Ahsantee sana pastor..... Nakumbuka siku tumekutana muhimbili ,licha ya kuwa hujawi kuniona macho yetu yalipogongana ulisimama pamoja na mama tukasalimiana .....Moyo wako wa Upendo na unyenyekevu ni mfano.... Mungu aliyehai azidi kukutuza zaid
Hakika mchungaji huwa nakuelewa sana tena zaid ya sana kwani ibada yako inanitia moyo kwani inagusa uhalisia wa maisha yangu. Mungu aendelee kukupa afya njema Na uzima tele.
Our own house girl nilikutana nae anaendesha bonge la gari akaniambia siku hizi naishi USA ila kwa Sasa Niko Mbezi beach nilikojenga..Karibu kwangu jamani..Mimi nilikua naenda kupanda daladala 😂
Wakristo wako ibadani wakiwa na nyuso zafuraha hadi wanatamanisha jmn. Watakuwa wanalishwa chakula chenye afya na Mchungaji Eliona Kimaro.Barikiweni Sana.
Sawasawa Mchungaji wetu. Lkn hii ni story ya Kutunga. Japo Una mafunzo ndan yake. It's not a real story badala yake ni dhanifu. Ni kweli inawezekan San kuwa hivyo. Self-discipline as a key point. One love our pastor. Get me from Thailand thought am a 🇹🇿
Mungu akitaka kupa hakuletei barua. I'm a Muslim ila nimeipenda hii. Ni mambo yanayo tokea katika maisha. Wa Asia wanawake hua hawasomi na waume zao ni wasomi.
Housegirl ni binaadamu kama watu wengine. Hii ni AFRICA TUU , UKIENDA NNCHI ZA ULAYA WATU HAWAJALI MAMBO YA ELIMU . WANAJALI UPENDO MTU ALIO NAO JUU YA MTU.
Kama umemuona Millard Ayo gonga like twende sawa
Tumejifunza kitu cha maana sana sana...elimu bila nidhamu ni buree..
Amen
Ameeeeeeeen
Ameeen kubwa
nimeiona bei gani
Barikiwa sana Pastor. Kweli binadamu angeijua kesho yako angekuheshimu sana leo
hakika
Amen mtumishi.Nimemuona our one and only kwenye kutuletea HABARI mbalimbali zinazondelea ulimwenguni mwote @Millardayo👏👏👏.
My favourite pastor, UBARIKIWE sana Mtumishi wa Mungu!
Ahsantee sana pastor.....
Nakumbuka siku tumekutana muhimbili ,licha ya kuwa hujawi kuniona macho yetu yalipogongana ulisimama pamoja na mama tukasalimiana .....Moyo wako wa Upendo na unyenyekevu ni mfano....
Mungu aliyehai azidi kukutuza zaid
Amen
Nimefurahi sana kumuona milladayo mtu wangu wa nguvu
Mungu Akisema Ndiyo, Hakuna wa Kubisha kbs, Sifa na Utukufu Kwa Mungu Aliye Juu 🙏🙏
Ooh Haleluyaaa!!!!Amen Pastor.Nimebarikiwa sana.Mungu Atukuzwe jamani.
Asante sana pastor kwa mahubili. Mungu awabaliki.
Zaburi 71:8
Kinywa changu kitajazwa sifa zako, Na heshima yako mchana kutwa.
*TUJAZE SIFA ZA BWANA KWENYE VINYWA VYETU WAKATI WOTE, HALELUYA!!!*
Very strong advice umenitia nguvu na pia kunifunza mchungaji barikiwa
Hakika mchungaji huwa nakuelewa sana tena zaid ya sana kwani ibada yako inanitia moyo kwani inagusa uhalisia wa maisha yangu. Mungu aendelee kukupa afya njema Na uzima tele.
Mungu akitaka kukubariki hakuna wakuzuia kwani yy ndo Mungu mwenye malmlaka zotee
My favourite pastor thanxs for good testmony
Nabarikiwa sana na mafundisho y'ako ubarikiwe sana
Our own house girl nilikutana nae anaendesha bonge la gari akaniambia siku hizi naishi USA ila kwa Sasa Niko Mbezi beach nilikojenga..Karibu kwangu jamani..Mimi nilikua naenda kupanda daladala 😂
Maisha hayana formula
Jaman
Duuuu pole
Asanteee mchungaj ni fundisho mzuriii 🙏🙏
Halleluya. God is always good 👍
Yaaan Mtumishi wa Mungu unanibalikigi sanaJehovah akuinue zaid
God is good Anashangaza sana watu Ubarikiwe Baba kwa Neno🙏🙏
barikiwa sana mtumishi wa mungu
God's grace is sufficient 🙏🔥🔥🙏
Mungu akubariki mtumishi from canon Jane Mwangangi- Nairobi kenya
Wakristo wako ibadani wakiwa na nyuso zafuraha hadi wanatamanisha jmn. Watakuwa wanalishwa chakula chenye afya na Mchungaji Eliona Kimaro.Barikiweni Sana.
Amen , Mungu ni mwema kila wakati
Mungu akiamua kukufuata ata porini akuna wa kumuzuhia akubariki
Amina aminaa baba mchungajii
Discipline goes with respect. I am humbled. Behavior and character goes together.
Asante kwa hili somo mchungaji wangu
A very good story teller
God remember us house girls 🇺🇬🇺🇬👏👏👏👏👏👏
God will!
Amen 🙏🙏🙏
From your mouth to God's ear.
@@damariszuckschwert9489 Amen 🙏🙏🙏
Ubarikiwe sana Dr.
Ubarikiwe sana Mchungaji
barikiwa mtumishi
Uko sawa mchungaji
Self discipline ndo nimejifunza kwenye hii video 🙌 Tubadilike jamn
Ubalikiwe sana mtumishi
Pastor kimaro unaushuhuda mungu akubariki
My favourite Pastor ur sermons in evening glory have changed my life, Be blessed Rev. Eliona kimaro👏🏻
Nmemuona
Amen asiye kuelewa hatakuwa matatizo Mungu akuzidishie mafuta mabichi
Very educative
Millard Ayo mmemuona?
Tumemuonaaa😀
Ndy
Ndyo
Nilikuwa natafuta Comment hii 😂
Tumeemuona
Yesterday never be today and today never be tomorrow thank you God for everything 🙏
Millard Ayo anacheka 🤣🤣🤣🤣
Ubalkiwe sana mtumish niangaliapo clip zako uwazinitia moyo sana
Such a beautiful testimony of rising from grass to grace🙏🙏
Natamani kupata namba ya kiongoz wa nabii mkuu jamani
Nimebarikiwa na ujumbe ubarikiwe sana mchungaji unanibariki sana
Congratulations to all 🙏🥰
kwa wanadam haiwezelani lakini kwa Mungu yote yanawezekana
Binadamu mbwembwe
Maa shaa Allah
Nimekuwa mbarikiwa 🙏🙏
Huu ushuda kunajambo lakujifuza hapa barikiwa baba mchugaji 🙏
Sawasawa Mchungaji wetu. Lkn hii ni story ya Kutunga. Japo Una mafunzo ndan yake. It's not a real story badala yake ni dhanifu. Ni kweli inawezekan San kuwa hivyo. Self-discipline as a key point. One love our pastor. Get me from Thailand thought am a 🇹🇿
Baba Mungu akutunze zaidi
Napenda hii ibada Wacha mungu awabariki
Mwenyezi Mungu ni mkubwa nidhamu ni kitu cha kujivunia
Sana
Correct 👏👏👏👏
Nakukubali sanq baba ubarikiwe
Mungu ni mwema🙏👏👏👏👏👏
Kweli wakati sahihi ni wa Mungu🙏🙏
Good
That's great
Mungu akitaka kupa hakuletei barua. I'm a Muslim ila nimeipenda hii. Ni mambo yanayo tokea katika maisha. Wa Asia wanawake hua hawasomi na waume zao ni wasomi.
Mungu akubariki pastor
Nakukubali Sana mchungaji mnooo ubarikiwe
Housegirl ni binaadamu kama watu wengine. Hii ni AFRICA TUU , UKIENDA NNCHI ZA ULAYA WATU HAWAJALI MAMBO YA ELIMU . WANAJALI UPENDO MTU ALIO NAO JUU YA MTU.
House girl hapa wanadharauliwa sanaa mtu aliyepitia hapo tunajua maumivu yake
Sana wabongo wengi malimbukeni
God bless u
Barikiwa sana baba
Kwakweli, God akisema Yes nobody can say No
000
Elimu bira busara ni ugonjwa,,,,
@@alphoncestumbi908 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Mungu hujibu maombi na matamanio ya binadamu
@@alphoncestumbi908
Yygg
Waaaaao safi sana
Heshima na Utii ndivyo vinavyopelekea mtu kufikia destination/ Mafanikio yake katika maisha
Nimemuona😀😀😀
AYO yuko Church
Mungu mwema
Like u bro uko safi sana Mungu akutumie people are laughing but what u're talking about its so sensitive
Kk 0:41 kT
Sawa kabisa mchungaji nidham na dispilin ktk kila eneo huleta matokeo mazur
Glory to god
Ameen mtumishi unanibariki
Millard Ayo I can see you. Safi sana kijana
Story makanisani Aiseee
Duuu kwelii kisaa kizuri sana
Halleluyah hakikaaaaaa🙌
, yes suree
Ametokea Makuro😂😂
Gloy to God
Kwa mungu yote yanawezekana 🙏
Shikamoo Kaka
Good message God bless you Rev.
Wow kweli usimdhau mtu
Amina
❤❤❤❤
Ahahahah ahsante mchungaji 🙏🙏🙏
Good preaching
Amen 🙏🙏🙏🙏 amen 🙏🙏🙏🙏🙏
😂😂😂wajumbe, Yesu ni mzuri jamani.
Umenibariki Sana babaangu
Maskini wa leo ni tajiri wa kesho, Mchungaji uko vizuri.
naombeni namba ya huyu mchungaji
I passed through I do understand about 😔😥😭😭😭
Hallelujah
Mungu ni mwema