Sakata la Bandari Halima Mdee na Spika waonyeshana Makali kwa vifungu / ''Hembu Nieleweshe''

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 9 มิ.ย. 2023
  • MCHUANO MKALI HALIMA MDEE NA SPIKA DKT. TULIA "LEO LAZIMA TUELEWANE"
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA Ngasa Online Tv
    ⚫️ Email: ngasamedia@gmail.com / WhatsApp 0716909567 / Call 0716909567
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: / playlist
    list=PLSzTdjtfFZV4x9eEn8XKjtHMqu5fkevjb
    ⚫️ BUNGENI DODOMA: / watch
    v=0tOC0Qdxizc&list=PLSzTdjtfFZV6DoniR7GGw1_I0dWOzx01B
    ⚫️ SIASA : • Video
    Channel pekee inayokuwezesha kupata Habari za Kisiasa,Michezo, Kijamii, na Burudani kutoka Ndani na Nje ya Tanzania. Kama unahitaji kufanya Matangazo au Habari yoyote ya KIJAMII Tafadhali wasiliana na Sisi Kupitia 0716909567 Tunawapa kipaumbele kwa waliopo Dodoma
    ngasamedia@gmail.com
    WhatsApp: +255 716909567
    Call us : +255 716909567
    thank you for watching this video ,please leave a like if you enjoyed the video & Subscribe for more video.
    #sensa #jitokezekuhesabiwa #ngasatv

ความคิดเห็น • 362

  • @JospathMgandila
    @JospathMgandila 10 หลายเดือนก่อน +2

    Halima mdee nakubali sana maoni yako nakupenda pia sana mungu akulinde

  • @bai-shuufaulo5625
    @bai-shuufaulo5625 ปีที่แล้ว +5

    Halima jipe moyo Mungu mwenyewe atakupigania never give up mom

  • @neemanziku5403
    @neemanziku5403 ปีที่แล้ว +5

    Safi Sana halima,usiogope Mungu Yuko pamoja nawe,tetea Tanzania

  • @dr.jairosn.hiliza3332
    @dr.jairosn.hiliza3332 ปีที่แล้ว +5

    Halima Mdee yuko vizuri! Hawataki kumsikiliza tu

  • @samirazuberi186
    @samirazuberi186 ปีที่แล้ว +8

    Huyu turia hataki kumsikiliza mdee sababu anajua kuwa mdee anaongea Pont

  • @raymondijacoboo
    @raymondijacoboo 11 หลายเดือนก่อน +2

    Muheshimiwa Halima mdee mungu akubarik sana unajitaidi kutetea wa Tanzania lakini wanakunyima kutetea ila mungu akuongoze naamini iko siku mungu atafuta wanyonge machozi

  • @helenamasinjisa1217
    @helenamasinjisa1217 ปีที่แล้ว +2

    Mungu akulinde HALIMA ila ninyi mnaoshangilia Mungu wa mbinguni atawajibu. Hatutaki bandari yetu

  • @paschaziaalobati9946
    @paschaziaalobati9946 ปีที่แล้ว +9

    Tunaomba vifungu vya Sheria visomwe kwa kiswahili maana majadiliano ni kwa ajili ya kuelimisha watanzania wote asilimia kubwa hawajui kingeleza lugha yetu ni kiswahili

  • @obedwilson
    @obedwilson ปีที่แล้ว +2

    Mungu wangu hii nchi yangu inaviongozi wa hovyo Sana yaani wapo tayari kutaifisha mali ya wananchi tena bila woga Wala hofu ya Mungu,naona hapa kunachama Cha watu wachache wanaotaka kunufaika.

  • @yassinmatika2736
    @yassinmatika2736 ปีที่แล้ว +2

    sehemu ya bandari ni sehemu muhimu sana katika nchi. kwa mahoni yangu mimi kwa kuchangia kuhusu bandari wasipewe wawekezaji wapewe Jeshi LA nchi hiyo ni sehemu muhimu katika nchi

  • @clememallya4257
    @clememallya4257 ปีที่แล้ว +8

    Kweli Halima umeona mbele wape ukweli wao usiogope mwanangu nakupongeza❤

  • @emmanuelbusuti8800
    @emmanuelbusuti8800 ปีที่แล้ว +1

    Hii imekaa vizuri

  • @amosepimack399
    @amosepimack399 ปีที่แล้ว +2

    Tito 1:
    7 Kwa kuwa mwangalizi anaisimamia nyumba ya Mungu, hana budi kuwa mtu asiye na lawama, asiwe mbabe, asiwe mwepesi wa hasira, asiwe mlevi, asiwe mkorofi, asiwe mwenye kutafuta faida.
    8 Badala yake, ni lazima awe mkaribishaji-wageni, anayependa mema, mwenye kiasi, mwadilifu, mtakatifu na mwenye nidhamu.
    9 Ni lazima ashike kwa uthabiti ujumbe wa kuaminiwa kama inavyofundishwa, ili aweze kuwatia moyo wengine kwa mafundisho yenye uzima na kuwakana wale wanaopinga.
    10 Kwa maana wako waasi wengi, wamejaa maneno yasiyo na maana na udanganyifu, hasa wale wa kundi la tohara.
    11 Ni lazima wanyamazishwe, kwa sababu wanavuruga watu wa nyumba nzima kwa kufundisha mambo ambayo hawapaswi kufundisha-na hivyo kwa ajili ya kupata faida isiyo ya haki.
    12 Mmoja wa manabii wa Krete mwenyewe alisema: “Wakrete ni waongo sikuzote, ni wakorofi, walafi wavivu.”
    13 Usemi huu ni kweli. Kwa hiyo uwakemee kwa ukali, ili wawe wazima katika imani
    14 na hatazingatia hadithi za Kiyahudi au amri za kibinadamu za wale wanaoikataa kweli.

  • @linusmwalongomikaeli-uk5zj
    @linusmwalongomikaeli-uk5zj 11 หลายเดือนก่อน +1

    Halim mdee strong

  • @user-pp9cf2wi8z
    @user-pp9cf2wi8z 10 หลายเดือนก่อน

    Dada halima mungu akujarie uendelee na ujasli wako

  • @FestoMsabila-xd1hq
    @FestoMsabila-xd1hq ปีที่แล้ว

    Fanya kazi zako mh raisi kuna watu walifanya vitu vya ovywo Leo unataka kuiletea mafanikio mchi watu wanachonga zuli lipi mama fanya kazi zako asietaka ahamie congo

  • @JohnGerson-km3oj
    @JohnGerson-km3oj ปีที่แล้ว +3

    Jamani watanzania wenzangu naomba mikataba yote ya Tanzania iwe ya kiswahili kwa sababu sisi sote tunaongea kiswahili

  • @irenemwamfupe8994
    @irenemwamfupe8994 ปีที่แล้ว +2

    Dah Halima nimekuelewa sana leo

  • @AngelMbwambo-ro8xs
    @AngelMbwambo-ro8xs ปีที่แล้ว +1

    Dada Halima uko vizuri tetea nchi yako

  • @user-xh3iu6qd7g
    @user-xh3iu6qd7g 10 หลายเดือนก่อน

    Pambana dada God bless you wao hawajui

  • @fredrickmwakalinga6390
    @fredrickmwakalinga6390 ปีที่แล้ว +2

    Tulia hastaili kuwa spika ktk nchi zinazofwata sheria na hofu ya mungu hafai htakuwa balozi wa nyumba kumi

  • @usembiphonedar5632
    @usembiphonedar5632 7 หลายเดือนก่อน

    Bunge na spika wa hovyo sana kuwahi kutokea katika Nchi hii tangu kupatikana uhuru wa Taifa hili! Taarifa zimezidi machawa wanatetea mkataba na wizi unaoenda kufanyika kupitia mkataba huu! Wananchi hatuutaki! IGA ifutwe!

  • @yusuphdaniel847
    @yusuphdaniel847 11 หลายเดือนก่อน +3

    Dada halima mungu ajibu maombi yako kwaajil ya nchi yetu nakupenda pia mamy

  • @AloisMosha-uv2fu
    @AloisMosha-uv2fu 9 หลายเดือนก่อน

    Wewe mama spika mungu anakuona usiangalie makofi haoniwspambe

  • @mwangosikennedy9643
    @mwangosikennedy9643 ปีที่แล้ว +7

    Spika na baadhi ya viongozi wenzake ni wezi tu, wanashindwa kutetea maslahi ya nchi

  • @user-jh1hd3gh9m
    @user-jh1hd3gh9m 10 หลายเดือนก่อน

    We Mungu kwann magufuri ulimpenda zaidi

  • @Nyalafu
    @Nyalafu ปีที่แล้ว +2

    nami nina njema,ni lini tutapata wawekezaji wakuwekeza tupate maji Nchi nzima kisha serikali iwe inawalipa wawekezaji kwa awamu.

  • @bonabonala5559
    @bonabonala5559 10 หลายเดือนก่อน +1

    hiyo nayo nitaarifa au we dada wa ccm baasha ya bandari inakusutata utakufa mapema ukiwa kitini we mama wa taarifa ya ujinga mwache mwamba msariti mdee aongee

  • @EmanueliLugawa
    @EmanueliLugawa หลายเดือนก่อน

    Yani wew dada atar sana nakukubali

  • @saidPeace-xq1ld
    @saidPeace-xq1ld ปีที่แล้ว +2

    Kweli maneno ya ndugai ndio yanakwenda kujulikana japo mwanzo wapumbafu sawa na yeye walihisi anaitaji uraisi kumbe sio Leo tutamuelewa

  • @HanifaBruno-lv1qf
    @HanifaBruno-lv1qf 19 วันที่ผ่านมา

    Nakupendaga halima

  • @salamamohamed843
    @salamamohamed843 ปีที่แล้ว +1

    Nakukubali Halima una jiamini Moja basi

  • @thomasmwambuba680
    @thomasmwambuba680 ปีที่แล้ว +1

    Kichwa kimoja tu bunge zima hoi..

  • @florinehezron4593
    @florinehezron4593 ปีที่แล้ว +2

    Dahh 😄 💔 😢 hiii nchi kuna watu watachomwa moto sana

  • @user-eg9jq5ny3n
    @user-eg9jq5ny3n 10 หลายเดือนก่อน

    Wewespikapimbiunabishanakupotoshawatanzaniaunamasilahiweweeee😁😊😊😊

  • @mimiraia2531
    @mimiraia2531 ปีที่แล้ว +1

    Mungu walaani wote wanaouza nchi yetu. Waangamize kabisa kabisa

  • @monicagabriel4388
    @monicagabriel4388 10 หลายเดือนก่อน

    Kizuri chajiuza kibaya chajitembeza mkataba ni mbovu unajitembeza serikali imeshindwa kutoa ajira kwa wasomi iweje mnataka kuelisha wananchi juu ya mkataba, kuna watanzania wanyonge walioko pembezoni mwa jamii wanapaaza Sauti zaoi kwamba Bandari ni Moyo wa nchi.moyo ukifeli kifo hutokea Mungu ibariki Tanzania Tudumiahe amani ,upendo na mshikamano.

  • @DonPrince11
    @DonPrince11 11 หลายเดือนก่อน

    Amazing

  • @barakalonare1422
    @barakalonare1422 ปีที่แล้ว +2

    Hii ccm inaangalia msilahi yao na sio wananchi

  • @POULSHIJA
    @POULSHIJA ปีที่แล้ว +1

    Tuacheni zuluma viongozi tuogope moto wa mwenezi mungu utawala sana mengine msiyo yaweza msilazimishe watanzania na watoto wetu kiunoni wanakosa amani kwa mkataba huu nimchafu uacheni siolazima uwepo

  • @jamesmwita2995
    @jamesmwita2995 ปีที่แล้ว +3

    Yani nchi hii mtu akiwa kiongozi basi anaona anamiliki eneo, watu na mawazo yao yote ,,,unakuta kikundi cha watu wachache wanaiharibu nchi kwa kujiona wamesoma wanaakiri sana kuliko watu wengine,,mwisho wa siku nchi inaingia matatizoni kwa sababu ya masirahi yao

  • @Crara-nw4ll
    @Crara-nw4ll 11 หลายเดือนก่อน

    hongera dd harima maana unautabili wa mbere

  • @user-pt6yp9pv3u
    @user-pt6yp9pv3u 10 หลายเดือนก่อน

    Kweli kabisaa

  • @raymondijacoboo
    @raymondijacoboo 10 หลายเดือนก่อน

    Raiss makofuli ametuacha saivi shidatupu mwenyenguvu mpishe mnyonge muite mungu

  • @user-cs5oe5iq1n
    @user-cs5oe5iq1n 4 หลายเดือนก่อน

    Sana❤

  • @rirowandiba8194
    @rirowandiba8194 ปีที่แล้ว +1

    Mungu kulinde dada

  • @omanmwajabumbeguoman8642
    @omanmwajabumbeguoman8642 ปีที่แล้ว

    Safi sana alima🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤

  • @YaGa60
    @YaGa60 10 หลายเดือนก่อน +1

    Dah halima mdee hapewi hadi nafasi vizuli ya kuongea

  • @omanbarka1588
    @omanbarka1588 11 หลายเดือนก่อน

    Kumbe mlobishana Sana hapo bungeni Halina mdee alikuwa sahiii hakuwa na mda wakutoha kutufafanulia baada ya hayo mabishano mkaanguka saini kwenye mkataba wa hovyo😮haya sasa tunaanza na spika tulia via Joho letu kapumzike na Bunge wenzio watafuata

  • @user-nt1ky7dw4k
    @user-nt1ky7dw4k 10 หลายเดือนก่อน

    Nadhani kama tungefuata maono ya marehemu John Joseph Pombe Magufuri wabunge wasingekuwa wanapuuzia michango ya harima mdee nadhani Tanzania bila ccm inawezekana tuendelee kupambana Kwa masurahi ya vizazi vijavyo

  • @erickalfred4250
    @erickalfred4250 ปีที่แล้ว +1

    Halima uko vizuri,

  • @MichaleMwakyambiki-pq4co
    @MichaleMwakyambiki-pq4co ปีที่แล้ว +3

    Bungee la ndioo!!!

  • @nefertitibelinda1146
    @nefertitibelinda1146 ปีที่แล้ว +2

    WABUNGE HAWA NI HOVYOOOOO MNOOOO
    Shule hawasomi wanafuata uchawa kama makondoo.
    Halima unapoteza pumzi yako bure hawaelewi hata kitu kimoja .... 😢
    Hasara kubwa MNOOOO kuwa mtanganyika baada ya JPM hamuoni hata haya wewe Ackson unasikitisha unatia hasira na kuaibisha wanawake...

  • @MakulandMaku-vu4tm
    @MakulandMaku-vu4tm ปีที่แล้ว +2

    Baadhi ya wabunge ni vilaza

  • @MenAbdy-ct1iz
    @MenAbdy-ct1iz 11 หลายเดือนก่อน

    Poleen

  • @MishiPapalan
    @MishiPapalan ปีที่แล้ว +1

    Tanzania inahitaji maombe makubwa hapo ndipo atapo kumbukwa magufuli maisha mungu amlehemu

  • @user-ny9jt9uu7z
    @user-ny9jt9uu7z 11 หลายเดือนก่อน

    Mdee anaongea point sn sema hapoo spk bunge anajua mdee anafafanua utumbo wao hivyoo inambidi spk amkatishe kimtindoo ili wananchi wasielew kinachoendelea .....kwan hayoo ni masah yao binafs na c ya nch ....mwarabu kwao pakame jagwa leo hii wapewe bandar c watafyeka msitu ili tuwe kama uko kwao...fungukeni kiakili mnaharibu nch na huo ndioo ukwel....mbona Dr gwajima atukusikiii au ndioo unaogopa cz upoo kweny hicho chmasa

  • @herrymashaka7387
    @herrymashaka7387 11 หลายเดือนก่อน

    Mnauza bandari hiyo Kwa warabu nyinyi ccm mmezoeya kusaidiana tarifa nyingi mafisadi nyinyi mmezoeya kula vyauma hatuna Imani na nyinyi Kwa Hilo

  • @mahamba-35
    @mahamba-35 ปีที่แล้ว

    Kabisaaaaa

  • @genovevaoisso2904
    @genovevaoisso2904 ปีที่แล้ว

    Mungu.tusaidie.ata.sisi.wanachi.iko.siku.tuta.saini.mkataba.tuekezwe..Dubai.shusheni.basis.vyakula.bey.mbona.mnaeka.waekezaji.na.maisha.magumu.tunayo.wanachi.halima.yuko.sayii.mtaingia.mkataba.mwishowe.mtauza.bandari.

  • @KishaKisha-ux4ul
    @KishaKisha-ux4ul 10 หลายเดือนก่อน

    Halima umeongea ukweli kabisaaa. Kama mkataba huu ni mzuri mbona Zanzibar haipo kwenye mkataba?

  • @chazzkayoka9205
    @chazzkayoka9205 ปีที่แล้ว +1

    lengo la watoa taarifa ni kupunguza muda wa mzungumzaji

  • @HerenaMasala-mc8nf
    @HerenaMasala-mc8nf ปีที่แล้ว

    Hizo taarifa zinakera ebu acheni halima aongee Jamani

  • @lewisleonard9886
    @lewisleonard9886 10 หลายเดือนก่อน

    Spika hajamtendea haki mh. Halima Mdee alikua hampi nafasi ya kutoa maelezo

  • @POULSHIJA
    @POULSHIJA ปีที่แล้ว +1

    Hatukubali watanzania mkataba huo nimbovu sana

  • @clememallya4257
    @clememallya4257 ปีที่แล้ว +2

    Halima Mdee hongera mi nakuunga mkono, waachane na hao waarabu wanakuja kuzoa dhabu zetu. Sisi tunakufa madkini kwa nini mnampa bandari achukue mashamba aoteshe karafuu huko Zanzibar.
    Spika mwache halima atoe hoja unamsumbua sn na taarifa zako

  • @StakiwiJongo-kj1ck
    @StakiwiJongo-kj1ck ปีที่แล้ว +2

    Wazalendo wa inchi yetu ndio wote wamekufa au mbona sielew

  • @HarunaAme-ni4yh
    @HarunaAme-ni4yh ปีที่แล้ว +1

    Bunge lijitihadihi kutumia kiswahili sanifu maana wanatumia English kwenye ibara za vifungu watanzania wengi hatuelewi

  • @user-ul7nf1yp8l
    @user-ul7nf1yp8l ปีที่แล้ว

    Niwazi kwamba tanzania tunaitaji kutawaliwatena. Bandari ya dsm n miongon mwa mifereji ya uchumi tz kwann wabunge mnakubari iwe chin ya waarabu? WATANZANIA tumeingiriwa.

  • @nedkatunge5702
    @nedkatunge5702 ปีที่แล้ว

    Jamani tulia rudisheni hel za watu rynawasubiri 2025 kwenye saduku la kura sijui mtapita wapi labda wizi kura mlivyozoea

  • @misheckkaniki384
    @misheckkaniki384 ปีที่แล้ว

    Kweli

  • @user-uz5fl1nu8y
    @user-uz5fl1nu8y 11 หลายเดือนก่อน

    Dada mungu akulinde

  • @filbertkambi7564
    @filbertkambi7564 10 หลายเดือนก่อน

    Halima Mdee ni hazina yetu watanganyika,hata kama Chagadema hawataki akae bungeni mbwa hao

  • @Jal210
    @Jal210 10 หลายเดือนก่อน

    Mdee hana adabu spika muadabisheni huyo anaona sisi wote tuliyopo hapa Tanzania hatuna heshima na adabu

  • @saimonmizingo7485
    @saimonmizingo7485 10 หลายเดือนก่อน

    Halima unajitahidi sana anakubana kwenye vifungu tu lakin kwa uelewa wangu mdogo hata ambaye hajasoma hawezi kushindwa kuelewa kuwa ni hatar inayokuja mbele kama alivyoongea halima kuwa anaona mbele kweli kabisa hata ambao hatujasoma tunaona ni hatar speak unapindisha sana

  • @michaelmkwande2130
    @michaelmkwande2130 ปีที่แล้ว

    Hongera sana dada pambana nao tunauzwa

  • @saidi4024
    @saidi4024 10 หลายเดือนก่อน

    kweli

  • @user-de1oo6ov6y
    @user-de1oo6ov6y ปีที่แล้ว

    Mnyonge mnyongeni Haki yake mpeni ....leo halima kaongea vizuri mnoo

  • @dicksonkilupa2258
    @dicksonkilupa2258 ปีที่แล้ว

    MUNGU AKUTUNZE HALIMA MDEE WEWE NI JESHI JAPO UNASONGWA NA MAJITU YA KUTISHA

  • @elizaberthbenard6413
    @elizaberthbenard6413 ปีที่แล้ว

    Umekosa tu sapota nakusikiliza mama majambaz yamekuzunguka yanatetea matumbo yao mungu pekee anatosha yupamoja nawe hawez be kukuacha ushindwe

  • @Isynick
    @Isynick ปีที่แล้ว

    Tatizo la mtu anaejua sheria akiamua anaitumia sheria kuwa malaika na akiamua anaitumia sheria kuwa shetani. 🤦

  • @emanuelmathayo7536
    @emanuelmathayo7536 ปีที่แล้ว +1

    Nyie lambaneni ila vita ikija ndo mtajua nan alikua sahii yetu😳

  • @bai-shuufaulo5625
    @bai-shuufaulo5625 ปีที่แล้ว

    Jamani ivi mnajua mikataba ilivyo na nguvu meosho wa siku tutakuja kuwa pabaya Kwan bandari hiyo haiwezi kuendeshwa na WATANZANIA Kama vip liachie jeshi liongoze e Mungu unaetusikia katika hili simama Tena nyoosha mkono wako dada unaongea point God akuongezeee protection ya maana pia huo mkatabaa ni hapanaaa jaman

  • @johnsonjohn5880
    @johnsonjohn5880 9 หลายเดือนก่อน

    tumewachagua mtuwakulishe ila mnafanya kinyume, katika huu mjadala ninaona uchama na sio uzarendo ccm wanaunga mkono na kushangilia wanaacha kuweka uzalendo wanaleta uchama ndani ya mambo muhimu kama hayo, mtu anachangia mnakazi yakuleta taarifa, mhe. spika unaingilia uchangiaji wa mhe mdee ukidai unamlindia muda af umeona nondo zinapanda unamchinjia baharini aisee, ila cheo ni dhamana
    acheni u ccm na uchadema hili sio jambo la chama chochote bali ni la kitaifa.

  • @FlysonMgimwa-gl4ws
    @FlysonMgimwa-gl4ws ปีที่แล้ว

    Ila kweli

  • @majaliwakulanga3806
    @majaliwakulanga3806 ปีที่แล้ว +1

    Dada pongezi kwako

  • @user-eo3zv9vm6c
    @user-eo3zv9vm6c ปีที่แล้ว +2

    Taarifa zimezidi ni unafiki mtupu acheni mbunge achangie hoja yake

  • @user-yv9hy7ek5k
    @user-yv9hy7ek5k 11 หลายเดือนก่อน

    😢

  • @philiponchimbi123
    @philiponchimbi123 10 หลายเดือนก่อน

    Ndugai alisema nchi itauzwa nasasa tumeanza kuona sehemu ya nchi ikijadiliwa

  • @GloriaSwai-ny4cf
    @GloriaSwai-ny4cf 11 หลายเดือนก่อน

    MUNGU Turinde Nauwaongoze Viongozi Wetu

  • @KishaKisha-ux4ul
    @KishaKisha-ux4ul 10 หลายเดือนก่อน

    Halima umeongea ukweli kabisaa. Hao wabunge wanaongea kitu wasichokijua. Wanatetea ujinga kabisaaa . Safi Sanaa Halima wanazunguka Nini? Wakati wanajua ukweli. Halima unaona mbele sanaaa ni kweli kabisaaa. Serikali kwa Nini walikwenda Dubai kimya kimya? Si wanajua kuwa Kuna kitu ambacho sio kizuri.

  • @florencemwanansao834
    @florencemwanansao834 ปีที่แล้ว +2

    Ipo siku tutaandamana watanzania ndo mjue hatupendi huo ujinga wenu. Saivi mnatuona kondoo ipo siku tutakua nyoka

    • @salehesalehe2967
      @salehesalehe2967 ปีที่แล้ว

      Andamana mwenyewe

    • @ashakassim8572
      @ashakassim8572 ปีที่แล้ว +1

      Mi nashangaa watanzania kwenye ukwel tunaogopa kusema nawakubal wakenya hawachelew kuandamana

  • @zablonjames7798
    @zablonjames7798 11 หลายเดือนก่อน

    Mm nikiwa mtanzania halisi hii nchi inaendesha kimabafu ukiongea ukweli waonekana m baya HALIMA mwenyezi MUNGU Yu pamoja nawe

  • @user-bz7mp8ri1m
    @user-bz7mp8ri1m 10 หลายเดือนก่อน

    Mungu Yu pamoja nawe dada alima achana na viongozi wasio na akili timamu

  • @user-gv2of1yq9d
    @user-gv2of1yq9d ปีที่แล้ว

    Pamoja sana

  • @user-qi2ug3dj5b
    @user-qi2ug3dj5b ปีที่แล้ว +3

    😢kwa Nini wa heshimiwa, mnatuacha njia panda, sasa kwa taarifa yenu sisi ndo watanzania halali. Acheni kubishana, maisha yaendelee, asanteni

  • @allyngogomi8611
    @allyngogomi8611 ปีที่แล้ว

    Hawa viongozi wetu wa CCM baadhi Yao alio wengi niwanafiki wakibwa

  • @PaulKatoto-ds2yi
    @PaulKatoto-ds2yi ปีที่แล้ว

    😊😊😊😊😊😊😊😊

  • @CHARLESKIM-fi6qi
    @CHARLESKIM-fi6qi ปีที่แล้ว

    Taarifa taarifa, pumbavu zenu. Yaani spika nahao wataarifa woooote mnachumia tumbo. Halima ukopekeyako nasisi wananchi wakawaida

  • @elizaberthbenard6413
    @elizaberthbenard6413 ปีที่แล้ว

    Ipo ciku mtakufa mtaviacha kwann mnampinga madam halima asiseme mnapindisha manane hamtaki kuambiwa ukweli