DR.SULLE:YESU SI MUNGU NI MTU || BIBLIA IMETHIBITISHA HILO KWA MANENO YA YESU MWENYEWE.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 30 มิ.ย. 2021
  • #DrSulle #VitabuVyaKale #Zvponlinetv

ความคิดเห็น • 281

  • @muddyhamza9606
    @muddyhamza9606 3 ปีที่แล้ว +7

    Ndugu zangu tunapojifunza tusiwe wakali wa kukosoa ili hali wote twataka kujua kweli maana haya mambo bila kusikiliza wasomi wa vitabu vya Dini huwezi kuelewa chochote nawaomba utulivu maana hakuna aliyekuita uje hapa tulieni tupate somo🙏🏼🤝

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  3 ปีที่แล้ว +1

      Kabisa

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  3 ปีที่แล้ว +1

      Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv

  • @mohdmahmoud2879
    @mohdmahmoud2879 3 ปีที่แล้ว +7

    Mashallah dr sulee kwa kupeleka uislamu mbele Allah akuhifadh

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  3 ปีที่แล้ว +2

      Mashaallah Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv

  • @jumasalum2677
    @jumasalum2677 3 ปีที่แล้ว +5

    Allahuakbar

  • @mapenzisiri7133
    @mapenzisiri7133 9 หลายเดือนก่อน

    Asante Sana

  • @mizzainallahwainailalhiraj8576
    @mizzainallahwainailalhiraj8576 2 ปีที่แล้ว

    Asante sana sheikh wetu😍

  • @salumhamed5074
    @salumhamed5074 ปีที่แล้ว +1

    Kanzu ni mavyazi ya masheikh

    • @allymukhsin2962
      @allymukhsin2962 9 หลายเดือนก่อน

      Ndo nn sasa bro 😂😂😂

  • @sefaniaslyvestertv1498
    @sefaniaslyvestertv1498 3 ปีที่แล้ว

    Sulle hueleweki mara Biblia ili haribiwa mara ni kitabu cha kitukufu cha Mwenyezi Mungu unajichanganya sana

  • @rajabkassongo9774
    @rajabkassongo9774 หลายเดือนก่อน

    Yohanna 24:1 haipo,yohanna mwisho 21

  • @essaumpuma2981
    @essaumpuma2981 3 ปีที่แล้ว +1

    Kosa LA Kwanza umetamka Muhammad ni mtumewa WA Mwenyezi Mungu,wakati Huyo alikuwa ki ben ten cha bi hadija lakini yeye mwenyewe alimnajisi mtoto wa miaka 9 huyo ndie Muhammad tunaye mfaham na atabaki kuwa hivyo, na tatizo lako huelewi wakristo tunaamini Mungu ni mmoja na haonekani isipokuwa Mungu hudhirisha utukufu wake Kama, baba, Neno na roho mtakatifu 1yohana 5:8 ,yesu ni Mungu sababu ni neno LA Mungu shida yako unamfafanua christo katka mwili na sio katika roho , lakini na wewe utasaidie qurani 18:50,qurani 66:12 qurani inaposema na tulipo waambia malaika, wewe una Mungu wangapi mpaka wanajfunua kwa neno tulipo maana ni wingi au huna Mungu ila miungu

  • @yasalaam590
    @yasalaam590 3 ปีที่แล้ว

    Mashallah sheykh sule allah akuhifadhi amiin

  • @marobaraka
    @marobaraka 4 หลายเดือนก่อน

    YESU NI MTU NA MTUME PEKEE ALIYEKO MBINGUNI LAKINI MUHAMAD YUKO KABURINI.
    Nakufuata Yesu nitapata nn kwako??
    Yohana 14:6
    [6]Yesu akamwambia, Mimi ndimi njia, na kweli, na *uzima* ; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi.
    Yesu ananiahidi *UZIMA* .
    *Je nikikufuata Muhammad nitapata nn kwako baada ya maisha haya??*
    Quran 46:9 - Sema: Mimi si kiroja miongoni mwa Mitume. Wala sijui nitakavyo fanywa wala nyinyi. Mimi nafuata niliyo funuliwa tu kwa Wahyi, wala mimi si chochote ila ni mwonyaji mwenye kudhihirisha wazi.
    _Muhammad kasema hajui litakalompata wala litakalokupata wewe muislam unayemfuata._
    Ajabu Mungu anasema hawafichi chochote manabii wake. Ila Muhammad kafichwa siri na Mungu. Maana hajui atakavyofanywa ukimfuata asiyejua atakavyofanywa shauri yako.
    Amosi 3:7
    [7]Hakika Bwana MUNGU hatafanya neno lo lote, bila kuwafunulia watumishi wake manabii siri yake.
    Muhammad kafichwa siri na Mungu
    Haya je wewe Muhammad unayo mamlaka yeyote??
    Quran 7:188 - Sema: *Siimilikii nafsi yangu manufaa wala madhara* , ila apendavyo Mwenyezi Mungu. Na lau kuwa ninayajua ya ghaibu ninge jizidishia mema mengi, wala ovu lisinge nigusa. *Mimi si chochote* ila ni mwonyaji na mbashiri kwa watu wanao amini.
    Muhammad kasema Yeye si chochote hana mamlaka wewe Yesu unayo mamlaka yeyote??
    Mathayo 28:18
    [18]Yesu akaja kwao, akasema nao, akawaambia, *Nimepewa mamlaka yote mbinguni na duniani* .
    Kweli Yesu ameishi Duniani na mbinguni pia. Ila Kuna waja tumeishi duniani tuh wala hatujui ya mbinguni anayejua ni mmoja Yesu Pekee maana yuko hai saivi na anaishi huko mbinguni.
    Na Yesu anasema yeye sio mja wa duniani, yeye ni mja wa mbinguni.
    Yohana 8:23
    [23]Akawaambia, Ninyi ni wa chini, mimi ni wa juu; ninyi ni wa ulimwengu huu, mimi si wa ulimwengu huu.

  • @charlesmapunda5905
    @charlesmapunda5905 ปีที่แล้ว

    Alie kataza Yesu sio mwana wa Mungu au Mungu hakujifanyie mtoto kwasababu hana mke ni kauli ya Majini baada ya Majini kuisikia Quran na kuiamini na kusilimiswa na Muhammad hivyo mnapinga maandiko ya Manabii walio ongozwa kuandika maandiko yaliopo kwenye Biblia mnafata mafundisho na kauli za Majini yaliopo ndani ya Quran alafu mnajifariji kuna Majini mazuri na mabaya, hicho kitu hakuna Jini ni Jini tuu hayo mafundisho kuhusu Yesu asie elewa Biblia ni mtu anae ongozwa na Majitu kama huna majini utaelewa tu Yesu ni nani.

  • @essaumpuma2981
    @essaumpuma2981 3 ปีที่แล้ว +1

    Na tunataka anayetafasiri aongozwe na roho mtakatifu na sio majini na mashetan mnayoshinda nayo msikiti hzo kelele za chura.

    • @agnessangawe3844
      @agnessangawe3844 3 ปีที่แล้ว

      QURUAN YENYEWE HUIJUI.MNAANGAIKA NA YESU. MTACHOKA SANA KWA KUCHOKONOA IMANI ZA WATU.YESU ALIZALIWA KWANZA BAADA YA MIAKA 600 KAZALIWA MOHAMEDI

  • @prochesernest5439
    @prochesernest5439 3 ปีที่แล้ว

    Kukataa kwako hakumubadilishi Yesu kuwa Mungu tatizo lako issa kuwa Yesu issa hawezi kuwa Mungu Ana vigezo vya kiMungu

    • @azamsaid5256
      @azamsaid5256 3 ปีที่แล้ว

      Kama Yesu siyo Issa basi hata Jesus siyo Yesu!! upo we Jinga???

    • @kishingokishingo1840
      @kishingokishingo1840 3 ปีที่แล้ว

      Vigezo vya mungu ni kula kunywa ,kulala.,kusinzia cha ajabu zaidi anakunya mavi Kama unavyokunya ww

    • @athumanitanuke6795
      @athumanitanuke6795 3 ปีที่แล้ว

      Andiko

    • @prochesernest5439
      @prochesernest5439 3 ปีที่แล้ว

      @@azamsaid5256 ukituma comments ziwe na habu nafikiri wew sio shetani

    • @prochesernest5439
      @prochesernest5439 3 ปีที่แล้ว

      @@azamsaid5256 Jesus ni Mwana wa Mungu Issa sio Mwana wa Mungu kwanin unalazisha kuwa issa

  • @denismugisha2
    @denismugisha2 2 ปีที่แล้ว

    Lakini kinachonishangaza unasoma biblia ambazo ktk vipindi vyako umezikataa kabisa lakini unatufundisha habari za Yesu kutoka ktk biblia hizohizo

  • @suleimankhalfan6938
    @suleimankhalfan6938 3 ปีที่แล้ว +4

    Wakiristo ukisema Yesu sio au sio mwana wa Mungu bc huwa wanakaasirika sana ata km umewapa ushahidi wa maandiko

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  3 ปีที่แล้ว +2

      Kabisa

    • @annambezi6226
      @annambezi6226 3 ปีที่แล้ว

      Ni nani anayekusaidia wewe kunihubiri Mimi? Kama sio kunidanganya? Roho Mtakatifu mwenyewe hauna huko ndani. Roho Mtakatifu mwamkataa. Mnayakubali majini et ndio masaidizi yako kunihubiria Mimi. Hiyo haipoo. Ujazwe Roho Mtakatifu kwanza ndipo unihubirie

    • @saidiissa4673
      @saidiissa4673 3 ปีที่แล้ว +2

      Yesu ni mwana wa Mariam unakwama wapi?

    • @brunomsofe556
      @brunomsofe556 3 ปีที่แล้ว

      Soma mathayo 17.5 utajua yesu ninan mungu mwenyw anasema nimwanangu ninaypendezwa msikilizen yeye....

    • @saidiissa4673
      @saidiissa4673 3 ปีที่แล้ว

      @@brunomsofe556 wewe haujaelewa,hapo hajasema yesu wala mungu. Soma yohana 5:37 sikia yesu anasemaje?. Sauti hiyo kwenye mathayo sio ya Mungu unajidanganya. Ukisoma niambie nikupe maandiko mengine

  • @sospetro
    @sospetro 3 ปีที่แล้ว +1

    Dakika ya 23:22 imekata
    Yohana 9:16,31
    [16]Basi baadhi ya Mafarisayo wakasema, Mtu huyo hakutoka kwa Mungu, kwa sababu haishiki sabato. Wengine wakasema, Awezaje mtu mwenye dhambi kufanya ishara kama hizo? Kukawa matengano kati yao.
    [31]Twajua ya kuwa Mungu hawasikii wenye dhambi; bali mtu akiwa ni mcha Mungu, na kuyafanya mapenzi yake, humsikia huyo.

    • @saidiissa4673
      @saidiissa4673 3 ปีที่แล้ว

      Kwahiyo yesu ni mchamungu

    • @sospetro
      @sospetro 3 ปีที่แล้ว

      @@saidiissa4673 asiye kuwa nadhambi

    • @aboubahebura8144
      @aboubahebura8144 3 ปีที่แล้ว

      @@sospetro vizuri sana kwakusema yesu nimchamungu je mungu anaweza kuwa mchamungu na wakati yeye ni mungu nakama anaweza kuwa mchamungu amcha mungu gani nailehali yeye mungu

    • @sospetro
      @sospetro 3 ปีที่แล้ว

      @@aboubahebura8144 hauoni kama hayo ni maelezo ya watu wanao dhani anayeweza kufanya hivyo lazima awe mcha Mungu

    • @aboubahebura8144
      @aboubahebura8144 3 ปีที่แล้ว

      @@sospetro kumbenimahrlezo ya watu wakidai yakwamba yesu ni mchamungu je waliodai ivo wamekosea ama wamepatia ?

  • @allyabdallah4357
    @allyabdallah4357 2 ปีที่แล้ว

    Shekh hata fundishe mpaka ulie hawatakuelewa ila ujumbe umefika

  • @charleskuyeko1660
    @charleskuyeko1660 3 ปีที่แล้ว

    Utamjua kama ni mtu au ni Mungu utakapoihama dunia. Unapoambiwa yeye ndiye Njia Kweli na Uzima unatakiwa kuliamini hilo. Kinyume cha hapo utakutana naye baada ya kufa. Yeye ndiye atakayekuonyesha mahali patakapokufaa wewe kwenda kuishi milele. Hata kitabu chenu kinawaambia hivyo.
    Yesu siyo bin Mariam. Mtoto huwa hachukui ubini wa mama yake hata siku moja. Huyo Isa bin Mariam siyo Yesu. Yesu ni Mwana wa Mungu. Na kama ni Mwana wa Mungu ni Mungu. Mungu alisema huyo ndiye Mwanangu mpendwa msikilizeni yeye. Na injili hiyohiyo inasema mtu haji kwa Baba ila kwa njia yake tu. Usichanganye kurani na Biblia. Isa si Yesu. Ni watu wawili tofauti. NavYesu snayesemws ktk Biblia di Isa anayesemwa ktk kurani. Ukweli wote mtaujua mkifa. Wskristo msiwaskilize hao wasiomwamini Yesu.

    • @micahhazard8457
      @micahhazard8457 3 ปีที่แล้ว

      Ubarikiwe zaidi ya sana

    • @selemanmakau5967
      @selemanmakau5967 3 ปีที่แล้ว

      Wenzio walopata ukweli baada ya kufa wanajuta huko waliko,we endelea kumshirikisha mungu

  • @denismugisha2
    @denismugisha2 2 ปีที่แล้ว

    Hajatokea mtu yeyote.ambaye jina lake laweza kuponya magonjwa kutembeza viwete na viziwi kusikia
    Kataeni tu ila kwangu ni MUNGU

    • @crescentvscross1132
      @crescentvscross1132 2 ปีที่แล้ว

      Wala Jina haliponyi umepagawa tu na mazingaombwe ya makanisa. Yesu alifanaya miujiza ili tumuamini katoka kwa Mungu. Wakina Elisha walifufua pia. Kuponya kama kuna Jina linaponya wewe usinge nunua dawa. Bali hio ni miujiza ya yesu Jina haliponyi narudia Jina la yesu haliponyi

  • @annambezi6226
    @annambezi6226 3 ปีที่แล้ว

    Yesu ni Mungu. Mungu ni Roho . ilimpasa Yesu kuonakana kama mtu baada tuu ya Uungu wake kuingizwa katika mwili. Hivyo Roho na mwili zinazaa mtu, ama binadamu. Yesu ni Mungu ila wewe Sule watambua mwili wa Yesu, wala sio Roho yake, na hapo ndipo wafeli

  • @prochesernest5439
    @prochesernest5439 3 ปีที่แล้ว

    Hapa chini ya jua hakuna wa kuhubiliwa ila ni Yesu tu jitaidi kuwaubilia izi ni siku za mwisho Yesu analudi kuwachukuwa walio wake

    • @marianachriss2444
      @marianachriss2444 3 ปีที่แล้ว

      YESU KRISTO ni Mungu wa kweli na zaidi ya yeye hapana Mungu mwingine Yeyote asiyemkiri YESU KRISTO ameshahukumiwa

    • @kishingokishingo1840
      @kishingokishingo1840 3 ปีที่แล้ว

      @@marianachriss2444 hongera kwa kuwa.na mungu anaekunywa, kula, kulala.na kunya mavi Kama yako

    • @marianachriss2444
      @marianachriss2444 3 ปีที่แล้ว

      @@kishingokishingo1840 Huyo ndio Mungu wa kweli na maana hata wewe aliyekuumba unayafanya haya na viumbe vingine vyote,huo ndio uhai, chochote kisichofanya hivyo hivyo kimekufa,na hakina sifa ya kuitwa kiumbe,

    • @marianachriss2444
      @marianachriss2444 3 ปีที่แล้ว

      @@kishingokishingo1840 na akili ya Mungu BABA haichunguziki,yote kwake yanawezakana ,ss sote tumeumbwa kwa mfano wake, hawezi kuumba kitu kisichofanana na mfano halisi wa uumbaji wake,Mungu anazaa hivyo usimchukulie poa ,ukaona hivyo kwake haviwezekani,na ukaona kana kwamba MUNGU hausiki na jambo lolote unaloliona kwa macho yako, roho ya Mungu iko ktk vyote unavyoviona ktk mbingu na nchi,hivyo usidharau ujio wa YESU KRISTO kuja duniani na kuzaliwa kama mwanadamu ukijua Mungu hausiki hapo, Anaweza akaja kwa mfano wa wanadamu kumbe ni Mungu unayemdharau,

    • @marianachriss2444
      @marianachriss2444 3 ปีที่แล้ว

      @@kishingokishingo1840 huko kwenye hiyo dini ya uongo na ya kishetani ndionavyodanywa kuwa Mungu BABA hajazaa wala hajazaliwa mnadanganywa tena mnapoteza,sifa ya Mungu ni uzazi ndio maana Kila aliyekiumba kinazaa.huyo unayesema hajazaa wala hajazaliwa sio Mungu wa kweli.uumbaji wa Mungu kwa mwanadamu huwa ktk matumbo ya wanawake,badala ya Mungu kumuumba mtu mmoja mmoja ,ameweka uumbaji wake na muendelezo wa uumbaji wake ktk tumbo la mwanadamu,

  • @chrisjacob4057
    @chrisjacob4057 3 ปีที่แล้ว +1

    Acha uongo ww

    • @athumanitanuke6795
      @athumanitanuke6795 3 ปีที่แล้ว

      Kwan uongo wake uko , labda maandiko ya bibilia ndiyo uongo kwa 7bu anasoma maansiko

  • @lazarokungu5020
    @lazarokungu5020 3 ปีที่แล้ว

    Mtu huwa na baba na mama, yesu alikuwa na mama tu je imekaaje hapo......

    • @MuuYascohy-oc7os
      @MuuYascohy-oc7os 9 หลายเดือนก่อน

      Unauliza swali ilo mbna Adam hana baba wala mama na Hawa hana baba wala mama ?? nao vip ni miungu ??

  • @denismugisha2
    @denismugisha2 2 ปีที่แล้ว

    Nabii huyu ni wa vipi ambae kabla hajaja duniani miaka inahesabiwa kwa kupungua, na baada ya kuja kwake miaka inahesabiwa kwenda mbele??
    Shehe tujifunze na kuchunguza sana hapa tusijeulizwa mengi

  • @mossesjovenari9457
    @mossesjovenari9457 3 ปีที่แล้ว +1

    YOHANE 10:30 YESU Anasema
    MIMI NA BABA TU UMOJA
    Tafakali.

    • @saidiissa4673
      @saidiissa4673 3 ปีที่แล้ว +2

      Umoja haimanishi yesu ni mungu, bali yesu alikuwa anafanya kazi aliopewa na mungu

    • @marianachriss2444
      @marianachriss2444 3 ปีที่แล้ว

      YESU KRISTO ni Mungu wa kweli na zaidi ya yeye hapana Mungu mwingine, Yeyote asiyemkiri YESU KRISTO ameshahukumiwa

    • @saidiissa4673
      @saidiissa4673 3 ปีที่แล้ว

      Ndugu yangu tubu umepotea, omba msamaha kwa mungu muumba

    • @marianachriss2444
      @marianachriss2444 3 ปีที่แล้ว

      @@saidiissa4673 tubu kabla haujachelewa ni wewe usiye na YESU KRISTO,hakuna hukumu ya adhabu juu ya walio ktk KRISTO YESU

    • @ramadhaninyangasa7275
      @ramadhaninyangasa7275 3 ปีที่แล้ว

      Kwani wewe ukimwambia mtu Mimi na fulani tu umoja ndio inakuaje? Tatizo hata lugha hamjui ukisikia mtu anasema( Mimi_na)jua ni vitu viwili, sio kimoja, huo umoja nikwamba yesu hawezi kwenda tofauti na Mungu watakua pamoja,

  • @annambezi6226
    @annambezi6226 3 ปีที่แล้ว +1

    Siku zote asiye mkubali Roho Mtakatifu huyo mtu hana uwezo wowote wa kutafsiri Biblia. Na hana uwezo wowote wa kumlisha mwamini wa Kikristo/ asiye mwamini Yesu kuwa ni Mungu hawezi kumhubiria mkristo habari za kwenda mbinguni. Na sikuzote asiye mkubali Roho Mtakatifu huyo ni mpinga Kristo

    • @saidiissa4673
      @saidiissa4673 3 ปีที่แล้ว

      Anna jifunze upate ukweli acha kuburuzwa

    • @hamzaswaibu9470
      @hamzaswaibu9470 3 ปีที่แล้ว

      Anna ww unajichanganya Yohana 20:17 yesu anasema naenda kwa Mungu wangu ambaye ni Mungu wenu

    • @saidiissa4673
      @saidiissa4673 3 ปีที่แล้ว +1

      Anna pole, bikira Maria alikuwa na mimba akamzaa mtoto (mwanawe) akamuita jina yesu,tangu lini mtoto wa mariamu awe mungu acha ujinga jitambue

    • @selemanmakau5967
      @selemanmakau5967 3 ปีที่แล้ว

      Muogope mungu,yesu Hana. Sifa ya kuwa mungu,sababu alizaliwa alinyonya alikunya alitahiliwa,mungu Hana sifa hizo

  • @abelsteven3189
    @abelsteven3189 3 ปีที่แล้ว

    Hiyo kiumbe Issah hajawepo katika historia, Kitibu cha Issah (Injili) kikuwapi hakuna mtu aliyewahi kukiona, Hata wakristo tuna amini Yesu (sio Issah) ni mtu hapo hakuna tatizo.

    • @saidiissa4673
      @saidiissa4673 3 ปีที่แล้ว

      Nipe tofauti ya muda na mosses

    • @abelsteven3189
      @abelsteven3189 3 ปีที่แล้ว

      Shida sio majina shida ni kwamba historia zao hazifanani. Majina yanaweza kufanana lakini tukatofautishwa na historia. lakini hata hivyo Yesu wa kwenye biblia kwa kiarabu anaitwa yasue (يسوع). kwahiyo Wahubiri wanapomzungumzia wa kiisilamu wanapomzungumzia Issah wasimaanishe Yesu, bali wamaanishe Issah.

  • @athumanitanuke6795
    @athumanitanuke6795 3 ปีที่แล้ว

    Ukisikia kelele nyingi kwa mgonjwa tambua hapo dawa ingia ili apone
    Naona wakristo dawa imeingia

  • @francisnyaji5000
    @francisnyaji5000 3 ปีที่แล้ว

    Dini tuliletewa na wageni..

    • @nassrubushoot5750
      @nassrubushoot5750 3 ปีที่แล้ว

      Haya na weye mwenyeji mwenyewe unasemaje kwa hapo?

  • @basilisamsaka8469
    @basilisamsaka8469 3 ปีที่แล้ว

    YESU NI MUNGU HALISI

    • @jacobozummaa3152
      @jacobozummaa3152 3 ปีที่แล้ว

      una weza kuthibi tisha kwamba yesu ni mungu

    • @athumanitanuke6795
      @athumanitanuke6795 3 ปีที่แล้ว

      Toa andiko
      5:40 yohana

    • @crescentvscross1132
      @crescentvscross1132 2 ปีที่แล้ว +1

      Mungu anakunya

    • @shabansalee4924
      @shabansalee4924 2 ปีที่แล้ว

      @@athumanitanuke6795 soma mbaka 45 kisha uhone anavosema msizani ya kuwa ata washitaki kwa baba yake baba yupi wakati yy mungu mungu ana ukooo kama angekuwa mungu tailiwa mungu anatailiwa

    • @shabansalee4924
      @shabansalee4924 2 ปีที่แล้ว

      @@athumanitanuke6795 mtumie iyo asome iyo uyo anae sema yesu mungu mkuuu

  • @chrisjacob4057
    @chrisjacob4057 3 ปีที่แล้ว

    Ya bibilia yaachie bibilia fanya yenu

  • @francesfelician3506
    @francesfelician3506 3 ปีที่แล้ว

    Unaonaje ukifundisha korohani MZEE baba maana biblia haikuhusu

    • @kareemsukri3256
      @kareemsukri3256 3 ปีที่แล้ว

      Hapa sio vita jifunze dini zote uujue ukweli sio kushindana faida ni yetu sote lazma tumjue mungu tusidanganywe

  • @macrinajoseph1422
    @macrinajoseph1422 3 ปีที่แล้ว

    Natukampa injili akina Nani haowaliompa injili nanihuyo anayeongea kwenye. Kuruani?

    • @suberasubera641
      @suberasubera641 3 ปีที่แล้ว

      Uyoanaesema tukampa uyonimungu au iyouwingi ndoinakutishaee

    • @macrinajoseph1422
      @macrinajoseph1422 3 ปีที่แล้ว

      @@suberasubera641 tafuta kujua kuruani. Nani anaongea ni mmoja au wengi?

  • @mossesjovenari9457
    @mossesjovenari9457 3 ปีที่แล้ว

    SULE Kumbe unaamini bibilia
    KUTOKA 15:3 BIBILIA Inasema
    BWANA NI MTU WA VITA
    BWANA NDILO JINA LAKE
    Hayomaneno yaliongewa na MUSA pamoja na wanawa ISAELI
    TATIZO WEWE HAYA MAMBO UMEYAGEUZA BIASHARA.

    • @saidiissa4673
      @saidiissa4673 3 ปีที่แล้ว

      Ni kweli ndani ya bibilia kuna maneno ya mungu,lakini sio yote

    • @noahwamalwa4385
      @noahwamalwa4385 3 ปีที่แล้ว

      @@saidiissa4673 kwa musingi upi utasema maneno Fulani ndani ya Biblia ni ya Mungu na mengine sio ya Mungu!! Ni heri kuamini Biblia nzima kuliko kujichagulia yale unayoyataka. Huo ni unafiki..

    • @bakarkhaji8663
      @bakarkhaji8663 3 ปีที่แล้ว

      Mhmm makanisani mnapelekwa uchi hebu jiulizeni ile ibada

    • @noahwamalwa4385
      @noahwamalwa4385 3 ปีที่แล้ว

      @@saidiissa4673 kwa Wakristo Mungu ni mmoja lakini hujidhihirisha kama Baba, Mwana na Roho Mtakatifu. Mfano karibu na huu ni kama vile mvuke(vapour), barafu(ice) na hata unyevunyevu(liquid) yote ni maji hata yaweza kuwa kitu kimoja Ile wanasayansi wanaita "TRIPLE point of water". Yesu alimuomba Mungu Baba. Kwani kunashida ipi. Wewe nijibu kuhusu Mohammed kubusu jiwe jeusi na kumnajisi Binti wa miaka 9 tu

  • @annambezi6226
    @annambezi6226 3 ปีที่แล้ว

    Maana ya neno injili ni jumla ya Biblia yote. Maana Injili kwa kiingereza ni Gospel, maana yake ni God spells yaani maneno ya Mungu, msiwadanganye watu kuwa injili ni vitabu vinne tuu, sio kweli injili ni vitabu vyote vya Biblia maana nyie mwahitilafiana navyo,

    • @saidiissa4673
      @saidiissa4673 3 ปีที่แล้ว

      Anna injil ni vitabu vinne tu, Marko, luka,mathayo na yohana. Jivunje dada

  • @mossesjovenari9457
    @mossesjovenari9457 3 ปีที่แล้ว

    Kwa mujibu wa KUTOKA 15:3 NENO BWANA Linawakilisha MWENYEZ MUNGU
    Na quran 3:39 NENO BWANA LINAMWAKILISHA YESU
    Halafu wewe unamwita BWANAYESU kwahio huoni kwamba na wewe YESU unamuita mungu?

    • @rashidkassimjuma4320
      @rashidkassimjuma4320 3 ปีที่แล้ว

      Kwenye qur an usitudanganye hapo anazungumziwa nabii na katajwa yahya sio yesu kuwa makini

    • @saidiissa4673
      @saidiissa4673 3 ปีที่แล้ว

      Mungu ni bwana lakini si kila bwana ni mungu

    • @kishingokishingo1840
      @kishingokishingo1840 3 ปีที่แล้ว

      @@rashidkassimjuma4320 hata mm ni bwana kwangu je nami.ni mung u

    • @kishingokishingo1840
      @kishingokishingo1840 3 ปีที่แล้ว

      @@rashidkassimjuma4320 hata mm ni bwana kwangu je nami.ni mung u

  • @abelialsen5383
    @abelialsen5383 3 ปีที่แล้ว

    Unapomsoma yesu kristo ndani ya Quran humtendei haqi hata kidogo. Kwa sababu wakati yesu akiwa duniani mambo yote aliyoyafanya yaliandikwa ktk vitabu kabla ya Quran kuwepo duniani.
    Badae ktk karne ya 6 ambapo Quran ilifuata ndio ikadukuu baadhi ya maneno kutoka kwenye maneno ya vitabu ya zamani! Ndio kwa sasa unaweza ukaona mengine inapatia mengine ndio hivyo tena! Kwa hiyo kama unataka ukweli wa mambo msome yesu ktk biblia

    • @kishingokishingo1840
      @kishingokishingo1840 3 ปีที่แล้ว

      Abeli huifahamu qur,ani na ukweli huupati katika biblia kwani mpaka sasa najiuliza kbiblia kashushiwa mtume gani?

    • @abelialsen5383
      @abelialsen5383 3 ปีที่แล้ว

      Wenzako sikuhizi hawaulizi maswali ya kitoto kama hayo

  • @prochesernest5439
    @prochesernest5439 3 ปีที่แล้ว

    Issa sio Mwana wa Mungu hatakuwa Yesu? Issa Hana uwezo wa kuhukumu watu unaangaika bule hila wahubilie hao kuhusu Yesu hili mkahukumiwe kwa haki msijemkasema atukusikia Jina Yesu mwokozi wa ulimwengu

    • @saidiissa4673
      @saidiissa4673 3 ปีที่แล้ว

      Nipe tofauti Kati ya musa na mosses

    • @saidiissa4673
      @saidiissa4673 3 ปีที่แล้ว

      Yesu ni mwana wa mariamu brother mbona bibilia inaeleza vizuri unakwama wapi?. Mariam alikuwa na mimba akamzaa mtoto jina akamwita yesu sasa unakwama wapi?

    • @prochesernest5439
      @prochesernest5439 3 ปีที่แล้ว

      @@saidiissa4673 kaka jiongeze hakuna mtoto anaitwa kwa jina la mama yake je wewe wew mbona unaitwa said issa au issa nijina la mama yako ?

    • @saidiissa4673
      @saidiissa4673 3 ปีที่แล้ว

      Kwahiyo yesu hajazaliwa na mariamu?. Mbona bibilia inasema Mariam alizaa mtoto kwenye banda la ng'ombe jina akamwita yesu sasa wewe unasoma bibilia gani?

    • @saidiissa4673
      @saidiissa4673 3 ปีที่แล้ว

      Halafu wewe sio muelewa jina ni moja tu. Mfano Mimi ni saidi ndio jina langu linalofuata naweza weka la mama au baba au nick name, unafeli wapi ndugu soma itakusaidia Sana

  • @alicebeautiful4114
    @alicebeautiful4114 3 ปีที่แล้ว +1

    JESUS IS GOD NOT A PROPHET HE IS ALFA AND OMEGA FIRST AND END IAM THAT IAM AND REMEMBER WITHOUT JESUS NO HEAVEN TAKE NOTE OF THAT 🙏🏾🙏🏾

  • @alicebeautiful4114
    @alicebeautiful4114 3 ปีที่แล้ว

    BEFORE YOU TALK ABOUT JESUS PLEASE TRY TO OBEY GOD'S WORD DONT COME OUT WITH YOUR UNDERSTAND PLEASE ASK GOD TO TEACH YOU 😭😭

    • @crescentvscross1132
      @crescentvscross1132 2 ปีที่แล้ว

      God teaches by sends us prophets. If you wait our creater voice. Keep deep sleep forever

    • @alhajinyangasa6340
      @alhajinyangasa6340 5 หลายเดือนก่อน

      May Almighty Allah guide you. Are you still objecting that Jesus is not God

  • @blueeyes5952
    @blueeyes5952 3 ปีที่แล้ว

    Kwa nini waislam mko busy na kusoma biblia kuliko kusoma coran??? Apa kuna mchezo mkubwa. 2 . Kati ya Uislam na ukristo ni upi ulikuwako kabla ya Uislam ?? Zaidi ya miaka 400 yrs!! Ndipo Uislam ukaja. Akili zetu watu weusi ziko wapi??? Kwa nini watuambie kama Mungu anaongea kiarabu au kiyahudi na sio kiswahili ao kibantu na kadhalika??? Imani yangu najua Mungu iko na anasikia lugha zote za iyi Dunia? Ushahidi gani ao walio leta biblia na coran tena wanasema kama binadamu wa kwanza alitokana na sokwe ?????? Watoto wetu wamefundishwa ivo shule . Wakati wazungu walipo leta biblia wali wakuta babu zetu wakiomba Mungu. Wakawambia kama dhahabu ni ma pepo wawape dhahabu waende kuziombea ulaya. 2 , waarabu nao walipo fika wakatuletea coran na chumvi, wakaomba babu zetu wawapatie watumwa. Walipoondoka wakatuachia biblia na coran : inayo sema tusamehe adui zetu na walio tuiba. Mtoto mweusi tuamke

    • @micahhazard8457
      @micahhazard8457 3 ปีที่แล้ว

      kuran 10 vs 94 inasema kama utakuwa na shaka ama kutokuelewa kitabu hiki(kuran)Nenda kawaulize wale wanaosoma biblia.wanahangaika ila yesu ni mungu ma hatutoacha kumtangaza

    • @blueeyes5952
      @blueeyes5952 3 ปีที่แล้ว

      @@micahhazard8457 swali yangu mtoto anaweza zaa mama yake?? Biblia njo ilikuwa ya kwanza na coran ya pili, wakristo tunaamini biblia na hatu jihushishi na coran lakini nyinyi mko busy na biblia. Sasa nionyeshe kwenye biblia aya yenye inabiri kuzaliwa kwa mtume Muhammad ndani ya biblia??? Pale Yesu ni mtoto wa Mungu biblia inasema vile. Inamuita mtoto wa Mungu:
      John 1:1-4,14
      [1]In the beginning was the Word, and the Word was with God, and the Word was God.
      Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwako kwa Mungu, naye Neno alikuwa Mungu.
      [2]The same was in the beginning with God.
      Huyo mwanzo alikuwako kwa Mungu.
      [3]All things were made by him; and without him was not any thing made that was made.
      Vyote vilifanyika kwa huyo; wala pasipo yeye hakikufanyika cho chote kilichofanyika.
      [4]In him was life; and the life was the light of men.
      Ndani yake ndimo ulimokuwa uzima, nao ule uzima ulikuwa nuru ya watu.
      [14]And the Word was made flesh, and dwelt among us, (and we beheld his glory, the glory as of the only begotten of the Father,) full of grace and truth.
      Naye Neno alifanyika mwili, akakaa kwetu; nasi tukauona utukufu wake, utukufu kama wa Mwana pekee atokaye kwa Baba; amejaa neema na kweli.
      Some vizuri uelewe Yesu ni nani,
      1 John 5:20
      [20]And we know that the Son of God is come, and hath given us an understanding, that we may know him that is true, and we are in him that is true, even in his Son Jesus Christ. This is the true God, and eternal life.
      Nasi twajua kwamba Mwana wa Mungu amekwisha kuja, naye ametupa akili kwamba tumjue yeye aliye wa kweli, nasi tumo ndani yake yeye aliye wa kweli, yaani, ndani ya Mwana wake Yesu Kristo. Huyu ndiye Mungu wa kweli, na uzima wa milele.
      Luke 1:30-35
      [30]And the angel said unto her, Fear not, Mary: for thou hast found favour with God.
      Malaika akamwambia, Usiogope, Mariamu, kwa maana umepata neema kwa Mungu.
      [31]And, behold, thou shalt conceive in thy womb, and bring forth a son, and shalt call his name JESUS.
      Tazama, utachukua mimba na kuzaa mtoto mwanamume; na jina lake utamwita Yesu.
      [32]He shall be great, and shall be called the Son of the Highest: and the Lord God shall give unto him the throne of his father David:
      Huyo atakuwa mkuu, ataitwa Mwana wa Aliye juu, na Bwana Mungu atampa kiti cha enzi cha Daudi, baba yake.
      [33]And he shall reign over the house of Jacob for ever; and of his kingdom there shall be no end.
      Ataimiliki nyumba ya Yakobo hata milele, na ufalme wake utakuwa hauna mwisho.
      [34]Then said Mary unto the angel, How shall this be, seeing I know not a man?
      Mariamu akamwambia malaika, Litakuwaje neno hili, maana sijui mume?
      [35]And the angel answered and said unto her, The Holy Ghost shall come upon thee, and the power of the Highest shall overshadow thee: therefore also that holy thing which shall be born of thee shall be called the Son of God.
      Malaika akajibu akamwambia, Roho Mtakatifu atakujilia juu yako, na nguvu zake Aliye juu zitakufunika kama kivuli; kwa sababu hiyo hicho kitakachozaliwa kitaitwa kitakatifu, Mwana wa Mungu.
      Nawaza umeelewa sasa kuna maandiko kibao inasema Yesu ni mtoto wa Mungu; sasa ule msemo uaga unasema mtoto wa nyoka ni nyoka. Na mtoto wa simba ni simba , na mtoto wa binadamu ni binadamu, na mtoto wa Mungu ni Mungu full stop.

  • @omaar5693
    @omaar5693 3 ปีที่แล้ว

    16:11
    Wakristo muje niwafundishe kutawadha kama yesu alvyo wafundisha wanafunzi wake,,,

    • @rsm3367
      @rsm3367 3 ปีที่แล้ว

      Kumbe baba cha ubishi ni muislam ok ndio nimegundua hilo leo.

    • @omaar5693
      @omaar5693 3 ปีที่แล้ว

      @@rsm3367 🤔🤔🤔 ulidhani mi si miongoni wa walio tahiriwa???
      Mi kijkuu cha yesu....

    • @mossesjovenari9457
      @mossesjovenari9457 3 ปีที่แล้ว +1

      @@omaar5693
      TOHARA NI Agano la MUNGU NA IBRAHIM Pamoja na uzao wake
      je wewe ni uzao wa IBRAHIM?!

    • @mossesjovenari9457
      @mossesjovenari9457 3 ปีที่แล้ว

      @@omaar5693
      kama unajidai kwakuwa umetahiriwa govi la nyama tu. wajidanganya bure ndugu soma YEREMIA 4:4 usikie MUNGU ANASEMAJE Kuhusu kutahiri
      kasome na TORATI 10:16
      Halafu wewe kama unamfuata MUHAMADI Kweli tuoneshe ni haya gani inayosema muhamad KATHIRIWA Ndani ya quran ukiipata iyo haya tangia leo nakuwa mwislam

    • @omaar5693
      @omaar5693 3 ปีที่แล้ว

      @@mossesjovenari9457 mimi si uzao wa Ibrahim lakini agano limemgusa kila MTU 👇
      Mwanzo 17:14Mwanamume yeyote asiyetahiriwa atatengwa na watu, kwani atakuwa amevunja agano langu.”
      Nyie viburi: msjifanye kimbelembele mbele za mungu atawapiga teke ona na hii👇
      17:.....Hiyo ni alama ya agano langu katika miili yenu, agano la milele.
      Jitayarishe kunako ufufuo tunakuwa uchi unaaibika yani dah walau hata uondoe kiburi

  • @abelialsen5383
    @abelialsen5383 3 ปีที่แล้ว

    Si kweli kwamba kuzaliwa kwa yesu ndani ya Quran ni sawa na kuzaliwa kwa yesu ndani ya Biblia ni vitu viwili tofauti kbs
    Yesu ktk biblia ni mwana wa Mungu.
    Issa ktk Qur'an si mwana wa mungu!! Kwa hiyo ushahidi unaoutoa Mr d.r pengine unamzungumzia Issa alie ndani ya Quran na sio yesu mwana wa mungu

    • @saidiissa4673
      @saidiissa4673 3 ปีที่แล้ว +1

      Yesu ni mwana wa mariamu na sio mungu ndugu yangu

    • @abelialsen5383
      @abelialsen5383 3 ปีที่แล้ว +1

      Wewe unaonekana huna elim hata ya Quran
      Issa ndio sio mwana wa mungu ndugu yangu

    • @saidiissa4673
      @saidiissa4673 3 ปีที่แล้ว

      Nipe tofauti ya musa na mosses

    • @saidiissa4673
      @saidiissa4673 3 ปีที่แล้ว

      Kwahiyo mariamu hakumzaa yesu mbona bibilia inasema mariamu alimzaa yesu. Kuwa mkweli ndugu

    • @abelialsen5383
      @abelialsen5383 3 ปีที่แล้ว

      Wewe upo kwa ajili ya kubishana sio kujifunza

  • @marianachriss2444
    @marianachriss2444 3 ปีที่แล้ว

    Wameshapewa oda na mashetani wampinge YESU KRISTO,ndio maana wanajitahidi kwa uongo kuhubiri za YESU KRISTO, YESU KRISTO ni Mungu wa kweli na zaidi ya yeye hapana Mungu mwingine mpokee YESU KRISTO ,na tubuni kabla hamjachelewa

    • @hamzaswaibu9470
      @hamzaswaibu9470 3 ปีที่แล้ว

      Nyinyi ndo mnampinga ila mnajifanya mnampenda kwa kusema tu mdomoni lakini siyo kwa matendo

    • @marianachriss2444
      @marianachriss2444 3 ปีที่แล้ว

      @@hamzaswaibu9470 Pole sana ampendaye KRISTO ,kwanza yuko tayari kumuamini kuwa Yeye ni Mungu wa kweli,na ni BWANA na mwokozi, na ni njia ya kweli na uzima,pili kuzishika amri zake na kufanya vile apendavyo YESU KRISTO, pamoja na kuishi maisha ya utakatifu na kuacha dhambi na tamaa za dunia

    • @yuzotv458
      @yuzotv458 5 หลายเดือนก่อน

      Mungu gani anazaliwa na mwanaadamu wewe unatumia akili gani kusoma vitabu vya dini????!.
      au hujui kama yesu amezaliwa na mariam???!.​@@marianachriss2444

  • @noahemmanuel8667
    @noahemmanuel8667 3 ปีที่แล้ว

    Kwan ahida ipo wap!!? mnalazmisha ukristo uwe uislam?,iv allah na Jehova wap na wap,mnapotza muda Bure,tunawaxhoraa tu,fundisheni yenu ya wakristo yatawashnda

    • @noahwamalwa4385
      @noahwamalwa4385 3 ปีที่แล้ว

      Kama ice, liquid na vapour yote ni maji kwa nini waislamu wanadhani kuwa Baba, Mwana na Roho Mtakatifu hawezi kuwa MUNGU?? Huo ni ujinga mtupu. Mohammed hakujua kusoma wala kuandika...

    • @aboubahebura8144
      @aboubahebura8144 3 ปีที่แล้ว

      Ujasoma vizuri biblia yehova lipo mumiongoni mwa majina yaliyotungwa ndani ya biblia

    • @aboubahebura8144
      @aboubahebura8144 3 ปีที่แล้ว

      @@noahwamalwa4385 aiwezekani mungu kuwa baba , mwana au roho mtakatifu kwasababu kwanza roho mtakatifu ni maraika Gabriel sasa mungu akawa maraika ?

  • @jacobozummaa3152
    @jacobozummaa3152 3 ปีที่แล้ว

    akuna mkristo anae weza kuutetea ukristo kwa maandiko mbere ya muislam

    • @agnessangawe3844
      @agnessangawe3844 3 ปีที่แล้ว

      Uislam na Ukristo zote ni dini za kuja. Kila mmoja abaki na imani yake.HIVI MBONA UKIRSTO UNAWACHOMA SANA,MBONA WAABUDU NGOMBE HAMUWASEMI???

  • @junglelaws2809
    @junglelaws2809 3 ปีที่แล้ว

    Dr.sulle hauielewi biblia

  • @essaumpuma2981
    @essaumpuma2981 3 ปีที่แล้ว

    Sasa shekhe wewe Unataka biblia iseme sabato ni jumamo, hiyo sio elimu shekhe, Haya maneno ya jumamosi, jumapili yamekuja nyuma huwezi kuyakuta katka biblia labda kwa tafsiri ya kisasa. maneno yaliyokuwa yakitumika ni hayo ya siku ya Kwanza ya juma siku yapili Na sku ya saba biblia imetaja sabato kwa siku pale iliposema siku ya saba ya juma, lakini maneno yako hayo ya Kuxema sabato sio dini wakati unakubali yesu ndie bwana wa sabato labda uniombe nikusaide ninyi mnapotumia neno dini na sisi wakristo neno njia maneno hayo yana maana gani kwa kiebrania lakini ukisema yesu ndie bwana wa sabato umekubali kuwa sabato ni dini shekhe tatizo umezoea kutumia neno dini lakini asili yake hujaifahamu vizuri

    • @crescentvscross1132
      @crescentvscross1132 2 ปีที่แล้ว

      Lengo kuu la sheikh ni kukutoa Vatican maana yesu hajaruhusu yoyote afwate warumi. Hayo yote nisawa iwe njia iwedini lkn Lengo ni torati zaburi injili na Quran vifwatwe bila kuchanganya mambo

    • @MuuYascohy-oc7os
      @MuuYascohy-oc7os 9 หลายเดือนก่อน

      Ww usiandike andike tu apa km unamuweza Dr Sule namba zipo mface live akunyooshe

  • @rsm3367
    @rsm3367 3 ปีที่แล้ว

    Acha ujinga sule

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  3 ปีที่แล้ว +1

      Hahaaaaa ujinga upi

    • @yussuphsultan1400
      @yussuphsultan1400 3 ปีที่แล้ว +1

      @@zvpOnlineTv hajielewi huyo apinge kinachosemwa Kwa hoja sio Kwa kumtusi mtu

    • @rsm3367
      @rsm3367 3 ปีที่แล้ว

      @@yussuphsultan1400 ww unajielwa sasa mbona kama ww ndio hujielewi

    • @suleimankhalfan6938
      @suleimankhalfan6938 3 ปีที่แล้ว

      Amefanya nini?

    • @nassrubushoot5750
      @nassrubushoot5750 3 ปีที่แล้ว

      @@rsm3367 hasira ya nini ndugu please kuwa mpole na mstaharabu matusi acha soma vtabu kwa umakini

  • @veronikamkuwele9072
    @veronikamkuwele9072 3 ปีที่แล้ว

    Huna lolote wewe unaejiita Dr isa sio Yesu na Yesu sio isa endeleeni kujipotosha wenyewe hubulini dini yenu mtume wenu habari za Uungu wa Yesu hauwahusu unatuhusu sisi tuliomwamini

    • @hamzaswaibu9470
      @hamzaswaibu9470 3 ปีที่แล้ว +1

      Mungu anakufa !!?

    • @kishingokishingo1840
      @kishingokishingo1840 3 ปีที่แล้ว +1

      @@hamzaswaibu9470 tena cha ajabu zaidi anakunya mavi Kama yake

    • @yuzotv458
      @yuzotv458 3 ปีที่แล้ว +1

      @@kishingokishingo1840 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣,yani haya wakristo wananichekeshaga sana mkuu.

  • @annambezi6226
    @annambezi6226 3 ปีที่แล้ว

    Siku zote asiye mkubali Roho Mtakatifu huyo mtu hana uwezo wowote wa kutafsiri Biblia. Na hana uwezo wowote wa kumlisha mwamini wa Kikristo/ asiye mwamini Yesu kuwa ni Mungu hawezi kumhubiria mkristo habari za kwenda mbinguni. Na sikuzote asiye mkubali Roho Mtakatifu huyo ni mpinga Kristo

    • @marianachriss2444
      @marianachriss2444 3 ปีที่แล้ว

      YESU KRISTO ni Mungu wa kweli na ni BWANA na mwokozi na zaidi ya yeye hapana Mungu mwingine Yeyote asiyemkiri YESU KRISTO ameshahukumiwa

    • @marianachriss2444
      @marianachriss2444 3 ปีที่แล้ว

      YESU KRISTO ni BWANA na mwokozi na ni Mungu wa kweli na zaidi ya yeye hapana Mungu mwingine, tujitahidi ndugu tukamlaki KRISTO mbinguni,Hawa wapinga KRISTO wasikusumbue,wasipomkiri YESU KRISTO wakiwa duniani watamkiri wakiwa jehanamu

    • @kishingokishingo1840
      @kishingokishingo1840 3 ปีที่แล้ว

      @@marianachriss2444 Mungu.hawezi fanana.na kiumbe yoyote ikiwa mungu.wako anakula na kunya nini tofauti yake.na weye

    • @marianachriss2444
      @marianachriss2444 3 ปีที่แล้ว

      @@kishingokishingo1840 acha ujinga kumbe kubwa zima unakuwa na akili kama mtoto wa chekechea,huko kwenye Quran hiyo dini ya uongo na ya mashetani ndio mnavyodanganywa kuwa Mungu hafanani na kiumbe chochote tena, uongo uliopitiza,anafanana na viumbe wake,kazi na uweza na nguvu,pamoja na mamlaka ndio unaweza mtofautisha Mungu na viumbe wake,ndio maana mtoto anaweza anafanana na baba au mama,

    • @marianachriss2444
      @marianachriss2444 3 ปีที่แล้ว

      @@kishingokishingo1840 Maana ya MUNGU ni uweza, nguvu, mamlaka, Utukufu na heshima,hapa ndio unapoweza kumtofautisha Mungu BABA na viumbe wake,