VAENI MAVAZI YA HESHIMA MNAPOKUWA MAKANISANI-MCH ABIHUDI MISHOLI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 มี.ค. 2021
  • Mchungaji Abiud Misholi atoa Onyo kwa mabinti kuvaa nguo za heshima pindi wa wapo Kanisani

ความคิดเห็น • 316

  • @maryamayitsa6181
    @maryamayitsa6181 3 ปีที่แล้ว +8

    Amen 🙏 hakika wewe umefanyika baraka njoo Kenya 🇰🇪🇰🇪 utufunze kummjua mungu zaidi.

  • @gisellekavira8966
    @gisellekavira8966 3 ปีที่แล้ว +6

    Baba umenitowa mashozi Sana nimekumbuka shida niliyopitiya .
    Alakini nilipo mtazamiya Jesu nikabarikiwa nanikaachambi nakila kitu kikakuwa sawa.
    Tuashe zambia chameni.
    Baba Mungu akuinuwe zaidi.🙏🙏🙏

  • @KharisPsalm
    @KharisPsalm 2 ปีที่แล้ว +2

    I don’t understand Swahili so much but I love his songs. Some how I understand the songs much better and I glorify God for that.

  • @markmwangangi9057
    @markmwangangi9057 3 ปีที่แล้ว +7

    Barikiwa sana mchunganji. Neno la hekima na baraka nyingi hilo. Mungu atusaindie tuendapo safari hii ya kwenda mbinguni tukaweze kuishi kwa utakatifu.

  • @hermanetyang2712
    @hermanetyang2712 3 ปีที่แล้ว +6

    Ahsante sana mchungaji kwa mafunzo haya yenye upako wa Mungu. Natamani sana kuwa kama wewe mchungaji Abuidi niombee sana Mungu anipe kibali cha neno lake anitumie kama chombo ili kuihubiri injili kwa watu wote

  • @paulondiek1345
    @paulondiek1345 3 ปีที่แล้ว +10

    Am proud of you my pastor your teachings are penetrating along the valley and mountain,nyumba ya Mungu sio casino, amen

  • @BerylSeer1
    @BerylSeer1 10 หลายเดือนก่อน +1

    Haaaaahaa, Amen WOII alikuwa Hana mtu wa kumweka birikani

  • @matelda4094
    @matelda4094 3 ปีที่แล้ว +3

    Ni kweli pastor natamani kuwa msafi mbele za mungu na niwe pamoja nae mbiguni nikifurahia uzima wa milele

  • @fridahkitomary9034
    @fridahkitomary9034 3 ปีที่แล้ว +4

    kweli mchungaji siku ya mateso hakuna atakaye kuona ,tena zaidi sana, kuna siku nilisikiza wimbo wako nikafarijika sana ilikuwa mwaka 2007 wakati naanza huduma mpya dar es salaam Mungu akubariki sana natamani sana siku moja nikukaribishe kanisani ,

  • @alexandergitonga770
    @alexandergitonga770 3 ปีที่แล้ว +6

    Mungu akupe umri mchungaji wa mungu ubarikiwe sana pamoja na uzao wa tumbo yako Amen

  • @faze_narq6890
    @faze_narq6890 3 ปีที่แล้ว +6

    He is soo used of the Lord!! He reminds me of when the Pharisees heard Jesus Christ in the temple and they said he speaks with authority!! He is so spirit filled! Thank you pastor for the uncompromising full gospel!!! Powerful word of God!

    • @kevinndayihimbaze3585
      @kevinndayihimbaze3585 3 ปีที่แล้ว

      Amina Mchungaji Mungu akubariki, Amina Yesu ni yule yule habadiliki

  • @mimiberthabertha6172
    @mimiberthabertha6172 2 ปีที่แล้ว +2

    amenasa na mchungaji mungu azidi kukubariki kwa kipaji chako❤❤🙏🙏🙏

  • @willygidion3404
    @willygidion3404 3 ปีที่แล้ว +3

    Mch Abiudi , Mungu wa mbinguni asikuache na akulinde na akutunze

  • @vivijohn2578
    @vivijohn2578 2 ปีที่แล้ว +2

    Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen powerful great teachings indeed more grace and more Anointing Man of God 🙏

  • @chris-td8wd
    @chris-td8wd 3 ปีที่แล้ว +4

    Ubarikiwe sana Mtumishi wa Mungu watumishi wenge wa siku hizi hawa taki kuhambiya watu kuhacha zambi wana taka kuhambiya watu kubarikiwa tu

  • @davidshauritanga1204
    @davidshauritanga1204 3 ปีที่แล้ว +7

    hakuna mimba inayo tolewa isiyo kuwa na laana kwa mtoaji! MUNGU akubarki sana pastor

  • @elaineeliudi2497
    @elaineeliudi2497 3 ปีที่แล้ว +4

    Ameen MUNGU akubariki Pastor

  • @joachimdaud4779
    @joachimdaud4779 3 ปีที่แล้ว +6

    Napenda Sana unavyohubili umetulia

  • @naimahusseintgtytt4581
    @naimahusseintgtytt4581 3 ปีที่แล้ว +1

    Amen mtumishi wa Mungu mwnyz Mungu akulinde daima

  • @Lucy-nr2sm
    @Lucy-nr2sm 3 ปีที่แล้ว +2

    Eee Mungu Baba unirehemu nimebarikiwa sana na mahubiri haya mtumishi wa Mungu barikiwa sana

  • @beverlyneachieng4872
    @beverlyneachieng4872 3 ปีที่แล้ว +3

    Amen,,, ,,,,Sikh hizi watu wachukia ukweli eneza injili

  • @marykermui4231
    @marykermui4231 3 ปีที่แล้ว +3

    yes preach it pastor....powerful

  • @sirig9360
    @sirig9360 3 ปีที่แล้ว +2

    Amen thank you powerful mesenge thank

  • @thadeusmuthemba5557
    @thadeusmuthemba5557 3 ปีที่แล้ว +10

    Soo true.Never sugar coat,just preach the truth the era of coating is gone.

  • @cymone6159
    @cymone6159 3 ปีที่แล้ว +2

    Wanawake bhna utaskia Amen,, km buku af ndo wakwanza kuharibu vyooteee

  • @christopherchisuligwe512
    @christopherchisuligwe512 3 ปีที่แล้ว +1

    Amina! We need like this preacher

  • @PriscarDaniel-eq2jp
    @PriscarDaniel-eq2jp 6 หลายเดือนก่อน +1

    Hili neno lisipite bule kwangu mungu naomba likaende kunisafisha kwa mahali popote nilipo kosea na kutenda vibaya mbele za mungu

  • @lucykihara4638
    @lucykihara4638 3 ปีที่แล้ว

    Amina mtumishi am so blessed your word is sharp.lets hate sin n flee from it.

  • @hitlerkuzugara7048
    @hitlerkuzugara7048 ปีที่แล้ว +1

    Mungu azidi kukutumia katika kazi yake

  • @lindamlaki8103
    @lindamlaki8103 3 ปีที่แล้ว +4

    MTUMISHI WA MUNGU HUWA NABARIKIWA SANA NA UTUMISHI WAKO NAKUOMBEA MUNGU AKUONGEZEE HEKIMA NA MAARIFA YA KIMBINGU,MUNGU AKUBARIKI SANA.YAANI NATAMANI SIKU MOJA KUMWONA USO KWA USO.MUNGU AKUINUE SANA AIBARIKIE NA FAMILIA YAKO.

  • @t7zkc5tpxgim28
    @t7zkc5tpxgim28 3 ปีที่แล้ว +3

    Mungu akubariki sana pastor

  • @happykapinga
    @happykapinga 10 หลายเดือนก่อน +1

    Asante Mungu kwa Neema ya Yesu Kristo uliyekuja kutukomboa, maana nimekukosea sana Mungu wangu.😭😭😭😭

    • @UsafiMichael-mc8kt
      @UsafiMichael-mc8kt 6 หลายเดือนก่อน

      Nafuu wewe unakubali maana wengi wanapinga na kundelea na mavazi yao

  • @mwasubilasaimoni4119
    @mwasubilasaimoni4119 2 ปีที่แล้ว +1

    Amen Amen Amen, mungu akutunze sana masomo mazuri sana

  • @dativadiocles2714
    @dativadiocles2714 3 ปีที่แล้ว +3

    Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu

  • @selemsigala4771
    @selemsigala4771 4 หลายเดือนก่อน

    Mungu aendelee kukupigania na kukupa maisha marefu ili uendelee kutangaza utukufu wa Mungu na kuokoa.

  • @benardboaz6347
    @benardboaz6347 3 ปีที่แล้ว +5

    Mungu atuponye kwa Nema yake.

  • @justineronard7747
    @justineronard7747 3 ปีที่แล้ว

    Amen mtumishi wa Mungu ubarikiwe sana, utunze daima.

  • @jimmypeter5667
    @jimmypeter5667 ปีที่แล้ว

    May God enable manifestation of what this guy preached for our total change together with our families. Amen!

  • @benedictotieno8
    @benedictotieno8 10 หลายเดือนก่อน

    😢😢😢Nime barikiwa nikiwa Kenya...ujumbe huu ungali hai... namshukuru Mungu

  • @videozaaj1069
    @videozaaj1069 3 ปีที่แล้ว +2

    Kuna kanisa moja huku mjini linaitwa FEEL FREE CHURCH...huko wanajivalia tu wanavyojiskia afu watu wanapenda kwenda coz kuna uhuru kama nn!!!!

  • @user-bz1pn6so7k
    @user-bz1pn6so7k หลายเดือนก่อน

    Tunashukuru kwa mafundisho mazuri mungu akupe maisha marefu uendelee kutuhudumia

  • @alfrednyamnini7352
    @alfrednyamnini7352 3 ปีที่แล้ว +2

    Injiri ya nyakati za mwisho.kwenye kizazi kilichopotoka.
    Mungu airehemu nchi.

  • @sidhanimwashiuya8769
    @sidhanimwashiuya8769 3 ปีที่แล้ว

    Hallelujah pastor ubarikiwe sana na huduma

  • @mecktildatushabe7898
    @mecktildatushabe7898 3 ปีที่แล้ว +1

    Echo ne chi tufu msaja wa katonda/ nikweli kabisa mtumishi wa Mungu be blessed

  • @raimundozacariasjonas7426
    @raimundozacariasjonas7426 3 ปีที่แล้ว +3

    Welcome to Mozambique 🇲🇿🇲🇿 pastor!

  • @AmosObanda23Thursday16Nov8am
    @AmosObanda23Thursday16Nov8am 2 ปีที่แล้ว +1

    14:12
    Dhambi ni kama kiu kikimkamata mtu haikutoshelezi.
    Mungu anisaidie sana,
    Nionje maji ya uhau nipate kukata kiu cha damu.
    Yesu apewe sifa🙏following from Kenya 🥰

  • @fransicochunji327
    @fransicochunji327 3 ปีที่แล้ว

    Bwana Yesu asifiwe.
    Mungu akubariki saana mtumishi wa mungu

  • @elkanakilumbe
    @elkanakilumbe 3 ปีที่แล้ว +6

    Hatujaja kuamshana ngono kanisani... tumekuja kushusha uwepo

  • @rahelynocha642
    @rahelynocha642 3 ปีที่แล้ว +2

    Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen 🙏

  • @sakinaamundala8314
    @sakinaamundala8314 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu wambinguni akubariki sana ijili inakaza sana ameneeeeeesana

  • @littleheroe541
    @littleheroe541 2 ปีที่แล้ว

    Barikiwa Sana mtumishi wa Mungu nabarikiwa na injili yako

  • @dorkasijohn1714
    @dorkasijohn1714 3 ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki mchungaji kwa ujumbe mzuri hakika Mungu mwenyewe anakutumia

  • @user-xk9ul4im7o
    @user-xk9ul4im7o 2 หลายเดือนก่อน

    Maubiri ni fire. Mungu atusaidie kwaweli YESU YU aja

  • @aloycesilwela3485
    @aloycesilwela3485 3 ปีที่แล้ว +15

    Injili kama hizo ni adimu sana siku hizi fundisha pia juu ya mapambo ya kiyezebel kwamba ni ukahaba pia na wala sio usafi kama madai ya wachungaji wahuni, kimsingi umenibariki

    • @geitandelwa299
      @geitandelwa299 ปีที่แล้ว

      Ni KWELI dhambi ya kujipamba kwa walokole imekamata nafasi ya kwanza makanisani KUJICHUBUA KUVAA MAWIGI tumeona ni kawaida mmmmh

    • @dicksonkilupa2258
      @dicksonkilupa2258 ปีที่แล้ว

      @@geitandelwa299 MISHOLI HAJAWAHI KUNIFELISHA KWA NYIMBO NA MAFUNDISHO YAKE. Geita ndelwa ni wewe wa 1984 Lupila?

  • @faridashabanifaridashabani5950
    @faridashabanifaridashabani5950 8 หลายเดือนก่อน

    Aminaaaaa Baba ujumbe na ufike mbali kwajina la YESU ❤❤

  • @kevinndayihimbaze3585
    @kevinndayihimbaze3585 3 ปีที่แล้ว

    Kweli Mchungaji unani bariki Sana, duniya ya Leo watu wamemwasi Mungu, ila wajiumbiya mahubiri ya kuwafurahisha

  • @happykapinga
    @happykapinga 10 หลายเดือนก่อน

    Asante Yesu kwa ajili ya watumishi wako, yaani mchungaji ameongea yangu yote Asante Yesu Kristo

  • @nurunikwissa6105
    @nurunikwissa6105 3 ปีที่แล้ว

    Injili kavu na imenyooka hongera Sana pastor Abihudi

  • @gabrielmoses7679
    @gabrielmoses7679 3 ปีที่แล้ว +2

    Mungu akubariki sana mtumishi !

  • @morineinziani9547
    @morineinziani9547 3 ปีที่แล้ว +1

    Amen mchungaji be blessed

  • @chantalvumilia9779
    @chantalvumilia9779 3 ปีที่แล้ว

    Amina ,Mwenyezi Mungu akubariki baba

  • @pastorlutebukabahinyuye238
    @pastorlutebukabahinyuye238 3 ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe mtumishi utumishi was kisasa unapoteza uwepo wa Kimungu.

  • @sudymsigala5532
    @sudymsigala5532 3 ปีที่แล้ว

    Barikiwa mtumishi wa Mungu kwa mafundisho yatujengayo

  • @magrethmollel1078
    @magrethmollel1078 ปีที่แล้ว

    Mungu aliponye kanisa lake Mungu akubariki mtumishi wa Mungu

  • @jasonmkisi
    @jasonmkisi 9 หลายเดือนก่อน

    Amina mtumishi wa MUNGU,ubarikiwe sana

  • @ammyboy4121
    @ammyboy4121 3 ปีที่แล้ว

    Upo vzr mchngaji nimekukubali mafundsho yako mungu akubariki sana ktk kuitendela oazi yake.

  • @sarahpeter9591
    @sarahpeter9591 3 ปีที่แล้ว +1

    Ujumbe mzr san Mungu akubarik mtumish

  • @benniepapaofficial2097
    @benniepapaofficial2097 3 ปีที่แล้ว +1

    Amen hallelujah beloved brother 🙏 MOG, Preach it... thanks God bless you abundantly and always 🙏

  • @harunimwambene603
    @harunimwambene603 3 ปีที่แล้ว +2

    Mtumishi Mungu akubariki kwa kusema ukweli. Wa neno la Mungu. Mungu akupe maisha marefu

  • @obadiakigocha7463
    @obadiakigocha7463 3 ปีที่แล้ว

    ubarikiwe mtumishi wa mungu kwa huduma nzuri

  • @leontinebinlydi9459
    @leontinebinlydi9459 2 ปีที่แล้ว

    Amen amen Ubarikiwe kweli baba 🤝🙏🏼🙏🏼🙏🏼🤝🙇‍♂️🙇‍♂️🙇‍♂️👏👏👏

  • @ezekiashusha2097
    @ezekiashusha2097 3 ปีที่แล้ว +1

    Barikiwa sana mtumishi wa mungu

  • @felisterandrew8741
    @felisterandrew8741 3 ปีที่แล้ว +1

    Mch Abiud Nakupenda Sana Baba Angu wa kiroho na Mungu Akubariki Azidi kukuinua Zaid.

  • @shabanishabani6947
    @shabanishabani6947 3 ปีที่แล้ว +18

    Kama unaabudu kanisa ambalo kuna mtumishi kama huyu usitoke hapo.

  • @mamamkwe6t716
    @mamamkwe6t716 3 ปีที่แล้ว +2

    Barikiwa mtumisi wa Mungu

  • @christopherkiswaga9270
    @christopherkiswaga9270 8 หลายเดือนก่อน

    Glory to God for the living Testimonies!

  • @benithafredrick2465
    @benithafredrick2465 3 หลายเดือนก่อน

    Amina barikiwa mtumishi wa MUNGU

  • @pastoremanuelchisunga5193
    @pastoremanuelchisunga5193 3 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe Pastor Abyudi

  • @naomisanga3207
    @naomisanga3207 3 ปีที่แล้ว +2

    Amina mtumishi wa Mungu .

  • @elizamsemwa3161
    @elizamsemwa3161 3 ปีที่แล้ว +3

    Waoooo nawapenda sanaa jaman

  • @naomisanga3207
    @naomisanga3207 3 ปีที่แล้ว +2

    Barikiwa mtumishi wa mungu

  • @edwinmasankwa7728
    @edwinmasankwa7728 3 ปีที่แล้ว

    Michieka from turkana mutumshi mungu akusidishe baraka ,nimebarikiwa amina

  • @pastorgeorgekaruchio8338
    @pastorgeorgekaruchio8338 3 ปีที่แล้ว +3

    May God bless you man of God,am blessed

  • @jacksonbiswalo8360
    @jacksonbiswalo8360 3 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe mtumishi wa Mungu.

  • @user-cj7bm4up8v
    @user-cj7bm4up8v 2 หลายเดือนก่อน

    Ubalikiwe sana baba

  • @ummymbalwa538
    @ummymbalwa538 3 ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe sana mchungaji Abuid

  • @danielandende9783
    @danielandende9783 3 ปีที่แล้ว

    Amina nimebarikiwa xana mtumish 👏👏

  • @hermanetyang2712
    @hermanetyang2712 3 ปีที่แล้ว

    Ahsante sana mchungaji kwa mafunzo haya yenye upako wa Mungu. Natamani sana kuwa kama wewe mchungaji Abuidi niombee sana Mungu anipe kibali cha neno lake anitumie kama chombo ili kuihubiri injili kwa watu wote

  • @EvansShaban
    @EvansShaban 6 หลายเดือนก่อน

    Asante Mungu Akubariki sana

  • @gracemsigallah2363
    @gracemsigallah2363 2 ปีที่แล้ว

    Mungu akubaliki Sana mtumishi wa bwana endelea kuitenda kazi ya mungu mungu akubaliki sana

  • @ChristineLucy-yh3hz
    @ChristineLucy-yh3hz หลายเดือนก่อน

    Mwenyezi Mungu nmekukosea ila kupitia hili Neno naomba msamaha 😢😢Mungu 🙏🙏

  • @neemakapasi7751
    @neemakapasi7751 3 ปีที่แล้ว +1

    Sema kweli mchungaji tupone 🙏🙏

  • @janekatanda2677
    @janekatanda2677 3 ปีที่แล้ว

    Amen amen mtumishi wa Mungu.

  • @shukurukaliwali5367
    @shukurukaliwali5367 3 ปีที่แล้ว +3

    Ubarikiwe Sana Baba

  • @peterjonathan5681
    @peterjonathan5681 3 ปีที่แล้ว

    Barikiwa mchungaj nyimbo zako na maubiri yako hunibariki kanisa lako liko wap

  • @AbubakarSeif
    @AbubakarSeif 3 ปีที่แล้ว +11

    We need such pastors in this era of the last days....

  • @yonamwaweya5814
    @yonamwaweya5814 3 ปีที่แล้ว +3

    Daaah wachungaji kama hawa ni wachache. Wengi wao wanahubiri pesa.

  • @JACKSONMAKUBO-ne7lv
    @JACKSONMAKUBO-ne7lv ปีที่แล้ว

    Abiudi nakukubali sana eemungu azidi kukuongezeya nguvu napenda sana nyimbozako sana

  • @samwelmwaijumba6018
    @samwelmwaijumba6018 3 ปีที่แล้ว

    Amen ubarikiwe daddy

  • @danielsulumba4448
    @danielsulumba4448 3 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akubaliki mutumishi