ONYO KWA VIJANA ;REV.MOSES MAGEMBE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ต.ค. 2024
  • Matengenezo ya Kanisa

ความคิดเห็น • 109

  • @saudakabogo
    @saudakabogo 3 ปีที่แล้ว +11

    Nabarikiwa sana na Injili isiyoghoshiwa, keep fire burning baba

    • @geitandelwa299
      @geitandelwa299 ปีที่แล้ว

      Yes hakuna Kama YESU tuache uhuni NDO injili

  • @DoraKapesa
    @DoraKapesa หลายเดือนก่อน

    Mungu akupe miaka mingi zaidi kwaajili yetu vijana iliturisishwe injili ya kweli

  • @monikakawogo9484
    @monikakawogo9484 3 ปีที่แล้ว +8

    Nakuelewa Sana Mchungaji Magembe! Kila ninapokufuatilia kiwango changu Cha imani kinaongezeka! Barikiwe Sana mzee wetu wa Imani!

  • @veromaganga1299
    @veromaganga1299 3 ปีที่แล้ว +3

    Amena bba ubarikiwe mungu azidi kukuweka iliutufundishe kwel ya mungu

  • @joshuabweli6249
    @joshuabweli6249 3 ปีที่แล้ว +5

    Mmmmmmmh Rev.Maghembe Mungu akubariki baba kwa kazi ya Mungu.

  • @kikotikikoti7176
    @kikotikikoti7176 2 ปีที่แล้ว +2

    Mungu akubariki sana baba yangu wa kiroho nabarikiwa sana asantee ameeen

  • @evangelist_gaitani
    @evangelist_gaitani 3 ปีที่แล้ว +4

    Asante pastor kazi yako njema tunakupata duniani kote maana bwana anasikizisha sauti yako

  • @zoemsangi1835
    @zoemsangi1835 3 ปีที่แล้ว +2

    Dah babaa Nakupenda mnooo jamaaan,Mungu akubariki. Wish whole Tanzanian tuwe tunakusikiliza tuu.

  • @mwambinguphilip55
    @mwambinguphilip55 3 ปีที่แล้ว +11

    Napenda wachungaji wa injili ya kweli kama mch magembe na ABIUD MISHOLI na wengineo

  • @fidrishfelician7320
    @fidrishfelician7320 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akubaliki baba Neema ya Bwana ikufunike na huduma yako Bwana aitakabari

  • @justinkavuti6256
    @justinkavuti6256 2 ปีที่แล้ว +2

    Amen mutumishi wa Mungu ubarikiwe na Bwana

  • @AmaniChalinze
    @AmaniChalinze 4 หลายเดือนก่อน

    Barikiwa sana mtumishi wa Mungu

  • @jeninayotham9531
    @jeninayotham9531 6 หลายเดือนก่อน

    Mungu akubariki sana Baba,, Ujumbe mzurii sana kwa kwetu

  • @seebs1156
    @seebs1156 2 ปีที่แล้ว +1

    Ameni mtumishi ubarikiwe sana na injili ya kweli Wewe na mama hilda mbarikiwe mno

  • @sumakibonde5152
    @sumakibonde5152 3 ปีที่แล้ว +11

    Among the powerful preachers I have ever heard. God bless you baba and live long

  • @kevinMwiva
    @kevinMwiva 11 หลายเดือนก่อน

    Napenda sana maubiri Yako ya uwazi kabisa Moses Magembe GOD bless you

  • @nnkv1480
    @nnkv1480 3 ปีที่แล้ว +1

    Amen ,tunabarikiwa sana na mafundisho yako ya ,,,,,ukweli halisi,,,.Lkn tumetofautiana kidogo kwa kuwabark waimbaji na wasomaji wa neno madhabahuni wakati wanahudumu .Mara nyingi tunawapa si kwa kutafta sifa wala si kwa kuwa tuna vingi bali Roho aliye ndani yetu hutusukuma kufanya hivyo.Ukisubiria baada ya ibada mara nyingi wengine hutawapata kivyepesi na wengine utakuta wapo pamoja na watumishi maofisini,mbali na hayo ukichelewa kuwabariki mara moja mahitaji yako yanakujia kimoyomoyo na kujikuta tayari umeisha ahirisha.Hivyo mi nasema kadri Roho atakavyokuongoza fanya hivyo,asante

  • @gracedotto668
    @gracedotto668 3 ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe saana mchungaji, , injili yako ni ya kweli kabisa babaangu

  • @amonimwampamba3164
    @amonimwampamba3164 2 ปีที่แล้ว +1

    Mtumishi mungu akubaliki Sana najua umeongea na watu wote makanisa yotee nimebarikiwa sana

  • @colyndelwa1738
    @colyndelwa1738 3 ปีที่แล้ว +2

    Mungu akupe maisha marefu baba.. binafsi nabarikiwa sana na huduma yako

  • @bedykedy3604
    @bedykedy3604 3 ปีที่แล้ว +10

    Wazee kama Hawa wamebaki wachache sana wanaohubili injiri ya kwenda mbingun Mungu aendelee kumpa afya njema ili tujifunze zaidi vijana

    • @francismavika8109
      @francismavika8109 3 ปีที่แล้ว

      Nimeyapenda sana mahubiri ya mchungaji Moses Magembe, Mungu ambariki sana..

    • @augustinoedson1068
      @augustinoedson1068 3 ปีที่แล้ว

      Amen

    • @upendongonyani8871
      @upendongonyani8871 3 ปีที่แล้ว +1

      Fuatilia pia Robert TV usikie neno lisiloghoshiwa au angalia channel ten jumanne saa mbili usiku na marudio siku ya alhamisi saa nane mchana

  • @ymusic803
    @ymusic803 3 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akubariki nakuelewa sanaa mtumishi

  • @jacksonmarseli4023
    @jacksonmarseli4023 3 ปีที่แล้ว +1

    Barikiwe Sana mchungaji vijana unatu Jenga Asante MUNGU akubariki mno

  • @CanisiusJohnKayombo-ch6fw
    @CanisiusJohnKayombo-ch6fw ปีที่แล้ว +1

    Ameen!!! Ukweli ni kwamba wetu wanafanya kazi ya Bwana wakiusikilizia mwili na siyo Roho wa Mungu. Kuna makanisa nje ya pentecoste ukifika kanisani kabla ya ibada ni chai!! Ukikataa wanakushangaa sana na kukwambia kula ushibe uhubiri kwa nguvu!!!
    Lakini siku ya huduma ni kujiunganisha na mbingu hadi jioni

  • @stellariwa2723
    @stellariwa2723 5 หลายเดือนก่อน

    Mungu akubariki baba

  • @eliamhekela173
    @eliamhekela173 2 ปีที่แล้ว +1

    Barikiwe sana mtumishi

  • @LukasNdaji
    @LukasNdaji 3 หลายเดือนก่อน

    Mungu akubariki sana

  • @ndetaulwapallangyo8408
    @ndetaulwapallangyo8408 3 ปีที่แล้ว +1

    Spiking up my be loved pastor. Really good man of God!

  • @makrinakalinga6034
    @makrinakalinga6034 3 ปีที่แล้ว +1

    Baba mchungaji ubarikiwe I feel blessed

  • @ELIWAZANZAGA
    @ELIWAZANZAGA ปีที่แล้ว +1

    MUNGU AKUONGEZEE HEKIMA USIBAKISHE HATA UDHAIFU MDOGO KUKEMEA ILI WA KUPONA TUPONE. MUNGU AKUBARIKI SANA !!

  • @emilianakirway840
    @emilianakirway840 3 ปีที่แล้ว +3

    Mungu mlinde mtumishi wako

  • @emmanuelmtonyole9958
    @emmanuelmtonyole9958 3 ปีที่แล้ว +3

    Asanteeeee sanaaa Pastor magembe kwamba kwa huduma njema ......nimecheka hapa...tufunike bibilia hahahahahaha Mungu atsaidiee

  • @ChrisSamson-rr3ns
    @ChrisSamson-rr3ns 4 หลายเดือนก่อน

    Safi sana baba mch. Magembe.

  • @BoniphacejNyimbo
    @BoniphacejNyimbo ปีที่แล้ว

    Amen 🙏 ubarikiwe mtumish

  • @kikotikikoti7176
    @kikotikikoti7176 2 ปีที่แล้ว +1

    Hahahahaaa nabarikiwa sana et naondoA jiweeeeee nimecheka sana

  • @emilianakirway840
    @emilianakirway840 3 ปีที่แล้ว +5

    Bwana ainue huduma yako

  • @leonidashatungimana6850
    @leonidashatungimana6850 3 ปีที่แล้ว +1

    Bwanwa akubaliki muteuwe wa Mungu

  • @alexiswadrienmmunga6927
    @alexiswadrienmmunga6927 10 หลายเดือนก่อน

    Mungu akujaze nguvu mchungaji

  • @ElishaErasto-wf8ch
    @ElishaErasto-wf8ch 10 หลายเดือนก่อน

    Amina mtumishi wa MUNGU barikiwa Sana

  • @thehopetv2930
    @thehopetv2930 ปีที่แล้ว +1

    Naondoa jiweee😂😂

  • @devothafrederick4352
    @devothafrederick4352 3 ปีที่แล้ว +3

    Huyu ni Mmoja wa Wachungaji wa kweli, wanahesabika kwa sasa

  • @kamarajoshua8719
    @kamarajoshua8719 2 ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe

  • @valentinandukuvalentinandu4779
    @valentinandukuvalentinandu4779 3 ปีที่แล้ว +1

    madumu ya maji hoyeeeee nadhani imewafikia vizuri manabii

  • @KusekwaCosmas
    @KusekwaCosmas 8 หลายเดือนก่อน

    Mchungaji nabarikiwa sana na mahubili yako unanifundisha sana

  • @haruningalia1589
    @haruningalia1589 3 ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe baba magembe

  • @TumainiYarrow
    @TumainiYarrow 2 หลายเดือนก่อน

    Hii imekaa sawa

  • @EmmanuelNdalahwa-m6t
    @EmmanuelNdalahwa-m6t 9 หลายเดือนก่อน

    Mungu akutunze baba

  • @queenmseven2286
    @queenmseven2286 3 ปีที่แล้ว +1

    Amen. Our GOD is great. Be blessed man of God

  • @usajirsmb8281
    @usajirsmb8281 2 ปีที่แล้ว +1

    Naomba kuuliza je sabato ya kweli mnazngatia, manake mnayo yasema n kweli lkni sabato mmeikanyaga chini

    • @NGUVUYAMUNGUTV
      @NGUVUYAMUNGUTV 2 ปีที่แล้ว

      Usihangaji, nitafute nkusaidie hapo

  • @kahindoheritier4688
    @kahindoheritier4688 3 ปีที่แล้ว +3

    MUNGU akubariki sana

  • @benjaminjulius4084
    @benjaminjulius4084 2 ปีที่แล้ว

    Amen🙏..ubarikiwe

  • @SittaKisimba-kl6mn
    @SittaKisimba-kl6mn 10 หลายเดือนก่อน

    real pastor in the world

  • @mlyamalitv1789
    @mlyamalitv1789 3 ปีที่แล้ว +1

    Tunawasiliana mkuu

  • @simonmdune9066
    @simonmdune9066 3 ปีที่แล้ว

    Ameeen asante baba akiii 🙏🙇

  • @MichaelMuya-h9e
    @MichaelMuya-h9e ปีที่แล้ว +1

    Natama Sana niwe kama wewe kihekima yamngu ,ubalikewe sana

  • @ndetaulwapallangyo8408
    @ndetaulwapallangyo8408 3 ปีที่แล้ว +1

    Watu wa namna hii wapo wachache Duniani kwa sasa !

  • @mariamjuma6107
    @mariamjuma6107 2 ปีที่แล้ว +1

    Mnapatikana wapi kanisa lenu

  • @amoskatole3016
    @amoskatole3016 2 ปีที่แล้ว +1

    Baba mm nakuelewa kwa mifupa unayo tulisha hakika baba mm nakuelewa Sana maana unaongea kweli

  • @AilenMakaka
    @AilenMakaka หลายเดือนก่อน

    Ninakuelewa Baba 🤏🏼🙌

  • @kahindoheritier4688
    @kahindoheritier4688 3 ปีที่แล้ว +2

    MUNGU akulinde

  • @leonidashatungimana6850
    @leonidashatungimana6850 3 ปีที่แล้ว +1

    Mungu ni Mkubwa

  • @aklimalinfunebashigaespoir1638
    @aklimalinfunebashigaespoir1638 3 ปีที่แล้ว

    nabarikiwa saana kabisa!!!

  • @mwambinguphilip55
    @mwambinguphilip55 3 ปีที่แล้ว +2

    🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪Amen

  • @esterkahimbi3222
    @esterkahimbi3222 3 ปีที่แล้ว +3

    Tuonywe na kufundishwa, ili tuende mbinguni.

  • @happinessmrema7719
    @happinessmrema7719 3 ปีที่แล้ว +1

    Acha sheriya baba

    • @ngwanafabian9668
      @ngwanafabian9668 3 ปีที่แล้ว

      Bila sheria utatambuaje dhambi?

    • @happinessmrema7719
      @happinessmrema7719 3 ปีที่แล้ว

      Kwa maana dhambi Haita watawala ninyi kwa sababu hamuwi chini ya sheria bali chini ya neema

  • @fabianmanyarange1811
    @fabianmanyarange1811 3 ปีที่แล้ว +1

    Kweli Mungu yuko kazini

  • @yahayatuly627
    @yahayatuly627 3 ปีที่แล้ว +3

    Ameen

  • @mwambinguphilip55
    @mwambinguphilip55 3 ปีที่แล้ว

    Amen mch magembe

  • @gbi380
    @gbi380 3 ปีที่แล้ว +1

    Mungu n mwema azidi kumbariki lakin angepunguza kuchanganya Kiswahili na Kiingereza madhabahuni ingependeza

    • @elvisndenge6758
      @elvisndenge6758 3 ปีที่แล้ว

      Kwa sababu gani ndugu

    • @gbi380
      @gbi380 3 ปีที่แล้ว

      @@elvisndenge6758 kwa sababu wengine hawaelewi kiingereza

    • @emanuelimfunanga3518
      @emanuelimfunanga3518 3 ปีที่แล้ว

      Mmmmh ndo nzuri kama haujui

    • @estherwilliam5125
      @estherwilliam5125 3 ปีที่แล้ว

      haha this is 21century walisema walokole hawana kisomo sasa hivi doube double

    • @issayasimoni8392
      @issayasimoni8392 2 ปีที่แล้ว

      Amen

  • @evashuma
    @evashuma 3 ปีที่แล้ว +4

    Saba kavu kwa mpentekoste ni kawaida

  • @MajaliwaMbaza
    @MajaliwaMbaza 5 หลายเดือนก่อน

    AMENI baba

  • @RajiTarie-d5c
    @RajiTarie-d5c หลายเดือนก่อน

    Ameeen

  • @andrewjiles3810
    @andrewjiles3810 3 ปีที่แล้ว +3

    Huyu mchungaji ananiinua sana kiroho

  • @JOHNKKULULINDA-pc6gy
    @JOHNKKULULINDA-pc6gy 11 หลายเดือนก่อน

    TOBOA MTUMISHI. AMEN.

  • @MaaDii-iz3ur
    @MaaDii-iz3ur 7 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @kikotikikoti7176
    @kikotikikoti7176 2 ปีที่แล้ว +1

    Jaman huyu mchungaji napenda sana mahubili yake kanisani kwake WAP???

  • @petermakanza1673
    @petermakanza1673 2 ปีที่แล้ว

    Amen amen🙏🙏🙏

  • @gracedotto668
    @gracedotto668 3 ปีที่แล้ว +1

    Hasa kwetu sisi vijana

  • @geitandelwa299
    @geitandelwa299 ปีที่แล้ว +1

    Baba sema AAA wanaondoka uwepo wa MUNGU kanisani kutoa tuhela AAA na haya NDO MANENO ya MUNGU na pia dhambi zimehamia kanisani uvaaji mubaya na KUJICHUBUA na KUVAA MAWIGI acheni walokoke tunahibili NN Kama SS walokoke twavaa Kama wajkuzao tunatangaza NN tukubali kuonyeka tuache ubishi jehanamu INATISHA

  • @neemasamwel8968
    @neemasamwel8968 2 หลายเดือนก่อน

    Ukweli

  • @Makemoneysimply
    @Makemoneysimply 2 ปีที่แล้ว +3

    Baba Mchungaji ukianzaga Mahubiri yaani nina cheka mpaka watu wamenizoe huku USA yaani mbavu sina ni kweli yote UBARIKIWE SANA

  • @maukadekandege6617
    @maukadekandege6617 3 ปีที่แล้ว +1

    Mchungajii wambie wapentecoste wanakazi ya kushangilia tu afadhali umeligundua hilo

  • @luhekelondelwa9714
    @luhekelondelwa9714 3 ปีที่แล้ว

    Amin

  • @ramaabdallah-cy9od
    @ramaabdallah-cy9od 8 วันที่ผ่านมา

    baba wakipatika kama wewe taifa litapona

  • @DoreenSoka-un7oh
    @DoreenSoka-un7oh 9 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂

  • @saudakabogo
    @saudakabogo 3 ปีที่แล้ว +6

    Nabarikiwa sana na Injili isiyoghoshiwa, keep fire burning baba

  • @BoniphacejNyimbo
    @BoniphacejNyimbo ปีที่แล้ว

    Amen

  • @kashurajoyce7091
    @kashurajoyce7091 3 ปีที่แล้ว +2

    Ameen

  • @nsomekoboniface2806
    @nsomekoboniface2806 3 ปีที่แล้ว +1

    Amen

  • @livinhillary9804
    @livinhillary9804 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @ahimidiweyesaya3520
    @ahimidiweyesaya3520 3 ปีที่แล้ว

    Amen