LIZZ KAWACHANGANYA WADADA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 มิ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 225

  • @DavidDavid-wf5ug
    @DavidDavid-wf5ug 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +20

    Leo nyumbani hapakaliki kwa nini ana mchepuko na nyie wadada haya mambo muwe mnamalizana na waume zenu sababu wao ndiyo wanatongoza michepuko.

  • @_smart_hb_
    @_smart_hb_ 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +10

    Ila Mr Uky punguza kizungu Tanzania 🇹🇿 kiswahili ndio kinafahamika sana achana na icho kizungu bhana 😎

  • @user-gb3sf9fy2u
    @user-gb3sf9fy2u 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +10

    Kma umeangalia zaidi ya mara kile kipenda kinachosena leana ni kivuruge gonga like hapa

  • @ramadhanibakari5972
    @ramadhanibakari5972 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +6

    Sio lizz na wew ni wizz @Mr Uk jifunze kiswahili unaboa viingereza vya hovyo yan tafran 🤔🤔🤔

  • @berthangowi55
    @berthangowi55 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Mara nyingi wanawake wanaokata tamaa na kutokujiamini ndio wana kuwa na huo msemo HAKUNA MWANAUME WA PEKE YAKO,ila sio kweli 💯

  • @LucyPius-gk1di
    @LucyPius-gk1di 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +6

    Kimemushuka shuuui mchepuko ni mchepuko tuuuuuu piga keleeeee watuache na waume zetu watafute waume zao

  • @salisali3738
    @salisali3738 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +7

    Miaka 2 kwenye zinaa 😳😳

  • @Mamunabeel-hh9kb
    @Mamunabeel-hh9kb 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +9

    mapenz mapenz mapenz haya uko uliko mapenz tunakulaan unatualibu sana😂😂😂

  • @user-fx3ws9lp6g
    @user-fx3ws9lp6g 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Jina lenyew wizz

  • @RehemaOmary-xp4fk
    @RehemaOmary-xp4fk 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +7

    Mi hata km umenichagua ila unieleze vizur kwann unisaliti la cvyo nakuwekea pilipili kwenye maji ya kuoga

  • @mariammilanzi9161
    @mariammilanzi9161 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Sema wizzy anapenda weusi 😅😅😅

  • @johasaeed391
    @johasaeed391 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Mikaa 2 siyo mbal sana i😂😂😂😂😂jamani vijidada acheni mapenzi yatawauwaa tafuteni pesa kisha muowee

  • @witnessmlay7415
    @witnessmlay7415 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Hehehe vitoto vya 2000 vinasumbuliwa na mapenzi af sauti ya Wizz mwenyewe sasa😂😂

  • @sulleRuth
    @sulleRuth 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Asanteee studio Nimependaaa mwanaume alivojibu mr uky 🎉

  • @user-no7pz1bz4y
    @user-no7pz1bz4y 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Watu wakavu 😢😢 et siwez kumuacha nimemzowea,, haya haus gar kamalizie kazizako boss atakufukuza kaz bure,, 😂😂😂 mana limekushuka shuuuu!!!!!🙌🏻🙌🏻🙌🏻😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @rahmahamad5005
    @rahmahamad5005 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    😂😂😂😂😂😂😂😂 bora tu reyna anajiona sana huyo😂😂😂😂 hayaa wifi yangu karibu nyumban 😂😂😂

  • @JudyLee-hf9cy
    @JudyLee-hf9cy 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Anaongeaje huyo bwana😂😅😅😅😅😅😅

  • @LizzyAdrian
    @LizzyAdrian 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mdada mwenyewe mbaya kama mimi unagombana na mwanamke mwenzako kisa lijinaume

  • @nyanziratatou5404
    @nyanziratatou5404 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Kuna maneno ya wanawake wenzangu nikiyasikiaga huwa na cheater sana , eti tumetoka mbali name, siwezi kumuacha, eti ananipenda mimi 😅😅😅😅😅 huwa nacheka sana . 😅😅😅😅😅😅

  • @peacermaria2045
    @peacermaria2045 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +5

    Unacheza na wasukuma wazee wa kuropoka wanakuaibisha kabisa😂😂