MAGUFULI ASHTUKIZA HOSPITAL ZANZIBAR AKUTA WATOTO WAKIWA HOI "MBONA HAWAHUDUMIWI"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ม.ค. 2020

ความคิดเห็น • 264

  • @zuwenaabdallah908
    @zuwenaabdallah908 4 ปีที่แล้ว +227

    Kama umesikia baba lao weka like hapa

  • @jamalmohamed621
    @jamalmohamed621 4 ปีที่แล้ว +7

    Mungu akupe kila lakheri na BARAKA NA MAFANIKIO KATIKA DUNIA YAKO MUHESHIMIWA BWANA MAGUFULI

  • @stanleykivike1388
    @stanleykivike1388 2 ปีที่แล้ว +11

    Mzee Magufuli alipendwa Sana na watu wa chini. This is the reason why they cried that much during his funeral . R.I.P

  • @mtanzaniahalisimungunimwem673
    @mtanzaniahalisimungunimwem673 4 ปีที่แล้ว +15

    Natamani ningekuwepo hapo nimuone kwa macho yangu.. nampenda sana Rais wetu mzuri

  • @tanzaniakwanza9564
    @tanzaniakwanza9564 4 ปีที่แล้ว +91

    Kama na ww umesikia Baba lao husininyime walao like 1 tu

  • @allyhamic1255
    @allyhamic1255 4 ปีที่แล้ว +55

    daah kwa hili mzee UMENIGUSA SAANA... KM NA WEW UMEGUSWA LIKE TUJUANE...

    • @MaryamAli-qt4wz
      @MaryamAli-qt4wz 4 ปีที่แล้ว +2

      Magufuli mungu akupe maisha marefu

    • @aishajuma7739
      @aishajuma7739 3 ปีที่แล้ว +1

      Hakika huyu ni wetu tunampenda

  • @kulwasalum1538
    @kulwasalum1538 4 ปีที่แล้ว +8

    Kwa kweli wa Zenji mmenifurahisha.Kweli huyu ni Baba lao👏👏👏👏

  • @gosbertrwezahura3645
    @gosbertrwezahura3645 4 ปีที่แล้ว +9

    Huyu Mkuu ni mtu mwenye ubinadamu na huruma sana. Ubarikiwe sana.

  • @onanarosse9657
    @onanarosse9657 4 ปีที่แล้ว +5

    Very humble president ubarikiwe Mheshimiwa for loving your people.

  • @millieywinniey7894
    @millieywinniey7894 3 ปีที่แล้ว +17

    True leader....Av never seen someone who is dedicated like u..RIPower

  • @abdulhakim7638
    @abdulhakim7638 4 ปีที่แล้ว +5

    Allah akupe maisha marefu mh magufuli tunakupenda baba tuone znz

  • @benjohnson1763
    @benjohnson1763 4 ปีที่แล้ว +43

    Umpende, usimpende ni vigumu kumchukia Magufuli

  • @christinemugo969
    @christinemugo969 4 ปีที่แล้ว +24

    Their prezzo I admire how he's good hearted and God fearing.....Kenya tulikosea nani jamenii

  • @angelinacharles4587
    @angelinacharles4587 4 ปีที่แล้ว +3

    Nakupenda rais wetu Mungu akuongoze vyema

  • @waleoofficial6816
    @waleoofficial6816 4 ปีที่แล้ว +39

    Tunaempenda Rais wetu,. Gusa picha Yangu kisha Subscribe Channel yangu ,,Twende sawa Twenty twenty

    • @moseskimwati5185
      @moseskimwati5185 4 ปีที่แล้ว

      Kweli huyu narahisi mwema sana

    • @pilikhamis2924
      @pilikhamis2924 4 ปีที่แล้ว

      Duuh anko ume nigusa sana yan nime furahi kupindukia kuja kwetu ww ndo baba Lao hasa mung akubariki maisha yako yote amin

  • @hajdawoozanzibar5868
    @hajdawoozanzibar5868 4 ปีที่แล้ว +5

    Tinga tinga piga saave. Zanzibar madudu majipu mengi. Ukimaliza Muda wakao bara uje zanzibar kuwa rais wetu. Kila lakheri 😎

    • @dicksonaroka6961
      @dicksonaroka6961 4 ปีที่แล้ว +1

      Aje wap??? s mtakuja kuhama nchi nyie au mpo tayar ki saikolojia pia

  • @captenndunga6199
    @captenndunga6199 4 ปีที่แล้ว +5

    BABA LAO OGOPA SANA HUYO MTU AKITEMBELEA KWENYE OFISI YAKO UTAHISI TUMBO LA KUHARA LINAKUSHIKA.

  • @valenakomba9218
    @valenakomba9218 ปีที่แล้ว +1

    Pamoja na yooote , lakini kwa kweli ulipenda watu. Kama ulikuwa unajifanya mimi sijui, ninachojuwa , ulikuwa Kiongozi uliye teuliwa na Mungu. Siyo wa kubabaisha.

  • @jenyyusuph4973
    @jenyyusuph4973 4 ปีที่แล้ว

    Mm magufuli akisema haya jamani kwaherini moyo unaniuma haki ya mungu magufuli akienda sehemu akimaliza Ile ishu alafu aseme haya jamani Asanteni EE NAENDA moyo unaniuma nahisi Malaika Ananitoka huyu baba nampenda sana mungu a mjalie maisha malefu umri unaompendaza mungu AMINA

  • @jimmymberesero7350
    @jimmymberesero7350 4 ปีที่แล้ว +1

    Amenibariki Kuuliza "Huyu Kapewa Huduma? Hebu Njoo Tueleze Dakitari.. Hlf Ndio Akawafata Wengine na Kuwapa za Sodaaa... Hongera Mingi Kwa BABA LAO 💪

  • @yohanaernestbujiku3340
    @yohanaernestbujiku3340 4 ปีที่แล้ว +4

    He always show humanity..this is very touching..may God protect you mr President

  • @neemasanga4536
    @neemasanga4536 4 ปีที่แล้ว +1

    Magufuli nakupendaaa,,, Yesu asikupite

  • @junkie92
    @junkie92 2 ปีที่แล้ว +5

    Ohh..so sad..May Allah bless his soul..🇺🇲

  • @ilynpayne7491
    @ilynpayne7491 4 ปีที่แล้ว +2

    Kweli DIAMOND ni noma sana hadi watu wana muita magufuli BABALAO 🙏🙏

    • @jssaa4733
      @jssaa4733 4 ปีที่แล้ว

      😀😀

  • @zoubertnassoro1716
    @zoubertnassoro1716 4 ปีที่แล้ว +4

    Bonne rétablissement incha Allah zuberi avec les autres aussi incha Allah

  • @ommymaconcept6420
    @ommymaconcept6420 4 ปีที่แล้ว +3

    Big Up Sana...He is hard working

  • @StephenKasolo
    @StephenKasolo 4 ปีที่แล้ว +1

    Magufuli Mungu akubariki

  • @jacklinamani7519
    @jacklinamani7519 4 ปีที่แล้ว +2

    Wajanja Sana selikali ya Zanzibar wamempeleka hospital mpya kwann wasimpeleke Ile ya zamn

  • @anthonymchilika3224
    @anthonymchilika3224 4 ปีที่แล้ว +13

    Diamond ankufanya umpende Magu😂😂😂😂😂baba lao

  • @hassanmkwama9900
    @hassanmkwama9900 4 ปีที่แล้ว +3

    Raus wa tanzania, safiii sana kutembelea mnazi mmoja hospital

  • @mamafatuma138
    @mamafatuma138 4 ปีที่แล้ว +3

    Mm kenya lkn nampenda sana RAISI wa Tanzania sio huyu watu tabu tupu

  • @alwyjahdhamy8094
    @alwyjahdhamy8094 4 ปีที่แล้ว +1

    Sijaonapo Africa rais humble Kama huyu. Huyu wa kwetu angekuwa robo tu ya Mr. Magufuli tungekuwa Mbali sana

  • @aliyhamim1683
    @aliyhamim1683 4 ปีที่แล้ว +4

    Maguful usikae sana iwe unakuja zanziba wahuju uchumi wapo weng sana

  • @hindisaidi5097
    @hindisaidi5097 4 ปีที่แล้ว +3

    Kumchukia MAGUFULI ni kujipa ugonjwa wa moyo wewe mwenyeeewe.

  • @yussufhassan5179
    @yussufhassan5179 4 ปีที่แล้ว +10

    Much respect Baba magu 👏🙏

  • @josephfrank4446
    @josephfrank4446 ปีที่แล้ว

    Mipango ya Mungu ni Mungu tu Magufur team

  • @zakayocyprian7117
    @zakayocyprian7117 4 ปีที่แล้ว +5

    Nasikia dogo mmoja kaifanyia lamination ela aliyopewa na mkuu

  • @top20africamusics31
    @top20africamusics31 4 ปีที่แล้ว +5

    Diamond Platnumz BABA LAO

  • @fortunatusabraham8432
    @fortunatusabraham8432 4 ปีที่แล้ว +11

    vitanda vya hospital havina mashuka(cover) so strange and unhealthy

  • @abdallahkitwana8471
    @abdallahkitwana8471 4 ปีที่แล้ว +12

    Huyu ni raisi wa mfano

  • @hafsalucky1088
    @hafsalucky1088 4 หลายเดือนก่อน

    Baba lao kweli kweli ❤

  • @mariamukajiru1898
    @mariamukajiru1898 4 ปีที่แล้ว +6

    MBONA VITANDA VYA HOSPITALI HAVIJATANDIKWA MASHUKA WAMELALIA KWENYE MPIRA MTUPU?

    • @karimjafari2101
      @karimjafari2101 4 ปีที่แล้ว +1

      Wangejua kama raisi atatembelea siku hiyo wangeenda hata kutafuta mashuka hata ya mtumba waweke maana kulalia mipila mitupu ni hatari kwa wagonjwa maana wanawezapata mambukizi kengine

    • @daudcharlesmhoja1614
      @daudcharlesmhoja1614 4 ปีที่แล้ว +1

      Jaman hapo ni Opd namaanisha reception akiwa anafanyiwa uchunguzi baadae ndo watapelekwa sehemu ya kulalia

  • @hassanjuma7164
    @hassanjuma7164 4 ปีที่แล้ว +2

    Dah tunajivunia sana kua na Rais wetu huyu

  • @MuslimChannelTZ
    @MuslimChannelTZ 4 ปีที่แล้ว +4

    Huyu ndo Raisi wangu 💓

  • @irenewile
    @irenewile 4 ปีที่แล้ว +1

    Huyo Kaka mmoja anamatako daah mpaka hawezi kutembea

  • @fatmahamad2448
    @fatmahamad2448 4 ปีที่แล้ว +2

    Zanzibar kumeoza Huduma mbovu spitali

  • @patoo8953
    @patoo8953 4 ปีที่แล้ว +1

    Kama unakubaliana na mm hatutowahi pata Raisi kaa Magufuli gusa like

  • @jeanneandfrancislifestyle1518
    @jeanneandfrancislifestyle1518 4 ปีที่แล้ว +7

    Humble good president in Africa he’s lovely everyone love ❤️ him

  • @dineshog8575
    @dineshog8575 ปีที่แล้ว +1

    R.I.P magu

  • @amoury1481
    @amoury1481 4 ปีที่แล้ว +2

    This is president baba lao

  • @hawamtambwa402
    @hawamtambwa402 4 ปีที่แล้ว

    Huyu Kiongozi hatari sana yaani anajali wananchi wake anahofu ya mungu, anahuruma hatari duuh mungu akuongoze kwenye kila gumu ulipitalo na uyapangayo Kwa ajili ya nchi yako yatimie

  • @10bora88
    @10bora88 ปีที่แล้ว

    Mungu yupo tunasubili kuona

  • @kareemalamoody6345
    @kareemalamoody6345 4 ปีที่แล้ว

    Magufuli you the best

  • @lilianelias4137
    @lilianelias4137 4 ปีที่แล้ว

    Like kwa baba lao...Magufuli baba lao.

  • @jenyyusuph4973
    @jenyyusuph4973 4 ปีที่แล้ว

    Masikini huyu baba nyie mbona ziara zake ni istria nzuri sana? Mungu akufanye jpm uwe chombo cha sifa zake amina nakupenda Sana babaangu

  • @queensjuma1832
    @queensjuma1832 4 ปีที่แล้ว +1

    Baba laoo 🤣🤣🤣🤣Kong master 👍👍CCM mbele kwa mbele,, mung akueke rais watu jembe letu

  • @gzodewizy885
    @gzodewizy885 4 ปีที่แล้ว +1

    Mungu atubalik

  • @damasenimutabazi9251
    @damasenimutabazi9251 ปีที่แล้ว

    Mungu agupumuzikishe hazuri

  • @user-hs3zi8hc5f
    @user-hs3zi8hc5f 7 หลายเดือนก่อน

    Nafulahiii sana nikimkumbuka mzeeeee

  • @robertnoel5232
    @robertnoel5232 4 ปีที่แล้ว +2

    Team Kiba Tutambuane

  • @OmanOman-dn6dj
    @OmanOman-dn6dj 2 หลายเดือนก่อน

    Mnalaza watoto bila shuka.zanzibar ovyo

  • @christinalukwaro4062
    @christinalukwaro4062 8 หลายเดือนก่อน

    Mh😢 Hayupo tena Matendo yake yaishi hadi leo

  • @naimasaid7763
    @naimasaid7763 4 ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki sana rais wetu

  • @sabrinasalum4387
    @sabrinasalum4387 4 ปีที่แล้ว +1

    Magufuli baba lao

  • @marymusi8235
    @marymusi8235 4 ปีที่แล้ว +1

    Yaani wanakuja Zanzibar mwaka wa uchaguzi tena

  • @simonthomas7969
    @simonthomas7969 4 ปีที่แล้ว +5

    Hakika ni baba lao

  • @thamiyuucute7098
    @thamiyuucute7098 4 ปีที่แล้ว +8

    Dah😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭unanilizaaaa😭😭😭😭😭

  • @winndelule2302
    @winndelule2302 4 ปีที่แล้ว +4

    😭😭😭😭nmejikuta nalia dah

  • @mpendaomary5705
    @mpendaomary5705 4 ปีที่แล้ว +2

    Mzee mm nakukubali cn mkuu wetu

  • @loner_wolf
    @loner_wolf 4 ปีที่แล้ว

    Mpeni tuhuma za Mr Kiringo.......sio mnachekacheka tu. Wazenji bana

  • @ameyashey3174
    @ameyashey3174 4 ปีที่แล้ว +3

    Mh uyo afsa usalama yupo salama kweli maana 🤗sio kwa minyama hiyoo

  • @neveragainneveragain1880
    @neveragainneveragain1880 4 ปีที่แล้ว

    Asante sanaaaa baba wa taifa.
    Wangonjwa watafutiwe mavazi ya wagonjwa amelazwa na Jeans😭🙆‍♂️🙆‍♂️

  • @swaphiatysaid294
    @swaphiatysaid294 4 ปีที่แล้ว +1

    Hata magufuli anfekuwa raisi wa Tz yote namaanisha Bara na visiwani pia angeweza na nchi ingekuwa ngangari zaid. maana huku Visiwan mh tuliokuwa huku tunajuwa hasa katika kipindi hiki cha ugonjwa huu. Kwa ushauri Mzee magufuli aungane na Shein ili Tz Visiwani iwe ngangar km Tz bara. Visiwan tuache ubinafsi tutakwisha

  • @kakaucholo160
    @kakaucholo160 4 ปีที่แล้ว

    Magufuli your are good person

  • @farouqjaku951
    @farouqjaku951 ปีที่แล้ว

    Mara n'yigi raisi mzuri Huwa hadumu duniyani isipo kuwa wale wabaya tu.

  • @khadijaomar8427
    @khadijaomar8427 4 ปีที่แล้ว +3

    Nimkenya ila kwa hili rais najiskia machozi yataka nitoka

    • @binaliy6456
      @binaliy6456 4 ปีที่แล้ว

      khadija Omar pole sn karibu sana Zanzibar

  • @hawaali8107
    @hawaali8107 4 ปีที่แล้ว +2

    Wazanj wamefurah mashaallah

  • @edinakyaruzi9226
    @edinakyaruzi9226 ปีที่แล้ว

    Baba alipokuwepo nilijifungulia bugando safi sana ila nimerudi baba hayupo mtoto alifanyiwa op hapo shida sana kwa wagonjwa walio lazwa muda mrf huduma mbovu sana

  • @HappyNkhatha
    @HappyNkhatha 2 หลายเดือนก่อน

    What a great loss

  • @yahayamaulana1561
    @yahayamaulana1561 2 ปีที่แล้ว

    Mama Samia kunabaadhi yataratibu anapaswa kusoma kwahayati Rais magufuli kwani ukalibuwake na wananchi ulitujenga wa Tanzania

  • @neemajulius1256
    @neemajulius1256 ปีที่แล้ว

    Nitakukumbuka daima

  • @princehalawa_official7980
    @princehalawa_official7980 4 ปีที่แล้ว

    Asante jemedari

  • @henryking4836
    @henryking4836 4 ปีที่แล้ว

    Jamani mimi ni mkongomani nahishi marekani sasa hivi ila siku moja nitachukuwa uraia wa Tanzania

  • @dintazdintaz7311
    @dintazdintaz7311 4 ปีที่แล้ว +1

    Vx v8 landcruser is best in africa

  • @twahasaidi7578
    @twahasaidi7578 2 ปีที่แล้ว +1

    Huyo alukuwaga nabii wa tz

  • @queenhusna204
    @queenhusna204 4 ปีที่แล้ว +2

    Nimehis Raha sana

  • @mwanatz5980
    @mwanatz5980 4 ปีที่แล้ว +2

    Amiin wapone kabisa.

  • @gregorychogelo2013
    @gregorychogelo2013 4 ปีที่แล้ว +1

    Inaleta raha sana!!

  • @princessashura4742
    @princessashura4742 3 ปีที่แล้ว

    Ccm mpaka nawajuku zangu wata chagua ccm

  • @mwafrikahalisi2549
    @mwafrikahalisi2549 4 ปีที่แล้ว

    Amekwenda na kujionea mwenyewe bila kusimuliwa na mtu yeyote. Hongera sana rais. 254

    • @hawa4968
      @hawa4968 4 ปีที่แล้ว

      Huduna mbuvuu sanaa

  • @mwajumajumamwajumajuma593
    @mwajumajumamwajumajuma593 4 ปีที่แล้ว

    Huyu rais mungu ampe maish maref San yaan ktk malais waliopita wote hawamfikii maguful

  • @newsongcelebration6994
    @newsongcelebration6994 4 ปีที่แล้ว +1

    Wapi aliposema mbona hawahudumiwi
    Pimbi nyie
    🤔🤔🤔😎😎😎

  • @bahatidamiani8546
    @bahatidamiani8546 4 ปีที่แล้ว +2

    Safi sana JPM

    • @asteriambwei7223
      @asteriambwei7223 4 ปีที่แล้ว

      Hiyo hospitali hawatandiki wagongwa wanalalia magodoro matupu?

  • @rafiki3433
    @rafiki3433 4 ปีที่แล้ว +4

    Hello marafiki!! Jina langu ni rafiki, naishi Canada. tafadhali Subscribe kwenye TH-cam channel yangu. mimi huzunguka ulimwenguni. Tafadhali subscribe ili upate kujua mengi kuhusu DUNIA. Asante kwa wale ambao watajiunga na mimi.

    • @amoury1481
      @amoury1481 4 ปีที่แล้ว

      Unazunguka afu unatuketea kitu gani special tukae tuangalie

  • @bouzartbc5641
    @bouzartbc5641 ปีที่แล้ว

    2023 nakulilia bado

  • @thomasmartinez786
    @thomasmartinez786 2 ปีที่แล้ว

    Huyu ndo raisi atakunbukwa daima nchi hii R.I.P JPM

  • @comradejonasrwegoshoramwal5727
    @comradejonasrwegoshoramwal5727 ปีที่แล้ว

    the period when Tanzania had an owner

  • @nihifadhiabdul5211
    @nihifadhiabdul5211 4 ปีที่แล้ว

    Maguful baba laooo😍

  • @danielmunis7524
    @danielmunis7524 ปีที่แล้ว

    Pumzika baba... Pumzika baba watalipwa Mara tatu kwa waliyoyafanyaa

  • @ibrahimbakar622
    @ibrahimbakar622 4 ปีที่แล้ว

    Kama ivyo fresh maana Z'bar nayo yako kiongozi