MZOZO MKALI BUNGENI HALIMA MDEE AJIA JUU ISHU EPCF, MWIGULI AMCHANA MAKAVU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 พ.ค. 2024
  • #UhondoTV #Uhondo

ความคิดเห็น • 16

  • @user-vm2ii2px9h
    @user-vm2ii2px9h หลายเดือนก่อน +1

    Jaman pale akson kaka na watugan mnijuze

  • @MichaelKingazi-wm7xj
    @MichaelKingazi-wm7xj หลายเดือนก่อน +1

    Your a women hon ;spika God blessed you too

  • @MichaelKingazi-wm7xj
    @MichaelKingazi-wm7xj หลายเดือนก่อน +2

    Mungu nisaidie nimegundua kuna wabunge wana akili sanasana kuliko mawaziri,na kumbe wanatudanganya,na hapa ndipo pale wabunge wasioutafuta ukweli wanabaki kupiga makofi tu,nakupongeza sanasana spika,kwakuwaelewesha wale wasiojua.

  • @Nedjadist
    @Nedjadist หลายเดือนก่อน +1

    Huyu Mwigulu kweli ni Dr. Ila amepata shahada yake kutoka visiwa vya watt watt! Maaana ni watu wa huko tu ndio watakaomfahamu!

  • @warewolfblue
    @warewolfblue 26 วันที่ผ่านมา

    hello 👋

  • @manuchochannel5538
    @manuchochannel5538 หลายเดือนก่อน

    Kuna mtu hapo mumama atafika mbinguni akiwa amechoka sana😅😅

  • @ChakomaJames
    @ChakomaJames หลายเดือนก่อน +1

    kimeumana

  • @user-vm2ii2px9h
    @user-vm2ii2px9h หลายเดือนก่อน

    Mhhhhj jamn

  • @user-on6lf6kq4h
    @user-on6lf6kq4h หลายเดือนก่อน

    Dada TULIA Mpige nondo maana hajawahi kuelekea katika hoja zake na akiwa hivohivo mpelekeni tene KARIAKOO

  • @gililwise
    @gililwise หลายเดือนก่อน

    Upewe wizara wifi yangu Halima

  • @The1979bornagain
    @The1979bornagain หลายเดือนก่อน

    Kuna kila dalili kuwa kuna shida serikalini. Na kuna shida ya ufahamu na uelewa kwa mawaziri huko serikalini. Mathalani huyu waziri wa fedha Ng'wigulu Nchemba nafasi hiyo ni wazi kuwa haimtoshi, haimtoshi, haimtoshi kabisa!!!

  • @gililwise
    @gililwise หลายเดือนก่อน

    Mi sijawahi kumuelewa huyo waziri wa fedha

  • @hamudshabani7801
    @hamudshabani7801 หลายเดือนก่อน

    Mwiguli hatoshei kiatu chake kusema kweli

  • @Nedjadist
    @Nedjadist หลายเดือนก่อน

    Duuuuh! Haidhuru huyu Gashigwa anafahamika na binadamu, badala ya yule wa Visiwa vya watt watt, ila ameonesha udhaifu mkubwa hata wa kufikiri. Na kwa kweli anayosema Gashigwa, na yalioandikwa katika taarifa, na anayosema Mwigulu ni mbali mbali kama baina ya mbingu na ardhi!
    Hapa aidha wanafunika dili la mabilioni, au ni incompetence. Haiwezekani upande mmoja useme mmekwishatiliana saini mkataba ambapo mkandarasi atatafuta fedha na vifaa na kila kitu mje mlipane tu, halafu upande mwingine wasema bado mwatafuta viwango bora vya riba! At least hivyo ndivyo nilivyoelewa mimi na Halima Mdee!

  • @hamadsaidy8740
    @hamadsaidy8740 หลายเดือนก่อน

    Mdee nakumbali san

  • @MichaelKingazi-wm7xj
    @MichaelKingazi-wm7xj หลายเดือนก่อน

    Weakness.