Umekiona kifaa cha kunawia mikono cha TX Dulla?

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ก.ย. 2024
  • Kifaa cha kunawia sio lazima liwe sinki la pesa nyingi unaweza kuwa ata na kubuyu chirizi, ambacho umekiweka nje ya choo chako. Fanya kweli kwa kuweka kifaa cha kunawia mikono nje ya choo chako usikubali kubaki nyuma.
    FANYA KWELI, USIBAKI NYUMA
    MTU NI AFYA
    #fanyakweli #usibakinyuma #mtuniafya #wizarayaafya #projectclear

ความคิดเห็น • 6

  • @AmosPeter-t8w
    @AmosPeter-t8w 7 วันที่ผ่านมา

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @aloycebabene6239
    @aloycebabene6239 2 วันที่ผ่านมา

    Kati ya waigizaji watakaotoka mapema kwenye soko hili la comedy ni TX dulla..ndaro, mboneke ameshapotea siku nyingi...wamelewa umaarufu...hawaumizi vichwa.

  • @DesiaSaidi-yk3kw
    @DesiaSaidi-yk3kw หลายเดือนก่อน

    Sijanawa sikulishi nakula mwenyewe 😅😅🎉🎉🎉

  • @BakariMdee-g9e
    @BakariMdee-g9e หลายเดือนก่อน

    Tx dullar Latisha xana

  • @quridequku8606
    @quridequku8606 หลายเดือนก่อน

    hahahahhhh

  • @Rashidmabula-pt9hk
    @Rashidmabula-pt9hk หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂