ASKOFU GWAJIMA ATOA USHAURI MZITO KWA TAIFA | VITA KATI YA ISRAEL NA HAMAS (PALESTINA) YATAJWA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 พ.ย. 2023
  • Dr Josephat Gwajima is the Senior Pastor of a Largest Church in Tanzania. He is also the Arch-Bishop and founder of Ufufuo na Uzima Churches worldwide. God is using him to raise the dead, heal the sick and performing of signs and wonders in the name of Jesus. Follow his Facebook page jgwajima Instagram bishopgwajima
    Join our Live Online Services every sunday at 1030 East Africa Time

ความคิดเห็น • 494

  • @magrethmwakifuna9792
    @magrethmwakifuna9792 8 หลายเดือนก่อน +2

    Hakika mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu askofu gwajima.Umeongea mambo mazuri sana kuwa israel na palestina tuwachie wenyewe ,na kwamba tuangalie mambo ya tanzania maana taifa la tanzania limetabiriwa mambo mazuri,kuwa litasaidia mataifa mengine kwa chakula.
    Umesema tusiongelee mambo ya huko palestina hili nalikubali sana je kuhusu hiyo tanzania ilitabiriwa mazuri inapotokea kuna mambo mabaya yanaendelea nayo tuwaachie wakina nani?Wewe ni mbunge,na ni mtumishi,watu wengi tulifurahi tulipoona mtumishi wa Mungu umeingia bungeni.
    Tukajua ungesimama na ile kweli ya Mungu katika mambo yasiofaa yanayotendeka katika serekali ya tanzania,k/f rushwa,ubadhirifu,watu wanaonewa wanafungwa bila makosa.Lakini hata kuongea kuhusu tunu za taifa umenyamaza.Wewe ulionekana unaongea kuhusu corona na chanjo ulikuwa na msimamo walipokuita na kukuonya ukawa muoga mpaka mambo ya bandari umekaa kimya,wakati wewe ni mtumishi wa Mungu na una watu wanakuamini.Unaogopa sana kufa,wakati kabla ya kuwa mbunge ulipokuwa unampiga bashite ulisema huogopi kufa,saa hizi unawaambia watanzania au wakristo hutakiwi kufa kijinga kama stephano.Aise wewe.

  • @rhodasamwepa9968
    @rhodasamwepa9968 8 หลายเดือนก่อน +1

    Heleluya! Mungu akutunze kw a nyakati hizi za hatari ktk jina la Yesu. Amina !!

  • @charlesally6028
    @charlesally6028 7 หลายเดือนก่อน

    Uko sawa kabisa unavyofundisha tofauti na yule mzee wetu sometimes anapotosha watu

  • @salehkhamis-ob8ln
    @salehkhamis-ob8ln 8 หลายเดือนก่อน

    Wakristo mnapenda kujinasbisha na wayahudi ukristo na uyahudi ni vitu tofauti wayahudi walimkataa yesu na kusema sio mungu hamtaki kusoma mnadanganya watu.. maadhimisho ya mashoga duniani yanafanyika izrael kila mwaka mungu gan anasapot ushetani

  • @emanuelyphilipo504
    @emanuelyphilipo504 8 หลายเดือนก่อน +1

    Asantee Sana BABA MUNGU WAMBINGU NA ARIDHI aendelee kukutumia nakukutunza AMINA 🙏

  • @hipolitelihawi
    @hipolitelihawi 6 หลายเดือนก่อน

    Nimekuelewa pastor wangu

  • @user-pc7jw7iz9o
    @user-pc7jw7iz9o 8 หลายเดือนก่อน +1

    Barikiwa sana baba. Ndo mana nakupendaga. Ila sikuhizi umeadimika sana mtandaoni. Napenda sana mahubir yako

  • @simongambi7623
    @simongambi7623 8 หลายเดือนก่อน +4

    Kuna mambo yanahitaji hekima kubwa kuyaamua vita inayoendelea ni vita ya ndugu zetu na damu inayomwagika ni damu ya ndugu zetu tumuombe Mwenyezi Mungu awape aman ndugu zetu na sisi pia. Ushabiki hauwezi kutupeleka peponi kitakachotupeleka ni vile tunavyompendeza Mwenyezi Mungu na rehema zake Wala sio makanisa na miskiti na tofauti za dini .

    • @ibrahmuya3528
      @ibrahmuya3528 8 หลายเดือนก่อน

      Kweli ndugu yangu watu wengi awaelewi kuwa mungu angalii dini Bali unaishi vp na viumbe wake sababu kuna wachungaji na mashekhe wanaishi maisha yasiompendeza mungu

  • @byoseasolokoci7257
    @byoseasolokoci7257 8 หลายเดือนก่อน +2

    UBARIKIWE SANA MTUMISHI WA BWANA KWA HEKIMA HIYO ULIYO NAYO. BWANA YESU ASIFIWE MILELE NA MILELE. AMEN.

  • @rosebaraka8406
    @rosebaraka8406 7 หลายเดือนก่อน

    Unachosema ni kweli. Hata Mungu anapenda wapatanishi. Ninachoomba Mtumishi wa Mungu ACHA ligi na Bashite. Haimpi Mungu utukufu. Sameheaneni.

  • @user-kz4yv6ds8c
    @user-kz4yv6ds8c 7 หลายเดือนก่อน

    Gwajima nakukubali sana Kwa kauli zako

  • @emmanueltwaha1489
    @emmanueltwaha1489 8 หลายเดือนก่อน

    Asante baba, Mtumishi kwa maneno yaliyo jaa hekima ya ki Mungu ndani yake , Ubarikiwe mtumishi wa Mungu, Asante Mungu kwa Askofu Gwaji Boi kuzaliwa Tz. Mungu mlinde mtumishi wako mno mno.

  • @waytruthlife4171
    @waytruthlife4171 8 หลายเดือนก่อน +6

    Yesu akamjibu, “Mama, niamini; wakati unakuja ambapo hamtamwabudu Baba katika mlima huu, wala huko Yerusalemu.(Yohana 4:21)

    • @felistamrutu7288
      @felistamrutu7288 8 หลายเดือนก่อน

      Ameen Baba MUNGU akutunze

    • @claudiamushi5082
      @claudiamushi5082 8 หลายเดือนก่อน

      huo mstari ukaendeleaje maana haukuishia hapo

  • @davidjackson448
    @davidjackson448 8 หลายเดือนก่อน +2

    Nakuelewa sana mteule barikiwa Sana na Bwana na uzidi kusema iliyo kweli>

  • @edsonmasesa7966
    @edsonmasesa7966 8 หลายเดือนก่อน

    Potelea mbali mayahudi wasimwamini Yesu, lakini niukweli usiyopingika kuwa msingi wa wakristo ni Israel na Waislamu ni palestina, uko sawa Bishop gwajima

  • @namayaniyusuph7189
    @namayaniyusuph7189 8 หลายเดือนก่อน +1

    Aaaamen servant of the living God

  • @moris.b.anthony8-tv
    @moris.b.anthony8-tv 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu wa mbinguni AKUBARIKI mwenye masikio na asikie maneno hayo ambayo Roho ayaambia makanisa na nchi kwa ujumla! Nakupenda sana mtume Gwajima

    • @user-pq6wd1nj4d
      @user-pq6wd1nj4d 7 หลายเดือนก่อน

      Amesema kweli, Israeli Ina Dini ya kizayuni na ukristo

  • @vintandaudi1891
    @vintandaudi1891 8 หลายเดือนก่อน +2

    Barikiwa sana mtu wa Mungu

  • @MaryAmaiza-th2fo
    @MaryAmaiza-th2fo 8 หลายเดือนก่อน

    Amen amen Masihi wa bwana, kwa ushahuri mzuri barikiwa Sana 🇰🇪💪.

  • @yoshuasalum8623
    @yoshuasalum8623 8 หลายเดือนก่อน

    Amen amen amen Baba,Mungu akubariki sana sana sana, maneno yako ni maziri kama nini

  • @Alexthadey-lm3ju
    @Alexthadey-lm3ju 8 หลายเดือนก่อน +3

    Nilishasemaga muda mreefu kuwa huyu gwajima wa kipindi kile nitofauti na huyu wa sasa ni tofauti kabisa sasa hapo unaona unavyotafuta kubalance mambo sababu tu ya siasa mi ninavyomjua gwajima yule wa zamani katika hili ungekua tu upande mmoja ungesema kweli tu jiangalie sana hiyo siasa itakugeuza moyo shauri yako

    • @NyumbaniHabariMedia
      @NyumbaniHabariMedia 8 หลายเดือนก่อน

      Kabisa yani

    • @Werema3760
      @Werema3760 8 หลายเดือนก่อน

      Hujui kusudi la Mungu mbele kwa mtu huyu kaa kimya.

    • @mkude
      @mkude 8 หลายเดือนก่อน

      Haihitaji kuwa muislamu kupinga ubaya wanayofanya Israel inahitaji ubinamu,Hilo taifa la kizayini kwanza lipo mbali na ukristo,wanaua watoto na wanawake wanapiga mahospitali,na wanapiga makanisa huko Gaza wamelipua kanisa ambalo watu wengi walienda kujihifadhi.

  • @charleslukumai7875
    @charleslukumai7875 8 หลายเดือนก่อน +1

    Amina. Umeongea kwa hekima.

  • @desderykarugaba1826
    @desderykarugaba1826 8 หลายเดือนก่อน +2

    Hekima ya hali ya juu sana mtumishi wa Mungu.

    • @cheapunderage8228
      @cheapunderage8228 7 หลายเดือนก่อน

      Kwy na nyinyi mnafirwa au maana hao ni wapingaji na ndomana ata maka makuu yake ni makav telaviv ya ushoga

  • @EbeliNjeje-qw3qf
    @EbeliNjeje-qw3qf 8 หลายเดือนก่อน +2

    Ubarikiwe sana

  • @neemamajana3078
    @neemamajana3078 8 หลายเดือนก่อน +2

    ❤Amina kubwa nimekuelewa❤

  • @issamkamba4632
    @issamkamba4632 8 หลายเดือนก่อน +1

    Inshallah nimekuelewa sanaa gwajima

  • @ziakaitala2221
    @ziakaitala2221 7 หลายเดือนก่อน

    Amina pastor Mungu awe upande wako

  • @user-ly9fx2hk3c
    @user-ly9fx2hk3c 8 หลายเดือนก่อน +3

    Baba tunashukuru kwa kutuonya

  • @jacobmahona187
    @jacobmahona187 8 หลายเดือนก่อน +3

    Barikiwa babaaaa!

  • @salehkhamis-ob8ln
    @salehkhamis-ob8ln 8 หลายเดือนก่อน

    Mbona husemi kama wayahudi walimkataa yesu na wakakana kama sio mungu

  • @ackimackim1880
    @ackimackim1880 8 หลายเดือนก่อน +2

    No1 I waiting.

  • @mpokimwakaje8178
    @mpokimwakaje8178 8 หลายเดือนก่อน

    Sawa kabisa mtumishi wa Mungu,

  • @SMG109L
    @SMG109L 7 หลายเดือนก่อน

    Allah yupo pamoja na ndugu zetu wapalestina
    Israel laanatullah alayhim

  • @andrewkivuyo5454
    @andrewkivuyo5454 7 หลายเดือนก่อน

    Amina

  • @NgengeMkeni-uo5hq
    @NgengeMkeni-uo5hq 8 หลายเดือนก่อน +3

    Muhimu tujitahidi sana kutokushabikia mambo yatakayopelekea kuvunjika kwa amani na upendo tulio nao Watanzania.

  • @amosmichael8986
    @amosmichael8986 7 หลายเดือนก่อน

    Amen mtumish wa Mungu nakufatilia sanaa

  • @hurumamgongolwa5198
    @hurumamgongolwa5198 8 หลายเดือนก่อน +2

    Ni kweli baba uko sahihi sana, asante mtumishi wa Mungu

    • @jovinkiboko3558
      @jovinkiboko3558 8 หลายเดือนก่อน

      Most religious scholars and historians agree with Pope Francis that the historical Jesus principally spoke a Galilean dialect of Aramaic

  • @salvatorymushi2038
    @salvatorymushi2038 8 หลายเดือนก่อน +2

    Kweli umeeleweka askofu 🙌🙌

  • @sweetlisious
    @sweetlisious 8 หลายเดือนก่อน

    Haleluyah Jina la YESU libarikiwe, litukuzwe daima milele.

    • @mohamedally5225
      @mohamedally5225 8 หลายเดือนก่อน

      Mnadanganywa mmetulia mnapiga Kofi ukristo na uyahud ni vitu viwili tofaut hata kidin na mjue Kuna utofaut ya myahudi na waizerael msidanganuwe hapo

  • @niyimpumurizamoise2256
    @niyimpumurizamoise2256 7 หลายเดือนก่อน

    Hii Head nakubali dana

  • @ziporanangolo9397
    @ziporanangolo9397 7 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe sana mchungaji

  • @user-vy6nk9jz4s
    @user-vy6nk9jz4s 7 หลายเดือนก่อน

    Barikiwa mtumishi was Mungu

  • @user-qf9ug1zz1k
    @user-qf9ug1zz1k 8 หลายเดือนก่อน

    HAPO GWAJIMA UMEZUNGUMZA UNASTAHILI PONGEZI HUO NDIO MSIMAMO WA TAIFA LILILOBARIKIWA. TAIFA TEULE LA TANZANIA

  • @hajihassan5433
    @hajihassan5433 8 หลายเดือนก่อน

    Pana mama amemuelewa sana Gwajima.

  • @jongosalehe1036
    @jongosalehe1036 8 หลายเดือนก่อน

    Congratulations 👏👏👏👏👏

  • @peterdaimon-ug6fd
    @peterdaimon-ug6fd 8 หลายเดือนก่อน +4

    Hiiiii mashine

    • @josephkaveya4284
      @josephkaveya4284 8 หลายเดือนก่อน +1

      Unaweza sana kuzungumzia mambo zungumzia bandali ya Tanzania

  • @nassoro5341
    @nassoro5341 8 หลายเดือนก่อน

    Gwajima hujui llte umezingua we ni mbwa

  • @GodloveJames
    @GodloveJames 7 หลายเดือนก่อน

    To whom be glory for ever and ever. Amen.

  • @migombaelinest3500
    @migombaelinest3500 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mtumishi unalikiwe sana umenena yaliyo sahihi.

  • @hossalemanuel1968
    @hossalemanuel1968 8 หลายเดือนก่อน +12

    Amen. Ekima ya Gwajima ndo naipenda maana nakuelewa, lakini unapopoteaga kanisani unaniboa sana

    • @isaliisu3408
      @isaliisu3408 8 หลายเดือนก่อน +2

      Lkn waambiye kwamba wakristo walioko Izrail hawazidi asilimiya2.5

    • @westmanmoses541
      @westmanmoses541 8 หลายเดือนก่อน +2

      Wapalestina wanapigwa huko hadi balaa

    • @jimmy11075
      @jimmy11075 8 หลายเดือนก่อน

      @@isaliisu3408Hujaelewa kabisa kilichoongelewa,hajasema kuwa wakristu ni wengi bali chimbuko.

    • @adkajisi4536
      @adkajisi4536 8 หลายเดือนก่อน

      @@isaliisu3408 wakristo hatuiombei Israel kwa kuwa ni wakristo sawa

    • @martinisadru9899
      @martinisadru9899 8 หลายเดือนก่อน

      ​@@isaliisu3408hata kama mkristo atakwepo 1 pale Israel, MUNGU ataambatana nae, sababu bibilia imetabili kua walio wengi! , wataingia jehanamu. Na walio wachache wataingia peponi. Kwahiyo nyie waislamu oweni wake 4, Kwa sanaaaa mzaane Kwa wingi mkizani kua mungu atawaogopa, au kuwaonea huruma.

  • @AngelPaul-jb8dt
    @AngelPaul-jb8dt 7 หลายเดือนก่อน

    Mungu akubaliki

  • @gracenyangusi6230
    @gracenyangusi6230 8 หลายเดือนก่อน +4

    HALELUYA. THANK YOU MY FATHER

    • @Gamba177
      @Gamba177 7 หลายเดือนก่อน +1

      Anafirwa huyo Gwajima

  • @mumrambagodfather1539
    @mumrambagodfather1539 8 หลายเดือนก่อน

    Ongelea yanayojiri ndani ya taifa lako achana na mashariki ya mbali, ni furaha kuona watumishi WA kuyaangalia ya nyumbani kabla ya kutoka nije ya mipaka. Barikiwa

    • @nicksonlyimo1562
      @nicksonlyimo1562 8 หลายเดือนก่อน

      Neno Lina SEMA Kila mtu asitafute faida yake Bali ya wengine ,ndio maana tunaombea watu wenye kuhitaji maombi wanao pitia mambo mazito na magumu hatuwezikuwaacha wenyewe tunayo mengi yakushirikiana na wenye tabu ktk dhiki Yao.

  • @planetanimals9547
    @planetanimals9547 8 หลายเดือนก่อน

    Ushauri wako nzuri sn

  • @rizikinicholaus8154
    @rizikinicholaus8154 8 หลายเดือนก่อน

    ubarikiwe sana kwa kutoa ushauri wenye hekima

    • @AliHamad-qy9ks
      @AliHamad-qy9ks 8 หลายเดือนก่อน

      ushauri WA hekma hapo ni upi ndugu! hapo kaendelea kupandisha chuki tu! Mungu si waarabu wala wayahudi! Mungu ni mmoja tu ambae Msingi wake ni BABA WA IMANI IBRAHIM! mbona hili GWAJIMA halisemi! analijua hili Askofu GWAJIMA muulizeni vizuri!!!

  • @Adam.k202
    @Adam.k202 8 หลายเดือนก่อน +1

    Askofu unaeleweka sana sana

  • @husseinally4932
    @husseinally4932 7 หลายเดือนก่อน

    Nawaonea huruma sana watu wanaoitwa wakristo maana walimu wao wanaujua ukweli ila wanadiriki kuwadanganya

  • @gasparlubaga5866
    @gasparlubaga5866 8 หลายเดือนก่อน

    Ni kweli kabisa, Mimi huwa nafurahi sana unaposema ukweli

  • @emmasonanjawe9042
    @emmasonanjawe9042 8 หลายเดือนก่อน

    Tumekuelewa sana

  • @DanWafula-vw9md
    @DanWafula-vw9md 8 หลายเดือนก่อน

    Napenda mahubiri yako...

  • @dicksonnussu702
    @dicksonnussu702 8 หลายเดือนก่อน

    Bwana Rashid anashusha nondo

  • @MuddyabdulazackMuddy
    @MuddyabdulazackMuddy 8 หลายเดือนก่อน

    Amini kwamba funzo yako baba gwajima

  • @JanethEmmanuelEmmanuel-qo9fq
    @JanethEmmanuelEmmanuel-qo9fq 8 หลายเดือนก่อน

    Umetumia hekima kubwa sana

  • @kakosokigassu3211
    @kakosokigassu3211 8 หลายเดือนก่อน +3

    Umeongea kitu na kinyume chake mzee.
    Eti waarabu wakipigwa waisilamu wahisi kuguswa. Lakini hata na hivo wakae kimya. Mbona hatujaona kitu kama hicho upande wa pili, eti myahudi auwawe halafu mataifa ya kikristo yakae kimya. Vita ya fikra ni hatari.
    Waisilamu wanachofahamu ni kua waja wote ni wa Mungu na mbele yake wako sawa, m'bora wao akiwa ni yule mchamungu zaidi ya wengine miongoni mwao.
    Iliyobaki hapo ni mfano wa siasa umeongea Mh. Mchungaji !

    • @nicksonlyimo1562
      @nicksonlyimo1562 8 หลายเดือนก่อน +2

      Unabisha nn? Kuna muislamu anaweza kuombea Israel mema,? Ingia kwenye comment uone ndo utajua.

    • @mgalatinojengo3663
      @mgalatinojengo3663 8 หลายเดือนก่อน

      Hakuna muislamu wala mkristo aliyeshiba dini akakosa neema,akasimama Bla pande yeyote.Tuwaache watamalizana Huru NI wakati WA kujipanga ili waje kuona umuhimu wetu.

    • @AliHamad-qy9ks
      @AliHamad-qy9ks 8 หลายเดือนก่อน

      @@nicksonlyimo1562 huna ujualo!! unashabikia chuki!! Mwambie GWAJIMA akwambie ukweli unaujua! hapo hawezi kuwambia ukweli atakosa ugali!!

    • @AliHamad-qy9ks
      @AliHamad-qy9ks 8 หลายเดือนก่อน

      @@mgalatinojengo3663 ni kweli unachosema!! anaemuogopa Mungu akiwa Muislamu au Mkristo atashabikia vita inayoendelea huko GAZA! Wakristo na Waislam wote duniani
      msingi wawo ni mmoja tu!! BABA IMANI IBRAHIM!! Tumuogepeni MUNGU!! ADHABU ya MUNGU hatuiwezi!!

    • @AliHamad-qy9ks
      @AliHamad-qy9ks 8 หลายเดือนก่อน

      Nimekusudia hatashabikia vita inayoendelea huko GAZA!!!

  • @IddyMaulidy-sp8sh
    @IddyMaulidy-sp8sh 7 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @rehemashariff3119
    @rehemashariff3119 8 หลายเดือนก่อน +1

    Ameeeeen nashangaa na hawa wanaosema Yesu hahusiki napale

    • @fahadfaraj6474
      @fahadfaraj6474 8 หลายเดือนก่อน +3

      Ushawahi waskia wayahudi juu wanamzunguzia vipi yesu? Hawa waisrael wa leo

    • @rehemashariff3119
      @rehemashariff3119 8 หลายเดือนก่อน

      @@fahadfaraj6474 hainihusu hiyo linalo ni husu Yesu kazaliwa pale akafa pale akafufuka pale ..hivi babako kawa mchawi utaumba wakwako au bado utajulikana kama alivyo kua hai?huwezi mtega kristo Yesu na israel hata sisi tanzania sio wote wanamwamini Yesu uliskia watatengwa kwa kua hawampendi Yesu tuyaache bwana wee

    • @barakalawrence742
      @barakalawrence742 8 หลายเดือนก่อน

      Hatuangalii wanachosema bali like Biblia inasema

    • @fahadfaraj6474
      @fahadfaraj6474 8 หลายเดือนก่อน +2

      @@barakalawrence742 basi ni vituko

    • @OmmyJames-xn7ji
      @OmmyJames-xn7ji 8 หลายเดือนก่อน +2

      Hawa ni agent wa wazayuni

  • @hassanbilali1697
    @hassanbilali1697 8 หลายเดือนก่อน +2

    Pasipo amani hakuna maendeleo ya kiroho kijamii wala kiuchumi.

  • @user-ck9fq7bz7w
    @user-ck9fq7bz7w 8 หลายเดือนก่อน +2

    Amen amen

  • @MalaikaFurniture-qh9vd
    @MalaikaFurniture-qh9vd 8 หลายเดือนก่อน

    Baba yangu

  • @leotv-tz
    @leotv-tz 8 หลายเดือนก่อน

    Amen,

  • @SERGESENGI-me2iq
    @SERGESENGI-me2iq 8 หลายเดือนก่อน

    Amen Amen Amen 🙏🙏🙏

  • @deusdedithhenry1524
    @deusdedithhenry1524 8 หลายเดือนก่อน

    Uache kudanganya. Soma vizuri upate maarifa

  • @EzekielTv49
    @EzekielTv49 8 หลายเดือนก่อน +4

    Gwajima kawa muoga afurahishe watu kwa sababu ya siasa,,anatafuta balance kwa wananchi,,,...me namshauri aache uoga sababu giza haichangamani na nuru....
    Siungi mkono namna yake ya kubalance sababu huyu Gwajima anajua vizuri sana waislamu wanaabudu mashetani ila siasa ndo inamtoa kwenye reli

    • @servantofalmightygoddranth2511
      @servantofalmightygoddranth2511 8 หลายเดือนก่อน +2

      KWELIKWELI kabisa yaani waislamu ni waabudu mashetani haina haja yakutumia madhabahu ya JEHOVAH MUNGU ALIE HAI KIWATAJA

    • @servantofalmightygoddranth2511
      @servantofalmightygoddranth2511 8 หลายเดือนก่อน

      KWELI KABISA yaani kutumia madhabahu ya YESU KRISTO ALIE HAI kwataka hawa waislamu wanaosema ukiiua mu ISRAEL au Mkristo unaenda kupata bikra saba mbinguni ni suala lisilokubalika kuwataja madhabahuni hawa ni waabudu shetani

    • @EzekielTv49
      @EzekielTv49 8 หลายเดือนก่อน

      @@servantofalmightygoddranth2511 yan Gwajima siasa ndo inamtoa kwenye njia ya kweli anaanza kutaka kubalance giza na nuru,,,kwa maana hiyo napata wasiwasi kama anaweza kumuhubiria muislamu amuamini YESU...kwa sababu atataka amridhishe kuwa muislamu yupo sahihi wakati haipo hivyo na anajua tena kwa mahubiri ambayo amewahi kuyatoa yeye mwenyewe....
      Kwanza hayo maneno aliyoyasema yapo kwenye Biblia namshangaa,,ni kitabu gani!!na hata kama yapo Biblia inamaanisha kwa Mungu yupi na Quran Mungu yupi...Gwajima aache uoga

    • @EzekielTv49
      @EzekielTv49 8 หลายเดือนก่อน

      @@servantofalmightygoddranth2511 Kwanza ni makosa sana kufananisha maneno ya Mungu wa kweli na mungu wa uongo,,,,yan kusema maneno ya Biblia yanafanana na ya quran hiyo ni kumaanisha Jehovah ametudanganya katika vitabu vya Biblia,,,hakuna mfanano wowote wa Biblia na quran,,na me nasema hivi kwa ushahidi wangu binafsi sababu nasoma Biblia na quran pia,,, Yesu kristo ndiye njia ya uzima na kweli,

    • @shavasjohnkay-cw8lg
      @shavasjohnkay-cw8lg 8 หลายเดือนก่อน

      Una akili kidogo mpaka umegundua amebalance!
      Hongera in us mejitahidi

  • @happinessrobert2470
    @happinessrobert2470 8 หลายเดือนก่อน +4

    You are genius Daddy 👍

    • @jovinkiboko3558
      @jovinkiboko3558 8 หลายเดือนก่อน

      Uongo mtupu. Yesu HAKUA ANAONGEA KIEBRANIA. Most religious scholars and historians agree with Pope Francis that the historical Jesus principally spoke a Galilean dialect of Aramaic

  • @angelique10
    @angelique10 8 หลายเดือนก่อน

    Hekima 😊😊

  • @ChristmasMaheri
    @ChristmasMaheri 7 หลายเดือนก่อน

    Tanzania need to be fair and impartial with respect to events in the world as well as maintaining freedom and love of the people.

  • @RamadhaniJumanne-ox3pr
    @RamadhaniJumanne-ox3pr 8 หลายเดือนก่อน +2

    When injustice becomes a law, then Resistance becomes a Duty.

  • @user-fm5md9xn5g
    @user-fm5md9xn5g 8 หลายเดือนก่อน +1

    🎉tonge nyama

  • @yusuphkimaro428
    @yusuphkimaro428 8 หลายเดือนก่อน +2

    HEKIMA ya uzima asee

  • @user-xt4mi5zs2s
    @user-xt4mi5zs2s 7 หลายเดือนก่อน

    Hawo walishalaniw na mungu na wala sio kuremba msifiche ukweli na vitabu vya kale vinazungumza ukweli wote

  • @benny950
    @benny950 8 หลายเดือนก่อน

    Hekima❤

  • @geraldsenkondo4334
    @geraldsenkondo4334 8 หลายเดือนก่อน +1

    Nemependa hili hekima" hatuwezi kubadilisha hatima ya mashariki yaki" Ni MUNGU pekee anajua

  • @rainerynchimbi5424
    @rainerynchimbi5424 8 หลายเดือนก่อน

    Nice

  • @neemaprecious2308
    @neemaprecious2308 8 หลายเดือนก่อน

    Aamen 🙏🙏🙏

  • @berthatz
    @berthatz 8 หลายเดือนก่อน +1

    Toa ushauri kuhusu bandari na uonevu wa kunyang’anya adrhi Tanzania…Israel haituhusu

  • @hamadsaburi3569
    @hamadsaburi3569 8 หลายเดือนก่อน +1

    Acha kudanganya watu mayahudi hawa muamini yesu

    • @godfreydavid6847
      @godfreydavid6847 หลายเดือนก่อน

      Yah hawaamini Kama alikuja Ila wanaamini Kama atakuja....Maaana kwenye Torati ilitabiriwa kuwa atakuja

  • @kennedyonyina6790
    @kennedyonyina6790 7 หลายเดือนก่อน

    Amani

  • @deusdedithhenry1524
    @deusdedithhenry1524 8 หลายเดือนก่อน

    Sema mnataka kuifanya iwe ya kidini. Mimi ni mkristo

  • @luckysanga4554
    @luckysanga4554 8 หลายเดือนก่อน +1

    Well said

  • @AliHamad-qy9ks
    @AliHamad-qy9ks 8 หลายเดือนก่อน

    Mila za Wakristo mzizi wake ni BABA WA IMANI IBRAHIM!!! Vile vile Mila za Waislam mzizi wake ni BABA WA IMANI IBRAHIM!! hii inamaana mzizi dini ya wakristo na Waislam ni mmoja tu ambae Msingi wake ni BABA WA IMANI IBRAHIM!!

  • @daboy_255
    @daboy_255 8 หลายเดือนก่อน +3

    Historia ya UISLAMU haujui gwajima .. manabii wote wa mungu walikua waislamu ..kuanzia nabii adamu ,ibrahim mpaka huyo yesu Hadi mtume Muhammad... UISLAMU haujaanza Kwa Muhammad .. Muhammad ameukuta UISLAMU ila yeye kaueneza Dunia nzima..

    • @rahmaabdallah4514
      @rahmaabdallah4514 8 หลายเดือนก่อน

      Uko sahihi kabisa

    • @dfixmoblab
      @dfixmoblab 8 หลายเดือนก่อน +1

      Adam alikuwa muislam au mkristo mwaka gani?weka vifungu

    • @emmadora7848
      @emmadora7848 8 หลายเดือนก่อน +1

      Acha uongo wewe, uisilamu umekuja Miaka 600 na baada ya ukristo na ulikuta Wakristo wapo .

    • @gloriamichael7935
      @gloriamichael7935 7 หลายเดือนก่อน

      ​@@emmadora7848 hapo chacha 😷 mtume mdogo kuwepo kbl ya mwenzake napita tu

    • @godfreydavid6847
      @godfreydavid6847 หลายเดือนก่อน

      Adhana ya Adam please!! Ilikuaje

  • @elililiausiri9565
    @elililiausiri9565 8 หลายเดือนก่อน +1

    Excellent advise at this particular moment in time

    • @jovinkiboko3558
      @jovinkiboko3558 8 หลายเดือนก่อน

      Yesu aliongea ARAMAIC language , not in Hebrew language

    • @jovinkiboko3558
      @jovinkiboko3558 8 หลายเดือนก่อน +1

      Most religious scholars and historians agree with Pope Francis that the historical Jesus principally spoke a Galilean dialect of Aramaic

    • @NgengeMkeni-uo5hq
      @NgengeMkeni-uo5hq 8 หลายเดือนก่อน

      @@jovinkiboko3558 Sahihi, Aramaic ndio lugha iloyokuwa ikiongelewa Galilaya sehemu alipokulia Yesu.

    • @AliHamad-qy9ks
      @AliHamad-qy9ks 8 หลายเดือนก่อน

      No excellent advise there! my brother!!tatizo tumetawaliwa kifkra na watu ambao si wakristo wala waislam!! lengo kujinuifaisha matumbo Yao!! GWAJIMA anatakiwa aseme msingi WA kikristo na waislam ni mmoja! Baba IMANI IBRAHIM!!!

    • @AliHamad-qy9ks
      @AliHamad-qy9ks 8 หลายเดือนก่อน

      Brother! Inasikitisha Sana na inatia uchungu Sana! Msingi WA kristo na Waislam ni kumuabudi MUNGU! Huyu YESSU ambae Leo wakristo wanamlilia ndo huyo huyo ambae WAISLAMU WA wanamlilia pia! kwa nini Akina GWAJIMA na wanzake wasiutafute ukweli huu! Uislamu Sio uarabu brother! Mumepotoshwa!!! Amkeni!! utakuja mbele ya MUNGU hauna kitu! MUFLISS na Moto ndo utakuwa chakula chako!!

  • @pastorkennyaga
    @pastorkennyaga 8 หลายเดือนก่อน

    Kwa nini unasema atarudi mara ya tatu mbali sio mara ya pili?

  • @daboy_255
    @daboy_255 8 หลายเดือนก่อน

    Alafu myahudi sio mkristo Wala mkristo siyo myahudi na Imani yao ni tofauti

    • @mossyfimbo3577
      @mossyfimbo3577 8 หลายเดือนก่อน

      Kijana sikiliza hakuna ukristo ni wafuasi wa Kristo Yesu anaitwa Yesu Kristo ni wafuasi wa Kristo wa Bwana wetu Yesu Kristo funguka

    • @edwardmichael3173
      @edwardmichael3173 8 หลายเดือนก่อน

      Ww unaamini warabu wote ni waislam???

  • @FiniasEnock-uv7lo
    @FiniasEnock-uv7lo 2 หลายเดือนก่อน

    Umesema ukweli kiongozi ukweli sana mimi ni muislam nimekubali ushauri wako mtumishi wewe si mtumishi tu bali ni kiongozi mkubwa wa taifa la Tanzania.
    Nimesoma taatifa nyingi juu ya Israel kulipiza kisasi naona huko mtandaoni watu tayari wameshaanza kujadili udini na kubezana kidini. Hii ni hatari sana kwa hili taifa changa.

  • @rosebaraka8406
    @rosebaraka8406 7 หลายเดือนก่อน

    Hajaficha ukweli anajua anachokilenga. Hata kama wayahudi hawamwamini Yesu lakini huwezi kutaja ukristo bila kutaja uebrania.

  • @mamlomamlo9064
    @mamlomamlo9064 8 หลายเดือนก่อน

    Uislamu na uarabu ni tofauti uislamu ni kwa watu wote dunia nzima ukiristo usha expire sio muda wake yesu kaja kwa wesraeli tu sio nyei

    • @onesmokamgisha9580
      @onesmokamgisha9580 8 หลายเดือนก่อน

      WEWW ZWAZWA TU KURUAN YENYEWE IMEANDKWA MUHAMAD NI MWALABU NA AMEKUJA KWA AJILI YA WATU WA MAKKA WAAFRKA TUNASHABIKIA MIUNGU YA WATU TU SAWA NA LEO UWE MFUASI WA DINI YA WAHIDI WALE WAABUDU NGO'MBE

  • @joshuakimario1528
    @joshuakimario1528 8 หลายเดือนก่อน +3

  • @dadamuebrania1539
    @dadamuebrania1539 8 หลายเดือนก่อน

    Shalom Israel shalom Jerusalem 🤲🤲🤲 Ee Bwana Yesu ninaomba jina langu liwepo ktk kitabu cha Uzima 🤲🤲🤲 Mapenzi yake Mola wetu Mlezi yetendeke huko Israel 😢😢

    • @BinHakim
      @BinHakim 8 หลายเดือนก่อน

      Asikudanganye mtu Israeli Wakristo wapo na makanisa yapo....wakristo wapo adi Saud Arabia watashindwa kuwepo Israel

  • @yozayaperudi9072
    @yozayaperudi9072 8 หลายเดือนก่อน +2

    Niliandika hili jambo facebook, leo nalisikia Kwa Mtumishi Gwajima. Kweli Roho ni mmoja anaongea kwa wotè jambo moja.