RAIS DKT.MAGUFULI ASAFIRI KWA KUTUMIA NDEGE BOEING 787-8 DREAM LINER KUEKEA MWANZA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ส.ค. 2018
  • Mapema leo asubuhi Mhe. Rais Magufuli amesafiri kwa ndege ya Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) aina ya Boeing 787-8 Dreamliner iliyonunuliwa na Serikali kwa lengo la kuimarisha shirika hilo, na akiwa ndani ya ndege abiria waliosafiri nae kutoka Dar es Salaam hadi Mwanza wamemshangilia na kumpongeza kwa juhudi zake za kuifufua ATCL na wamemuombea dua

ความคิดเห็น • 69

  • @binurarassi8156
    @binurarassi8156 6 ปีที่แล้ว +15

    Raha tupu humo ndani ya Ndege, hongera kwa waliomuombea Dua Rais wetu Magufuli, Ndio mjue kwamba Rais tumepata, Mungu amlinde Na kumzidishia hekima.

  • @safiaothman1098
    @safiaothman1098 3 ปีที่แล้ว +12

    Alikuwa Kipenzi cha Watu, Mwenyezi Mungu akurehemu na kukuweka Mahali Pema Peponi Mh Magufuli, Aamiin.

  • @dominicponsian4360
    @dominicponsian4360 3 ปีที่แล้ว +18

    Tanzania is in tears
    Our hearts shall always cherish your life until forever ends

  • @damianmakala2913
    @damianmakala2913 3 ปีที่แล้ว +17

    Bado sijaona kama WEWE ! Bado Sana ! Pumzika kwa amani tu Rais wangu JPM

    • @ramadhanmahongole9293
      @ramadhanmahongole9293 ปีที่แล้ว

      kafanya nini zaidi ambacho unaona hakuna mwingine wa kufananisha nae? kununua bombadire, reli ya kisiasa na bwawa la umeme??! kwani hayo yote kafanya pesa katoka mifukoni mwake? hizo pesa ni zetu watanzania wote ikiwemo wewe na hadi sasa katuachia madeni lukuki kutoka kwa aliowaita mabeberu tunalipa Polepole acha uchawa usio kuwa na maana kusifia mtu wakati uhalisia ni kwamba hizo ndege umenunua wewe na hayo maendleo yote umefanya wewe pamoja na watanzania wenzio wote pamoja na kuwa hizo bombadire watanzania walio wengi hawazipandi lkn kama angetuboreshea barabara za kiwango cha lami mpka vijijini maji na elimu bora tungepiga hatua kubwa ya maendeeo site kwa pamoja kuliko hivi sasa wachache ndio wananufaika

  • @sudymgeni701
    @sudymgeni701 3 ปีที่แล้ว +8

    Rahaa sana MUNGU iweke roho ya babayetu JPM peponi.mwanga wa milele umwangazie na raha za milele umpatie AMINA

  • @leskarlmollelmollel4805
    @leskarlmollelmollel4805 ปีที่แล้ว +5

    Ilikuwa mtu wa watu,mungu akuweke mahali pema peponi,🙏

  • @jongosalehe1036
    @jongosalehe1036 ปีที่แล้ว +4

    Kwa kazi kazi 💯👍 kazi We miss you always JPM bulldozer Tanzania..

  • @paulofesto4948
    @paulofesto4948 6 ปีที่แล้ว +9

    Rais Jpm ni mtu wa watu hongera sana

  • @fredyphilimon38
    @fredyphilimon38 3 ปีที่แล้ว +9

    Where are you Magufuli, we wil miss you sana, and we still crying of your absent,,,, RIP

    • @mamasalhat
      @mamasalhat 7 หลายเดือนก่อน

      To me😭😭😭

  • @kijanaa
    @kijanaa 4 ปีที่แล้ว +5

    Vyema sana!. This is a definition of cutting costs!

  • @misbahukhalifa3216
    @misbahukhalifa3216 2 ปีที่แล้ว +2

    President of Tanzania 🇹🇿 ❤ Magufuli no one like you

  • @saidseleman6004
    @saidseleman6004 3 ปีที่แล้ว +4

    Dah mungu tulikosea wapi sisi watanzania

  • @dannykyungay6527
    @dannykyungay6527 6 ปีที่แล้ว +5

    Raha sana kusalimiwa na Rais

  • @meshacknyandongo577
    @meshacknyandongo577 ปีที่แล้ว +2

    Hadi unaskia mwili unasisimka alikua kiongozi jasiri mzalendo alithamini wananchi wake

  • @afropatriot7769
    @afropatriot7769 3 ปีที่แล้ว +4

    This is why we cry

  • @mustaphawelder7022
    @mustaphawelder7022 ปีที่แล้ว +3

    Naamini huko uliko unawaongoza malaika polepole, yaan Kila mtu alikuwa anampenda, R I P uncle

  • @mohameddias5536
    @mohameddias5536 5 ปีที่แล้ว +3

    I love this president

  • @marianmartin7483
    @marianmartin7483 ปีที่แล้ว +1

    Mwenyezi MUNGU akuweke mahali pema peponi. JPM ulikuwa mtu wa watu sana 😭😭😭😭😭

  • @bahatimohamedi8950
    @bahatimohamedi8950 3 ปีที่แล้ว +2

    Magufuli kanyanga twende 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @ernestsinje8693
    @ernestsinje8693 3 ปีที่แล้ว +2

    TANZANIA IN LOVE

  • @msafiriomary893
    @msafiriomary893 ปีที่แล้ว +1

    Hvi ndege zetu zipo wapii arzo nunua RAIS wetu magufuli mbo na hata angani hatuzioni au wameuza,,

  • @bennyframa4505
    @bennyframa4505 ปีที่แล้ว +2

    Heart Warming

  • @jamesngundateresia2600
    @jamesngundateresia2600 6 ปีที่แล้ว +5

    DUDE KUBWAA LAKINI LIMEJAA KWELI MAGU UNA NYOTA SANA

    • @AbrahBuraheze
      @AbrahBuraheze หลายเดือนก่อน

      upendo ndio kila kitu kwenye hi dunia ishi na wtu wa khali ya chini ndio wenye mapenzi ya dhati

  • @katemachanda7035
    @katemachanda7035 2 ปีที่แล้ว +1

    Love you mzee...

  • @andrewkazungu6542
    @andrewkazungu6542 ปีที่แล้ว +1

    Nice.

  • @bahatimohamedi8950
    @bahatimohamedi8950 3 ปีที่แล้ว +1

    Magufuli baba laoooooooooo 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @MultiHeriel
    @MultiHeriel 6 ปีที่แล้ว +1

    Brilliant

  • @africanchocolate4216
    @africanchocolate4216 4 ปีที่แล้ว +3

    Hata Raisi wa Ethiopia 🇪🇹 alisha wahi kusafiri na ndege ya abiria ya “Ethiopian Airline”, na abiria hawaku amini , wali shangaa sana!

  • @moi_tz_999
    @moi_tz_999 6 ปีที่แล้ว

    Good Sir

  • @damianmakala2913
    @damianmakala2913 3 ปีที่แล้ว +1

    Sijaona kama JPM bado Sana sijaona Hata aliefikia robo ya JPM bado !

  • @geraldmakalala6091
    @geraldmakalala6091 ปีที่แล้ว +1

    Magufuli alipendwa Sana na watanzania asimia 90

  • @yahayamaulana1561
    @yahayamaulana1561 2 ปีที่แล้ว +1

    Mafisadi sasa yanafurahisana kuondoka kwako uliyekua unaukemea ufisadi tenasasa wanazidi kujaza vituo vyakujaza mafuta yalemafisadi

  • @st99ngeni35
    @st99ngeni35 6 ปีที่แล้ว +1

    Safi sanaaaaa.

  • @bennie7239
    @bennie7239 ปีที่แล้ว

    😢😢😢

  • @neemajulius1256
    @neemajulius1256 ปีที่แล้ว

    Nitakumbuka daima

  • @mweyoms5548
    @mweyoms5548 3 ปีที่แล้ว +2

    Nimeshindwa kuyazuia machozi kwa video hii.

  • @lusatomichael7973
    @lusatomichael7973 ปีที่แล้ว

    My president

  • @barakarobert1029
    @barakarobert1029 2 ปีที่แล้ว +1

    Rip daddy

  • @michaelndilima6210
    @michaelndilima6210 2 ปีที่แล้ว

    Safi sana

  • @dorismwenda7646
    @dorismwenda7646 ปีที่แล้ว

    magufuli lala salama mwendo umeumaliza. rip our beloved president

  • @wakalafundi4387
    @wakalafundi4387 2 ปีที่แล้ว

    Daaaaa kwel inaumiza Sana lkn

  • @mawazoselemani614
    @mawazoselemani614 10 หลายเดือนก่อน

    amesafiri ndege ya abiria na abiria wa kawaida😊

  • @bakarinassoro5513
    @bakarinassoro5513 ปีที่แล้ว

    Rip

  • @jalimpanga9315
    @jalimpanga9315 ปีที่แล้ว

    Hadi laha jaman

  • @athumanomary1438
    @athumanomary1438 6 ปีที่แล้ว +2

    Asante san raisi wetu kwa upendo mkubwa san kwetu ewe mwenyez MUNGU tunazidi kukuomba enderea kumzidishia upendo mkubwa kwetu ewe mwenyez MUNGU mkuu

  • @MrTop-wj7no
    @MrTop-wj7no ปีที่แล้ว

    Daah haki utanitoa machozi siku zote mpaka kwenye uzee wangu JPM 😭😭😭 MUNGU hivi imetokea je Kwa mfano?? Daah

  • @Rodgers_01
    @Rodgers_01 5 หลายเดือนก่อน

    Rest in peace JPM

  • @rukiasalum7628
    @rukiasalum7628 ปีที่แล้ว

    Masikini.rais wangu machozi machozi yananitoka sijuwi sijuwi nitakusahsu lini kipenzi changu rais wangu

  • @asnaaali3264
    @asnaaali3264 ปีที่แล้ว

    Kila alipokua anaingia panakuwa na furaha
    Sijui kama atatoka mwenye upendo kama huyu

  • @0763206954
    @0763206954 2 ปีที่แล้ว

    Dah! Eee Mungu kwanin umeruhusu kifo kwa mtu huyu, kwanin uliacha watesi wake wasimam juu yake😭😭nataman nikuamuru usimame kinyume na mipango yao tena uwaibishe na kuwafedhehesh kabs, Eee Mungu wa Ibrahim embu fany jambo tafadhar 🙏🏿🙏🏿

  • @sm_155
    @sm_155 2 ปีที่แล้ว

    Mtu wa watu

  • @nishaabdula5015
    @nishaabdula5015 2 ปีที่แล้ว

    Ht km. Ww HD Dunia inapinduka

  • @nusaania2950
    @nusaania2950 ปีที่แล้ว

    Mama anaupiga mwingi

  • @husseinkonz5192
    @husseinkonz5192 2 ปีที่แล้ว

    Bado tunakukumbuka

  • @halimahassani8455
    @halimahassani8455 ปีที่แล้ว

    Nime jikuta nalia t

  • @husseindhalla1187
    @husseindhalla1187 ปีที่แล้ว

    Innalillaah wainnaa ilaihi Raajiuun

  • @safinashamshama4198
    @safinashamshama4198 2 ปีที่แล้ว

    HATA MOBUTU SESEKO ALISHANGILIWA SANA PAMOJA NASHIDA ZOTE NA UKATILI ALIOKUWA ANAWAFANYIA WAKONGO LAKINI ALITUKUZWA SANA, UNAJUA DIKTETA YOYOTE DUNIANI ANATENGENEZA AINA YA KUWADHIBITI WATU WAKE ILI WASIMCHUKIE AU KUMUUA, HUJIFANYA KUWAPENDA SANA KAMA RAIS BOKASA ALIYEONA URAIS HAUNA THAMANI TENA AKAAMUA KUJIITA MFALME