ไม่สามารถเล่นวิดีโอนี้
ขออภัยในความไม่สะดวก

KWANINI WABUNGE WALIKWENDA DUBAI? AIDA KHENANI WA CHADEMA AIBUA JAMBO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 19 มิ.ย. 2023
  • Ni mbunge wa Nkasi Kaskazini. Ajibu maswali ya msingi kuhusu ziara ya wabunge Dubai

ความคิดเห็น • 675

  • @emmanuelsulle911
    @emmanuelsulle911 ปีที่แล้ว +4

    Naipongeza pia chombo hiki cha Habari Kwa kutoa taarifa ipasavyo, Hongern Sana 👍👍👍

  • @nestorylawrencemsoffe6539
    @nestorylawrencemsoffe6539 ปีที่แล้ว +15

    Hongera sana sana Madam Smart Lady. You have done your duty to our nation.

  • @amoskasese6687
    @amoskasese6687 ปีที่แล้ว +15

    Wabunge kama hawa ndio wanatuwakilisha kweli bungeni👏

  • @lotimwansule5017
    @lotimwansule5017 ปีที่แล้ว +24

    Dada Ada kweli umejitoa mghanga kwa ajili ya maslahi ya nchi ,unatakiwa kumwomba Mungu sana akusaidie Watu wanakutazama vibaya.Tunakuombea kwa mungu

    • @amosnaqbarxanaabddallah2730
      @amosnaqbarxanaabddallah2730 ปีที่แล้ว

      Hyo hawamuwez kwani nkasi unapajua niwapi??na alipita yeye2 Tanzania nzima nakula walimuubia ila kumbe hawakujua wanajiibia wenyewe

  • @kiliantereba6502
    @kiliantereba6502 ปีที่แล้ว +13

    Asante sana kaka Ngurumo kwa kuandaa kipindi kizuri. Nimeamini Mbowe na huyo mbunge wa Nkasi Aida Kenani ni wazarendo wa hali ya juu

  • @user-mw6zj5ie4x
    @user-mw6zj5ie4x ปีที่แล้ว +23

    Katika wanawake wachache waliobaki duniani kuwa na akili, wewe ni mmoja wapo. Big Up sana. Wewe ni mzalendo.

  • @mwanache
    @mwanache ปีที่แล้ว +39

    Hawa ndio viongozi na wawakilishi tunaowahitaji… hapepesi maneno na anasimama ktk kweli. Hongera sana Dada Aida.

  • @cantonacantona7015
    @cantonacantona7015 ปีที่แล้ว +24

    Mungu akulinde ukaapo,uamkapo, utembeapo, unapoendesha gari n.k Msimamizi mkuu awe roho mtakatifu na malaika wa Mungu. Dada msema kweli ni mpenzi wa Mungu. Na ukweli hata upitapo motoni hautaungua. Ubarikiwe.

    • @user-mz4ry1sl8l
      @user-mz4ry1sl8l 11 หลายเดือนก่อน

      Hiki kichwa kilkuwa na haki zote zakumpga chini yule mzee mpumbvu mwimba mapmbio na mtukanaji hvyo mzee Kesi.Big up Mh Dada😂😂

  • @namsifubwana2152
    @namsifubwana2152 ปีที่แล้ว +25

    Hongera sana Aida. Bunge zima na Spika wake mwenye akili ni wewe tuu. Tunakushukuru sana sana. Mungu akubariki sana sana

    • @menshitunze
      @menshitunze ปีที่แล้ว

      Hakika ni yeye pekee.

    • @user-ur3lm6dj4m
      @user-ur3lm6dj4m ปีที่แล้ว

      Mama umenifurahisha sana uko makini sana nilitamani sana ungekuwa mbunge wetu niliko sasa hivi. Napenda sana wabunge wenye kujua sisi wananchi wa hali ya chini, nakupa hongera sana, elimu uliyopata ina upeo mkubwa sana, mungu akulinde na tutazidi kukuombea amen.

  • @davidmwaikokoba2974
    @davidmwaikokoba2974 ปีที่แล้ว +5

    Hongera Sana Mheshiwa Aida,
    Umekuwa wa maana peke yako kuliko Rundo la wanaojiita wabunge.
    Usiogope vitisho vyao,
    Mwanadamu ni Nani ni udongo, majivu, na Tena ni Mbwa mfu.

  • @madamrita9685
    @madamrita9685 ปีที่แล้ว +10

    Very good leader 👏 👍. President she have to promote her to the high position in the government.
    She have a big.
    vision.. Tanzania 🇹🇿 we really need a serious leader like her.

  • @BONGOINMOTION
    @BONGOINMOTION ปีที่แล้ว

    Smart lady from Nkasi we love you....
    Kuna wasomi serikalini wana play part kuharibu taifa afu serikali inasisitiza watu wasome,,sasa wasome kwa faida ipi??? Me nazani wasomi wangesimama kutetea taifa but ndio hivo,,,,God bless Tz and get rid of money Hunter in our governance

  • @faridamatata1950
    @faridamatata1950 ปีที่แล้ว +6

    Mimi nimempenda sana Aida Mungu awe nae kusaidia nchi yetu TZ❤

    • @ericamkwena7736
      @ericamkwena7736 ปีที่แล้ว

      Dada natamani nikuone nikuombe uko vizuri

  • @simonlulenga7062
    @simonlulenga7062 11 หลายเดือนก่อน +2

    Duh! Mh. Ukoo vizuri sana na Mungu akusimamie katika msimamo wako.

  • @francissimwinga-gb2vd
    @francissimwinga-gb2vd ปีที่แล้ว +13

    Hongera sana dada Aida Kwa ukweli mungu akulinde amina

  • @emmanuelsulle911
    @emmanuelsulle911 ปีที่แล้ว +1

    MUNGU akubariki Mno dada Aida hakika nimekusikiliza kwa kina,Una uzalendo mkubwa kwa taifa letu, na ujasiri mkubwa katka kutetea haki za Watanzania,May Almighty God bless you 💯💯💯 I appreciate you 💯💯💯

  • @godfreyhaule4512
    @godfreyhaule4512 ปีที่แล้ว +18

    Hongereni wana nchi wa Nkasi kwa kuchagua dhahabu 🙏🙏🙏🙏

  • @aminieljohn5475
    @aminieljohn5475 ปีที่แล้ว +11

    ...huyu mbunge uwezo wake yeye peke yake ni zaidi ya uwezo wa bunge zima!!...na anajua valuations change, Values don't!! Anajua pia majority opinion does not make the right wrong or the wrong right!!...ameonesha uadilifu mkubwa. "BE OPEN TO CHANGE BUT STAY FIRM ON VALUES" Hongera sana, wewe ni shujaa!..Aida Kenan.

    • @rithaurassa
      @rithaurassa 3 วันที่ผ่านมา

      Aida wewe ni ZAIDI wanawake Tz .Hongera sana MUNGU aendelee kukupa macho ya rohoni.

  • @gracesimba7828
    @gracesimba7828 ปีที่แล้ว +2

    Nimemkubali Mbunge Aida, leo umekosha nafsi za wengi, nimependa msimamo wa unachokisimamia, umeoonyesha ujaisiri wa kupinga dhuluma, hata ukiwa mmoja pekee bungeni. I wish hii video yako ingesikilizwa na watu wengi zaidi wapate uelewa! Good Interview!!!

  • @MCNgakungaJunior
    @MCNgakungaJunior ปีที่แล้ว +2

    AISEEEE! HONGERA SANA MH AIDA.UNAONESHA WAZI UWEZO WAKO WA KIAKILI NI WA JUU SANA.WEWE NI MMOJA WA VIONGOZI AMBAO TUNAOWAHITAJI.MUNGU AKUBARIKI SANA.

  • @patrickkalengela7125
    @patrickkalengela7125 ปีที่แล้ว +8

    Huyu ni Mbunge Mwenye ufaham Mkubwa sana, hongera sana Nkasi kumpata Mbunge Mahiri mhe. Aida

    • @evansmtalo8924
      @evansmtalo8924 ปีที่แล้ว +1

      Mbunge waTaifa sio Nkasi pekee

    • @FrolahNkaimba-wx7zi
      @FrolahNkaimba-wx7zi ปีที่แล้ว

      Tunakushukuru sana wanankasi tunakuombea sana mbunge wetu

  • @halimamatumba8898
    @halimamatumba8898 ปีที่แล้ว +6

    Mungu atakulinda siku zote msema kweli Ni mpenzi wa mungu,

  • @stephenmalilo9833
    @stephenmalilo9833 ปีที่แล้ว +3

    Humu kuna mtu haswaaaa. Hongereni watu wa Nkasi.....mnae mtu haswaaaa......🙌🙌🙌🙌🙌

  • @castorymhoja6050
    @castorymhoja6050 ปีที่แล้ว +3

    Ubarikiwe kiongozi Sema kweli na roho yako itulia big up.

  • @geofreyspela1620
    @geofreyspela1620 ปีที่แล้ว +1

    Hongela sana Aida Dada yangu hao wabunge wenzeko mamburura Wana itikiaga bila kufanya utfiti ukipitisha Shelia mbovu unaangamiza taifa

  • @neyotv2344
    @neyotv2344 ปีที่แล้ว +14

    Big up Aida 👏👏

  • @ntegrity277
    @ntegrity277 ปีที่แล้ว +2

    HAPA KUMBE KULIKUWA NA MPANGO WA MUDA MREFU ILI RASLI MALI ZETU ZIPOTEE CHADEMA HUWA NI SMART CHARACTERS LIKE THIS BEAUTIFUL GIRL

  • @JudithJackson-we6iu
    @JudithJackson-we6iu ปีที่แล้ว +2

    Mbowe tuna kupenda sana❤❤❤ tuna zidi kuku mbea kwa mwenyezi mungu ata viongizi wengine wa chama chako ipo siku tutashinda mungu ibariki tanganyika mngu ibariki viongozi kama awa mungu ibariki watu wako pamoja nawatoto watanganyika nalasilimari zake tanzania ninguvu moja wanaoreta udini na uchonganishi kueni makini

  • @markokisonga2982
    @markokisonga2982 ปีที่แล้ว

    Dada Aida rait mungu angekuwa anasemaga tuu wewe unafaa kuendesha nchi Wala usingepigiwa kula maana unavoongea ni ishala tosha unaweza kulipigania taifa lako mungu akulinde ukupiganie Kwa ajili ya taifa lako mama Amina.

  • @senyaelzephania2967
    @senyaelzephania2967 ปีที่แล้ว +2

    Mungu akulinde mpendwa aida,
    Nawe we uwe makini sikuzote,
    Ila Mungu hatakuacha, tutakuombea KWA Mungu.

  • @ransonlema3916
    @ransonlema3916 ปีที่แล้ว +1

    Mungu aliyekupa nafasi hii muhimu akulinde, akuinue, akubariki kutetea maslahi ya taifa, umemheshimu Mungu, umewajali watanzania

  • @aliyageorge6794
    @aliyageorge6794 ปีที่แล้ว +13

    Definitely, mama anafanya kusudi kutoa mali ya za watanganyika na sio za zanzibar.

  • @NeemaMwalukasa-ui3lv
    @NeemaMwalukasa-ui3lv ปีที่แล้ว +4

    Hongera sana Dd Haida uko vizur sana. Unaongea ukweli tupu Mungu akupe maisha maref uendelee kuwatumikia wana Nkasy.

  • @neisphormabula7286
    @neisphormabula7286 ปีที่แล้ว +6

    Keinan ni mzalendo wa kweli wa taifa hili nimkweli ana hofu ya Mingu anajitambua anajua wajibu wa uwakilishi keinan hold on you are a hero

  • @KishaKisha-ux4ul
    @KishaKisha-ux4ul 11 หลายเดือนก่อน +1

    Safi Sanaa Aida Khenani kwa nini wana haraka . Kuna kitu nyuma ya pazia. Kitajulika tuuu. Hakuna siri sasa

  • @sporahmilimu9524
    @sporahmilimu9524 ปีที่แล้ว +1

    Uko vizuri sana Aida uko vizuri Mungu akutunze sana.

  • @amosibilingi4299
    @amosibilingi4299 ปีที่แล้ว +11

    Inawezekana ulihongwa kama wenzio akina msukuma, lakini umenifurahisha jambo Moja zuri, hukujali pesa zao ukachagua kuokoa taifa letu la Tanganyika

  • @amaningalla9420
    @amaningalla9420 ปีที่แล้ว +10

    Nalazimika kuhamia nkansi kumbe kuna watu wakweli sana. Nakupongeza sana Aida Mungu atakulinda usiwe na shaka. Tupo nyuma yako

  • @willibroadwilliam6798
    @willibroadwilliam6798 11 หลายเดือนก่อน +1

    Dada Uko vizuri sana kwa msimamo wako wewe ni mzalendo waukweli Asante.

  • @diversetv74
    @diversetv74 ปีที่แล้ว +8

    Great job Godless you!

  • @estermgata9617
    @estermgata9617 ปีที่แล้ว +16

    Huyu mama and uwezo wa kufikiria na kutafakari. Kwanza ana uzalendo sana. MUNGU mwenyezi azidi kukulinda na kukuongoza ili uwapiganie watanzania.

    • @SamwelEdward-on7if
      @SamwelEdward-on7if ปีที่แล้ว +1

      Mama amesitahili kupongezwa kwa ujairi alionao kikubwa tumkabidhi mikononi mwa mungu

  • @salockmahenge5416
    @salockmahenge5416 ปีที่แล้ว +10

    Aida mungu azidi kuktetea ubalikiwe Sana katika wabunge wote wa tanzania aida pekeyako tu maneno yako tmeyaelewa Sana Tena sana wewe unafaa kuwa waziri kwa uwezo wako wa akili upo juu Sana Tena sana nataman waje watokee wabunge ata watano kwa akili km yako tu Tanzania yetu atasimama vizuri Sana

  • @josephmwabange9633
    @josephmwabange9633 ปีที่แล้ว +13

    Yaani machozi yamenilenga kwa mbunge huyu, dada yetu mpendwa ,kumbe Tanzania bado tuna watu !

  • @crisantisindani3830
    @crisantisindani3830 ปีที่แล้ว +3

    Aida upo vizuri sana mama Mungu akutangulie,

  • @patriciamuganda4498
    @patriciamuganda4498 ปีที่แล้ว +6

    Thank you so much, Ms Khenani. You are a great patriot. Only the truth can set us free. May God continue to bless you, guide you and give you more courage.

  • @ijumaawikienda5435
    @ijumaawikienda5435 ปีที่แล้ว +3

    Aida uko vizuri sana, umeongea ya maana sio bendera fuata upepo

  • @user-le7ek2zs4t
    @user-le7ek2zs4t ปีที่แล้ว +2

    Your a good mother God bleess and be with you

  • @mariamtemba4221
    @mariamtemba4221 ปีที่แล้ว +8

    Mwanamke unayejitambua sana hongera dada

  • @user-pe9nq3wu4p
    @user-pe9nq3wu4p ปีที่แล้ว

    Nyinyi watu wa bara mwalalamikia bandari tu na sisi wazanzibar hatutaki muungano mama samia kodisha sisi tupamoja nawe kazi iendelee mwaaaa

  • @ramadhaniismail7649
    @ramadhaniismail7649 11 หลายเดือนก่อน +1

    Hongera sana mh. Aida hivi kwa nini wasikae pamoja na Rais wa Zanzibar wakaweka Mkataba mpaka Zanzibar si kitu chenye Faida? Vinavyo binafsishwa ni vya Bara tu ni kwa nini? Hapo kwa kweli inaogopesha kaeni mtafakari Hatuna vyeo ila tunajuwa Baya lipi na zuri ni lipi? Big up Aida kwa kuwa mkweli.

  • @helenarhobi1250
    @helenarhobi1250 ปีที่แล้ว

    Kadada upo vizuri hata kuwashinda wanaume. Unamzidi hata rais hoja. Upo vizuri nampongeza mwalimu wako. Asante.

  • @FulbertFisoo
    @FulbertFisoo ปีที่แล้ว +3

    Hongera dada kwa kuongea ukweli mwenyenzi mungu akulinde

  • @hezekiamtera3559
    @hezekiamtera3559 ปีที่แล้ว +4

    God analysis my brother. Tuendelee hivyo.Asante Aida

  • @user-uc7pv3jx1o
    @user-uc7pv3jx1o ปีที่แล้ว +2

    Hongera sana dada Aida unafaa kabisa kuitwa muwakilishi

  • @charleslukumai7875
    @charleslukumai7875 ปีที่แล้ว +2

    Big up sana Mh. Aida. Unajitambua. Barikiwa sana.

  • @JudithJackson-we6iu
    @JudithJackson-we6iu ปีที่แล้ว +2

    Mungu akubariki sana dada haida tunaitaji watu kama wewe yawezekana hao wanao penda kuongwa na ku saliti nchi hii sio watanzania arisi watakua waamiaji kabisa ata baba wataifa alisema watu kama ao wana tabia ya kimalamala

  • @user-ji5xg8bq4b
    @user-ji5xg8bq4b ปีที่แล้ว +3

    Dada uko vizuri sna!

  • @bonabonala5559
    @bonabonala5559 ปีที่แล้ว +1

    mbunge wa chadema upo pekee yako bungeni mungu akurinde mtumikiee mtanganyika na sio mzanzibari samia mpinge mpaka ukutane na yesu atakusaidia

  • @georgemaganga3804
    @georgemaganga3804 ปีที่แล้ว +1

    Wabunge mnatudharau.Watanzania.Iweje kila mara mnapitisha mambo haraka haraka kwa siri kubwa.Bunge limetumiwa kupitisha ili baadaye ionekane hata Bunge lilipitisha.Kwa rasilimali hizi ni za Serikali au za Chama fulani.

  • @user-fc9ro5fh9m
    @user-fc9ro5fh9m ปีที่แล้ว +1

    Sawa kabisa kataa ukiritimba

  • @LabanAmbakisye-ue6dq
    @LabanAmbakisye-ue6dq ปีที่แล้ว +1

    Hongera sana _mungu akubari na kukulinda 1petro1:5.

  • @hamisihemedi1099
    @hamisihemedi1099 ปีที่แล้ว +1

    Hongera dadaaa mungu akuweke wewe.nikatika viongozi wanaofaa nchini asante sana.dadaa mimi binafsi ninakufuatilia sana ukiwa bungeni ukosawa dadaa usiogopee jibulao ni 2025 kuingusha ccm tuu basii ndio dawa iliobakituu.

  • @victoriamazula5592
    @victoriamazula5592 ปีที่แล้ว +1

    Big up Aida wewe ni kichwa nzuri. Tamaa na uchawa tu unawauwa warafi

  • @PurityNakana-og9ln
    @PurityNakana-og9ln ปีที่แล้ว

    Nilimpigia kura huyu dada nikiwa like nkasi najivunia hlo nikiwa zambia now

  • @godlistengodlisten7552
    @godlistengodlisten7552 ปีที่แล้ว +2

    SAFI SANA MOJA YA VITU NILIVYOVIELEWA KWA HUYU DADA AIDAN NI ALIHOJI, KUHOJI NI KITU KIZURI SANA.

  • @carolinenicholaus8363
    @carolinenicholaus8363 ปีที่แล้ว +1

    Hawatatuchonganisha na Mbowe milele.
    Asante Aida kwa kuwa mzalendo

  • @marthaemanuel8912
    @marthaemanuel8912 ปีที่แล้ว +5

    Jeshi la mtu mmoja! Hongera sana Mh. Aida

  • @evansmtalo8924
    @evansmtalo8924 ปีที่แล้ว +19

    Against Idea of Dubai Agreement (AIDA)
    Against Incomprehensible Dubai Agreement (AIDA)
    Against Inconvenient Dubai Agreement (AIDA)
    Against Implusive Dubai Agreement (AIDA)
    YOU WERE BORN FOR THIS .GOD IS WITH YOU AIDA.

  • @amoskinunda5762
    @amoskinunda5762 ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe Sana kwa uzalendo wako, usikate tama uraisi unakufa mdee atakuwa wazir wako

  • @benedictoshadrack2573
    @benedictoshadrack2573 ปีที่แล้ว +1

    Pole sana mh kumbe na ww uliingizwa mkenge hiyo ziara ya kwenda Dubai na nikupongeze kwa kupinga huo mkata wa kuuza bandari zetu na inchi yetu pia

  • @edithanikolaus6160
    @edithanikolaus6160 ปีที่แล้ว +1

    Hongera ,HONGERA mama hamjapoteza kura kwa huyu mama kwa walio mchagua HAMJAPOTEZA

  • @thadeimhengilolo3994
    @thadeimhengilolo3994 ปีที่แล้ว +10

    Safe sana dada Mungu awe nawe

  • @severiningungulu1290
    @severiningungulu1290 ปีที่แล้ว +1

    hongela sana Dada Aida, kwani wabunge wa ccm wana nini? mbona mi ciwaelewi ivi kweli wamefikia hapo wabunge wa ccm mnatia aibu hamshibagi

  • @godfreymushi6966
    @godfreymushi6966 ปีที่แล้ว +8

    Hongera sana dada mungu akujalie

  • @EmmyKanjanja-qi1vl
    @EmmyKanjanja-qi1vl ปีที่แล้ว +1

    Hongera sana aida kwa ujasiri,chadema msiwatoe bungeni watu kama hawa wanao tetea wananchi pamoja na nchi yao

    • @AnsbertNgurumo
      @AnsbertNgurumo  ปีที่แล้ว

      Huyu ni mbunge wa Chadema. Hakuna anayemtoa.

    • @meryshekoloa961
      @meryshekoloa961 ปีที่แล้ว

      Hodi hodi nyumba ina mtu Tanzania ina mbunge 1 tuu aida kenaan tumuombee

  • @gerraldchristian2001
    @gerraldchristian2001 ปีที่แล้ว

    Wewe sio mmja wa wanafiki ndani ya CCM
    Nice AIDA

  • @user-fc9ro5fh9m
    @user-fc9ro5fh9m ปีที่แล้ว +1

    Kenani yuko sawa

  • @willibroadwilliam6798
    @willibroadwilliam6798 11 หลายเดือนก่อน

    Safi sana umefafanua vizuri asante wewe ni mzalendo.

  • @aliyageorge6794
    @aliyageorge6794 ปีที่แล้ว +6

    Hongera!
    Dada.

  • @richimuniko3578
    @richimuniko3578 ปีที่แล้ว +1

    Hongera mzazi unafaa Sana tumesikiliza Hoja zko Yani Wewe Mungu akulinde sana

  • @AizackKalenge-ro5rc
    @AizackKalenge-ro5rc ปีที่แล้ว +2

    Hongera sana,

  • @abdalahgunda1319
    @abdalahgunda1319 6 หลายเดือนก่อน

    Aida kinani has big brain only problem of her is to go on palament without chadema authority but she has big capacity of sense thing in advance

  • @allyamri5028
    @allyamri5028 ปีที่แล้ว +1

    Nimekusikiliza vizuri mbunge AIDA upon vizuri na nimekubali kua wewe ni mzalendo pia unaelewa KAZI yako kama mbunge kwa hilo nimekupenda, nimekukubali pia HONGERA SANA, SANA NA KAZI NJEMA. Ushauri wangu kwako endelea kua muwazi na "MUNGU" ATAKULINDA.

  • @mishengoma2495
    @mishengoma2495 ปีที่แล้ว +1

    Pongezi sana Mh. Mbunge. I wish tungekuwa na Wabunge wenye akili kama wewe

  • @othmarluwawilo8308
    @othmarluwawilo8308 ปีที่แล้ว

    Asante Mhshimiwa Aida, kumbe mkataba unatekelezwa Baada ya Rais na wabunge wa Ccm kula rushwa, tena kwa fedha za anayetaka kuwekeza. Zanzibar funga virago rudi Kwenu.

  • @babyakasha4002
    @babyakasha4002 ปีที่แล้ว +1

    Huyu ndo Mbunge sasa🎉

  • @EliatoshaLema-rw5hm
    @EliatoshaLema-rw5hm ปีที่แล้ว +1

    Watanganyika tuvae magunia tumlilie Mungu ili Mungu awaondoe hao matapeli na wanafiki walioko bungeni.Dada Aida Mungu akuinue zaidi tumeiona wewe na Halima mkipigania ardhi yenu.yupo Mungu asiyelala Wala kusinzia atawalinda na atashughulika na hao wanafiki wakiongozwa na lisipika la hovyo

  • @faustinejemsi1488
    @faustinejemsi1488 ปีที่แล้ว +2

    Ubarikiwe sana mdada mungu ni mwema

  • @maginasabah-mb9od
    @maginasabah-mb9od ปีที่แล้ว +3

    Chadema wamlinde sana huyu mama, ni dhahabu ya chama katika kipindi hiki kilichojaa changamoto

  • @gabrielzakaria2810
    @gabrielzakaria2810 ปีที่แล้ว +1

    We dada mungu akulinde una hofu ya mungu ila kuna hilo jmaa linaitwa msukuma me naona bora mungu aliite tu

  • @lazaromollel381
    @lazaromollel381 ปีที่แล้ว

    aida ubarikiwe sana na Mungu akuongezee msimamo maana mko wachache ndani ya inji yetu

  • @johnandrewmsigala7803
    @johnandrewmsigala7803 ปีที่แล้ว +1

    Aida nimekuelewa Mungu na akulinde na akubariki sana

  • @elishamumba4304
    @elishamumba4304 ปีที่แล้ว +1

    Sio Bure ulishinda ubunge pekee yko! ww ni mzalendo wa kweli wanankas hongereni sana

  • @tumainikilembe1008
    @tumainikilembe1008 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akulinde.tuwakute wapi wanawake wanajua kuomboleza.

  • @richardboaz-mashagospel2346
    @richardboaz-mashagospel2346 ปีที่แล้ว +3

    Naomba uwe mbunge wangu. 👊

  • @dignakanje4508
    @dignakanje4508 ปีที่แล้ว +1

    Eee mungu tusikie kwsuchungu mkubwa sana kwawatanzania.Kiukweli watu wkweli hawapewi nafasi yakuonekana kwenye jamii,kuwa huru nakuaminika,Mungu nimwema atakuongoza.Huna unafiki wala kupepesa macho.Mungu atusaidie sana.Hii nchi inawatu wajabu sana wenye tamaa zamaisha,hawajali binadamu wanyonge,wanajali wao tu.Sijui tunashida gani tanzania.Mungu amlaze mahali pema peponi baba ytu magufuli.

  • @aliyageorge6794
    @aliyageorge6794 ปีที่แล้ว +15

    Raisi ang'atuke!
    Haraka!
    She has lost the legitimacy to govern the country she should go. 🚶‍♀️

    • @ameedamilja7992
      @ameedamilja7992 ปีที่แล้ว

      Rais anga’atuke Halafu Bibi yako awe Rais NYAU nini

    • @AdamFundikira-jy8nf
      @AdamFundikira-jy8nf ปีที่แล้ว

      ​@@ameedamilja7992njoo uchukue soda aise

  • @user-ec7qn8hr4l
    @user-ec7qn8hr4l ปีที่แล้ว +1

    Uko vizuri kiongozi wangu

  • @joshuandabazaniye7642
    @joshuandabazaniye7642 ปีที่แล้ว

    hongera mbunge

  • @ThobiasMarandu
    @ThobiasMarandu ปีที่แล้ว

    Hazina How Anazungumza Tumeenda Dubai ! Tumeenda Dubai ! Toa Details, Ulienda Dubai na Nani? Kwa Niaba ya Bunge How na Unasema Ulilipwa na TPA. She is Full of Shit. MAGUFULI ALIVURUGA WABUNGE WOTE WA CHADEMA AKAKUACHA WEWE, AKAMTOSA HATA ALLY KESSY! I DONT TRUST THIS WOMAN.