Asante Sana baba kwa neno hili. Kumbe mimi njoo sakumi kasoro kwenye ndoa yangu. Sijawai kuomba msamaa kabisa. Ila Léo naelewa ata wokovu yangu inamashaka kabisa. Haiwezekane mkristu kama mimi ashindwe kuomba msamaa kweli!!! Mungu anisameye
Kabisa ukweli mutupu kwanini sisi wa Kritso hatutowe mufano kwawa pagani sana sana wa African hatijufinze mazuli😂 kwawazungu ile mabaya tunamijua Mungu lakini matendo yetu anamukana😂 Mungu
Mtumishi wa Mungu, kwa neno la Mungu kupitia wewe wafungulie
Mungu ni mwema mchungaji pia najifunza kutokana na mafundisho yako mungu akubaliki sana 🙏🙏🙏🙏
Amen Amen pst🙏🙏🙏🙏
Yani pasteur wangu unanichekesha sana kusema Bukavu magari hayana toshi,ila ume nigusa sana kuhusu sadaka mungu akulinde
Bukavu oyeeeeee😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Amen 🙏 mchungaji mgogo barikiwa
Ubarikiwe mno mtumishi
Mungu Akubariki my No1 online pastor
❤❤❤so much mucungaji joseph maubiri yako ananijenga sana naitaji ufike apa boise idaho from America please
Amen 🙏 Mungu akutumie kwa kiwango Cha juu sana
Asante Sana baba kwa neno hili. Kumbe mimi njoo sakumi kasoro kwenye ndoa yangu. Sijawai kuomba msamaa kabisa. Ila Léo naelewa ata wokovu yangu inamashaka kabisa. Haiwezekane mkristu kama mimi ashindwe kuomba msamaa kweli!!! Mungu anisameye
😅
😅😮😢🎉😂❤, 8😮
Amen,Mimi unanibariki sana mchungaji
🎉🎉🎉
Kabisa ukweli mutupu kwanini sisi wa Kritso hatutowe mufano kwawa pagani sana sana wa African hatijufinze mazuli😂 kwawazungu ile mabaya tunamijua Mungu lakini matendo yetu anamukana😂 Mungu