Mwanamke mjinga atavunja ndoa yake kwamikono yake ye mwenyewe...Adam mwenyewe aliingia mkenge...sembuse waname Wenu awa wa sikuiz wenye MUNGU wakubahatisha.
Wanaume sio watu wa kuwatania hata kidogo, most of them, they are very week😮. Na wadada muache mambo ya kuongea na wapenzi wenu mbele ya marafiki zenu, kuonesha maanaume anavyokupenda na kukujali. Rafiki yako alikuwa anapenda unavyoongwleweahwa na mwanaume wako mama/ mke. Ila huyo Masud kiboko, hata huyo rafiki yako akisema waje wapendane litkuja kumgharimu. Mwanaume hajatulia hata dk 1. Unamuachiaje rafiki yako halafu anamuita mpenzi wako shem darling
hata ingekuwa mimi, aisha kama ndio babe wangu ningemcheat tu kwa huyo shem darling pee😂😂 nyie hamjui raha yakutembea na mtu na rafiki yake..wanaume tunapenda adventure
Yaani madada mengine ya hovyooooo sana yaani mtu amekuulizeni tufanye challenge hivi na hivi na umemkubalia rafiki Yako tena unaanza kunchukia rafiki Yako anakosa Gani Sasa hapo?hivyo kabisa na kimini chako et ndo sketi mguu wenyewe wa kuvalia kimini huna 😂😂😂hivyo kabisaa 😏😏😏😏
Kwanza ata jamaa mwenyewe yupo hapo hapo fuatilia vizury kuna mwangwi kabsaa jamaa anatufanyia maigizo viwango vimeshuka wanatengeneza content shezi awaa
Yan wameongea vizur hatar unaweza kusema mume si ndo huyu😂😂😂😂wanaume nyokooo
Yani hao wakupenda kuita mama angu ndio mafilauni wakubwa hao, yalisha wahi kunikuta mimi😢😢😢
Tufike mda tuelewe kua hamna true love
Mimi ndo hua nacheka yaani wenye akili wanajifunza,lamsingi wanawake tu focus kwenye mambo ya msingi ,alamfu mapenzi baadae.
Kumpa mtu namba ya mpenzi wako siyo poa wanadamu wamekuwa wanyama. Mpuuzi sana inaonyesha alikuwa anammendea siku nyingi mpuuzi huyu
Dada acha tu
Alivyosikia mke wangu kacheka mwenyew
😂😂😂
Yaan ka jinga
Sipendi kuitwa mke najitu ambalo halijanioa maana huwa ni maongo
Mwanamke mjinga atavunja ndoa yake kwamikono yake ye mwenyewe...Adam mwenyewe aliingia mkenge...sembuse waname Wenu awa wa sikuiz wenye MUNGU wakubahatisha.
Lakini sisi wanaume ni wauaji kwa kweli.
Masouuuuuud ni mbwaaaaaaaaa mwenye mkia wa mbele!!!😅😅
Alafu mimi haya mazoeya yakumwita mpenzi wangu shem darling siyapendi
Haha😂
Hahahaha
Me too
Yaani wanawake sisi ukitwa mkee tu yaani unabonyea
😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣
😂😂 au mama akili zina ama kabisa
@@AraphaChekiJIFUNZE KISWAHILI AKIRI 😂😂 ZINA AMA😂😂
😂
Huy mwanamme jinga hawezi kujiongeza mpenz kampigia Shem kampigia hapo hapo hawezi kufikiria kama mchezo 😊jmn
kwani wanaume wanaakili ya kujiongeza
Hawana kbs ni mazumbukuku@@modesterjulius7625
Mwenzenu kila siku nawapaga code date na wazee au muwe single mta enjoy sana wanawake
Nitabaki kuwa single hawa viumbe wanaoitwa wanaume aisee wanipishe.
Wewe single nitumie no yako nami ni single
@@ChristopherChacha-fb4oc😅😅😅😅 mbavu sana
😂😂😂😂😂😂😂 simuwe mnakataa hizi challenge
Duuh nikisikia mapenzi nahisi kichefu chefu😂😂😂😂atakaye nipenda nitamunyoosha wanaume duuh
😂😂😂 moyo wangu unagoma kumuamini mtoto wa watu kabisa
@@jafarysoahsoah8530 Yaan wew ndo kama mm wanaume sjui nawaonajee 😅😅😅
@@maryamedi9141 poleee utapona maana asilimia 98 ya wanaofanyiwa challenge wanafeli yaani unakuta mtu anacheet sa nimuamini nani 🤣
@@maryamedi9141 malizia tu cc ni mambwa
@@FerdinandCharles-ko7de 😂😂😂😂 nawqtaftia jina
Wanaume mtafika mmechoka sana
Bado hujasema
Ila sisi wanaume ni wadhaifu sana
Narinje ndiruka,ngo mwayirekuye murankoreyeko😢
duuh wanaume jomoooniii kha mi staki kabisa sio kwa uwongo huo 🙌🙌🙌
Shem darling ya nyokoooo
😂😂
Mr uky 👍👍👍
Ali test walitegemea nini,ugonvi wengine munataka dada zangu 😅
Neno leteni hela zangu limeondoa uaminifu kabisaaaaa
Kama nimesikia mwishoni Mr UK baada ya kusema kata ukawaambia nipeni Hela zangu😂
Mbona nipeni hela yangu haya ni maigizo😊
😂
Kumbe tumesikia wote😂😂
Haya ni maigizo nduguni zangu
Wanaumeee eeeeh wanaumeeeh eeeh wanaumeee ni wapumbavu
Shemeji kanona lakini 😂😂
😂😂😂 kazi ipo
Mapenzi nyoko kudadeki😅😅😅😅
Marafiki shikamoo
Wew dada hujion kama umezeeka.
mke wangu😅😅😅wanafki sana wa hivi
😂😂😂mbola tudanganye tu wote lkn sio kunidanganya watu wazima bado mnauzwa et mke na hajakuoa ndo hapo huwa mnafnya makosa
Wanaume shikamo 🙏🙏
Mwishoni Mr UK baada ya kusema kata ukawaambia nipeni Hela zangu 😂
Hata mimi nimesikia hivo
Mbona tena nipeni hela zanguu😅😅😅😅😅😅😅😅😂
Kumbe na ww umeskia hahah
@@salmakasim8390 Ndiyoo wanatudanganya hawa mbwa 😂😂😂
Wanaume shikamoo
Nakupenda pia nyokooooooooooo
Kumbe mnaigiza, siku zote najua ni kweli, neno leteni hela zangu, halafu hao wakabadilika wanacheka wakati mmoja alikuwa kanuna
Mwanaume hajaribiwi jamani😂😂 hawakataagi
Mr uky bhana 🤣🤣 eti ila wanaume,Kwan we pia si mwanaume 😂
😂😂😂😂😂😂😂 et wanaume kumamayo htr sana wanawake tumeshawachoka kwa kweli from oman
😂😂😂😂😂habity reshi ntii
Aliesema wanawake viumbe dhaifu sidhani kama aliwahi kuwafanyia challenge wanaume, maana hawaruki 😅😅
Fanyia Wanaume hii challenge
@@Beyonceqme Hawakatai, tena ndani ya dk 10 tu ameshapata majibu na kudanganya anasafari, lakini mwanamke hawezi kukubali ndani ya dk 10.
@@UsuiliMilangitoni-gm.c kweli kabisa
Kabla hujasartiwa unaambiwa nakpenda beib😂😂😂
Etty nioeni hela zangu 😂😂😂
Huu mtego hakuna mwanaume anayeweza kuuvuka hata mm ningedakwa tu 😂😂😂😂
Na shemeji kanona
Hahaha wanaume mungu anawaona
una ujasiri gani kusema unampenzi 😂😂😂😂
ata ingekua ndo me kwa iyo mama angu uki compare na shemdarling lazim niingie mkenge t😄😄
Tujihadhari vijana magonjwa bado yapo
Mbonaaa unawadaiii Elaaa Hayaaa maigizoo bhnaaa , , 🤣🤣🤣🤣Japo sometimes yanatokeaaa kwenyee maishaa lakin tunataman utuleteeee vitu real
Wanaume sio watu wa kuwatania hata kidogo, most of them, they are very week😮.
Na wadada muache mambo ya kuongea na wapenzi wenu mbele ya marafiki zenu, kuonesha maanaume anavyokupenda na kukujali. Rafiki yako alikuwa anapenda unavyoongwleweahwa na mwanaume wako mama/ mke. Ila huyo Masud kiboko, hata huyo rafiki yako akisema waje wapendane litkuja kumgharimu. Mwanaume hajatulia hata dk 1. Unamuachiaje rafiki yako halafu anamuita mpenzi wako shem darling
Mungu wangu vimiguu sasa ya kimin jaman y😅😂😂
Wewe unakuwa na mambo ya ajabu wewe focus n content 😮😮😮😮 yako ipoje
Jina lenyewe Masudi sijui we huogopi 😂😂😂😂
😂😂
Basi hapo roho yako kwatu kuharibiana mood tuu😂😂
Ndomaana Mimi sina imani😂😂
Karaghaika
Wadada ukiwa na shoga ako afu Hana mpenzi ujue nimke mwenzio huyo sitawaambia Kila kitu Kama huyo eti Shem darling oyaa 😂😂😂😂
Daaaangoja ninyamaze mtu anadeka ata afanani😅😅😅😅😅😅 😂😂😂😂😂
Shem darling Tena makubwa jina gani Ilo jamani,mazoea mabaya
Jaman mr uky aupo serious bun ela unadai tena
Nimechoka. Wanaume
😂😂😂😂mguu kama muwa et anadeka beiby wanaume mnahuruma ,,,ulimpendaje ivyo
😂😂😂😂eti mguu kma muwa aah jaman
Why muhindi passing between my interview
😢😢😢 mmh duuuu kwakweli
Shemu mzur😅😅😅
hata ingekuwa mimi, aisha kama ndio babe wangu ningemcheat tu kwa huyo shem darling pee😂😂 nyie hamjui raha yakutembea na mtu na rafiki yake..wanaume tunapenda adventure
Kwanza iyo shem darling vip
Asa anamkasirikia rafiki ake kakosea Nini🤣🤣🤣
Shemeji anampend huy rafiki yake
Kata nipeni hela zangu😂😂😂
Peey is typing 😂😂😂
Mnapenda kugombanisha watu mbwa nyinyi😅😅
Aiseeeee hivi viumbe 😢
Kuna mdada amepasing around hapo😂😂😂
Single tujuane 😂😂😂
kimewakaaaaaa huyo nae hashtuki simu kwa mpenzi wako kwa wakati huohuo kwashem darling usikasirike hiyo ni challenge tyu ushoga usifee
mbona hapo mwisho jamaa kadai hela😂😂
kumbe hua ni maigizo
SEMA SHEM MZUR N NGUM KIMKAZIA JAMAN DAH WENGI TUNGESHINDWA 😂😂😂😂
Yaani madada mengine ya hovyooooo sana yaani mtu amekuulizeni tufanye challenge hivi na hivi na umemkubalia rafiki Yako tena unaanza kunchukia rafiki Yako anakosa Gani Sasa hapo?hivyo kabisa na kimini chako et ndo sketi mguu wenyewe wa kuvalia kimini huna 😂😂😂hivyo kabisaa 😏😏😏😏
😅😅😅😅😅
Loveness jaman😂😂😂😂
Hujamchamba vizuri hiyo sura ina maana mi ndio naiona mwenyewe ka ngozi ya goti
😂😂😂😂MUNGU anakuona eti mguu wa kuvalia kimini😂😂😂🙌🙌
Ety jmniii apo ss
Sema rafiki yake hana makosa jamani
😅😅😅😅 mapenz nyoko 😏😏
Aisha weeee😂😂😂
Ata ningkuwa mm rfk kanona bhn
Challenge hiyo staki kabisa kwa Baby wng...ntapata wazimu😂
Challenge hii nzuri san ndo ujue unapedwa am laa
@@omanoman2044 ujue unaweza ukawa unapendwa lkn ndo mwanaume wako akawa ana tamaa..ndo kma ivoo tamaa yake itakufanya ww kuumia na kuzan hupendwiii
Wewe ndo Mimi
@omanoman2044 no sitaki nitakuwa chizi
Mwanaume ana respond huy kubabeki
🤣🤣🤣ety mke wang
Kumbe na mkosea mpenz wang kumbe kila mwanaume anaitwa baby😢
😂😂😂😂😂😂khaaaaaa
😂😂 mapenzi shijamoo
Mr uky amechukuaaa hela zakee watu hamuangalii video hadi mwishooo😂😂😂😂🙌🙌
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 emergency
Chezra mabaharia ww wataliwa wote hao mashem wenyewe hawa wa kibongo mmmmh
Shem darliing
Ila @mruk hii umetuigizia bhn,,mwishon unadai hela zako tena🔥🔥🤣
Kwanza ata jamaa mwenyewe yupo hapo hapo fuatilia vizury kuna mwangwi kabsaa jamaa anatufanyia maigizo viwango vimeshuka wanatengeneza content shezi awaa
Tatizo ilo 😂
Ulafiki mpaka mnapeana nambaza mabwanaa zenuuu,looooo
Bi haishaaaaaa😂😂😂😂😂
Tumemuona Og😅