RAIS SAMIA AMPIGIA SIMU RC MAKONDA, AMPA MAAGIZO MAZITO MBELE YA WANANCHI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 23 มิ.ย. 2024
  • #uhondotv #uhondo

ความคิดเห็น • 117

  • @esthersissamo1120
    @esthersissamo1120 หลายเดือนก่อน +6

    Mungu ibariki Tanzania na mpe afya njema Rais wetu na maisha marefu pamoja na mkuu wetu wa mkoa ndugu yangu Makonda

  • @hassanmeidimimollel1874
    @hassanmeidimimollel1874 หลายเดือนก่อน +4

    Hongera sana mh Makonda kwa kazi nzuri inayofanywa na rais wetu

  • @KihangajiKihangaji
    @KihangajiKihangaji หลายเดือนก่อน +4

    Makonda the great! Jembe sana wewe aisee!!

  • @jovinsylivester3601
    @jovinsylivester3601 หลายเดือนก่อน +7

    Kwakwel hata kama wengine wataona usanii, ila mm nitaona upendo wa Mh Rais. Na mkuu wa mkoa. Hongereni sana kuwasaidia watu aanyonge

  • @user-gx4gt2pe4w
    @user-gx4gt2pe4w หลายเดือนก่อน +9

    Hongera mh rais tena kongole sana kwa kutuletea makonda mpenda wanyonge kama wewe mwenyewe ulivyo mama yetu mpendwa kazi iendelee na ccm juu sana

  • @jmc2196
    @jmc2196 18 วันที่ผ่านมา +2

    Huyu Makonda MwenyeziMungu amushimamiye one day awe Raisi Insh'Allah

  • @husseinbachwa8372
    @husseinbachwa8372 หลายเดือนก่อน +3

    Hongera saana Mr Makonda na Mungu akubariki saana

  • @mwanyongamama4407
    @mwanyongamama4407 หลายเดือนก่อน +3

    Ubarikiwe Raisi sana,Makonda Ubarikiwe,na wote waliounga mkono juhudi hizi inapendeza Atukuzwe YEHOVA ALIYEHAI Ktk Jina la Yesu Kristo Aliyehai

  • @Deppe-rv2vg
    @Deppe-rv2vg หลายเดือนก่อน +4

    Makonda is gem 💎

  • @Alfredmusa24
    @Alfredmusa24 หลายเดือนก่อน +3

    Ruto must go, Mama Samia njoo huku please 🙏🙏🙏

  • @AdrofinaLeopord
    @AdrofinaLeopord 12 วันที่ผ่านมา

    Mungu akupe maisha malefu 🙏🙏🙏

  • @paulkaranja3099
    @paulkaranja3099 หลายเดือนก่อน +1

    From Kenya I love this man

  • @frankthadeo1679
    @frankthadeo1679 หลายเดือนก่อน +4

    Nikupiga spana tu komred Mungu akupe maisha marefu

  • @HanifaOman-oo4pl
    @HanifaOman-oo4pl 14 วันที่ผ่านมา

    Hiimafisadi imewachoma sana. Munguakubaliki Rais wetukipenzi.na makonda unaongoza kwahaki❤❤

  • @kennedykejo1646
    @kennedykejo1646 หลายเดือนก่อน

    Mwenye enzi Mungu mbariki Raisi wetu Dr. Samia Suluhu Hassani m'bariki Mh Paul Makonda na Uongozi wote!!

  • @jonasmpita2206
    @jonasmpita2206 หลายเดือนก่อน +6

    Ila Makonda balaa, ana akiri ya kipekee kabisa

  • @AsiaNgoleka
    @AsiaNgoleka หลายเดือนก่อน +1

    Hongera sana Mhesh Makonda wewe ni Mfano Mzuri kwa Viongozi Wengine Unaupiga Mwingiiii.

  • @incbluesail3080
    @incbluesail3080 19 วันที่ผ่านมา

    She one of my favorite African Presidents. ❤❤
    She cares about the people and follow up to know what's going on! She always won my heart.
    I think women are better than us cause they don't waste cash in buying guns to fight others, look around the world. All wars are wagged by men!

  • @JohnstonLugaimbila
    @JohnstonLugaimbila หลายเดือนก่อน +1

    Solo la vanila nchin msimu 2024

  • @IreneAidan-m5s
    @IreneAidan-m5s หลายเดือนก่อน

    Ongela baba Kwa kazi nzuri

  • @jayzeem14
    @jayzeem14 หลายเดือนก่อน +1

    Mheshimiwa Rais Dr. Samia Suluhu Hassan tunafarijika sana kuona unavyojali!!

  • @MsafiriAlly-m8t
    @MsafiriAlly-m8t 20 วันที่ผ่านมา

    Pg Kaz makonda umezaliwa siku Moja utakufa siku Moja. Uciogope mtu mungu akulinde

  • @JM-eo3wo
    @JM-eo3wo 13 วันที่ผ่านมา

    Jameni tz mumebarikiwa namwenyesi mungu kupeo viongosi kama wenu hapa kwetu jirani ata raia wengi ata hawajui mkuu wa mukoa wake aitwa na ns haendagi mahali kusaindia mwananchi wa kawainda makonda ungekua kenya ungefuto kitabu ingereto siasa ati washindana na rais

  • @mathewtwimanye92
    @mathewtwimanye92 หลายเดือนก่อน +4

    Akili nyingi anajua kucheza na upepo huwa najiuliza wakuu wa mikoa waliopita mongera na gambo wajionaje wanapoona mwamba huyu akifanya haya

  • @ArsenPaul
    @ArsenPaul 17 วันที่ผ่านมา

    Mungo ibariki inchi yang Tanzania kwa upendo

  • @elizabethsila1091
    @elizabethsila1091 16 วันที่ผ่านมา

    Good job mrs suluhu..

  • @PauloMlumbi
    @PauloMlumbi หลายเดือนก่อน

    Nationa Tanzania ya kesho kazi iyendelee❤

  • @user-fv4ih1oi1t
    @user-fv4ih1oi1t หลายเดือนก่อน

    Mungu mbari Dr Samia mungu mbariki makonda mungu i bariki Tanzania mungu I bariki arusha

  • @Ndu-wa.uroony2
    @Ndu-wa.uroony2 หลายเดือนก่อน +2

    Ndio mheshimiwa raisi... ndio mheshimiwa raisi......ndio mheshimiwa raisi.... ..... ndio mheshimiwa 😅😅😅

    • @FaibeZaina
      @FaibeZaina หลายเดือนก่อน

      👉😂😂😂

  • @erastuskajuna812
    @erastuskajuna812 หลายเดือนก่อน +1

    Ni kama Israeli! Kila anapokwenda mafanikio ni kama mafuriko! Ubarikiwe Makonda

  • @user-zk6hl8fe1s
    @user-zk6hl8fe1s 23 วันที่ผ่านมา

    Ongera mama na makonda mungu awalinde

    • @user-zk6hl8fe1s
      @user-zk6hl8fe1s 23 วันที่ผ่านมา

      😂😂🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🇹🇿🖐️🏃karibuuni

  • @nyandagerald824
    @nyandagerald824 หลายเดือนก่อน +1

    Makonda uko vizur sana katika utendaji wa kaz piga kaz kaka

  • @laurentikimbangala2970
    @laurentikimbangala2970 หลายเดือนก่อน +1

    Hongera sana rais wetu pamoja na mkuu wa mkoa mheshimiwa makonda.

  • @NerriaGeorge
    @NerriaGeorge 23 วันที่ผ่านมา

    Ila Mh makonda uongizi anaujua sanaaa❤❤

  • @SaleheMkomwa
    @SaleheMkomwa หลายเดือนก่อน +3

    MAKONDA WAKULETEE MOROGORO kumeoza HUKU

    • @DanielTumaini
      @DanielTumaini หลายเดือนก่อน

      Ni kweli malima amepora ufuta ya wakulima wote na kupeleka kwakwe cjui wamekamua mafuta?au wameenda kuuza nje ya nchi

  • @sylvanusherman3856
    @sylvanusherman3856 หลายเดือนก่อน +1

    Makonda Mungu amtunze

  • @user-kg5yu4kg9p
    @user-kg5yu4kg9p หลายเดือนก่อน

    Mwenyezi MUNGU akulinde na akupe afya njema na wote wasiokutakia mema MUNGU awaangamize

  • @ernestsinje9700
    @ernestsinje9700 หลายเดือนก่อน

    Hongera Mh Makonda inaonekana

  • @joycemichael8785
    @joycemichael8785 11 วันที่ผ่านมา

    Ee mungu tusaidie

  • @AmiHaji-r4h
    @AmiHaji-r4h 17 วันที่ผ่านมา

    Rais samia 2achie nchi ye2 bora rais awe makonda au wazir kasim majaliwa,

  • @omaryally1532
    @omaryally1532 หลายเดือนก่อน +1

    Tunabeza tu nchi yetu ila ukitaka kuamini kwetu pazuri tembea kidogo hata nchi jirani kama kenya,congo,burundi na n.k ukirudi utaiheshimu Tanzania mimi naipenda nchi yangu

    • @alifbe4395
      @alifbe4395 หลายเดือนก่อน

      Kenya ina nini??

    • @africanmandetraveler2847
      @africanmandetraveler2847 19 วันที่ผ่านมา

      Kenya ina katiba nzuri na uhuru wa kuandamana.

  • @VivianiKessy
    @VivianiKessy 15 วันที่ผ่านมา

    Mama samia 5 tena

  • @user-ky4vd6lf2z
    @user-ky4vd6lf2z หลายเดือนก่อน +1

    Ukiacha urais mwachie makonda urais

  • @mudhihirugara8845
    @mudhihirugara8845 หลายเดือนก่อน +1

    Piga kazi kiongozi safisanna

  • @severinlouis
    @severinlouis หลายเดือนก่อน +2

    😂Hayaaa TUENDELEE Kuupiga Mwingi

  • @CabdiwaliSeydi
    @CabdiwaliSeydi หลายเดือนก่อน

    Serikali yenye uwazi na upendo kwa kufanyia watu wake Kazi bora hongera Tanzania mimi ni mkenya I wish viongozi wetu Hapa kenya wangekuwa kama vionzi wa Tanzania naomba tuwaige Rais ruto visit Tanzania to get good education about leadership skill.

  • @SamsonGiranta
    @SamsonGiranta หลายเดือนก่อน

    Uchaguzi 2024

  • @MujyambereVedaste
    @MujyambereVedaste หลายเดือนก่อน

    Mwishimiwa
    Makonda
    Urumugabopeeee
    Uwiteka
    Agukomeze
    Ndagukunda
    Cyaneeeeee Mimi Niko kigari

  • @TaboraTalentCenterTTC
    @TaboraTalentCenterTTC หลายเดือนก่อน

    Kazi iendelee

  • @TatuElias-tr8em
    @TatuElias-tr8em หลายเดือนก่อน +2

    Makonda anafanya kazi. Mbona wengine hatuwasikii?

    • @stevensteve7519
      @stevensteve7519 หลายเดือนก่อน +2

      Wakuu wa mikoa mingine pia wanachapa kazi ipasavyo. Tofauti ni kwamba wanafuata taratibu mbalimbali na sheria za nafasi zao. Na kwamba hawafanyi kazi kwa kutafuta sifa bali kwa kutimiza wajibu wao. Ingekuwa hawafanyi kazi zao ipasavyo nchi isingekuwa hivi ilivyo. Wakuu wa mikoa chapeni kazi msisikilize minongono

  • @williamsangita
    @williamsangita หลายเดือนก่อน +1

    Watanzania tujenge tabia ya kushukuru tunapobarikiwa na wenzetu ili kuwatia moyo katika huduma zao

  • @bashiruwise
    @bashiruwise หลายเดือนก่อน

    Makonda for life❤

  • @AbrahBuraheze
    @AbrahBuraheze 17 วันที่ผ่านมา

    huyu ndio mku wetu wa mkoa wa hapa dar sema dar majambaz wengi

  • @RobertNgeme
    @RobertNgeme หลายเดือนก่อน +1

    Ma RC mikoa mingine ni ofisini tu na nyumbani hovyo san

  • @user-sl1ko9me7u
    @user-sl1ko9me7u หลายเดือนก่อน +1

    MBONA KAMA NI KAMCHEZO KAKUIGIZA HIVI....HIZO TARATIBU ZA KUTOA MATIBABU BURE KWA WANANCHI MBONA ZINAFANYIKA KOTE NCHINI MIKOA MBALIMBALI.

  • @SaleheKinanga
    @SaleheKinanga หลายเดือนก่อน

    Kazi iendeleeeeee

  • @rogatkisanga7496
    @rogatkisanga7496 หลายเดือนก่อน +4

    Hivi wakuu wa Mikoa mingine wapo? Ni nini kinawafanya wasiweze kuendesha mikoa yao Makonda style?
    Huyu afadhali arudishwe Dar es Salaam na aanze kazi na ulaji rushwa kwenye kutoa huduma!

  • @katabaroonlinetv9688
    @katabaroonlinetv9688 หลายเดือนก่อน

    Niko paleeee😅😅😅2025 mambo yamenoga ni full upendo

  • @user-hh4us7kb5q
    @user-hh4us7kb5q 25 วันที่ผ่านมา

    mama ukimaliza mda wako tnakuomba umpganie Makonda awe Raisi

  • @MkulimaHalisi-g5f
    @MkulimaHalisi-g5f หลายเดือนก่อน

    Kazi kubwa

  • @DanielTumaini
    @DanielTumaini หลายเดือนก่อน

    Makonda nawe usijikoshe kwa mama enzi za mwenda zake ulikuwa muwaji damu za watu zinakulilia bado,hivyo wewe unazogeza cku brother off u go mama pamoja na mapungufu yako live long!

    • @robertzamani5612
      @robertzamani5612 หลายเดือนก่อน

      Acha kumchafua Makonda unachokiongea una ushahidi kama aliuwa ,

  • @johnsonsabanya5860
    @johnsonsabanya5860 หลายเดือนก่อน

    Hii nchi Mungu atusimamie🤣🤣🤣🤣🤣

  • @user-fx6zr6ij5y
    @user-fx6zr6ij5y หลายเดือนก่อน +2

    NCHI inausanii hii kweli 😂😂mtu akikunyima elimu atakutawala atakanyo

    • @samsonhamery3809
      @samsonhamery3809 หลายเดือนก่อน

      Wewe ndie una usanii ulipokuwa ukivuta bangi shule na kutukana waalimu ulifikiri Tanzania inakusubilia wewe endelea kulewa bangi na kukashifu juhudi za viongozi utashitukia kumekucha.utaambulia patupu

    • @innocentinyasi9198
      @innocentinyasi9198 หลายเดือนก่อน

      Tumia akilii watu wanahudumiwaaa buree apoo it means viongoz hao unaowaona wasanii ndio walioplan icho kitu so haipendez kutokuunga mkono juhudi za viongoz wachapakazi all in all ACHA USANIII WEW UNAECOMENT VITU VYA AJABU, THAMINI MCHANGO WA MAKONDA NA MAMA SAMIA KWA WAKAZI WA JIJI LA ARUSHA NASYOMKUKOMENT UPUUZI.....

    • @user-fx6zr6ij5y
      @user-fx6zr6ij5y หลายเดือนก่อน

      @@innocentinyasi9198 ww ndiyo ujitambui boreshal mahospitali

    • @karolikisaka8991
      @karolikisaka8991 หลายเดือนก่อน

      @@innocentinyasi9198 kwa hiyo hapo Kuna matajiri wako hapo uwanjani wanatibiwa buree.
      Kwani wangetibiwa huko mahospitalini Kuna shida gani?
      Mmepofushwa akili na kupumbazwa unaona hakiyako ni msaada?
      Hili rundo la watu linaonyesha kuwa watu ni masikini,hawana kazi na wengine Wana magonjwa ya sunona yaani msongo wa mawazo kutokana na Hali ngumu ya maisha.
      Hapa wanatumika kisiasa na mbaya zaidi wanatangazwa mitandaoni.
      Hii ni aibu sana

    • @YahayaKishakwi
      @YahayaKishakwi หลายเดือนก่อน

      Yangu macho maana mhhh

  • @videralfred8889
    @videralfred8889 18 วันที่ผ่านมา

    🙌🙌🙌🙏

  • @nurumohammed1310
    @nurumohammed1310 13 วันที่ผ่านมา

    Huyu mwamba ni jembe si mchezo

  • @litaemilykasambala4569
    @litaemilykasambala4569 หลายเดือนก่อน

    ❤jembe kama jembe

  • @DismasNoameck
    @DismasNoameck หลายเดือนก่อน

    Huyu mkuu wa mkoa anapaswa kuwa mfano wa kuigwa.mapunda.noarmack dismas.masasi mtwara

  • @nkwazigatsha
    @nkwazigatsha หลายเดือนก่อน

    Tanzania sasa imegeuka nchi ya wasanii. Tulidhani alipokufa Magufuli nchi ingekuwa ya Samia . Sasa ni nchi ya Sanii.

  • @kostantinoizrael
    @kostantinoizrael หลายเดือนก่อน

    makonda endelea kuwa jembe baba urais inakusubiri

  • @zobakazizi7637
    @zobakazizi7637 หลายเดือนก่อน

    Makonda wewe songa mbele. Serikalini kuna wanafiki sana. Hawajali shida za wananchi.

  • @saidishebuge4796
    @saidishebuge4796 หลายเดือนก่อน

    mitano tena

  • @Peterchipemba
    @Peterchipemba หลายเดือนก่อน

    Makonda acheni siasa za kitoto,,,izo siasa niza matapeli kudanganya wasio jitambua,,

    • @Ali-zs5ed
      @Ali-zs5ed หลายเดือนก่อน

      Ulitaka Makonda afanye nini? Mh Makonda chapa
      kazi usiangalie mtu nasema nini

  • @eliakazilo6078
    @eliakazilo6078 หลายเดือนก่อน

    Mnaona? MAKONDA Ni mtoto wa watu.chezea MAKONDA wewe?? Huyu Ni kitinda mimba wa Bi,Mkubwa...abarikiweee

  • @lovenessmohamedy6329
    @lovenessmohamedy6329 หลายเดือนก่อน

    Makonda bhana

  • @user-gx4gt2pe4w
    @user-gx4gt2pe4w หลายเดือนก่อน +1

    Mh makonda piga kazi tunakuombea sana jembe letu wanyonge tuko nyuma yako

  • @AsiaKadege
    @AsiaKadege หลายเดือนก่อน

    🙏🙏❤

  • @AishaSalum-r7m
    @AishaSalum-r7m 22 วันที่ผ่านมา

    😢🎉

  • @patricknguli
    @patricknguli หลายเดือนก่อน

    Kujipendekeza tu

    • @samwelsimon7392
      @samwelsimon7392 หลายเดือนก่อน

      tahila wewe hujitambui

  • @aarona.midende1789
    @aarona.midende1789 หลายเดือนก่อน

    Kumbe siasa ni burudani

  • @hawaa341
    @hawaa341 หลายเดือนก่อน

    Jembe letu

  • @karolikisaka8991
    @karolikisaka8991 หลายเดือนก่อน

    Katiba mpya muhimu sana, kipindi Cha u chaguzi Kuna Kila aina ya usanii.
    Watu mjiongeze.
    Bima ya afya hakuna
    Matibabu hospital ni mbovu.
    Huu ni mwaka wa uchaguzi

    • @innocentinyasi9198
      @innocentinyasi9198 หลายเดือนก่อน +1

      Kwani ukisema ni mwaka wa uchaguz ndo useme et wanafanya usanii....em jiulize kwanza Kiongoz kutenda majukumu yake ni usanii au nn so ulitakaa mambo mazur kama haya kwa wananchi yatendekee mda gan au ultaka watulie tu ofisini????

    • @karolikisaka8991
      @karolikisaka8991 หลายเดือนก่อน

      @@innocentinyasi9198 ndugu ukitaka kuisaidia mtu ni mpaka umtangaze?
      Kama hospital zipo Kuna haja gani kuwakusanya watu sehemu moja Tena wagonjwa halafu unaanza kuwahutubia??
      Kwani jukumu la serikali siku zote ni lipi mpaka ukawatoe watu mahospitali na uwapeleke uwanjani halafu uwatangaze?
      Huoni hii ni aibu?
      Huoni kuwa watu wanavhezewa akili tuu?
      Huoni kuwa wanatumika kisiasa?
      Kwanini waitwe ni masikini?
      Je huoni mtani wa ccm ni kuwa na watu masikini ili WATUMIE umasikini wao kuwatawala?
      Ndugu katikati Dunia ya watu wenye akili na ufahamu huwezi kukuta jambo kama hili ambalo Mimi naliona ni la kisiasa tuu.
      Kama huduma za afya zingekuwa ni Bora haya yasingeonekana.
      Na mwisho hii ni kuionyesha Dunia kuwa Kuna nchi masikini ambayo raia wake hawana la kufanya zaidi ya kuomba misaada.
      Nikuhakikishie kwa Hali hii hii nchi ni masikini mno?

    • @edmundphilemon3054
      @edmundphilemon3054 หลายเดือนก่อน

      Katiba mpya ni muhimu na raia walio wengi tunahitaji, ila Kwa hili linalofanywa na makonda ni jambo jema na la Kheri na sioni point yakuandika katiba hapo alafu ujue mkuu wa mkoa hapigiwi kula bali huteuliwa, ungepongeza kwanza Kwa hili afu ukatoa ushauri ungeeleweka sana bila kubeza

    • @user-kg5yu4kg9p
      @user-kg5yu4kg9p หลายเดือนก่อน

      Kenya wanakatiba mpya ila tujiulize maisha yao yamebadilika?au unafikili kubadili uongozi ndio maendeleo si KWELI maendeleo ni kuwa na viongozi bora tuwaombee viongozi wetu siyo kuwachukia CCM daima maana upinzani njaa tu hawana hoja wao wanashauli fujo zikitokea wanakimbilia ulaya

    • @uwawatatanzania3243
      @uwawatatanzania3243 หลายเดือนก่อน

      Kazi Iendelee----->

  • @AnaniaAnania-lk3ek
    @AnaniaAnania-lk3ek หลายเดือนก่อน

    Nimejikuta natabasamu pekee yang

  • @Florencedaniel-j4w
    @Florencedaniel-j4w หลายเดือนก่อน

    Mheshimiwa m@konde karb mugum serenget

  • @jumabonge8577
    @jumabonge8577 หลายเดือนก่อน

    sw

  • @user-km6bg1jw2d
    @user-km6bg1jw2d หลายเดือนก่อน

    🎉🎉🎉 kwenu

  • @litaemilykasambala4569
    @litaemilykasambala4569 หลายเดือนก่อน

    Jembe

  • @othinielkamyola3697
    @othinielkamyola3697 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤😂😂😂

  • @jumabonge8577
    @jumabonge8577 หลายเดือนก่อน

    na zanzibar bc jmn bc

  • @Isayaraimondiolotwati
    @Isayaraimondiolotwati หลายเดือนก่อน

    Sfa

  • @StanyOfficiol
    @StanyOfficiol หลายเดือนก่อน

    Nyooo et helcopter toka lini serikari imiliki ndege ya kubeba wagonjwa usitudanganye wanachi muheshiwa ndege ni ya tajiri

    • @user-dz4qj5kc1t
      @user-dz4qj5kc1t หลายเดือนก่อน

      angalia vzr video hii na uisklze maana mama aliulza imetoka wap na hakuna aliyesema imetoka serikalin Mh.Makonda amesema wametoa wadau...

  • @ezekielmbise9766
    @ezekielmbise9766 หลายเดือนก่อน

    Binafsi nampenda muheshimiwa rais wa Tanzania mama samia suluhu

  • @user-ky4vd6lf2z
    @user-ky4vd6lf2z หลายเดือนก่อน

    Ukiacha urais mwachie makonda urais

    • @kostantinoizrael
      @kostantinoizrael หลายเดือนก่อน

      rais samia akitoka.madarakan makonda afuate