@@mwarabuofficial5241 sasa ndo na camera jmn loooh haya angepigwa hapo kwanza ashkur hyo kaka ni mstaarabu mwanaume mwingine anakuzibua utajuta kumfaham
nakuanga mkono na kingine mtu kama uyo mr uky bro una fnyakz ndio ila angalia mipaka na heshimu mahusiano ya watu ndo maana ata ukiend hosptal awatangaz n siri na inabdi kupewea ushaur ten mkiwa wa wili we n mwenzi wako asa w umekuwa hosptal yan umevuka mipaka . leo ni uyo siku utajichanganya utaingia kwa mtu asiyeinglika na utaibika we kabla ujfnykt fkria
Kwa wapenzi kupima ni jambo la maan sn ila dem kazingua kumfata mshikaji job tena na makamera ndo wapime apo apana sio sawa kabisa na majib aliyojib mshikaji yuko sahihi kabisa
Kupima ni inshu personal bhna na inahitani utayari mim Niko upande wa Brother Vidada vya 2000 huwa vina kihele hele sana na vina penda kiki..haya sasa umeambiwa una kipengele huko nyumban kakandwe😂😂
Niliwah kuwa na mwanaume anaishi mbez kila nikimwambia tupime hatak " tena mkali sana" tunakutana na kinga" nikachoka nikamwambia siwez kutumia kinga kila siku nikaandaa vipimo aliamka hakulala mm nikajipima nikampa majibu ya gu" nikamwambia skutak tena" akasema yy anadokta wake posta twende tukapime nikajua hili tatizo had leo hii mwaka wa 3 nimeachana nae simtak tena🙌
Hapo kunashida. Dem hajakosea cose kasema hata wakiwa wa2 huwa anaomba wapime, jamaa hataki. Why? Musilale nawanaume before kupima. Tamaa yapesa jamaa anaonekana anapesa.😢
Jamaa yuko sawa jiulize kitu ungekuwa wewe mbele ya kamela demu ambaye una malengo na yeye anakuja kukuzalilisha ni kukuchoresha kwa wanawake wengine uyo mimi sita muoa ni kieleele sana je ukimuoa hatapenda kila kitu apost mtandaoni sio demu uyo anatamani maisha ya mtandaoni
Mwanaume anayekupenda hatojali chochote atachojali ni ule upendo no matter what and where and how? Hakuna haja ya kumind yani inshort bongo hakuna romantic men wengi blah blah tu kwani kama unajiamini kwanini usipime vikaisha mbona simple tu huyu demu pls achana na huyu kaka njoo kwenye chama la wazungu hawana konakona na huu ujinga hapa hakuna mwanaume dada 🏃♀️ huyu ni red flag
Ila jamn swala la kupima laitaji moyo pia unatakiwa utulize akili zen ndio upime na c kukurupuka na ni siri baina ya doctor 🏥 na mgonjwa na sio pabrik ivyoo 🏃🏃🏃 kama kweli ni mgonjwa ndio dunia nzima wajue, ata mm ningekaaaa😢
Jamaa kazingatia Privacy safi sana suala la afya is not about media uyo dada pete imemchanganya 😂😂😂 hajui misingi na misimamo yake kama mke mtarajiwa uyo mpenzi wake ana ndugu kaka dada na mama zake which are very close to him why mr uk au alitaka ku brag mtandaoni kuna viongozi wa dini pia huko kote hajapaona kama mtu ameku engage means pande zote mbili zinafamiana its family issue sio unakurupuka et challenge in a very sensitive issue kama hio .akati ata hosp doctors akikuta upo effected anawaza akupe counselling ya aina gani ili ukubaliane na hali uanze dawa n.k kuna follow up etc mambo ni mengi pre counselling kabla ya kupima kuna post counselling yooh msifanye mchezo na afya back to you mr. Uk uangalie na challenge za kufanya utakuja kuingia pabaya
😂🤣🤣😅 Mkee utafunga wewe Duka nijambo la Hekima sana.Mume na Boss Kasema🙌
Jamaaa nmemuelewa sana misimamo na nlichokipendaa ni kumwambiaa Dem Funga Duka thn tukutane Home nnakipengele na weye Yaan Makavu bila Chenga
😂😂😂😂
@@batihubadiy3106 nikwel kabsa
@@batihubadiy3106 yaaan hata mm sijapenda alinyo fanya huyu mdada
Kupima ni secret jamani😢,.mbona kuzalilishana😂😂😂😂😂😂
Dem mjinga sana
Jamaa yuposawa kabisa
Usikute huyo dada kashapewa umbea na shoga yake kuwa bwana ako malaya sana mfosi mkapime. 😂
@@mwarabuofficial5241 sasa ndo na camera jmn loooh haya angepigwa hapo kwanza ashkur hyo kaka ni mstaarabu mwanaume mwingine anakuzibua utajuta kumfaham
Akili za wanawake mbovu sana kaka nakuunga mkono huyu dada mpuuzi sana
Huyo mwanaume atakuwa na ukimwi ase siyo kwa hasira hizo😂😂😂😂😂
😂😂😂😂
yaaan mmmmh kama mtu unajiamini asira ya nn sasa
Dada kashapata majibu ukiwa salama kupima siyo issue kabisa tatizo ukiwa hujiamini au umewaka
@@asharamdan363 ujinga tu
@@jafarinauma6798 kabisa ukiwa unajiamini yani mm ukimwi na pima Kama maleria tu🤣
Kwani mr uk ni daktar
Swala lakupima linahitaji guidance and counseling big up sana kwa mwamba
nakuanga mkono na kingine mtu kama uyo mr uky bro una fnyakz ndio ila angalia mipaka na heshimu mahusiano ya watu ndo maana ata ukiend hosptal awatangaz n siri na inabdi kupewea ushaur ten mkiwa wa wili we n mwenzi wako asa w umekuwa hosptal yan umevuka mipaka . leo ni uyo siku utajichanganya utaingia kwa mtu asiyeinglika na utaibika we kabla ujfnykt fkria
Kanaogopaa kupima umalaya tu kupima Aaaaaaaaah 😂😂😂
Huyu kaka anaukimwi huyu ndio tunakuwaga ivi ivi😂😂😂😂😂
Daaaa bby polee that man duuuuh mungu akusaidie bby kama cyo wako cyo tuu utapata wako
Kwa wapenzi kupima ni jambo la maan sn ila dem kazingua kumfata mshikaji job tena na makamera ndo wapime apo apana sio sawa kabisa na majib aliyojib mshikaji yuko sahihi kabisa
Huyu mwanamke mjinga sana yaan mm nkapime mbele ya wateja huyu mwanamke anakichaa
Kk mi ni mkongomani🇨🇩 wakwanza ambae nakuwaga na like vidéos zako adi naitaji ufike kwanza Congo 🇨🇩 ila sja wai kuona like Yako ata kwemye comment YG
Kupima ni inshu personal bhna na inahitani utayari mim Niko upande wa Brother Vidada vya 2000 huwa vina kihele hele sana na vina penda kiki..haya sasa umeambiwa una kipengele huko nyumban kakandwe😂😂
Huyo jamaa ana ngoma uyu sio buree,ana ngomaaaaaa😂😂😂😂kauajiii
😂😂😂😂
Kauaji😂😂😂😂😂😂😂
Ana ukimwi uyooo dada we we nyenyekea ukimwi hapo uyo ni mwadhirika anaetumia dawa bila kukosea😂
Mmmmh huyu mwanaume simuamuni😢😢dada run 🏃♂️ 🏃♂️ 🏃♂️
Ata akiondo kashafanyanae sana ananyichanganya uyo dada
Eti huyo ndio mchumba,,kaka mke huna hapoo
Niliwah kuwa na mwanaume anaishi mbez kila nikimwambia tupime hatak " tena mkali sana" tunakutana na kinga" nikachoka nikamwambia siwez kutumia kinga kila siku nikaandaa vipimo aliamka hakulala mm nikajipima nikampa majibu ya gu" nikamwambia skutak tena" akasema yy anadokta wake posta twende tukapime nikajua hili tatizo had leo hii mwaka wa 3 nimeachana nae simtak tena🙌
Pola ulivyo kimbia
Ulifanya jambo la maana sana we mdada
Kingereza cha Mr uky 😂🙌
😅😅😅😅acha kbsa
😢😅😅ni huzuni
Just Kuna situation apa😂😂😂 ua nacheka jmn
@@eggysulle7988 🤣🤣🤣🤣
@@SalvinJastin 🤣🤣🤣n huzun kubwa shoga ang shishi kapata kaka 😄😄😄
Alivosikia zawadi alikua anacheka alivo ona vipimo tuuuuh mambo ya ka haribika 😅😅😅😅😅kupima sio mchezo 😅😅😅😂😂😂😂
yaaan nikwel kabsa
Pana shida hapo sio bure
Hapo kunashida. Dem hajakosea cose kasema hata wakiwa wa2 huwa anaomba wapime, jamaa hataki. Why? Musilale nawanaume before kupima. Tamaa yapesa jamaa anaonekana anapesa.😢
Hata ungekua wewe kpima ukiwa unarecodiwa sio fea huyo Dem hajatumia hakili
Kiherehere kwiiiisha😂😂😂😂
Huyu mgojwa bila shaka
😂😂😂😂😂😂 hii kazi ngumu duuuuhhhh
Et mume wako mtoto 😅😅😅😅
Jamaa yuko sawa jiulize kitu ungekuwa wewe mbele ya kamela demu ambaye una malengo na yeye anakuja kukuzalilisha ni kukuchoresha kwa wanawake wengine uyo mimi sita muoa ni kieleele sana je ukimuoa hatapenda kila kitu apost mtandaoni sio demu uyo anatamani maisha ya mtandaoni
Hakuna demu hapo. Trending ndo anapenda
Sio kamela ni camera
@@TareeqIshaack sio Camera ni Kamera
Kwa hio akimuita pembeni yeye anajuwa watu hawamuoni😢😢
Weka namb niko lugalo Mr ukey nakuitaji tufanye jambo
Utapigwa wew 😂😂😂
pete inakudanganyaaaaa eeh😂😂😂 umeuponzaa
😂😂😂 chuchuuuu
Daaaah kingereza jau sana 😄😄😄💔 Your not arrange me baby 😄😄😄
😂😂😂😂😂nmelia sana
Mm nipo ICU juu ya hilo😂😂@@thuwaybarajab6099
😂😂😂😂 you are not arrange me bebii
Utanikuta nyumbani 😢😢
Msimamo ndo kila kitu✊🏼
Makofi kwa jamaa mwanaume inapaswa kuwa hivo....makofi kwa mkurugenzi na iwe fundisho kwa wanawake wenye akili kama huyo 👏👏👏👏
Jamaaa kaungua uyooooooooo😂😂😂😂
Your not arrange me baby 😂😂
Don't you
Huyo kaungua kupima maandaliz ya nn 😅😅😅
Sema kimeumana 😂😂😂
Heee heeeiya hii imeenda 😂😂
Ana ukimwi huyu😂😂😂😂😂
Kamwamba hakataki kupima but kapo sawa tu coz kupima ni swala la siri
Kakirusi hakoo ogooaa😂😂😂
Mdada kakosea kabisa hata mm Siwez kubali kupima kunahitaji maandalizi psychologically
Kimeumana😂😂😂😂💔
Nimeipenda hi kaka unamsimamo sana❤❤❤❤❤
Apime😂😂
Tobaaaaaaa 😢😢😢tukutane home
Jamaa atak kupima ni sawa lakn dada kazingua nae kwa sehem yake
Mwamba yuko sawa huez pima mbele ya camera demu kazingua
Kazingua sana tena sana ni mpuuz
Mwanaume anayekupenda hatojali chochote atachojali ni ule upendo no matter what and where and how? Hakuna haja ya kumind yani inshort bongo hakuna romantic men wengi blah blah tu kwani kama unajiamini kwanini usipime vikaisha mbona simple tu huyu demu pls achana na huyu kaka njoo kwenye chama la wazungu hawana konakona na huu ujinga hapa hakuna mwanaume dada 🏃♀️ huyu ni red flag
@@kibouttv7148acha ujinga kupima n siri baina yke n dem wake wat if apime vipimo vitoke tofauty??
We acha zako kila sku umwambie dem tupime agome kila sku autashtuka
@@kibouttv7148kweli kabisa
Manzi kazingua😂
Huu ndio uanaume
Anafanana na mkojan
Eti mjinga😂😂😂😂
😂achana nae kaungua huyo namjua
Nimechekaa😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Kwahyo kama kaathirika tujue woteee
Mmmmh surprise zimezidi Jmn 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
I real appreciate your work bro work hard
It's just matter of time but in any activity has its challenges
Maziwa kudondoka maziw kudodokea wallah ndoa han😢
😂😂😂😂😂 hadi nimerudi kuangalia dah
@@Khadija-ne8ulhata mm😂😂
Ila uyu dada sjapenda alivyo mzalilish mwenzie
kaonesha uanaume
huyu jamaa anajua kuigiza sana anafaa awe kwenye jua kali
Ange vya miwan tuone reaction yk
Wew dada nawe unampimaje mume wako hadharani😅😅😅😅
Huyu demu anapenda ku trend 😅😅😅😅
mwanaume yupo sahihi kbsaa
Mm tu unipimi adharani
Huyu dada kakosea sana
Ziwa ndara kama langu😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Hhhhh mm napenda maziwa ya aina iyo nipe namba zako fetty
@@lahdadibrahim5006 kanyeee
@@missfetty4173 hhhh ss kwani vibaya mamy nimronan naee kwenye comment niache namba zako unakisa baati au nikupe zangu
Bro yupo sahihi sana,uyo mwanamke afai kuolewa maana Hana maadili na ajafumzwa.
Mr uky umekosea sana mtafute mwamba umwombe msamaha
Hatupimiiii 😂😂
Utoto huu😢😢😢😢why lkn kumdhalilisha mbaba wa watu
Et maandarizi,, kwani damu umeiacha nyumban au 😅😅😅😅😅
😂😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂
😂😂😂
😂😂
😂😂😂😂
Huyu si mchat wangu jamani 😂😂 mchati wangu....
𝙆𝙬𝙡 𝙖𝙪 😂😂😂
@@Mimadepreety natania 😂😂😂😂
Nimependa safi sanaa mwanaume unatakiwa hivyoo wameumbuka😅😅😅😅
😅😅😅huyu kaka yupo seriously kweli,kupima tu ndo povu lote.Hakuna mme hapo
Ipo siku mtapigwa wewe na @kiredio wako😂😂😂 Kwa kupima kuna shido gani 😢
Kwani kupima sikitu simple kwa mwenye anajiamini kweli iyo si issue Ila uyo nikama hajiamini Ata na afya yake nikama sioni iko sawa 😢😂❤🇧🇮
Mmbo ezra
Ulishindwa kutumia mswaki ebooo!!😂
Ila jamn swala la kupima laitaji moyo pia unatakiwa utulize akili zen ndio upime na c kukurupuka na ni siri baina ya doctor 🏥 na mgonjwa na sio pabrik ivyoo 🏃🏃🏃 kama kweli ni mgonjwa ndio dunia nzima wajue, ata mm ningekaaaa😢
Mpenzi wake hawajawahi kupima au wanafanya mapenzi kwa kinga😂😂 sijaelewa
Sawa ni kweli na dada hapo ndio kapata majibu angekuwa pouwa angefurahi tu angepima wabongo tunajijua
Jamaa yupo sahihi kbsaaaaa
Jamaa kanyooka kama rula,,msichana hajielewii 😂😂
Si umpeleke hospitali
Mwambaa ni katoa maamuzi ya kiumee sana
Dada achana na uyu kaka. Uyu sio mwanaume, iko na ukimwi!!!
Kaka pamoja na kuwa umesema uko OK ila imekuma nii sehem ya changamoto polee Naa Mungu akuwezeshe ufike juu
Nimempenda huku kaka safi sana kwakua na msimamo kupima kunahitaj utayari
Kwani wanapima nini
Kwa nini asipime anaonekana malaya
@@NuruZebedayombise-ie5zb ww unaweza kupima mbele za watu?
Huyu demu nilijua chuchu Hans..😅
Mwqmbie aende nyumbani kuna kipengele chake 😂😂😂
Mgonjwa uyo😂😂
Jamaaa anazingua
Jamaa kazingatia Privacy safi sana suala la afya is not about media uyo dada pete imemchanganya 😂😂😂 hajui misingi na misimamo yake kama mke mtarajiwa uyo mpenzi wake ana ndugu kaka dada na mama zake which are very close to him why mr uk au alitaka ku brag mtandaoni kuna viongozi wa dini pia huko kote hajapaona kama mtu ameku engage means pande zote mbili zinafamiana its family issue sio unakurupuka et challenge in a very sensitive issue kama hio .akati ata hosp doctors akikuta upo effected anawaza akupe counselling ya aina gani ili ukubaliane na hali uanze dawa n.k kuna follow up etc mambo ni mengi pre counselling kabla ya kupima kuna post counselling yooh msifanye mchezo na afya back to you mr. Uk uangalie na challenge za kufanya utakuja kuingia pabaya
Mbona mkali hvyo anao + uyo😂😂
Mr uk eti KAMPIME TU WEWE NYUMBN,😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Kafanana na chuchu hans
Huyo anajua kama kaungua😂😂😂 dada jiandae kipsycholojia
Itakua kweli
Jaaliya uyo ndo mpenzi wko
Mtandao inaponza sana
Mmmmmmmh dada umezingua
Lkn kosa la mwanamke sio Mr uk