TANZANIA PRESIDENT SAMIA SULUHU ASEMA MAANDAMANO KENYA ILIWAPELEKEA FAIDA TZ

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ก.ค. 2024
  • TANZANIA PRESIDENT SAMIA SULUHU ASEMA MAANDAMANO KENYA ILIWAPELEKEA FAIDA
  • ตลก

ความคิดเห็น • 52

  • @user-qm4df4nf9b
    @user-qm4df4nf9b 9 วันที่ผ่านมา +3

    We fight for future....Hatuangalii mambo ya short time....Am sure After this we Will double income as a Nation

  • @Maryc2G
    @Maryc2G 9 วันที่ผ่านมา +1

    Muheshimiwa Rais Mama Samia umesema vizuri sana, ku- invest sehemu yenye machafuko au utulivu. Utainvest sehemu yenye utulivu na amani. Watanzania tutunze amani yetu, kama kuna jambo ni vizuri kuliongea kama Mama Samia alivyosema. Asante mama👍🏽👏🏽👏🏽🌹🌹🌹🥀

  • @lulurubby2235
    @lulurubby2235 6 วันที่ผ่านมา +1

    Wee mama acha kufundisha watu unafki ata muambiwe hambadili kitu katiba mpya mnaambiwa kila siku hambadili wee suburi tanzania watasimama tuu siku moja ..bravo kenya axha huyo mbana pua jambazi wa kike

  • @hubertmroso1664
    @hubertmroso1664 7 วันที่ผ่านมา +2

    Sisi watanzania hatupo tayari kufurahia umwagikaji WA damu WA ndugu zetu WA Kenya kisa ati wezi kutoka kenyA wanaruhusa kuvuka kuja Tanzania sababu wananchi wanajua haki zao na kuzidai!
    Damu ya mashujaa vijana waliomwaga damu zao ziwe mbegu ya ukombozi WA ardhi ya ndugu zetu WA Kenya!
    May their departed souls rest in eternal life!
    Amen!!

  • @TamikaWanjiku
    @TamikaWanjiku 8 วันที่ผ่านมา +3

    Hatuitaji investors na mambo yasiende vizuri kwetu and their is no way Tanzania itatushinda cause in Kenya 65% ya investors ni as Kenyan's so you better don't talk stupidity against Kenya juu we don't fear anything

  • @Unclesam00001
    @Unclesam00001 8 วันที่ผ่านมา +2

    Aki si unajipenda badala ya kuombea Kenya ati sasa nyinyi mnafurahia

  • @richardmiencha7511
    @richardmiencha7511 8 วันที่ผ่านมา +2

    So we focus on investors but our rights violated with leaders

  • @burudanionline7541
    @burudanionline7541 6 วันที่ผ่านมา +2

    Oyaaa! Hili tamko alitamka kitambo sana... I'm a journalist bwana... Usiambatanishe hii video hapa...

  • @FredymaswiMwita-oj6gv
    @FredymaswiMwita-oj6gv 8 วันที่ผ่านมา +1

    mama mama mama...hakuwaki moto,,,ni kwa sababu yakatiba yao ,,na wanainchi wengi wanajitambua Nchini kwao

  • @peterwandera8273
    @peterwandera8273 7 วันที่ผ่านมา +1

    Sio mkweli kabisa, anawapumbaza! 😮

  • @saiditasher8362
    @saiditasher8362 6 วันที่ผ่านมา +1

    Uyu mama kalongwa watanzania wanalia njaa uku yeye ansema wawekezaji kibao sasa wanafaida gani kwa mtanzania mama acha kutuhuzi ipo siku na nyinyi mtateseka kama ss

  • @rashidgona1808
    @rashidgona1808 8 วันที่ผ่านมา +1

    Kawaida ya akili ya mwanamke haifikirii mbele Leo ndo nimetibitisha apo ndo akili ya mama imefikia,, wananchi wa Kenya hawafikirii Leo wanafikiria Kesho yao ata Sion point ya raisi wa Tanzania

  • @user-rw2cy9el3p
    @user-rw2cy9el3p 8 วันที่ผ่านมา +3

    Huyu mwanamke kumbe ni mpumbavu hilo nimelibaini leo akili imejaa shonde tu....anafikiria leo badala ya kesho

  • @EuniceRobert-z6s
    @EuniceRobert-z6s 8 วันที่ผ่านมา +2

    Mwonyeshe mtoto njia impasayo nae hataiacha hata atakapokua mzee

  • @natoantony2080
    @natoantony2080 9 วันที่ผ่านมา +1

    People like democracy not silent suffers

  • @AlphaxardMRusweka-jr1wi
    @AlphaxardMRusweka-jr1wi 7 วันที่ผ่านมา +1

    Na viongozi waache kula wao tu,wakasau wapiga kula as if hatuna matumbo.

  • @incbluesail3080
    @incbluesail3080 7 วันที่ผ่านมา +1

    Napenda uyu mama. 😁
    Uyu mama sii wa TZ peke, atana sisi niwetu mahali zingine Africa. Ingewezekana tunge myiba hapo tumulete aongoze sisi😂😂😂😂

  • @nimbetebwangabwa8521
    @nimbetebwangabwa8521 6 วันที่ผ่านมา +1

    Lakini amesema kwa jirani..can u asking yr self how many neighbors tz have,? Sh did say kny,,

  • @professorsaid3308
    @professorsaid3308 8 วันที่ผ่านมา +2

    Hi Ni Zamani

  • @jacksonmwazonga
    @jacksonmwazonga 9 วันที่ผ่านมา +2

    Acha waende tz bro sisi tuacheni na zakayo tumuonyeshe

    • @JoyceMuhuli
      @JoyceMuhuli 7 วันที่ผ่านมา

      @@jacksonmwazonga zakayo shuka wapenda sana napoleni Kwa kazi mnayofanya🇹🇿🇰🇪💪👋💯

  • @EuniceRobert-z6s
    @EuniceRobert-z6s 8 วันที่ผ่านมา +2

    Hahahah! Hatuna njaa jamani,niutulivu tuliofundishwa na amani aliotuhusia baba yetu Nyerere

  • @ElizabethMunyau-ol1lj
    @ElizabethMunyau-ol1lj 8 วันที่ผ่านมา +1

    In kenya we have no government,samia unganisha kenya na tz utuongoze,maandamano bado yapo,hadi zakayo aende home,ata tukiatract investors zinaibiwa tu,hazitusaidii

  • @user-lu8ny2gu7t
    @user-lu8ny2gu7t 6 วันที่ผ่านมา +1

    Mnapokea wawekezaji lakini hakuna la maana mnalolifanya pesa zinazoingia zinaishia mifukoni mwa achache badilikeni watawala

  • @Leodegermutie
    @Leodegermutie 8 วันที่ผ่านมา +2

    Suluhu ipatikane

  • @JoyceMuhuli
    @JoyceMuhuli 8 วันที่ผ่านมา +1

    Luto ndio anatakiwa kuwajibika asilinde maslahi binafsi. akitamka neno la suluhu Vijana wataacha yeye ndio anchelewesha amani.

  • @emmanuelmlekwangano9991
    @emmanuelmlekwangano9991 8 วันที่ผ่านมา +1

    Hakukuwa na ulazima wa kuyasema hayo

  • @husseinally6699
    @husseinally6699 8 วันที่ผ่านมา +1

    Hiyo ya muda hata kabla ya maandamano ya Gen-Z

  • @martinkisha6307
    @martinkisha6307 7 วันที่ผ่านมา +1

    Vijana wengi kenya hawana uzalendo na maandili

  • @clemencemkondya8561
    @clemencemkondya8561 7 วันที่ผ่านมา +1

    Huko kenya ndiyo kuna katba zuri .Utawala ni utashi wa mtu skataba zuri walambaya

  • @carolinenjoroge9092
    @carolinenjoroge9092 7 วันที่ผ่านมา +2

    Huyu mama anaombeaga kenya dua mbaya! Utaaibika! Shaitan!

  • @ezekielmatondane714
    @ezekielmatondane714 8 วันที่ผ่านมา +1

    Eti wawekezaji ovyo

  • @chandeyusufu9570
    @chandeyusufu9570 9 วันที่ผ่านมา +1

    Ila hali mbaya kiukweli

  • @BIZIMUNGUVenuste
    @BIZIMUNGUVenuste 8 วันที่ผ่านมา +2

    Tz kunanjaa kias cha kutosha maana yake hawana nguvu za maandamano

  • @TTBonta
    @TTBonta 7 วันที่ผ่านมา +1

    Do you even know whats the meaning of a strong point?

  • @user-ss7xx6rl3b
    @user-ss7xx6rl3b 7 วันที่ผ่านมา +1

    Imewasaidia nini kama wananchi wa Tanzania?

  • @user-bn4br7qm7r
    @user-bn4br7qm7r 9 วันที่ผ่านมา +1

    Huku watu Wana njaa balaaa,hata kuandamana hawawezi,ni Bora ya nyie mna hata nguvu za kudai haki zenu

  • @nicoledinga9948
    @nicoledinga9948 7 วันที่ผ่านมา +2

    I hate this woman ..kimama kidaku, achana na ya Kenya na ushughulika na ya kwako bure ww

    • @incbluesail3080
      @incbluesail3080 7 วันที่ผ่านมา +1

      Don't put hatred ahead of you, you'll miss out of better things in life. Love will conquer

  • @EuniceRobert-z6s
    @EuniceRobert-z6s 8 วันที่ผ่านมา +2

    Mwonyeshe mtoto njia impasayo nae hataiacha hata atakapokua mzee

  • @jedidahbintidaudi8241
    @jedidahbintidaudi8241 8 วันที่ผ่านมา +1

    ila Samia kwani kulikuwa na ulazima kusema jmni? angenyamaza tuu..ila Kenya wataumia short term baadae wataondoka kurudi Kenya tena and we are on the side of loosing...sie Tanzania makodi ni makubwa kweli

    • @stephenmwaniki2803
      @stephenmwaniki2803 8 วันที่ผ่านมา

      Leo nimetambua waTZ wengi Wacha Anza kutumia jicho la tatu kutizama mambo Kenya nileo tu tukicha tengeneza mambo nihifo walakini tusikaliwe na mtu mmja kwa jina la amani Hilo apana ruto must gooooooo

    • @jedidahbintidaudi8241
      @jedidahbintidaudi8241 8 วันที่ผ่านมา

      @@stephenmwaniki2803 tumekuwa tukifatilia kwa muda ss kaka..wacha uone mambo mazuri yanaibuka Kenya...you guys have a brave President..brilliant humble with a zeal/ If this President of Kenya fulfillls his MANIFESTO duuuh aloo..go ask for it and check that plan and see..things will settle and life is emerging in a very good space kwa hiuyu jirani..wee nahamia Kenya😅. Nyie ngojeni.uchumi wenu utakuw...Africa must raise by the Grace of God!