DR.SULLE:JE, BIBLIA NI KITABU CHA MUNGU? || ASILI YAKE NA WATUNZI WAKE NA KILIPO TOKEA.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 มิ.ย. 2021
  • #DrSulle #VitabuVyaKale #Zvponlinetv

ความคิดเห็น • 347

  • @jannffer
    @jannffer หลายเดือนก่อน

    Yenye wokovu na nuru i love your teaching

  • @user-hw7ce8gf6v
    @user-hw7ce8gf6v 9 หลายเดือนก่อน +1

    Waraka wa kwanza wa yohana 2
    18 Watoto, ni wakati wa mwisho, na kama vile mlivyosikia kwamba mpinga Kristo yuaja, hata sasa wapinga kristo wengi wamekwisha kuwapo, kwa sababu hiyo twajua ya kuwa ni wakati wa mwisho.
    Amen !!!

  • @abdallasaleh2303
    @abdallasaleh2303 3 ปีที่แล้ว +4

    Allah akueke Dr Sle na akuzidishie elimu kubwa na uzidi kutupa elimu na kutukumbusha yalo mema na Allah akuepushe na migogoro.

  • @yaasminkimwanya296
    @yaasminkimwanya296 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akuzidishie umri mrefu shekhe..uzid kuielimisha jamii na mataifa kwaujumla wapate kuelewa Yale wasoyajua.

  • @jannffer
    @jannffer หลายเดือนก่อน

    Ishi maisha marefu mungu akurithise

  • @duniawadunia4824
    @duniawadunia4824 3 ปีที่แล้ว +4

    Somo zuli na kubwa pia Masha"Allah Sheikh #Drsule Achana na fitna za Dajall #Mwaipopo

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  3 ปีที่แล้ว +1

      Mashaallah Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv

  • @jannffer
    @jannffer หลายเดือนก่อน

    I congratulate you for the teaching

  • @zohoraramadan4540
    @zohoraramadan4540 3 ปีที่แล้ว +11

    Fanya kazi ya ALLAH usisikilize wafitini watajifitini wenyewe

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  3 ปีที่แล้ว +1

      Mashaallah Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv

    • @utafitiimanitv6641
      @utafitiimanitv6641 3 ปีที่แล้ว

      Unamjua ALLAH ww au unaongea yani uongo ndiyo kazi ya Allah ww MTU anadanganya unasema afanye kazi ya Allah yan ninyi mnamatatizo kweli bado mtafiti wenyewe na muone wenyewe MTU tu nakichaa chake anakuja anasema injili imearibiwa torat imealibiwa na vitabu vingine vya mungu alafu ww unamsifia ujinga ivi mungu anaweza kuruhusu vitabu vyake viaribiwe?haiwezekani yeye tu kwasababu ya uchizi wake na ukichaa na uchache wa elimu kuhusu biblia biblia kitabu kikubwa sana yani watu wanakisoma chuoni so chini ya miaka mitano mpaka kumi yeye anakuja na kichaa tu anasema uongo uongo na ninyi mnamsapoti sawa he mungu anaweza kuruhusu vitabu vyake viwlibiwe?jambo hilo linamfanya mungu dhaifu hawezi kulinda vitabu vyake labla mungu wenu ALLA ndo anauzaifu kiasi hilo syo yehova mungu wa kweli mungu akubariki sana amen

    • @zohoraramadan4540
      @zohoraramadan4540 3 ปีที่แล้ว +1

      @@utafitiimanitv6641 pole sana mungu akuongoze katika njia iliyonyooka na sio hiyo uliyopotea .allahuma amiin

    • @utafitiimanitv6641
      @utafitiimanitv6641 3 ปีที่แล้ว

      Yesu ndiyo njia kweli na uzima mungu ameniongoza nipite kwenye njia hiyo yohana14:6____ inanitosha sitaki njia nyingine ya wanayopita mbaka majini inayoelekea upotevuni

    • @samadumohamed508
      @samadumohamed508 2 ปีที่แล้ว +1

      @@utafitiimanitv6641 hujui chochot ndugu! Ukiona jambo limetukia jua Allah amependa liwe sio udhaifu kwa Allah! Biblia ni kazi ya watu wasiojulikana! Usilalamike h huo ndio ukweli.

  • @halima_Paulin
    @halima_Paulin 3 ปีที่แล้ว +3

    Mashallah Yani hapa najaribu kusiliza kwamakini lakini haviingii kichwani Kwa usomi wako mashallah nitasikiza Hata mala 100000000 mpaka nielewe story hongera Sana

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  3 ปีที่แล้ว +1

      Mashaallah Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv

  • @EdwinBuberwa
    @EdwinBuberwa 8 หลายเดือนก่อน +1

    Hebu acheni kupotosha watu,halafu hayo yote unayoyazungumza huna roho mtakatifu.hvyoo utahukumiwa bure soma kumbukumb la torati 26:1-10 hukumu juu ya watu wanaopotosha vipofu

  • @fredwanjigo3044
    @fredwanjigo3044 6 หลายเดือนก่อน +1

    Torati, zaburi, injili, Isaiah, jeremia etc ni vitabu ambazo zote ziko kwa bibilia

  • @bahatishemweta6839
    @bahatishemweta6839 2 ปีที่แล้ว +7

    Kwani tatizo nn hapo mbona kila kitu kinaeleweka hakuna jina lingine tulilopewa litupasalo kuokolewa kwalo ila Jina la YESU hayo mengine hayana maana

    • @eliudminga6085
      @eliudminga6085 8 หลายเดือนก่อน

      Kaka mimi napenda kujifunza wewe unakuja na mapokeo huyu jamaa katelemshwa ili kutufungua macho

    • @marobaraka
      @marobaraka 8 หลายเดือนก่อน

      ​​@@eliudminga6085kama Quran ilivyotelemshwa hata ww eliudi umeteremshwa kushabikia

  • @bibiliyaumucyowisininzira8671
    @bibiliyaumucyowisininzira8671 3 ปีที่แล้ว +3

    Nakupongeza kuhubiri neno ra Mungu Baba

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  3 ปีที่แล้ว +1

      Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv

  • @user-bv8fo3yr7x
    @user-bv8fo3yr7x 7 หลายเดือนก่อน

    Shida unawapotosha watu sulle,nakumbe unaamini kua Yesu alipaa kwendazake mbingunu,pia yakupasa usome vizuri pia aliwaambia alie niona mimi ndio kamuona Mungu hivyo nduguyangu sulle ukweli ndohuo tafadhali acha kudanganya watu nibora utumie Muda wako wakufundisha Qurani asante Yesu akutane nawe.

  • @MaryMuigai-zj8fz
    @MaryMuigai-zj8fz 8 หลายเดือนก่อน

    Yenu ni hayo hayo mtambaki mayo Hadi mwisho wa dahali tumbuni Yesu yuwanja. Ameni

  • @fhyubhhh2881
    @fhyubhhh2881 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah Mashaallah shkh may Allah bless you always Ameen

  • @harounmkunda2504
    @harounmkunda2504 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mashallah ❤🎉

  • @zohoraramadan4540
    @zohoraramadan4540 3 ปีที่แล้ว +4

    Waleykumusalamu warahmatuLLAHI wabarakatuh, shekhe fanya

  • @nourdinpro
    @nourdinpro 8 หลายเดือนก่อน

    2023 Bado tunaendeleya kukuelewa vizuri sana Dr sule, mungu akuzidishiye maisha marefu

  • @alllyrics4835
    @alllyrics4835 3 ปีที่แล้ว +2

    Jazzak Allah kher Doctor Sule

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  3 ปีที่แล้ว +1

      Amiin Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv

  • @borntown6945
    @borntown6945 3 ปีที่แล้ว +3

    fanya uweke sehemu yapili Dr nakuelewa sana

  • @justusngonyani165
    @justusngonyani165 9 หลายเดือนก่อน

    Sasa naamini bila uongo,uislam hauna maisha.Bila kuutaja ukristo uislam haufundishiki.

  • @ngomeningomeni7532
    @ngomeningomeni7532 2 ปีที่แล้ว +2

    Aisee Mimi ni mkristo lakini nakuwelewa vizuri sana

    • @fhyubhhh2881
      @fhyubhhh2881 ปีที่แล้ว

      M'Mungu akupe uwelewa mpana zaidi...Ameen

  • @cadeteengele3765
    @cadeteengele3765 8 หลายเดือนก่อน

    Thanks so much Sir

  • @Thirnkarbanda8134
    @Thirnkarbanda8134 4 หลายเดือนก่อน

    MashaAllah

  • @jannffer
    @jannffer หลายเดือนก่อน

    Zimepatikana kupitia roho mtakatifu

  • @loner_wolf
    @loner_wolf 4 หลายเดือนก่อน

    Zaburi kapewa nabii Daudi ,kumradhi shekh

  • @fatmaal-ismaili5514
    @fatmaal-ismaili5514 3 ปีที่แล้ว +2

    ماشاء الله تبارك الرحمن

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  3 ปีที่แล้ว +1

      Mashaallah Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv

  • @user-ye6qq9nv8b
    @user-ye6qq9nv8b 6 หลายเดือนก่อน

    Napenda nikurekebishe musa halupasua bahari ya Mediterranean bali alipasua bahari ya shamu na wana wa Israel wakapita
    Pia kilichoelezwa kwenye injili ni mambo muhimu aliyoyatenda Yesu sio injili iliyoshuka kutoka juu

  • @leahmgunda4154
    @leahmgunda4154 ปีที่แล้ว +3

    Ninachoshangaa ni kwa nini unahangaika na imani isiyokuhusu,wazri store hawatumii muda wao kujilinganisha na dini zisizowahusu.

    • @IsmailBobG-wi3vy
      @IsmailBobG-wi3vy 9 หลายเดือนก่อน

      Imekugusa ukweli ukitawala uongo hujitenga

  • @salehemimbi1895
    @salehemimbi1895 3 ปีที่แล้ว +1

    Kazi nzuri,Dr Sule ila jitahidi usiseme biblia ni maneno matakatifu ya Mungu!

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  3 ปีที่แล้ว +1

      Ki vipi

    • @yakobomkristo872
      @yakobomkristo872 2 ปีที่แล้ว

      @@zvpOnlineTv Umemuuliza Huyo Maamuma Kivipi Akiweza Kukujibu Basi Mbwa Atapiga Mswaki

    • @user-mc2xd4eu2p
      @user-mc2xd4eu2p 5 หลายเดือนก่อน

      Kwa sababu ndani biblia kuna maneno ya watu na uongo pia japo yapo ya mungu baadhi ukiita takatifu kuna uongo wa paulo

    • @user-mc2xd4eu2p
      @user-mc2xd4eu2p 5 หลายเดือนก่อน

      ​@yakobomkristo872 jibu jepesi uongo wa paulo upo ndani pia ukitaka ushahidi upo kwa hiyo inakosa hadhi ya kuwa takatifu

  • @Laizer3
    @Laizer3 5 หลายเดือนก่อน +1

    Hadi lini utaendelea kukosoa ukristo ,unapata faida gani wakati wote tunamwabudu mungu wewe unamamlaka gani kukosoa utapata thawabu yako

    • @user-vz7nx7zl5k
      @user-vz7nx7zl5k 2 หลายเดือนก่อน

      Hapana wailsam wanamuabudu Mungu wakirsto wamepotoshwa wanamshirikisha Mungu yesu sio Mungu wala sio mwana wa Mungu

  • @vincentodhiambo1716
    @vincentodhiambo1716 9 หลายเดือนก่อน

    Bibilia ni mkusanyiko wa vitabu vilivyo tumika na wanabii na watumishi wa Yesu kristo.

  • @ismailyussuf1805
    @ismailyussuf1805 3 ปีที่แล้ว +1

    Allah Barik Dr.Sule

    • @ismailyussuf1805
      @ismailyussuf1805 3 ปีที่แล้ว

      Elimu unayotoa leo ni uwazizi wa Akhera yako Dr.Sulley.Allah will grants you whatever you desire in this WORLD and AKHERA.AMIIN ,AMIIN,AMIIN.

  • @pastorjimsonchengula844
    @pastorjimsonchengula844 3 ปีที่แล้ว +2

    Tubu dhambi na kuziacha sulle

  • @mastensim1930
    @mastensim1930 2 ปีที่แล้ว +1

    Wew acha kumuchezea Mungu

  • @wilfredlukowo9476
    @wilfredlukowo9476 2 ปีที่แล้ว +2

    Mnajitahidi kupinga kweli lakini kwerinajitetea yenyewe YESU NI BWANA

    • @omarhussein7571
      @omarhussein7571 2 ปีที่แล้ว

      Ni bwana wako wew labda

    • @hellen9056
      @hellen9056 9 หลายเดือนก่อน

      Cku huyo Mzee Jesus atashuka hapo juu dunia itakioona cha mtema makuni sadsivi yuko kimya anawatazama narudia siku akija sura atakayokuja nayo mwanadamu atatafuta pakujificha Nyie msemeni mnavyo jisikia sasaivi yuko kimya kama haoni kumbe anatazama tu. Cku akija cku akija hehehehe sjui tubu kabla neema hii haijafungwa mpendwa YESU amekaribia cmnjua yeye hafanyi kitu duniani bila ya kutoa taarifa tubu ni tena tumwamini yuko mlangoni ezi za nuhu walikuwa wabishi kama wewe sasa subilini

  • @pizzaboy3888
    @pizzaboy3888 3 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akuongoze na uzidi kuwafundisha kila leo

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  3 ปีที่แล้ว +1

      Amiin Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv

  • @sadathboutique6253
    @sadathboutique6253 3 ปีที่แล้ว +4

    Dr sule akili nyingi sna

  • @zackgps4796
    @zackgps4796 3 ปีที่แล้ว +1

    Jibuni swali bibilia kashushiwa nani xo mnabisha tu kabla ujaanza kucoment

  • @franciscomtambakuluca2830
    @franciscomtambakuluca2830 3 หลายเดือนก่อน

    Biblia sio kitabu kimoja

  • @Khalifaathumani-cy5om
    @Khalifaathumani-cy5om ปีที่แล้ว

    Biblia kitabu cha watu sio kitabu cha Mungu.

  • @fredrickgitonga1972
    @fredrickgitonga1972 3 ปีที่แล้ว +2

    Waislam yesu ana wapenda sana

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  3 ปีที่แล้ว +1

      Hahaaaaa

    • @nuruchikoe1959
      @nuruchikoe1959 3 ปีที่แล้ว

      Sisi twampeda ISSA bin MARIAM

    • @rsm3367
      @rsm3367 3 ปีที่แล้ว

      @@nuruchikoe1959 issa ni nn

    • @nuruchikoe1959
      @nuruchikoe1959 3 ปีที่แล้ว

      @@rsm3367 sema ISSA ninani sio nini Issa ni mtt wa Mariam bikira ambae huyo Issa nyinyi mnamwita yesu

    • @rsm3367
      @rsm3367 3 ปีที่แล้ว

      @@nuruchikoe1959 ww ukome kwa kiarabu Yesu kristo ni Yasu al masih hiyo issa muhamad na allah ndio walikubaliana hata wataalamu wa kiarabu wanajua issa sio tafsir sahihi ya Yesu

  • @Laizer3
    @Laizer3 5 หลายเดือนก่อน

    Unataka ulete vita vya kidinii sindiooo,mda wako unaoupoteza ni bora ujenge mshikamano kati ya wakristo na waislamu ila siyo kijifanya mtume na kuleta utofauti.

  • @nicolaskalunde
    @nicolaskalunde 8 หลายเดือนก่อน +1

    Hawa jamaa tatizo elimu. Hata mm si kiongozi wa dini ninaelimu kuli huyu jamaa. Biblia ni neno la kigiliki maana yake ni (book collection) kusanyiko la vitabu na amevitaja ss hajui nn anasema aje nimfunze.

  • @francohaule-ci7ii
    @francohaule-ci7ii 9 หลายเดือนก่อน

    Kwani hiyo biblia ambayo unaisema vibaya je neno ambalo ndio kweli huoni majibu acha kutafsiri kimwili na kwa mashindano

  • @kapiskymorrice1
    @kapiskymorrice1 3 ปีที่แล้ว +3

    Kila mtu abaki na dini yake iwe ya uwongo au ukweli cha msingi kutenda mema basi.

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  3 ปีที่แล้ว +1

      Mh

    • @nuruchikoe1959
      @nuruchikoe1959 3 ปีที่แล้ว

      Tatizo lenu hampendi kuelimishwa Bible yenu weyewe hamuisomi mmezoea kusomewa hayo ndio majanga

    • @kapiskymorrice1
      @kapiskymorrice1 3 ปีที่แล้ว

      @@nuruchikoe1959 shida nini kila mtu atahukumiwa kivyake na dini yake tuwaache watu waamini wanapoona sawa. Kila mtu akae na imani yake cha muhimu mung mmoja tu basi

    • @joezeno8
      @joezeno8 3 ปีที่แล้ว

      @@kapiskymorrice1 nakubali

  • @fatmaal-ismaili5514
    @fatmaal-ismaili5514 3 ปีที่แล้ว +2

    الله احفظك شيخ سولي امين يارب العالمين

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  3 ปีที่แล้ว +1

      Amiin Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv Tv

  • @brillianhappiness167
    @brillianhappiness167 ปีที่แล้ว

    Nani hajui waislamu ni wapinga Kristo, na wao ndio wa kwanza kupokea alama ya mnyama 666 yaani mpinga Kristo
    Na kwa taarifa yenu injili ya Kristo itaendelea mpinge msipinge neno litaendelea mpinge msipinge

  • @paulagola919
    @paulagola919 3 ปีที่แล้ว +2

    Jamani tusiwe wavivu fuatilieni video za Christian Prince kwenye TH-cam mtajifunza mengi kuhusu uislamu

    • @rsm3367
      @rsm3367 3 ปีที่แล้ว

      Namuelewa sana CP waislam wanajua moto wake

  • @user-wv6jw9qw8c
    @user-wv6jw9qw8c 9 หลายเดือนก่อน

    biblia nikusanyiko waamandiko au zaman yalitwa magombo Sasa Mimi unaona unashanga Mambo biblia ilifutwa Soma Daniel 7 :25 je ilijue ukweli

  • @emanuelmargwe7087
    @emanuelmargwe7087 9 หลายเดือนก่อน

    Waislamu ni watu wakurupukaji sana..
    Dini ya kiislamu imeletwa na shetani kuharibu mpango wa Mungu kumuokoa mwanadamu.
    Yaani Mungu huyu huyu aliyempa Adam mke mmoa ndo Mungu hutu huyu awaruhusu waislamu waoe wake wengi??
    Yaan Mungu anajipinga??
    Yaan Mungu aruhusu mudi wao alogwe eti ili watu waamini utume wa mudi. Kweli??
    Eti Mungu amshushie kitabu mtu asiyejuwa kusoma na kuandika alaf wengine wasikilize maneno ya mtume mudi kisha ndo waandike. Vipi kama mudi alipandisha mashetani yale aliyologewa kule nyuma. 😂😂😂
    Mara dini ya haki, mara tumeshushiwa aya, aya hiyo kwiyoo.
    Yaani mtu aliyelogwa, akaowa wake 11 ndo mungu ampe maneno ya kuhubiria waktu.
    Shtukeni enyi wajinga na msio tafuta kweli ya neno la Mungu

  • @user-yj5es1jw8c
    @user-yj5es1jw8c 8 หลายเดือนก่อน

    Wewe huwezi kuielewa bibilia kwakuwa hujaokoka Sasa basi kilasiku upo nabiblia kuluani unaiacha wapi acha izo ndugu

  • @user-jy5rf1gq8m
    @user-jy5rf1gq8m 8 หลายเดือนก่อน

    Biblia imeandikwa na watu zaid ya 40 wakiwemo nabii na mitume

  • @sultanseifonline70
    @sultanseifonline70 3 ปีที่แล้ว +2

    Masha llah wanaelewa ila akili zao zimewekewa lock. Na viongozi wao. Wanao wapoteza

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  3 ปีที่แล้ว +1

      Hahaaaaaa

    • @issagure9532
      @issagure9532 3 ปีที่แล้ว

      Masha Allah

    • @issagure9532
      @issagure9532 3 ปีที่แล้ว

      Watetezi wanasema umekuwa mlaghai, je hata unayajibu he. Wapo kwenye mtandao wakifoka

    • @alanlugano3322
      @alanlugano3322 2 ปีที่แล้ว

      Ivi kwanini tunaambiwa tumuombe Allah kwa kutumia kiarabu tu na si kiswahili au lugha nyingine? Hapa hatujapigwa kwrli? Je, vipi kwa ambao hatujui kiarsbu?

  • @jannffer
    @jannffer หลายเดือนก่อน

    Roho mtakatifu akikushukia injili itakuwa ya ajabu

  • @shortverses1604
    @shortverses1604 7 หลายเดือนก่อน

    Maana ya biblia ni mkusanyiko wa maandiko matakatifu au mkusanyiko wa vitabu vyote kuanzia musa mpaka yesu. Kwanini vipo, vimepatikanaje, usilolijua ni usiku wa giza na giza unalo na hakuna lisilo takatifu humo na siku nyingine usiisemee vibaya dini ya watu wengine kaa na imani yako hiyo ya kiislamu alafu utakuja baadaye kupata majibu ya nani ni nani. Kimbia gizani shekh

  • @mathsnewdiscoveries
    @mathsnewdiscoveries ปีที่แล้ว +1

    Usipotoshe jamii ama watu kwa hoja zako dhaifu usienende kwa akili zako tuu, kwanza huja Muuliza Mungu wa mbinguni akupe majibu hata kupitia ndoto juu ya swali lako , unaonekana una akili nyingi hongera ila unazitumia vibaya humshirikishi Mungu kabla huja hutubia au hujafundisha watu, watumaini akili zako mwenyewe kwasababu unazungumzia maswala nyeti kabisa unatakiwa uwe umemuuliza Mungu akupe kibali na akufundishe uyajue mambo vizuri, pili hujawafundisha watu neno biblia linamaanisha nini ? Umevamia au umebaka swali lako mwenyewe, maana definition /maana yake na chimbuko la lugha yake hilo neno watu wajue , usipende kuharass au kutesa akili za watu. Biblia kifupi na kwa haraka ni mkusanyiko wa hivyo vitabu ulivyo vitaja mwenyewe vilio wekwa pamoja hivyo biblia sio kitabu. Kafanye utafti tena , nadhani nimekupa mwangaza wa kuchunguza vitu indeep yaani kwa undani.

    • @user-qr7et3vl5z
      @user-qr7et3vl5z 8 หลายเดือนก่อน +1

      Bibilia kapewa Nani jibu swalibona porojo

  • @rogersonmulaki527
    @rogersonmulaki527 2 ปีที่แล้ว

    Bali kwa kadiri ya ugumu wako, na kwa moyo wako usio na toba, wajiwekea akiba ya hasira kwa siku ile ya hasira na ufunuo wa hukumu ya haki ya Mungu,....ukweli mwaujua ila kuamini watu hawataki..Mungu aliyemfanya sauli alikua akiwatesa wakristo...na kumfanya kua Paulo..ni Mungu yuleyule habadiliki

    • @yusuphamina4448
      @yusuphamina4448 10 หลายเดือนก่อน

      Endelea kubaki gizani

  • @kapesaemmanuel2422
    @kapesaemmanuel2422 ปีที่แล้ว

    Huyo nabii Damu alipewa kitabu gani naona kama hujui maana ya biblia

  • @hajikabugahamis3149
    @hajikabugahamis3149 3 ปีที่แล้ว

    #KapiskyMorrice Laiti kama hivyo vitabu vya Mwenyezi Mungu Usingevisoma wala hata huyo Mungu Unaemuabudu usingemjua yatupasa tusome Bible kama ilivyoandikwa.Tulia upate somo Ni muhimu kujulishwa usichokijua ili ujifunze kutumia akiliyako

    • @kapesaemmanuel2422
      @kapesaemmanuel2422 ปีที่แล้ว

      Kama aliamini vitabu hivyo hana sababu ya kuwaniavyo mbona kwenye
      Qur an kuna sura za majini ng'ombe na hata buiibui

  • @paullazaro3127
    @paullazaro3127 8 หลายเดือนก่อน

    NENO LA MUNGU LITASIMAMA IMARA, HATA KAMA UTAJARIBU KUPINGA KWA ELIMU YAKO YA UONGO WEWE NA NDUGU ZAKO.

  • @barakaharony4396
    @barakaharony4396 9 หลายเดือนก่อน

    Biblia sio kitabu kimoja ni vitabu kuwa na akili timamu Bwana atakuhukumu

  • @alijimbo4121
    @alijimbo4121 3 ปีที่แล้ว

    Njo utulingalie dini Dr sule usaidie unaweza kutusaidia plz and plz

  • @manaseyona9260
    @manaseyona9260 2 ปีที่แล้ว

    Nashindwa kuelewa .je .wakristo kwenu niadui au ninini. Napia maneno yoote uliyozungumza. Je kitabu watumiaccho wakristo kwenu nikero kias kwamba unamaanisha watuwahamie uislam ama nn.iwe . nashauri hubiri jambo linaloleta aman kwa wa aminio. Sio vema kujadili yaupande wapili. Sion a man ilachuki tu.

  • @user-hw7ce8gf6v
    @user-hw7ce8gf6v 9 หลายเดือนก่อน

    Acha nikusaidie kidogo sheikh
    Bible ni mkusanyiko wa vitabu
    Bible ni neno na la Grecs na la ki latin na maana yake ni Kitabu.
    Bible ni kitabu cha mda wote na cha watu wote

  • @stanlychishimba2729
    @stanlychishimba2729 2 ปีที่แล้ว

    Mbona upo msomi asiye kuwa like inasema,muhadisi ya Wana waizrael mwamadi ahadisiwi na kumanabi wote mwamadi awamujuwi,abari yamwamadi zipoteza maelfu ya warabu kizazi Kya esmael,je? Wewe mwafrika unamo mukizaza Kya esmael?

  • @childofgod395
    @childofgod395 3 ปีที่แล้ว +5

    Kaka Sule Yesu anakupenda sana.sasa naomba nikueleweshe kuwa Biblia ni kitabu kitakatifa na cha Mungu kwelikweli sababu kimebeba ujumbe toka kwa Mungu ambaye ni mtakatifu sana. Nashuukuru kwamba umekiri mwenyewe kuwa torati na injili vimetoka kwa Mungu.sasa kuelewa vitabu vingine amaandika nani ndio ukisto wenyewe,na huwezi kuelewa mpka UMKIRI Kristo kwa kinywa chako na kuamini Moyoni mwako kuwa ni Bwana.kisha utaelewa Biblia inafanyaje kazi maana Mungu anaitumia kusema na wanaoamini tuu.kiogo nikupe kionjo kuwa torati ni Amri kumi za Mungu zilizopo katika Kumbukumbu la Torati 5:6-21.hiyo ndiyo torati yenyewe.(yaani nakuzitii amri kumi za mungu)sasa yenyewe kuitwa kumbukumbu isikutishe ni kwakuwa imerudiwa kwa kuchapishwa sio ile ya kwenye mawe maana yake ni kumbukumbu ya ile siku ya agano.Injili maana na yake ni habari njema za kutubu dhambi baada ya kristo kuleta wokovu ambao huja kwa njia yakutubu dhambi,ndio vitabu vienne vya injili zipo mfululizo zikiongelea habari zinajirudia juu ya matendo na maneno ya Yesu zihusuzo wokovu.Biblia ni kipawa cha kiroho na bila kumpokea Yesu awe Bwana na mwokozi wako na Kutubu dhambi na kuziacha kabisa huwezi kuelewa Biblia maana Mungu kupitia kwa waandishi wake amefundisha kanisa lake kwa njia ya roho sasa wewe bila kumkirii Kristo kama Bwana na mwokozi wako hutakaa uelewe hata usome milele.Mungu anafanya kazi kupitia watu?Elewa kuwa Mungu ni roho hivyo haonekani katika ulimwngu wa macho yaani damu na nyama,hivyo akitaka kusema nsi anatumia watu.ila yupo kila mahali hata sasa yupo anaona kilakitu na namwomba akuokoe nawewe.Hata kwa Yakobo Mungu alimtokea kwa njia ya malaika alimwona mtu lakini Yakobo kwakuwa aliamani alijua ni Malaika wa Mungu ndio mana alimlazimisha ambariki na akabariki kuwa taifa kubwa na hata sasa Israeli ipo na imebararikiwa hushangai kuona yametimia?kama angejuwa sio Mungu Israel isingekuwepo. Yesu anakuita Kaka Sule Tubu na kuikubali injili ufalme wa Mungu umekaribia njoo kwa Yesu kunaraha sana alafu uzima wa milele ndio raha ya milele Usipotubu na kuamini injili Utaangamia!

    • @mussakhalifah1233
      @mussakhalifah1233 2 ปีที่แล้ว

      Amani ya Mungu iwe pamoja nawe.
      Nimepitia walaka wako lakini kuna kituunaonekana bado hujui...! "Watu wangu wanahangamia kwa kukosa maarifa " - Maarifa yanahitajika kuweza kufunguliwa kujua uhalisia.
      Hakuna aliyepinga injili wala torati,unaulizwa juu ya biblia alipewa nani?
      Hakuna aliyebisha kuwa kuna baadhi ya maneno matakatifu ya Mungu na Mitume,lakini pia ina maneno ya ujanja ujanja wa wanadamu. Hivyo haiwezi kuwa takatifu maana imeshachafuliwa na mikono ya waandishi.
      NB:
      Masomo haya huwa hayahitaji ushabiki bali utulivu na kuomba muongozo wa MWENYEZIMUNGU.

    • @ndakozeomar4609
      @ndakozeomar4609 ปีที่แล้ว

      Kwanini waleta habaei za kijinga ndugu? Ukosefu wa msingi wamaneno kama hayo yako ndio yapotosha watu kemkemu. Aceni ujinga muukubali na kuufuata ukweli ujirio.

    • @loner_wolf
      @loner_wolf 4 หลายเดือนก่อน

      Defending sio njia nzur ya kujifunza. ......mbona waandishi wa wanajieleza kuwa wametunga tu .

  • @EdwinBuberwa
    @EdwinBuberwa 8 หลายเดือนก่อน

    Unalolizungumza ukijui bora uacheni kuzungumza utoporo

  • @petermgonja8547
    @petermgonja8547 2 ปีที่แล้ว

    Mimi ni mkristo.dr.sule Yuko vizuri ni mchungaji.yeye na mazinge.sijui ni Nani anawalogaaa?ndacha amewaelewesha hamuelewi munataka Nini Sasa?andika maswali yako tote yatajibiwa.yeye anasubiri.

  • @victorsanga2229
    @victorsanga2229 7 หลายเดือนก่อน

    Bado ninatafakari nguvu kubwa unayotumia kudanganya watu.

  • @California9451
    @California9451 8 หลายเดือนก่อน

    Zaburi gani aliyopewa Muhammad?

  • @johnsonyohana9594
    @johnsonyohana9594 2 ปีที่แล้ว

    Mi nashangaa mnakazaniaga kua issa alitumwa islael na kuwapa injil sasa cjui quran kwa waislael inatafuta nn uko.au na wao hawana kitab cha injil ya kwel? na ingekua vzur kama mgetupa japo maandiko baadh ambayo ni ya kwel ya mung toka kweny bibilia maana dr.sule ulisema maandiko hayo yapo ebu tupe mfano.

  • @francohaule-ci7ii
    @francohaule-ci7ii 9 หลายเดือนก่อน

    Waisalm upeo ni mdogo sana juu ya kujua ukweli unayo husu kweli ramani ya Mungu hautopotea kwa njia ya upotoshaji kirahisi hivyo upepo huo ni kwa wale wasiojua ukweli

    • @MohamedAhmada-ie7ke
      @MohamedAhmada-ie7ke 9 หลายเดือนก่อน

      Upeo mdgo wako wewe kwasababu kuna marekebisho mengine yanakuja kwenye biblia kwa mulivo na upeo mdgo muta taftiwa njia ya kuaminiswa tena na mtaelewa, ila kwa wenye akili apo ndio mtapo wakosa

  • @danielchaulema1670
    @danielchaulema1670 8 หลายเดือนก่อน

    Hapo Nia Yako nikuipotosha biblia takatifu. Mbona huipotoshi kurani?

  • @AnuwarHamis-zg3mg
    @AnuwarHamis-zg3mg 10 หลายเดือนก่อน

    Kaka biblia ni mkusanyiko wa vitabu vitakatifu ambavo ni torati zaburi na injili unataka jibu gani

  • @godfreyjulius5132
    @godfreyjulius5132 9 หลายเดือนก่อน

    Je waislam mnavitambua na kuviishi hivyo vitabu vya manabii waliopo kwenye hiyo Bibilia?

  • @juliusmsegu3347
    @juliusmsegu3347 9 หลายเดือนก่อน

    Hujui hata maana ya Biblia. kwenye ukristo Biblia sio kitabu kimoja Bali ni mjumuisho au muunganiko wa vitabu mbali mbali vilivyoandikwa na manabii mbali mbali kabla ya Yesu kuja ulimwengini (Hilo ni Agano la Kale) na Mitume wakaandika vitabu mbali mbali ambavyo kwa ujumla wake vinatengeneza kitabu kinachoitwa (Agano Jipya) na Mjumuiko wa vitabu vyote vya Agano la Kale na vile vya Agano Jipya ndio huleta kitabu kinachoitwa Biblia takatifu. Dr sule unafundisha kitu ambacho wewe mwenyewe hukijui. Fundisha Mambo ya dini yako sheikh

  • @brisketkidari4856
    @brisketkidari4856 3 ปีที่แล้ว +2

    ile kisa ya wayahudi na msikiti imefikia wapi

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  3 ปีที่แล้ว +1

      Ijumaa Itakua tayari

  • @norbertmbena5896
    @norbertmbena5896 9 หลายเดือนก่อน

    Unafanya makosa kwa maksudi tu
    Kuyafikia malengo yako tena yenye nia ovu
    Biblia ni mkusanyiko wa vitabu na si kitabu cha nabii kama unavyodadavua

  • @directorflamegrill6500
    @directorflamegrill6500 2 ปีที่แล้ว

    All of us we are believes and every doesn't no who brought Bible or Quran but Arabs and Europeans brought this two religions in Africa but don't judge the books we All believe in God that u call ALLAH SO OUR WILL LET SEE THE PARADISE OF GOD'S SO DR SUIE DONOT SAY BIBLE IS NOT THE BIBLE OUR FAITH WILL JUDGE US

  • @California9451
    @California9451 8 หลายเดือนก่อน

    Sule elimu yako ndogo sana Biblia sio kitabu Ila ni chombo kilichobeba vitabu vya Mungu Torati, Zabur,i Injili.

  • @macrinajoseph1422
    @macrinajoseph1422 3 ปีที่แล้ว

    Biblia ni kitabu.kilichobeba.vitabu.vyote.vyawatu waliojiliwa na neno.la mungu.wako.manabii. wafalme . . Shida.kubwa. Kwa waisram.kuelewa..hivyo.vitabu na hamsomi.kutaka.kuelewa .Bali kushindana. . na kwa.sababu..hamuelewi mnaendelea.kueneza. Uwongo duniani. Mnamsaidia. Shetani. Kazi ya kuwapotosha. Wanadam.

  • @hamedfaisal9449
    @hamedfaisal9449 3 ปีที่แล้ว +2

    Assalam aleikum kuna kisa cha vita dhidi ya wapalestina na waisrael sheikh hujatumalizia mbona? Na hii mada ungekuwa unatupa date bora zaidi kuliko kusubiri hatujui ni lini shukran

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  3 ปีที่แล้ว +2

      Waalaykumu salaam warahmatullah wabarakatuh..... Kesho Ijumaa Inshaallah kitakua tayari

  • @nasrimgunda8166
    @nasrimgunda8166 3 ปีที่แล้ว

    Naaam

  • @brainsviewpsychoclinic3073
    @brainsviewpsychoclinic3073 9 หลายเดือนก่อน +1

    Unaposema kitabu cha Mungu kilipewa manabii kama Yesu, Musa, na biblia haikupewa nabii yeyote huoni kwamba unapumbaza wajinga, na wapumbavu pekee? Biblia, haina torati? Haina injili ya Yesu? Kapumbaze wsajinga na haya masomo yako ya uongo

  • @tbwoy216
    @tbwoy216 ปีที่แล้ว

    Watu wote walikua wa UMA Moja, ama ni watu wote walikua wa DINI Moja, ni gani ya kweli??

  • @alijimbo4121
    @alijimbo4121 3 ปีที่แล้ว

    Njo malindi kenya msikitini wa sabasaba kunakafiri mkubwa anawabadilasha waisilam kuwa makafiri 😭😭😭😭😭😭 tem kupitia kuruani

    • @paulagola919
      @paulagola919 3 ปีที่แล้ว

      Ndugu yangu fuatilia Christian Prince kwenye TH-cam utajifunza mengi

  • @vailethmarack374
    @vailethmarack374 2 ปีที่แล้ว

    Ufahamu wako ndugu ktk maandiko huna kwa sababu mala uvikatae vitabu vya Biblia tena unanuku kuthibitisha unacho taka.

  • @pascaljoshua8879
    @pascaljoshua8879 2 ปีที่แล้ว

    Wewe huna jipya,

  • @esthersawiga9979
    @esthersawiga9979 2 ปีที่แล้ว

    DINI IMEKUWA BIASHARA ZA MITANDAONI SIKUIZI ..... MANENO MENGI ....ANYWAYS ONLY GOD CAN JUDGE ....ILA VIZURI KAMA UNAMFATILIA MUNGU ... HUMU HAKUNA UTAKAYEMDANGANYA NA KUKUBALI MAFUNDISHO HAYO LABDA MUISILAM MWENZAKO

  • @muradmubarak2072
    @muradmubarak2072 2 ปีที่แล้ว

    Hujui kitu bible ni muungamiko wa vitabu vote vya madabii sawa na Quran ni muungamiko wa vitabu vote wee chiz ongea juu ya dini yako na nn watu waupende uiislam fala wee

  • @babuloliondo74
    @babuloliondo74 ปีที่แล้ว

    Kuna nduzetu wapo vichwa vigumu sana kuwerewa baburia au bibiria sasa wote wakiria nani atamnyamazisha mwenziye wagumu kuwerea kapewa nani nani annayetafsiri mpakahii reo nani

  • @charlesmapunda5905
    @charlesmapunda5905 ปีที่แล้ว

    Sijasikia ukisema maana ya Biblia ni nini, Quran imepatikana vipi? Muhammad alipatiwa Utume na nani? unabaki kuongelea Biblia badala ya kuongelea ukweli wa Uislam ulianzaje muislam wa kwanza ni nani? au ni nani alimsilimisha Muhammad maana kabla ajaanza Uislam alikua hajui Imani na kazaliwa kwenye Upagani, na Malaika Gabriel katika watu wote alio watokea aliwapatia habari njema bila shida iweje Muhammad yeye abinywe na wala asijitambulishe? na Mke wake ndio amwambie huyo atakua Malaika Gabriel yeye Mke wake alijuaje? kama yule ni Malaika Gabriel? wakati hakuwepo eneo la tukio? na yeye alipeleka taarifa kwamba anahofia nafsi yake kuchezewa na Mashetani na kuugua homa kali kwa uoga, sijawahi kupata haya Majibu ya maswali haya zaidi ya Porojo za Mashekhe na kuongea kwa maono yao na sio sababu za ki Mungu alafu mnasema uislam ulikuwepo toka enzi za kale wakati hivyo vitabu vyote Tourati Zaburi Injili havijawai kuongea lolote kuhusu Uislam wala neno Muhammd au hata kutabiliwa kwa Muhammad kuja lakini Yesu katabiliwa kuanzia Torati Zaburi na hao mitume walio tangulia hapo ndio mtanifanya niweze kuamini Quran sio kitabu cha mchongo wa kiarabu nikipatiwa hayo majibu.

  • @georgeachiengrestinpeacebr7215
    @georgeachiengrestinpeacebr7215 6 หลายเดือนก่อน

    NAPINGA QURAN 100% SIO KITABU YA MUNGU....

  • @josephbonday8510
    @josephbonday8510 9 หลายเดือนก่อน

    UNAJITAHIDI KUPATA KUJUA LAKINI SIO NJIA SAHIHI UNAYOITUMIA MAANA AKISIMAMA WA UPANDE WA PILI AKAANZA KUICHAMBUA QURAN KAMA HIVYO,SIJUI KAMA PATAKUA NA UTULIVU.

  • @edwardwangombe2358
    @edwardwangombe2358 10 หลายเดือนก่อน

    Ni rahisi Kupata Bibilia, ukaisoma lakini korani ni sawa na kutafuta mbuzi mweusi gizani...

  • @vincentodhiambo1716
    @vincentodhiambo1716 9 หลายเดือนก่อน

    Mbona quran yana sadikisha bibilia?

  • @MariamuChilumba-cb5hy
    @MariamuChilumba-cb5hy ปีที่แล้ว

    Unamaliza MB zetu,, ili upate kula naona siku hzi unapendeza kwa hela zetu,,.

    • @user-qr7et3vl5z
      @user-qr7et3vl5z 8 หลายเดือนก่อน

      Mbona ww hauna haja kuangaliaa mb zako kua na dadako niangalie picha zangono

  • @MasterG-dc1tx
    @MasterG-dc1tx 9 หลายเดือนก่อน

    Yaani akili Yako sheee cio nzuri,unatulinganishaje cc wakristo na waislamu ikiwa cc wakristo hatuna Allah Wala mtume Mohammed,mm nakuona shetani tu