ไม่สามารถเล่นวิดีโอนี้
ขออภัยในความไม่สะดวก

NI VITA? SAKATA LA BANDARI LALETA MVUTANO WA KIDINI BAINA YA WAISLAMU NA WAKRISTO|| UPI MWISHO WAKE?

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 ส.ค. 2023
  • Sakata la Bandari limeibua mijadala mingi hali ambayo imepelekea Taasisi za kidini kuingia katika mnyukano wa hali ya Juu. Lilipata moto zaidi baada ya Kanisa Katoliki kutoa waraka unaoashiria kutouunga mkono Mkataba wa bandari. Hilo lilipelekea kuwaibua wahadhiri na Masheikh walioliuliza maswali magumu Kanisa Katoliki
    _____________________________________
    Yaliyomo kwenye video hii (Chapters)
    01:07 - Sakata la Bandari
    01:58 - Tamko la Baraza la Maaskofu
    03:07 - Sheikh Mziwanda juu ya Sakata la Bandari
    05:06 - Tweets zilizoandika maneno ya kutunga kwa Sheikh Kipozeo
    05:47 - Sheikh Kipozeo akanusha maneno yaliyosemwa Twitter
    08:17 - Tamko la BASUTA kuhusu mkataba wa Bandari
    10:38 - Tamko la Jumuiya ya Maridhiano na Amani Juu ya Mkataba wa Bandari
    Follow Us On:
    FACEBOOK:
    / aqonlinetv
    INSTAGRAM:
    / aqonlinetv
    TWITTER:
    / aqonlinetv
    WHATSAPP:
    chat.whatsapp....
    TIKTOK:
    vm.tiktok.com/...
    TELEGRAM:
    t.me/aqonlinetv
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2023 Aq Online Tv. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.

ความคิดเห็น • 4

  • @MohamedAhmed-yi1yf
    @MohamedAhmed-yi1yf 11 หลายเดือนก่อน +2

    Kanisa laleta balaa kuingilia mambo ya serikali

  • @epimackjohn461
    @epimackjohn461 11 หลายเดือนก่อน

    Hapa Kuna Cha kujiuliza , kwa nini kuna kundi linalong'ang'ania Kukubali BANDARI IWEKEZWE na kundi linalokataa uwekezaji huu ?lazima liwepo kundi linalonufaika na linaloona Kuna athari . TUTAFAKARI !!!!

  • @desderiushaule4264
    @desderiushaule4264 11 หลายเดือนก่อน

    Shehe wangu uko nyuma sana hata ulichokiongea hakina mwelekeo, nina mashaka na uelewa wako juu ya mambo ya serikali hata ya kidini yako kama alivyosema sheikh mziwanda juu ya waislamu.