekuja Kwa kazi ya kurudisha taifa la Israel ndio maana hata akati anapaa wanafunz walimuuliza nilin uta lirudisha taifa la Israel akawambia muda bado haujafika
      Sababu ya wayahudi kumkataa Yesu ni kwakuw waliona anaiharibu torat Kwa kusema yeye ni Mungu na kukamilsha sheria ambazo zilikuw hazija kamilika hivyo wakahisi ni mpotoshaji anaiharibu Imani yao

  • @husseiniddy2270
    @husseiniddy2270 ปีที่แล้ว +3

    Jadhakha LLAHU khair 🙏🙏👍 👍 mwenyezi mungu akufanyie wepesi shekh tena akulinde daaiman akue ghilimu Zaid ya hiyo inshaaa ALLAH!!

  • @user-lj5li1ys7w
    @user-lj5li1ys7w 8 หลายเดือนก่อน +5

    Ukimtamka Yesu, kwaimani,Pepo huutii, ukiwa kwenye shidqyoyoteukitaja jina la Yesu unabarikiwa.Kwenye biblia tunaambiwa wakwanza watakua wamwisho,na wamwisho watakua wa kwanza,ni siku za mwisho,hata waliokua wanamkataa Yesu, Sasa wameanza kumhubiri,Mungu apewe sifa jamani.Neno la Mungu liko pale pale,Jana Leo na hata milele.Mbingu na Nchi vitapita lakini Neno la Mungu halitapita kamwe litadumu Milele.Amina.

    • @niyakhalid5650
      @niyakhalid5650 7 หลายเดือนก่อน

      Nani alikwambia kama WaIslam hatumuamini Yesu?
      Hatumuabudu ila tunamuamini kama mtume wa Mwenyezi MUNGU

    • @user-fc9pp4us6r
      @user-fc9pp4us6r 6 หลายเดือนก่อน

      Amen 🙏 umeongea point mtupuu nakuacha na yohana3:16 ishi nayo

  • @AliOmar-bx2oz
    @AliOmar-bx2oz 3 ปีที่แล้ว +13

    Endelea kuwaelimisha wachamungu katika wakristo wanaokusikiliza. Asilimia kubwa ya wakristo wachamungu wanakuelewa isipokuwa wandawazimu wachache.

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  3 ปีที่แล้ว +2

      Mashaallah Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv

  • @samweleliah4814
    @samweleliah4814 ปีที่แล้ว +1

    Dr Sure, unasoma vizuri sana ila kidogo t umenukuu vibaya, Yesu alitahadharisha kuwa watu watatokea wamisema na kujitaja wao ni Kristo.

  • @kassimali9413
    @kassimali9413 3 ปีที่แล้ว +6

    Mungu akupe umri mrefu Dr sule

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  3 ปีที่แล้ว +1

      Amiin Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv

  • @sawdaasawdaa7903
    @sawdaasawdaa7903 3 ปีที่แล้ว +5

    Masha Allah sheikh wangu ananiosha muno apa hakuna mucristo wakunivamia yani sheikh zangu wa haziri wa kiisilam mulisoma kabisa

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  3 ปีที่แล้ว +1

      Mashaallah Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv

  • @Kishilibenjamin
    @Kishilibenjamin 7 หลายเดือนก่อน

    Mimi mkristo na uislamu nimeikubali na kuipenda kwa sababu ya mafundisho yako.. MUNGU akuzidishie Nguvu na ujasiri ktk kusimamia ukweli. Ameen

  • @joannewaffubwa2267
    @joannewaffubwa2267 ปีที่แล้ว +24

    Yaani shekh amenielewesha kushinda my sunday school teacher

    • @SelemanKanda
      @SelemanKanda 9 หลายเดือนก่อน +4

      Joan ww ndio miongoni mwa wakristo wachache waliokuwa waelewa ,mungu hakupe ufahamu mkubwa.

    • @pendosamwel1682
      @pendosamwel1682 8 หลายเดือนก่อน

      Acha kudanga yawatu. Hakuna ubusiano kati ya hekalu na msikiti. Wapi na wapi kati ya Yahweh na Allah ?

    • @pendosamwel1682
      @pendosamwel1682 8 หลายเดือนก่อน

      Nakuombea uishi miaka mingo, unaweza kushuhudia msikiti huo unabomolewa ilihekslu lijengwe

    • @ezekielkitula4495
      @ezekielkitula4495 8 หลายเดือนก่อน

      Pole Joan kwa kukubali kupotoka. Sidhani kama umesikiliza clip yote. Hakuna chochote ambacho huyu shehe anakijua kuhusu Neno la Mungu la kweli. Anachojua ni historia na maandiko tu. Ukimsikiliza vizuri mwishoni utaona anavyojichanganya mwenyewe. Nakusihi ulisome Neno la Mungu vizuri katika hiyo mistari anayoisoma.

    • @esthermramba9395
      @esthermramba9395 8 หลายเดือนก่อน +1

      Kwa Yesu sibandiki ng'o

  • @halidnaamo6156
    @halidnaamo6156 8 หลายเดือนก่อน +1

    Yaani nilikuwa nafikiri Dr Dr kweli kweli kumbe bado ufahamu wake ni mdogo Sana,Biblia haijui kabisa

  • @rosemrope
    @rosemrope 4 หลายเดือนก่อน

    Asante sana Kwa upendo huu hakika waislam na wakristo sie wote ni ndugu Mungu Akutunze napenda mafundisho yako

  • @neemaadam9256
    @neemaadam9256 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mash Allah. Nimekuelewa vizuri Sheikh Sulle. Alhamdilillah nimeijua kweli👏

  • @bellbell9294
    @bellbell9294 3 ปีที่แล้ว +3

    Maashaa Allah somo zuri Sana sheikh wetu Allah akulipe kher

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  3 ปีที่แล้ว +1

      Mashaallah Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv

  • @user-ij5rj5oo4j
    @user-ij5rj5oo4j 8 หลายเดือนก่อน +1

    Amini nawaambieni Waislam walio wengi wataingia motoni kwa sababu Ukweli mnaujua halafu mnayoyafanya NI tofauti na mlichofundishwa Ila kwa wale wenye hekma kama wewe Hongera sana

    • @kwisa4899
      @kwisa4899 8 หลายเดือนก่อน

      Bible inasema Mwenyezi Mungu hatotoa hukumu pasipo kuwafunulia kweli yake, waislam watafunulia neno kabla ya kihama kwasababu ni wapagani, Mungu hana abali na wapagani

    • @kaoretosha6668
      @kaoretosha6668 3 หลายเดือนก่อน

      Hujui usichokijua....tafuta ....

  • @kingilazaro344
    @kingilazaro344 3 ปีที่แล้ว +5

    Mash Allah,jazakallah kheir sheikh doctor sule.

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  3 ปีที่แล้ว +1

      Mashaallah Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv

  • @dcharles4647
    @dcharles4647 3 ปีที่แล้ว +5

    Waooo anaonekana ataokoka mda c mrefu huyu maana anaelekea kuijuwa ile kweri inayoweka watu huru💫

    • @huntermakini
      @huntermakini ปีที่แล้ว

      Ww unasema ivo lakn wenzio wanampinga. Hamjielewi wakristo

    • @rashidminihaji96
      @rashidminihaji96 10 หลายเดือนก่อน

      Hawez huyo Quran iko kifuan na ina hiyo Injil Taurat na Zabir.

  • @eppiemodest
    @eppiemodest 7 หลายเดือนก่อน

    Huyu ni Mtumishi wa Mungu. Angepita makanisani na kuwaelewesha vizuri. Ana kipaji sana na uwelewa. Ni zaidi ya wachunga .

  • @zubedaalice8172
    @zubedaalice8172 5 หลายเดือนก่อน

    Waaleikum Salaam warahmatullahi wabarakaat. jazakAllah kheir

  • @nuruchikoe1959
    @nuruchikoe1959 3 ปีที่แล้ว +3

    Masha Allah shekh wangu nakupenda kwa ajili ya Allah

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  3 ปีที่แล้ว +1

      Mashaallah Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv

  • @ramadhaniluambano7593
    @ramadhaniluambano7593 ปีที่แล้ว +8

    be blessed for revealing the truth about Jesus and the coming doomsday. you have narrated the scripture as supposed. to who does not understand wait to be put in fire.

    • @dorcaskarago2876
      @dorcaskarago2876 ปีที่แล้ว

      No He just needs the Holy Ghost to understand the Bible

  • @yusufseifu4967
    @yusufseifu4967 ปีที่แล้ว +2

    Jazaaka lahu haira sheikh Alhaj DOCTOR SULE

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  ปีที่แล้ว +1

      Amiin Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv

  • @samweleliah4814
    @samweleliah4814 ปีที่แล้ว +2

    Yesu Kristo ndiye njia kweli na uzima, umebakiza kitu kimoja tu kubatizwa maana umekwisha kumkiri na unamhubiri vizuri sana na huo ndio utabiri wake kuwa neno lake litahubiriwa na watu wote, kubari yaishe sababu kweli unaijua.

    • @yasiromar9862
      @yasiromar9862 6 หลายเดือนก่อน

      waislamu wote tunafaa kuwaamini mitume na kuyafuata mambo yao na yesu tunamtambua km nabii na amepewa injili ambayo tunafaa tuiamini lakn km iko sawa haijapotoshwa na mikono ya watu

  • @hassanmwangi6509
    @hassanmwangi6509 5 หลายเดือนก่อน

    Ma shaa Allah sheikh mafunzo ni mazuri na ya kueleweka....Allah na akuzidishie

  • @user-lj5li1ys7w
    @user-lj5li1ys7w 8 หลายเดือนก่อน

    Shekhe,umesema kweri,nikupongeze Kwa tafakari ya Neno la bwana,kubadirika Kwa jengo la kuabudu Kuna ukweri nyuma ya paazia ambao hatujaufaham.nahisi kulitokea mkanganyiko.Tuombe Mungu atupe amani TU. Dini haimpeleki mtu mbinguni.cha msingi tuwe na matendo mema,maana ndiyo yatakayotusindikiza akhera.Mi nikupongeze sana Kwa neema hiyo Mwenyezi Mungu amekupa ya kuielewa biblia,ni wachache wenye hiyo neema.umepewa neema, basi endelea kunitumia Kwa neema.Mugu akubariki sana.

  • @wilfredlukowo9476
    @wilfredlukowo9476 2 ปีที่แล้ว +2

    Hatutaacha kumfuata yesu kristo.wa mwilini bakini lakini kama unataka kwenda mbinguni YESU NDIO NJIA NA UZIMA TUMFUATE YEYE

  • @user-lj5li1ys7w
    @user-lj5li1ys7w 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mimi nikuulize,kwenye kitabu Cha mwanzo, Mungu aliumba Kila kitu Kwa Neno, alitumia wingi.niambie alikua na kina nani?alisema na tufanye mtu Kwa mfano wetu.walikua nani na nani.nisaidie shekhe.Mimi nafurahi sana, tafakari ya Neno la Mungu.nahisi kubarikiwa kabisa.Roho wa Mungu azidi kukutumia.

    • @SEIFKHAMISMOHD
      @SEIFKHAMISMOHD 8 หลายเดือนก่อน +1

      Mungu ni Mungu tu atakacho kisema yeye au atakacho kifanya yeye hakiping kwahiyo ww usiwe na fikira zako tu

  • @HELLENNdungo
    @HELLENNdungo 4 หลายเดือนก่อน

    Mashalla dr

  • @raymonadsaliboko3068
    @raymonadsaliboko3068 3 ปีที่แล้ว +4

    Mungu awabariki waisilamu,kwakukili kua yesu alipaa na hakuzikwa kama muhamadi,siku ya mwisho atakuja kuukumu naye ndiyo njia yakifika kwa Mungu,mama yupo hai,soma koloani mstari au sula 41

    • @fadhilikawambwa1586
      @fadhilikawambwa1586 3 ปีที่แล้ว

      AMIN.ILA KUMBUKA WAJINGA HAWAISHI MJINI

    • @nahsebuulahmimu8124
      @nahsebuulahmimu8124 3 ปีที่แล้ว

      Unailewa ninjia kivip lakn kka

    • @alhamdulillah5796
      @alhamdulillah5796 3 ปีที่แล้ว +2

      Sasa ww mwenyewe ulitakikana utumie akili unavyoambiwa kila nafs itaonja mauti na Yesu naye ananafs na anarudi duniani. Hujiulizi kufanya nn? Kwakukusaidia tu ni Kuonja mauti.

    • @alhamdulillah5796
      @alhamdulillah5796 3 ปีที่แล้ว +5

      Kiufupi naye atakufa na atazikwa.

    • @jamalmshenga1851
      @jamalmshenga1851 3 ปีที่แล้ว +1

      KWAIYO USHAKUBALI YESU HAKUULIWA EE?

  • @stevensosipita
    @stevensosipita 7 หลายเดือนก่อน

    UKWELI WOTE MNAUJUWA JUU YA YESU MWANA WA MUNGU ILA MNAPINDISHA UKWELI MUNGU ATWAHUJUMU WOTE MAZINGE NDO WAKWANZA🙏🙏🙏🙏

  • @user-yp2yd1mp7h
    @user-yp2yd1mp7h 7 หลายเดือนก่อน

    Shehe ni Muongo sana Yesu mwenyewe akuhukumu usichokijua mishipa inakutoka kudanganya watu someni (Luka 2:11maana katika mji wa daudi amezaliwa kwaaji yenu ndiye Kristo Bwana) acheni ufala fundisheni dini yenu

  • @MaishaAlly
    @MaishaAlly 2 หลายเดือนก่อน

    Yesu n Bwana amini uokoke

  • @benardjaloo5263
    @benardjaloo5263 2 ปีที่แล้ว +6

    Mungu atulinde dhidi ya maovu ya dunia na watu wadhalimu ameen inshaallah

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  ปีที่แล้ว +1

      Amiin Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv

  • @hamedfaisal9449
    @hamedfaisal9449 3 ปีที่แล้ว +4

    Swadakta dr sule Allah Barik

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  3 ปีที่แล้ว +1

      Amiin Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv

    • @thomasngui826
      @thomasngui826 3 ปีที่แล้ว

      Katika siku ambaye nimefarijika Ni kusikiliza mahubiri yako Dr Sule kila siku tunawaambia waislam alipo Yesu kila goti litapigwa umeanza kumhubiri Yesu kama alivyokuwa Sauli ( Paulo) ( kumbukeni m/ MUNGU alivyowaambia malaika msujudieni Adam "wakamsujudia " isipokuwa Shetani alikuwa miongoni mwa majini kumbuka anayekataa kumsujudia mwana wa Adam Ni shetani miongoni mwa majini

    • @bilo1106
      @bilo1106 ปีที่แล้ว

      ​❤❤❤❤❤❤

  • @FaidaRUZAMUKA
    @FaidaRUZAMUKA 7 หลายเดือนก่อน

    Unanifuraisha sana tena sana. Mwenyezmungu akupe maisha marefu.

  • @starboy4933
    @starboy4933 3 ปีที่แล้ว +2

    Ishaa Allah Shee wangu nakupenda sana.

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  3 ปีที่แล้ว +1

      Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv

  • @AlhajiSaidi-uo8zl
    @AlhajiSaidi-uo8zl 8 หลายเดือนก่อน

    Amina

  • @emmanuelvenance7093
    @emmanuelvenance7093 6 หลายเดือนก่อน

    Umejidharirisha sana alhaj

  • @belafontesteven5144
    @belafontesteven5144 3 ปีที่แล้ว +19

    Injili Safi kabisa, najua hakika wapo wengi watakao mjua kristo kupitia hii.Mungu akubariki mtumishi wa Mungu Dr Sulle.

    • @stewartsheiza5036
      @stewartsheiza5036 3 ปีที่แล้ว

      Njaa unayozungumza sio hiyo ya kula na sio ya Sudan tu nikwadunia si njaa ya kukosa chakula kwa ajili ya tumbo

    • @saimonmapunda-bx3rp
      @saimonmapunda-bx3rp ปีที่แล้ว

      Yesu hakuingia. MSIKITINI. Hakuna
      ANDIKA yesu. Hakuingia msikitini

    • @nassorsharifu9837
      @nassorsharifu9837 ปีที่แล้ว +1

      @@saimonmapunda-bx3rp unataka kusema aliingia kanisani?

    • @woah.africa99
      @woah.africa99 ปีที่แล้ว +3

      ​@@saimonmapunda-bx3rp miskiti wa Al agsa sio misikiti kumbe ni nn? Allieda ulaya hiko ndio kuna makanisa huko alipo zaliwa hamna na wayahudi wanasali kwa kichwa kumfata nabee basi chunguzeni mjue ukweli mitume wote ni waislam mmungu ni mmoja alie waleta sio miungu

    • @dorcaskarago2876
      @dorcaskarago2876 ปีที่แล้ว

      ​@@saimonmapunda-bx3rpmusikiti ndiyo hekalu kwa swahili bora

  • @yonassngonye3759
    @yonassngonye3759 ปีที่แล้ว +1

    Sule umeuimarisha zaidi ukristu wangu

    • @allynayomo485
      @allynayomo485 ปีที่แล้ว

      Wahubiri wote wangekuwa hivi kusingekuwa na mgongano ya kiimani

  • @deusmboro-cs6hx
    @deusmboro-cs6hx ปีที่แล้ว

    Mefafanuwa vzr sanaa ilaa apo mwishonii umemalizia kwa kutuvuta sisi tuje kwenye uwislam apana kila mtu abaki na anacho kiamini bwana unataka kuwa kama mlokole sasa manaa utufundisha vzr sanaa ilaa umaliziaji wako ulivyo maliza sijapendaa umekuja kuturubunii tuuu kila mtu aishi kwa jinsi anavyo aminii imanii alazimishiwiii ata siku mojaa

  • @ahmedbakari9223
    @ahmedbakari9223 3 ปีที่แล้ว +3

    Dr masha Allah huko ndio pahali yako na ndio tunakuelewa sanaaa kule kwengine utajikosea heshima yako wachie vijana wako in shaa Allah

    • @joezeno8
      @joezeno8 3 ปีที่แล้ว +1

      Nakubali Kabisa

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  ปีที่แล้ว +1

      Wapi huko pengine

    • @ahmedbakari9223
      @ahmedbakari9223 ปีที่แล้ว

      @@zvpOnlineTv kuuza dawa sio sehem yake wengi tumemzoeya au kumpendeza akiwa mtoa daawah au Dr mzee wa sayansi na teknolojia ndani ya Qur'an

  • @karolikisaka8991
    @karolikisaka8991 3 ปีที่แล้ว +3

    Siyo vizuri kuwadanganya watu kupitia maandiko
    Yesu kristo hakuja tu kwa ajili ya nyumba ya Israel Bali kwa watu wote
    Alipokuwa anatia wosia wa mwisho kabla ya kupaa aliwaambia wanafunzi wake enendeni ulimwenguni mwote mkawafanye mataifa yote wawe wanafunzi wangu.

    • @athumanitanuke6795
      @athumanitanuke6795 3 ปีที่แล้ว

      Andiko lipi kaka

    • @mariamngadoa7808
      @mariamngadoa7808 3 ปีที่แล้ว

      Mataifa Ina maana yale 12 ya israel

    • @karolikisaka8991
      @karolikisaka8991 3 ปีที่แล้ว

      @@mariamngadoa7808 biblia haisomwi kama mnavyoitafsiri nyie biblia Ina mistari mingi inayotafsiri uhalisia wa maneno ya Yesu

    • @odilomwemeziernest646
      @odilomwemeziernest646 ปีที่แล้ว

      @@mariamngadoa7808 mbona huelewi?yale ni makabila ndani ya taifamoja kama Tanzania tulivo na makabila 120 kwenye taifa moja.kwa hiyo hapo alimanisaha nchi ambamo ndani mwake kuna makabila msitufanye kama hatuna ufaham.

    • @joramsengi9123
      @joramsengi9123 7 หลายเดือนก่อน

      ​@@athumanitanuke6795Yohana 3:16
      [16]Kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ULIMWENGU, hata akamtoa Mwanawe pekee, ili kila mtu amwaminiye asipotee, bali awe na uzima wa milele.
      ULIMWENGU MAANA YAKE NI NINI ?

  • @abasingaruka1872
    @abasingaruka1872 5 หลายเดือนก่อน

    Inavoeleweka uislsmu unamjua Bwana Yesu, isipokua uisilamu unamafundisho ya kugeuza geuzza na.kubadilisha nalaukweli Bwana Yesu ndio njia ya ulimwengu,

  • @mpendakiswahili3053
    @mpendakiswahili3053 3 ปีที่แล้ว +3

    Kiswahili ki safi mno... hongera kwa kuwajibika kwa lugha ...

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  ปีที่แล้ว +1

      Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv

    • @thomasngui826
      @thomasngui826 ปีที่แล้ว

      Dr Sule wewe ni Shekh humalizii mandiko unarukaruka kwa malengo uliyonayo kumbuka imeandikwa atakayewapotosha watu wangu ni heri mtu yule afungiwe jiwe la kusaga atupwe kwenye kilindi cha bahari ogopa kufanya hicho unachokifanya hebu tumia mda wako kumhubiri ALLAH unayemwabudu haya mengine huyawezi

    • @user-ms9xw8zr8e
      @user-ms9xw8zr8e 9 หลายเดือนก่อน

      Right

  • @IsackCharles-ei4lk
    @IsackCharles-ei4lk ปีที่แล้ว

    Dr sure mimi nikupongeze kwa kufafanua maandiko vizur sana na Mungu akupe kuijua kweli na kweli hiyo ikuweke huru historia ya uislam doctor imeanza mwaka wa 600 AD kuna miaka mingi sana hapo mwanzo hakukuwa na miskiti na ambacho unatkiwa kukumbuka hekalu sio msikiti bali ni nyumba ya ibada inayotumiwa na wayahudi na siowaislam na mimi natamani umjue zaidi Yesu ili awe Bwana na mwokozi wa maisha yeye ni njia na kweli

    • @user-mf4km2gi9l
      @user-mf4km2gi9l 7 หลายเดือนก่อน

      Hayo sio maneno ya sule ni bible sule ananukuu tu

    • @joramsengi9123
      @joramsengi9123 7 หลายเดือนก่อน

      ​@@user-mf4km2gi9lkanukuu wapi panaposema Hekalu la Suleiman ni msikiti ?

  • @user-hw7ce8gf6v
    @user-hw7ce8gf6v 8 หลายเดือนก่อน

    Waislam mnazidi kujichanganya wenyewe kila siku
    LUKA 8
    10 Akasema, nyinyi mmepewa kuzijua siri za ufalme wa Mungu, bali wengine kwa mifano, ili wakiona wasione, na wakisikia wasielewe.
    WAGALATIA 3
    26 Kwa kuwa ninyi nyote mmekuwa wana wa Mungu kwa njia ya imani katika Kristo Yesu
    27 Maana nyinyi nyote mliobatizwa katika Kristo mmemvaa Kristo
    28 Hapana Myahudi wala Myunani, hapana mtumwa wala huru, hapana mtu mume wala mtu mke, maana nyinyi nyote mmekuwa mmoja katika Kristo Yesu
    29 Na kama ninyi ni wa Kristo, basi, mmekuwa uzao wa Ibrahim, na warithi sawasawa na ahadi.
    Amen !!!

  • @mohammedopetu2745
    @mohammedopetu2745 3 ปีที่แล้ว +3

    MashaAllah

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  3 ปีที่แล้ว +1

      Mashaallah Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv

  • @jumamlanda5266
    @jumamlanda5266 8 หลายเดือนก่อน

    MAREKRBISHO! katika niliyosema ktk post2 hapa Chini kuna sehemu ni sawa na kuna sehemu nimekosea .Na kwakuwa hatuwezi kujadili moja kwa moja ili nirekebishe pale nilipokossea NAMBA KUFUTA MAFUNDISHO YA POST zangu 2 za hapa chini ili kuepuha upotoshaji zaidi usio wa makusudi ktk jambo hili.Ahsanteni

  • @miambayankeba1084
    @miambayankeba1084 ปีที่แล้ว +3

    Mwezimungu ,awajaaliye kuwaingizwa peponi, na awajaliye msamaha Kwa juhudi yenu ya dini

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  ปีที่แล้ว +1

      Amiin Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv

    • @joramsengi9123
      @joramsengi9123 7 หลายเดือนก่อน

      Mungu wenu anasamehe kwani 😂😂😂😂 au mpaka awachome kwanza

  • @kambanimwanyulu7570
    @kambanimwanyulu7570 3 ปีที่แล้ว +2

    Sehemu nyingi Sheikh umetereza, kwa mfano juu ya mlima wa mizeituni alihubiri unabii wa mambo makuu yatakayo tokea cku za mwisho ambayo mengi yametimia

  • @FLORENCEYUDAMKAMA-xl7jl
    @FLORENCEYUDAMKAMA-xl7jl 9 หลายเดือนก่อน +1

    Dr Sulle Nimekufuatilia Sana Unatumia Bible kufundisha lakini unakosea kutumia Mantiki ya maneno kupotosha umma soma Kwa Mantiki halisi ni kwamba Yesu alimanisha watu watakuja wakijiita kuwawao ni Kristo na watawadanganya wengi Kwa kufanya ishara sawa na yeye, Wewe Leo unatumia kupotosha Mantiki ya uwandishi kwa manufaa ya Dini Yako.

    • @swahibually8349
      @swahibually8349 9 หลายเดือนก่อน

      Kwahiyo wewe unasemaje kuhusu Utume wa Yesu kwa wana wa Izraili? Unataka useme Yesu alitumwa na kwa watu wengine wasiokua Waizrail yaani ukimaanisha na wewe pia Mtume wako ni YESU?

  • @shalomchaula4420
    @shalomchaula4420 8 หลายเดือนก่อน

    Ndugu zangu yani hii ni mpango wa Mungu kabisa jina la Yesu litatajwa mara nyingi ili lisiwe geni masikioni na miyoni mwa watu ,na ule wakati ukikalibia watu waokolewe na kuijua kweli kwahiyo shekhe Mungu akutumze mim ni mkristo najua Mungu yupo kazini
    Kwa haya zote unazopotosha na kuweka historia Mungu akudamehe ila kama mmetamubua Yesu Kristo + msalaba na kuwa Yesu Kristo atarudi tena kuhukumu ulimwengu ( msalaba ni kweli ilikuwa laana wagalatia 3:13 umesoma ila someni maandiko yote ilimpasa aendee msalaba kwa kubeba ahibu, laana na kila aina ya vifungo ili tuwe huru)

  • @fardoshnassor7847
    @fardoshnassor7847 2 ปีที่แล้ว +2

    Mashallah Allah 💕

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  ปีที่แล้ว +1

      Mashaallah Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv

  • @jeanbb1385
    @jeanbb1385 3 ปีที่แล้ว +2

    Ubarikiwe Sana

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  3 ปีที่แล้ว +1

      Amiin Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv

  • @MartinNdingo-bw6wt
    @MartinNdingo-bw6wt 8 หลายเดือนก่อน +1

    Yesu. Ndie njia ya kweli na uzima

  • @user-xu2xm6db4f
    @user-xu2xm6db4f 6 หลายเดือนก่อน

    Mungu akubariki sana

  • @hellen9056
    @hellen9056 9 หลายเดือนก่อน

    Wewe ndiye unaetaka kuwapotosha watu kwamba Yesu siye kristo sasa nakiri mbele yako kwamba yesu ndiye kristo na mokozi wa maisha yangu tena yesu alinionya kwamba nisiwsamini watakao kuja kunidanganya kwamba wao ndiyo makristo akaniambia nisiwaamini hao kwasababu yeye kama vile umeme unavyo katika ndiyo atakavyo kuja Bwana wa mabwana Nayeye. Ndiye njia iliyo nyooka Njia safi ni yesu kristo njia ya ukweli na uzima ni yesu kristo

  • @mrsab303
    @mrsab303 ปีที่แล้ว

    MashaAllah MashaAllah 💕💕💕💕

    • @omarijames1472
      @omarijames1472 ปีที่แล้ว

      Mm sisikilizagi wapinga christo akuna awezahe kwenda kwababa bila kupitia kwangu mm ndio njia ya kweli na uzima alisema bwana yesu potesheni wasio soma bibilia kilakitu kilifundishwa mpaka kusali alisema watakuja manabihii wa uwongo watakuja kwajina langu ndio unaona watuuu wanaojihita manabihii lakini akusema sheee anavotupoteza ata wakiristo wapo wanaotumia jina lake kupoteza watu kwenye upande wawapiga kristo kumbukeni alisema bwana wetu yesu ukinikana nami nitakukana mbele baba yangu atakuruhani ina mzungumzia sijawahi soma bibilia walakusikia bibilia hinamzungumzia mtume atakidogo

  • @nalingarowl7048
    @nalingarowl7048 ปีที่แล้ว

    Huwezi kujua habari za Yesu Kwa sababu bila Roho Mtakatifu kitakachoelezwa ni ubinadamu mtupu.
    * Yesu ni Baba,Mwana na Roho Mtakatifu.Akili ya kibinadamu haiwezi muelewa mfumo huu. Mungu ni Mfumo. Mungu sio kama Jabali au bahari,Mungu ni Roho na Wanaomwabudu watapaswa kumwabudu katika Roho wa kweli

  • @allyabdallah4357
    @allyabdallah4357 7 หลายเดือนก่อน

    Mashaaa allah shekh Allah akujaalie kheri maana unafikisha na una kumbusha ukumbusho utakao wafaa watakao amini ili kila mwada Adam asije akasema sija wahi kusikia haya mafundisho ni juu yao

  • @rubbenjohn9451
    @rubbenjohn9451 8 หลายเดือนก่อน +2

    Nimegundua Sule anaipenda sana Injili ya Yesu Anasoma maneno ya Yesu kwa hisia kabisa

    • @richardnganya2311
      @richardnganya2311 7 หลายเดือนก่อน

      Bwana Yesu..
      Maandiko matakatifu..
      Kuna kuhubiri habari za Yesu Kristo kutoka kwa watu wasio wa Biblia.

    • @Maua-pg5gl
      @Maua-pg5gl 7 หลายเดือนก่อน

      ​@@richardnganya2311ambao ni watu wa Quran na mtume wetu ndyo Muhammad Kwa sababu tunasema kweli na yesu ni nabii wa Allah..Allah hawaongoze kwenye njia ilionyooka na hawape upeo wakupambanua haya zake tukufu

  • @Nicolao801
    @Nicolao801 ปีที่แล้ว

    Shekh Mazinge katika maelezo yako umepotosha hapo uliposema Yesu siyo Kristo. Rejea Mathayo 16:13-18

  • @suleimanjuma3072
    @suleimanjuma3072 2 ปีที่แล้ว +2

    Mashalla!

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  ปีที่แล้ว +1

      Mashaallah Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv

  • @cuthbertdongwe2477
    @cuthbertdongwe2477 7 หลายเดือนก่อน

    Kweli unasema Yesu si Kristo kisha unatumia mstari ambao Yesu anajitambulisha ni Kristo!! Huu ni upofu wa ajabu

  • @jumamusa4252
    @jumamusa4252 ปีที่แล้ว

    Mungu akubaliki sule

  • @asteriashios1852
    @asteriashios1852 9 หลายเดือนก่อน

    Mie nimempenda sana mtu msema kweli duh angekuwa karibu ningempa maua yake bc na wengine waige mfano wake hongera dr sule

  • @GilbertNhigula
    @GilbertNhigula 7 หลายเดือนก่อน

    Yesu Kristo Anasema Wengi Watakuja kwa jina Langu !, Je kwa Ndani yaani Rohoni Mwao je Wana Yesu Uyu wa Kweli ?, Hao watakao Kuja kwa jina lake ?, Jibu hapana Hao ndio Mbwa mwitu Simba kuvaa ngozi ya Kondoo ,!.

  • @user-fx2hb7bp6p
    @user-fx2hb7bp6p 9 หลายเดือนก่อน

    Mashaallah

  • @dorcaskarago2876
    @dorcaskarago2876 ปีที่แล้ว

    Preach

  • @wilkinssimkoko7920
    @wilkinssimkoko7920 8 หลายเดือนก่อน

    Sasa uje kwa Yesu Dokta Sule

  • @shirimacatherine5183
    @shirimacatherine5183 ปีที่แล้ว

    Amin

  • @davidmutiso529
    @davidmutiso529 8 หลายเดือนก่อน

    Dr Wacha kusoma bibilia kama norvoll kitabu chamchezo wa kuingiza BWANA YESU NI Ekalu alimaanisha kuaawa bona Roho wa mungu awafunulii maandiko mnasomanga bibilia kama kitabu Cha hekaya za Abunuwazi wasaliti

  • @nelsonnyamle
    @nelsonnyamle 8 หลายเดือนก่อน

    Hongera shekhe

  • @duniakijiji9489
    @duniakijiji9489 7 หลายเดือนก่อน

    Na Yesu kristo....

  • @halidiadnan945
    @halidiadnan945 ปีที่แล้ว

    Assalam alayikum shukran kwa darsa la bibliya

  • @cadeteengele3765
    @cadeteengele3765 7 หลายเดือนก่อน +1

    Kweli

  • @hamisilutungu7293
    @hamisilutungu7293 8 หลายเดือนก่อน +1

    Dah!!! Namuonea huruma yesu kristo kumbe alikua anaogopa kufa bhana..🤣🤣🤣🤣🤣 basi Mungu atuepushe cc Waislam na kufuru ya makafir na mayahudi tuendelee kuamini yesu sio Mungu na ndio mana ana hofu na umauti km Mimi na wewe Allah atulipe kila la khery inshaallah

  • @HELLENNdungo
    @HELLENNdungo 4 หลายเดือนก่อน

    Yesu ni messager

  • @emmanuelmlekwangano9991
    @emmanuelmlekwangano9991 8 หลายเดือนก่อน

    Hongera kwa kuihubiri injiri

  • @MussaLaizer-te4ph
    @MussaLaizer-te4ph ปีที่แล้ว

    Mungu akujalie kheri upate kutufundisha habari njema

    • @hassanially1773
      @hassanially1773 ปีที่แล้ว

      Masha Allah shekhe Allah akubariki sana

  • @isayamwanyajile4468
    @isayamwanyajile4468 ปีที่แล้ว +2

    Ulianza vizuri ila unakomalizia nawewe ni mpinga kristo

  • @shamsiadamu780
    @shamsiadamu780 8 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana

  • @user-yp2yd1mp7h
    @user-yp2yd1mp7h 7 หลายเดือนก่อน

    Luka 2:11 na mtari 26 Maana leo katika mji wa daudi amezaliwa kwaajili yenu mwokozi ndiye Kristo Bwana

  • @adypraizemusic661
    @adypraizemusic661 ปีที่แล้ว +1

    Injili ya kweli❤❤❤

  • @conradbuberwa6792
    @conradbuberwa6792 7 หลายเดือนก่อน

    MIMI NDIYE KRISTO.YAANI WALE WANAOJITAJA BADALA YAKE.HAPO UMECHEZESHA MANENO.YESU NDIYE KRISTO.

  • @user-tz8zu2gt6u
    @user-tz8zu2gt6u หลายเดือนก่อน

    Mbona unakiri yesu kuwa ni bwana tena njia ya uzima wa milele huku unamkashifu njootukufunze zaidi ndipo uondoke kule uliko kwenye giza nene ndangu angu kwa kweli yesu anaokoa na anabixha oyoni mwako, hebu mfungulie

  • @yonassngonye3759
    @yonassngonye3759 ปีที่แล้ว +2

    Msisahau "Neno hili haliji upesi hadi lihubiriwe kwa watu wote" basi akina sule wanasaidia kuhubiri safi kabisa

    • @halidnaamo6156
      @halidnaamo6156 8 หลายเดือนก่อน

      Anapotosha, Yesu Anasema watu watajita Wakristo,hakusema wataniita mimi kristo hapana,Anapotosha Sana

    • @halidnaamo6156
      @halidnaamo6156 8 หลายเดือนก่อน

      Mfano Yesu wa tungarini

    • @joramsengi9123
      @joramsengi9123 7 หลายเดือนก่อน

      Ni kweli mkuu usishangae mwishoooni kabisa Dr Sule akampokea Yesu . Mungu anamtumia huyo huyo wa kwao kueneza neno la mungu hata kama ni kinyume kinyume lakini wanasikia

  • @amedeengendo
    @amedeengendo ปีที่แล้ว

    kwa sababu katika Yohana 17:3, Yesu mwenyewe anajiita Yesu Kristo

  • @davidmutiso529
    @davidmutiso529 8 หลายเดือนก่อน

    Nyinyi waislamu Roho mtakatifu awezi kuingia ndani yenu kuwafunulia maandiko mnalazimisha maandiko vile akili zenu zinataka sii vile roho wa mungu anasema

  • @mams1892
    @mams1892 3 ปีที่แล้ว +3

    Jazzakallahu khairan

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  3 ปีที่แล้ว +1

      Amiin Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv

  • @othmanmulendelwa9622
    @othmanmulendelwa9622 3 ปีที่แล้ว +2

    Dr sule inabidi ujirekebishe wewe ni mtu muhim sana katika uislam cha kwanza acha kumu unga mkono athman machael kushabikia maulidi maulidi ni uzushi

    • @fadhilikawambwa1586
      @fadhilikawambwa1586 3 ปีที่แล้ว +2

      MI NADHANI WEWE NDIO WA KUJIREKEBISHA UNAWEKA FITINA KATI WAISLAMU.NA HAPA NDIPO WAISLAMU TUNAPOKOSEA.UNAACHA POINT UNAZUNGUMZA UTOMBO.EBU TUBADILIKE NDUGU ZANGU.MBONA WAISLAM TUNAMENGI YA MAANA YA KUFANYA.AU HILO JINA SIO LAKO.UNAJUA MAANA YA ATHUMAN WEWE.

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  3 ปีที่แล้ว +1

      @@fadhilikawambwa1586 good shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv

    • @mrmwabana4090
      @mrmwabana4090 3 ปีที่แล้ว

      Othman Mulendelwa Ndugu yngu hebu angalia yale mazri Dr sule amekufunza kwanza :hitilafu zipo yeye ni mwanadamu kwahio simkamilifu

    • @dulividuli5237
      @dulividuli5237 ปีที่แล้ว

      Acha Ujinga kwani iyo ndo mada inayozungumziw hapa halafu mijitu mengine cjui ata ikoje ayo ya maulid yametokea wapi hapa jielewe bro

  • @Mejaclub
    @Mejaclub 8 หลายเดือนก่อน

    Yesu ndiye njia ya uzima bila kukiri Yesu ni BWANA mbinguni huoni.

  • @johnc.roberts9420
    @johnc.roberts9420 3 ปีที่แล้ว +5

    I learnt to manage my money through investments and it really works for me.

    • @rogerp.fenske5066
      @rogerp.fenske5066 3 ปีที่แล้ว

      There are so many ways to manage and prepare for a relaxing future, we just always have to keep doing our best because whatever we plant now, we will harvest later good or bad

    • @merrillt.velarde5822
      @merrillt.velarde5822 3 ปีที่แล้ว

      For beginners it's advisable to get a coach, an expert trader who would serve as a coach and mentor to ensure you make profits and increase your accuracy when you make trades in that way you get to make money with low risk or loosing your capital

    • @arqamibnarqam.7185
      @arqamibnarqam.7185 3 ปีที่แล้ว

      @Ellie Clark They are not seriously.

  • @mariasalomelukosi6846
    @mariasalomelukosi6846 ปีที่แล้ว

    Ameen

  • @naetwemyombo6041
    @naetwemyombo6041 ปีที่แล้ว

    Nadhani hujaelewa vizuri Yesu alikua akizungumzia manabii wa uwongo watakao jiita kuwa wao ni Yesu Kristo,ndio maana alisema wakati akija kila jicho litamwona msije mkadanganywa kuwa Yeau ametokea mahali fulani au ameonekan mahali fulani..maana hata sasa tunaona kuna watu wanajiita ni Yesu.

  • @GilbertNhigula
    @GilbertNhigula 6 หลายเดือนก่อน

    Mbona unachanganya Usemi ,?. Shekh Sule Umesema Mwenyewe jina la Yesu Kwa Kiyunani ni Mungu , .