DR.SULLE:SEHEMU YA PILI MANENO YA YESU WIKI TATU KABLA YA KUPAA MBINGUNI || VITABU VYA KALE.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 24 มิ.ย. 2021
  • #DrSulle #VitabuVyaKale #Zvponlinetv

ความคิดเห็น • 108

  • @julius.mayunga2310
    @julius.mayunga2310 ปีที่แล้ว +1

    Nakupenda sana Dr sule wewe ni mkweli husemi vitu kama huna ukweli unsemaga ukweli muda wote kwenye hotuba zako safi sana mtumishi wa mungu.ameen

  • @fatwimatzahrau2327
    @fatwimatzahrau2327 3 ปีที่แล้ว +6

    MashaLLAH magugu katikati yaa ngano! wenye maskioo na waskiee!
    Wataelewa tuu

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  3 ปีที่แล้ว +2

      Sannah shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv

    • @noahwamalwa4385
      @noahwamalwa4385 3 ปีที่แล้ว

      kwa Wakristo Mungu ni mmoja lakini hujidhihirisha kama Baba, Mwana na Roho Mtakatifu. Mfano karibu na huu ni kama vile mvuke(vapour), barafu(ice) na hata unyevunyevu(liquid) yote ni maji hata yaweza kuwa kitu kimoja Ile wanasayansi wanaita "TRIPLE point of water". Msalabani Yesu (Mwana) alimuomba Mungu Baba. Kwani kunashida ipi?. Wewe nijibu kuhusu Mohammed kubusu jiwe jeusi na kumnajisi Binti wa miaka 9 tu.

  • @fadhilikawambwa1586
    @fadhilikawambwa1586 3 ปีที่แล้ว +3

    ZVP ONLINE TV TUNAWAKUBALI SANA.MUNGU AWAPE ZAIDI.KWA KUTULETEA HIKI KICHWA DR SULLE.WAKRISTO DR SULLE NDIO ANAROHO MTAKATIFU.NYIE MNA ROHO MTAKAVITU.

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  3 ปีที่แล้ว

      Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv

  • @daudimasasi-ht1yy
    @daudimasasi-ht1yy 10 หลายเดือนก่อน

    Mashalaa, Allah akulipe kheri

  • @husseinibrahim5438
    @husseinibrahim5438 3 ปีที่แล้ว +3

    MA SHA ALLAH

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  3 ปีที่แล้ว +1

      Mashaallah Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv

  • @michaeljackson5761
    @michaeljackson5761 5 หลายเดือนก่อน

    Heshimu Imani za watu wengine acha upumbavu

  • @nuruchikoe1959
    @nuruchikoe1959 3 ปีที่แล้ว +1

    Masha Allah shekh wangu wafundishe kuichambua Bible

    • @noahwamalwa4385
      @noahwamalwa4385 3 ปีที่แล้ว

      kwa Wakristo Mungu ni mmoja lakini hujidhihirisha kama Baba, Mwana na Roho Mtakatifu. Mfano karibu na huu ni kama vile mvuke(vapour), barafu(ice) na hata unyevunyevu(liquid) yote ni maji hata yaweza kuwa kitu kimoja Ile wanasayansi wanaita "TRIPLE point of water". Msalabani Yesu (Mwana) alimuomba Mungu Baba. Kwani kunashida ipi?. Wewe nijibu kuhusu Mohammed kubusu jiwe jeusi na kumnajisi Binti wa miaka 9 tu

  • @sospetro
    @sospetro 3 ปีที่แล้ว +1

    Mathayo 16:16-18
    [16]Simoni Petro akajibu akasema, Wewe ndiwe Kristo, Mwana wa Mungu aliye hai.
    [17]Yesu akajibu, akamwambia, Heri wewe Simoni Bar-yona; kwa kuwa mwili na damu havikukufunulia hili, bali Baba yangu aliye mbinguni.
    [18]Nami nakuambia, Wewe ndiwe Petro, na juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa langu; wala milango ya kuzimu haitalishinda.

  • @duniawadunia4824
    @duniawadunia4824 3 ปีที่แล้ว +2

    Bila Dr sule Miadhara ainogi. Sasa Dua hile ambayo Uliiomba kule makka, eti Allah akufishe ukiwa na miaka 63 kama mtume wetu #Muhammad SWS. Sasa duwa hile kamuombe Allah abadirishe

  • @mossesjovenari9457
    @mossesjovenari9457 3 ปีที่แล้ว +1

    Kwa habari ya kanisa soma UFUNUO 1:20
    na QURAN 22:40

  • @sospetro
    @sospetro 3 ปีที่แล้ว

    Mathayo 18:15-17
    [15]Na ndugu yako akikukosa, enenda ukamwonye, wewe na yeye peke yenu; akikusikia, umempata nduguyo.
    [16]La, kama hasikii, chukua pamoja nawe tena mtu mmoja au wawili, ili kwa vinywa vya mashahidi wawili au watatu kila neno lithibitike.
    [17]Na asipowasikiliza wao, liambie kanisa; na asipolisikiliza kanisa pia, na awe kwako kama mtu wa mataifa na mtoza ushuru.

  • @macrinajoseph1422
    @macrinajoseph1422 3 ปีที่แล้ว

    Kama nyinyi mavojitahidi.kuuwa Imani ya.yesu nakuiona yenu ndiyosahii .yamesha tokea mkristo. Anaitwa kafili filauni. Na mini anae. Wauwa. Wakristo jibu mnalo waisram ..muhamadi na yesu nifalume.mbili zinazo. Pigana.

  • @nuruchikoe1959
    @nuruchikoe1959 3 ปีที่แล้ว +3

    Subhannallah wakristo kwani mnafeli wapi hebu jifunzeni kuisoma Bible yenu weyewe hamuisomi mmezoea kusomewa huo ndio ukweli ulio kuwemo kwenye Bible yenu poleni sana

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  3 ปีที่แล้ว +1

      Kabisa shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv

    • @davidgasper8821
      @davidgasper8821 3 ปีที่แล้ว

      Anawadanganya hajui kitu anatafsiri maandiko matakatifu ya BIBLIA kama anavyotaka na kupenda yeye na kushauri mpendwa njoo kwa YESU KRISTO uokoke kabla hujachelewa isidanganywe muulize huyo sule BIBLIA kaisomea wap

    • @fadhilikawambwa1586
      @fadhilikawambwa1586 3 ปีที่แล้ว

      WAO WAZEE WA NDIO TU

    • @francisjoseph1074
      @francisjoseph1074 3 ปีที่แล้ว

      Kati ya wakristo na waislam wakinanani husomewa kama sio waislam? Mfano ata ukiaangalia coment wakristo wanafunguka na kujielezea kwa kirefu na uelewa mkubwa lakini waislam kazi kushabikia hata kama hawaelewi utasikia wakisema mash all aa kama

    • @charlesmapunda5905
      @charlesmapunda5905 ปีที่แล้ว +1

      Biblia haisomwi kama kitabu cha Hadithi ndio maana Waislam mnadanganywa kwa kusimuliwa kama anavyofanya huyu Sule kisha mnaondoka navyo kichwani kile mlicho simuliwa, hapo hamuwezi kuijua Biblia wala Yesu hamta muelewa mpaka mnakufa na kubaki Motoni, Muhammad mnamswalia mpaka leo kwasababu alikuwa na Dhambi nyingi, we ushawahi kuona Mganga wa kienyeji anafanya uganga kwa Biblia? sana sana utakuta Quran ndio inatumika kuita Majini na kudhuru watu kuwaua kuwafanya misukule na mambo yakinyama kibao, leo we wakuwapa Pole wakristo badala ya kuwapa pole ya Waislam

  • @dorcaskarago2876
    @dorcaskarago2876 ปีที่แล้ว

    Amesoma maandiko ya kweli lakini ana explains mengine

  • @mussamalugu1793
    @mussamalugu1793 3 ปีที่แล้ว

    Wakristo toeni lile sanamu la mzungu pale kanisani sio yesu yule

  • @mariamhamisi3280
    @mariamhamisi3280 3 ปีที่แล้ว

    Allah wakbar

  • @julius.mayunga2310
    @julius.mayunga2310 ปีที่แล้ว

    Wachungaji mjifunze Kwa dr.sule.nimkweli na muwazi unafaa kuongoza watu nyaza zotee.

  • @mossesjovenari9457
    @mossesjovenari9457 3 ปีที่แล้ว +1

    Sikia YESU alipowambia wanafunzi wake kwamba watawatenga na MASINAGOGI
    nikwamba watu wa SINAGOGI
    walikuwa hawapendi mafundisho ya BWANA YESU PAMOJA NA WANAFUNZ WAKE
    ndipo yesu alipokufa na kufufuka ndipo watu wa SINAGOG walipowatenga hao wanafunzi na kutaka kuwauwa. hacha kubadilisha tafsiri
    wasomee watu LUKA 12:11-12
    na MATENDO Sura ya 5
    pia soma UFUNUO 3:9

    • @unforgettablesightings3160
      @unforgettablesightings3160 ปีที่แล้ว

      Hahah yani unaeleza kinyume, yesu anawaambia maswahaba wake kwamba watakuja wapotovu na kuwatenga na sinagogi (msikiti) mbona iko wazi hapo

  • @innocentkuleiye1861
    @innocentkuleiye1861 3 หลายเดือนก่อน

    Unapotosha

  • @davidgasper8821
    @davidgasper8821 3 ปีที่แล้ว +3

    Sasa kama paulo ni muuaji wa mitume na wanafunzi wa YESU mbona huwaambii hicho kitabu cha matendo ya mitume kimeandikwa na nani!! na pia imani ya KIKRISTO imeanzishwa na YESU KRISTO mwenyewe soma warumi 9:25-33 na YESU ndie KRISTO na MUNGU mwenyewe soma warumi 9:5

    • @ratohabi6459
      @ratohabi6459 3 ปีที่แล้ว

      Hao ma ustadh they are just comedians, wasikusumbui. Wao wanachezea akili za watu ambao bado ni wajinga wa Neno la Mungu. Ni ma champions wa ubishi tu usiokuwa na ukweli. Huwezi ukabishana na watu kama hao itakuwa ni kupoteza muda bure. Hao ma Ustadh hawana Injili ya kweli ndani ya Quran. Ni past and copy, wanajiazima kwenye Bible; exactly kama walivofanya wafuasi wa Muhammad walioandika Quran myaka 150 baada ya kifo cha mtume wao. Past and copy ya bible, mengine ilikuwa ni kuunga kuunga ma Hadiths, kila Kalifa baada ya mwengine wanakuja na yao mapya.
      Ulimwengu ulipotezwa sana!!! Na bado ungali unapotezwa, it's sooo pity.

    • @husseingabo5497
      @husseingabo5497 2 ปีที่แล้ว

      Hiyo warumi umeyoitoa hapo huyo ni Paulo hayo. Ni .aneno ya Paulo na sio yesu

    • @dulividuli5237
      @dulividuli5237 9 หลายเดือนก่อน

      Muanzilishi wa Ukristo kila mtu anajua kuwa ni Paulo na Wakristo wa mwnzo waliitwa kule antiokia wakat Yesu tyr kashaondok duniani na wala Yesu hajui kuhusu imani ya Ukristo pia tambua kwamba Kristo ni cheo na sio dini.

  • @davidgasper8821
    @davidgasper8821 3 ปีที่แล้ว +2

    Hongara san kwa kuubiri injili kwa waislamu wenzako mwinjilisti sule waambie kabisa wajisalimishe kwa YESU KRISTO ili waurithi ufalme wa mbinguni na pia tunawakaribisha kanisani waachane na hiyo imani yenu ya magugu nafarijika sana ninaposkia injili ya BIBLIA ikihubiriwa msikitini hasa YESU KRISTO

    • @saphinalutaha9077
      @saphinalutaha9077 10 หลายเดือนก่อน

      Acha atuhubirie waislam tunaiamn injr ila sio bible

    • @saphinalutaha9077
      @saphinalutaha9077 9 หลายเดือนก่อน

      @cdramacovers nitajie vtabu vitatu vtakatfu alivyo teremsha mwenyezmngu

    • @saphinalutaha9077
      @saphinalutaha9077 9 หลายเดือนก่อน

      @cdramacovers mwenyezmngu pekee ndo anaweza kumuokoa mtu na sio myahud ndo Mana Kuna mtume kutoka makka naye mtume Mohammed

    • @saphinalutaha9077
      @saphinalutaha9077 9 หลายเดือนก่อน

      @cdramacovers leta andko linalosema wokovu upo uyahudin

    • @saphinalutaha9077
      @saphinalutaha9077 9 หลายเดือนก่อน

      @cdramacovers kwaiman yako ila mi najua wokovu ni kwa ww mwenyewe na matendo yako

  • @denisnjaila2182
    @denisnjaila2182 10 หลายเดือนก่อน

    Naona haelewi anaongelea nn huyu ujinga wa kutojua unafundisha nn, ni kupayuka tu

  • @mossesjovenari9457
    @mossesjovenari9457 3 ปีที่แล้ว +1

    Maana ya KRISTO NI MASIHI
    ELEWA YESU KRISTO ndiye
    MASIH INSA Soma vzr bibilia hacha uzembe.
    kasome YOHANE 1:41

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  3 ปีที่แล้ว

      Hahaaaaa acha jazba

    • @almasyahaya8817
      @almasyahaya8817 3 ปีที่แล้ว

      Doctor endelea kuwafundisha wataelewa tu ishalahh wache kupoteza mda huko walipo.

  • @sospetro
    @sospetro 3 ปีที่แล้ว +1

    Marko 9:38-41
    [38]Yohana akamjibu, akamwambia, Mwalimu, tulimwona mtu akitoa pepo kwa jina lako, ambaye hafuatani nasi; tukamkataza, kwa sababu hafuatani nasi.
    [39]Yesu akasema, Msimkataze, kwa kuwa hakuna mtu atakayefanya mwujiza kwa jina langu akaweza mara kuninenea mabaya;
    [40]kwa sababu asiye kinyume chetu, yu upande wetu.
    [41]Kwa kuwa ye yote atakayewanywesha ninyi kikombe cha maji, kwa kuwa ninyi ni watu wa Kristo, amin, nawaambia, hatakosa thawabu yake.

  • @sospetro
    @sospetro 3 ปีที่แล้ว

    Mathayo 28:18-20
    [18]Yesu akaja kwao, akasema nao, akawaambia, Nimepewa mamlaka yote mbinguni na duniani.
    [19]Basi, enendeni, mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa jina la Baba, na Mwana, na Roho Mtakatifu;
    [20]na kuwafundisha kuyashika yote niliyowaamuru ninyi; na tazama, mimi nipo pamoja nanyi siku zote, hata ukamilifu wa dahari.

    • @husseingabo5497
      @husseingabo5497 2 ปีที่แล้ว

      Sasa kapewa mamlaka na nani na wakat nyinyi mnasema yeye ndio mungu mkuu hamuoni kama mnajichanganya

    • @sospetro
      @sospetro 2 ปีที่แล้ว

      @@husseingabo5497 na Baba yake

  • @charlesmapunda5905
    @charlesmapunda5905 ปีที่แล้ว +1

    Embu Shekhe nijibu kwanini Mashekhe wengi wakiokoka mnataka kuwaua? inamaana mnapingana na amri kumi za Mungu? inamaana Muhammad alipewa mamlaka hayo ya kuua na Mungu yupi na yule aliempa Musa amri 10 ni yupi? na kwanini wakiokoka wanaeleza ni jinsi gani walivyokua wakimtumikia Shetani na wala hawakua na uoga wowote sana sana kila baya walilofanya walifanya kwa utukufu wa Allah na Muhammad akiwa Mtume wake inamaana Allah ndio anaruhusu binadamu kutegemea Majini na kuwatupia watu Majini ni haki? au ndio Uislam unapenda Majini? maana naona Muhamad alisilimisha Majini wakawa waislam

  • @mossesjovenari9457
    @mossesjovenari9457 3 ปีที่แล้ว +1

    KENYA kuna SINAGOG lakini wanaosalia mle sio waislam ss kama sinagog ni msikiti kwann waislam hawaendi kusalia mle
    Je Kanisa la TB JOSHUA mbona lilikuwa linaitwa SINAGOG CHURCH OF ALL NATION Inamaana waumini wake ni waislam? Tupe majibu.

    • @azamsaid5256
      @azamsaid5256 3 ปีที่แล้ว

      Sinagogi Church siyo msikiti bali msikiti kanisa!! ndio maana waislam hawasali humo

  • @mossesjovenari9457
    @mossesjovenari9457 3 ปีที่แล้ว +2

    SINAGOGI Sio msikiti
    kuna SINAGOGI kuna MSIKITI kuna KANISA Vyote ni sehem watu wanapokwenda kumuabudu MUNGU wasomee watu QURAN 22:40

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  3 ปีที่แล้ว +3

      Usipaniki brother

    • @imranmohamed8627
      @imranmohamed8627 3 ปีที่แล้ว +2

      Bibilia imeongozwa na roho kulingana na Imani yenu roho iyo haikujua kulikua na KANISA na HEKALU mpaka Kusema SINAGOGI (MSIKITI).

    • @mossesjovenari9457
      @mossesjovenari9457 3 ปีที่แล้ว +1

      @@imranmohamed8627
      kasoma tafsiri wala haiko ndani ya bibilia

    • @mossesjovenari9457
      @mossesjovenari9457 3 ปีที่แล้ว +1

      KENYA kuna SINAGOG lakini wanaosali mle sio waislam je
      kwanini ?

    • @imranmohamed8627
      @imranmohamed8627 3 ปีที่แล้ว +2

      @mosses luka 4:16 yesu kawaida yake kuingia katika msikiti hayo majengo mengine munaoingia na ibada za ajabu ajabu mumesoma kwa Nani? Mada haijaanza apa imechambuliwa bibilia na history yake kupitia maandiko ya bibilia basi angalau na nyinyi mutoe maandiko yesu alikua msabato ama dhehebu lengine ndio tuendelee!!

  • @joshuamtabazi2719
    @joshuamtabazi2719 3 ปีที่แล้ว

    Moja kati ya njia zitakazokusaidia kutafsiri maneno yenye utata katika Biblia ni kuangalia maana halisi ya neno katika lugha ya kwanza iliyotumika. Biblia Kwa asili imeandikwa katika lugha tatu kiebrania,kigiriki na halamaiki ndio imekuja kutafsiriwa katika kiingereza, kiswahili na lugha nyingine.
    Neno sinagogi asili yake ni lugha ya kigiriki ambayo ilikuwa na maana ya mkusanyiko hivyo makusanyiko yote ya wahayudi Kwa ajili ya kumfanyia ibada Mungu Kwa sababu hayakuwa yakifanyika nje hadharani ila katika jengo ndio mahali hapo pakaitwa sinagogi maana yake mkusanyiko wa wayahudi katika kumuabudu Mungu wao

    • @dulividuli5237
      @dulividuli5237 9 หลายเดือนก่อน

      Kwaiyo ww nd unajua zaid kuliko waloandik izo Biblia?

  • @vailethmarack374
    @vailethmarack374 3 ปีที่แล้ว +1

    Nimekusikiza vizuri unaisoma biblia kulingana na mda husika kusibitisha badae wewe huyohuyo utasema biblia ni uongo Sasa mbona unajichanganya mwenyewe.

    • @maherzain615
      @maherzain615 3 ปีที่แล้ว +1

      Biblia Imeandikwa na watu wameokota okota kwa injili na zaburi original lkn wametoa wasiyoyapenda wakaongeza yaurongo.ambao simafundisho ya yesu.

    • @unforgettablesightings3160
      @unforgettablesightings3160 ปีที่แล้ว +1

      @vaileth Marack elewa hapo Dr. Sulle anaposema katika biblia kuna vitu ambavyo ni sahihi na vingine si sahihi yani watu wamechomoa chomoa kulingana na matakwa yao

  • @reginahongo3575
    @reginahongo3575 3 ปีที่แล้ว +1

    Badala yakufundisha Quarn unakomaa na Biblia ya wakristo nyie mnakosaga kazi kwani hamuielewi quarn ndo maana mnahangaika hivo kutumia nguvu nyingi kuaminisha watu maana quarn imeandikwa na lugha ya kiarabu hamuelewi watumwa wa lugha ya kiarabu. Biblia unasoma km kitabu cha historia huelewi chochote

  • @ratohabi6459
    @ratohabi6459 3 ปีที่แล้ว

    Hawa ma ustadh wanatumiwa na Masihi-Dajjal (Anti-Christ). Inahudhunisha sana kuona bado waswahili wengi tunashangilia na kuamini kuwa wanayosema hawa ma Ustadh ni kweli. Wahubiri wa Injili kazi ipo!!
    Maswali kwa huyu Ustadh Sulle:
    1. Sasa wewe Sule unadhani kama Yesu sio Kristo, Kristo ni nani tena?
    2. Waliemuwinda Yehshua Messiah ili auawe, kama sio viongozi wa Synagogi yenyewe ni akina nani?
    3. Kama Yehshua Messiah alikuwa muumini wa Sinagoni wa kawaida, kwa nini aliwindwa ili auawe?
    4. Eti Sinagogi maana yake ni Msikiti wa wayahudi, ebu tueleze Msikiti nao maana yake nini?
    5. Wakati huo Yehshua alikuwepo uyahudini, misikiti ya waarabu ilikuwepo wapi, Makka, Madina, Petra, wapi?
    6. Katika wanafunzi wa Muhammad SAW., ni wangapi walikuwa wakimpiga vita kabla hawajasilimu?
    7. Kabla Muhamadi SAW kutimiza myaka 40 na kuwa Rasuli, alikuwa anadini gani na alikuwa akisali katika msikiti upi, na alikuwa akisali rakkah ngapi?
    Hayo maswali 7 tu yanatosha kwa wakati huu. Tuelimishe zaidi ujaribu useme ukweli kwa sababu msema kweli ni mpenzi wa Mungu.
    Halafu na sisi waswahili tuwache kuwa tunashangilia tu. Comedians ni wengi, akini tuwe tukitofautisha, kazi ya Mungu haiambatani na comedy, it's serious.
    Wassalam Aleykom!

  • @michaelkarisa7931
    @michaelkarisa7931 3 ปีที่แล้ว

    Samahani mwalimu ila hapa naona kama unachanganya agano la kale na jipyya juu kweli Sauli aliua watu baada ya kuwa mfuasi wa yesu akawa mtu mwema

    • @aboubahebura8144
      @aboubahebura8144 3 ปีที่แล้ว

      Ndugu agano jipya linaanza kipindi cha yesu adi mwisho ya biblia sauli alikuwa mjaja kuwatenga wanafunzi na masinagogi akaleta kanisa apo ndipo utamjua Paulo ninani

  • @imranmohamed8627
    @imranmohamed8627 3 ปีที่แล้ว +2

    Wallhy usilam Raha sana hupati kabisa dini ambao inajitetea yenyewe Quran3.19 Huku wenzetu maandiko yako wazi toka yesu anatabiri mpaka yanafanyika lakini wapi ashasema nao watawadanganya wingi.

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  3 ปีที่แล้ว

      Sannah shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv

  • @denisnjaila2182
    @denisnjaila2182 10 หลายเดือนก่อน

    Sujaelewa YESU sio Christo

    • @hellen9056
      @hellen9056 9 หลายเดือนก่อน

      Ata sisi tunajua cyo yesu

    • @innocentkuleiye1861
      @innocentkuleiye1861 3 หลายเดือนก่อน

      Yesu ni Kristo Mwana wa Mungu Aliye hai. Huyu Jamaa anapotosha. Soma Mathayo 16:16, Luka 2:11, Yohana 20:31, Matendo 9:22,Warumi 1:3-4

  • @wisdomhalisi......8891
    @wisdomhalisi......8891 3 ปีที่แล้ว +1

    SULE....NILIJUA UNAITWA DR...KWAKUWA UNAUFAHAMU MKUBWA...KUMBE UMESOMEA KUDANGANYA.....Eti sinagogi ni msikiti hata mtoto mdogo anajua...(1).SYNAGOGUE(english)...KANISA(SWAHILI).
    (2)MOSQUE(english)...msikiti(swahili)....waislamu MNADANGANYWA na mazinge na sule....jiulizen kwanini waislamu wanaokoka.,,hata mnavoenda maka kuna sanamu(safaa na marwa) mawe yanayo abudiwa na Ndo maana hataibada zao na misikiti yao vinaelekea maka kuyakabili mawe hayo.na wakifika huko huyazunguka mara 7...hakuna MUNGU uislamu mnapotosha watu.

    • @husseingabo5497
      @husseingabo5497 2 ปีที่แล้ว

      We unajua kwanini safa na mallua wanaizunguka mara Saba kama historia huijui kaa kimya

    • @husseingabo5497
      @husseingabo5497 2 ปีที่แล้ว

      Kwanza Saba ni namba malum ya mungu kasome bibilia na ukaulize masheikh Kwa nini wazunguke mara Saba safa na mallua watakuelimisha vizuri uislam sio din ya mambo ya kubun ukiona tunafanya kitu ujue zamani kilifanyika Kwa mitume waliopita Kwa mfano hiyo ya kuzunguka mara Saba tunamuiga hajira mke wa Ibrahim alipomuweka mwanae Ismaili kwenye kijit ili asimuone akifa Kwa kiu ya maji kasome kitabu Cha mwanzo alikuwa akikimbia katika vivyo vilima vya safa na mallua anaenda anarud hadi ilipotimia mara ya Saba ndio akakuta mungu ametoa chemchem ya maji pale alipokuwa mwanae Ismaili na ndio mpaka Leo hicho kisima kipo kinaitwa zamzam au maji ya zamzam Kwa hiyo ndio maana mungu Kwa kutaka like tukio liendelee kukumbukwa akawamlisha waislam walifanye na ndio maana wanafanya Kwa hiyo sio mambo ya kubun buni kama kwenye ukristo nafili utakuwa umenielewa kitu kama hujui uliza usiwe unadandia tu

    • @husseingabo5497
      @husseingabo5497 2 ปีที่แล้ว

      Kwanza Saba ni namba malum ya mungu kasome bibilia na ukaulize masheikh Kwa nini wazunguke mara Saba safa na mallua watakuelimisha vizuri uislam sio din ya mambo ya kubuni ukiona tunafanya kitu ujue zamani kilifanyika Kwa mitume waliopita Kwa mfano hiyo ya kuzunguka mara Saba tunamuiga hajira mke wa Ibrahim alipomuweka mwanae Ismaili kwenye kijit ili asimuone akifa Kwa kiu ya maji kasome kitabu Cha mwanzo alikuwa akikimbia katika vivyo vilima vya safa na mallua anaenda huku anarud huku hadi ilipotimia mara ya Saba ndio akakuta mungu ametoa chemchem ya maji pale alipokuwa mwanae Ismaili na ndio mpaka Leo hicho kisima kipo kinaitwa zamzam au maji ya zamzam Kwa hiyo ndio maana mungu Kwa kutaka like tukio liendelee kukumbukwa akawamlisha waislam wakiwa katika ibada ya hija na wao walifanye ili like tukio liendelee kuenziwa Kwa hiyo usifikilie wanakimbia katika safa na mallua mara Saba Kwa kujifurahisha na ndio maana wanafanya Kwa hiyo sio mambo ya kubun buni kama kwenye ukristo nafikili utakuwa umenielewa kitu kama hujui uliza usiwe unadandia tu

  • @macrinajoseph1422
    @macrinajoseph1422 3 ปีที่แล้ว

    Mpaka sasa.bado.wakristo wanauwawa. Nilishuhudia on Kenya waisram walivyo wauwa wakristo. Huko ribya wakristo wanauwawa . Nilishuhudia sta tv Hali pakistani mchungaji alivyo chomwa Moto huko Soma Lia ukikutwa.unataaja.yesu.unauwawa. Mwanamke alikimbia nchi yao baada ya kuwa.mkristo.aliamriwa auwawe huko uarabuni

  • @sospetro
    @sospetro 3 ปีที่แล้ว

    Wengine wanaabudu ijumaa shehe

    • @dulividuli5237
      @dulividuli5237 9 หลายเดือนก่อน

      Waislamu kila siku ni siku ya ibada ila ijumaa ni sikukuu ktk ibada kwa waislamu

    • @sospetro
      @sospetro 8 หลายเดือนก่อน

      @@dulividuli5237 kwamujibu wa kuruani ilitakiwa iwe jumamosi

  • @samoramussa5336
    @samoramussa5336 2 ปีที่แล้ว

    Hivi kunamwisilam anaweza tofasli maandiko ya bibilia kweli?

    • @georginakabanga1762
      @georginakabanga1762 ปีที่แล้ว

      Hakuna zaidi ya kuongeza uongo na kupotosha watu.

    • @dulividuli5237
      @dulividuli5237 9 หลายเดือนก่อน

      Kwani Biblia imeandikwa kwa lugha yke ya asili hata watu washindwe kutafsiri,hiyo biblia imeandikw kwa kiswahili anayosoma na sio kichina wala kihindi istoshe wengi wanoijua Biblia kiundani wametoka huko huko kwnye Ukristo na wameisoma biblia vizur tu nd maana wakatambua ukweli.

    • @samoramussa5336
      @samoramussa5336 9 หลายเดือนก่อน

      @@dulividuli5237 nikswahili haswa je ingelikuwa wanasoma kwa kufundiswa na roho wabwana hapo sawa, wewe hivi mbinguni mwisilam nikipi kwa mujibu wa korowani kitkacho mpeleka?

  • @vincentwise8100
    @vincentwise8100 3 ปีที่แล้ว

    Kama yesu alitumwa kwa wana waislraeli mbona unasoma maneno yake yakikufunza na pia unafunza nayo watu kupitia injili?

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  3 ปีที่แล้ว +1

      Kwani Kuna ubaya kuwafundisha

    • @francismlega4759
      @francismlega4759 3 ปีที่แล้ว +1

      Uwela wako mdogo sanaa Vice na ukitaka kujifunza kitu usiweke chuki ndan yke hutopata elimu daima Aya zinasomwa zpo waz hpo