Dr. Chris Mauki: Mambo 5 kamwe usiendekeze kushirikisha watu
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 7 ก.พ. 2025
- Wengi sana wamejuta baada ya kugundua kuwa walikosea walipo mshirikisha mtu fulani mambo binafsi. Kuna mambo ya kushirikisha na kuna mambo ya kubaki nayo. Je unaya jua yapi usijaribu kabisa kushirikisha mtu? Haya hapa mambo matano kamwe usi shirikishe watu.
#DrChrisMauki#Mambo5#Usiendekeze
Natamani mambo haya niyafanyie lamination kwenye ufahamu wangu. Mungu nipe kutunza haya siku zote. Ubarikiwe sana Dr. Mauki
Mm ni muhanga wa hayo mambo. Na shukuru kwa kunizindua
Hili somo ni mhimu sana, watu wengi including myself hawajui hili.
Huwa hatujiamini ndiomaana tunaongea hovyo hovyo, nimefnguka kweli kweli, Thank bro
Daaaah!! Nashukuru sana kwa somo zuri mno umenishtua usingizini yaani umenisaidia sana kwa kweli. Ubarikiwe mno.
Namshukuru Mungu vyote nimejaaliwa sisemi hata uniue nimezaliwa hivyo
Mungu akuweke kwa jili yetu
Tunashukuru sana kwa elimu tunayoipata. Mungu akubariki
nmejifunza ktu,maan yote yananihusu.Barikiwa sana
Mungu nisaidie kwakweri hii tabia ya kumwamini mtu imenitesa Sana, nashukuru mnoo dr
Asante Kaka kwa kunifumbua
Mungu akulinde kaka
This is powerful msg. Thanks so much Dr Chris
Nakuelewa Dr chris mauki mungu akuweke tuyajue mengi toka nikufatilie wewe cjawah juta❤
perfect🙏
nmejifunz kitu na ntafanyia kazi
Mipango yako
Madhaifu yako
Mikakati yako mikubwa ya maisha
Siri zako
Kushindwa kwako.....
Jmn mafunzo yako yanaijenga sana ndoa yangu m mungu akuongozee
Asante Dr Chris kwa somo zuri ila sauti ni ndogo tunashindwa kusikiliza wengi officen
Nikweli kabisa mimi nimefeli mara nyingi sana kwa sababu hii
Napenda hii nguvu ya usiri nawashangaza tu
Big up sana wewe ni zaid ya mwalimu kwangu
God bless you with all of this 😔😔
Nimekuja kuangalia tena ..ahsante sana
Ahsante Dr Chris kwa somo zuri
Ahsante sana umenifungua,let's my success surprise them.
Nashukuru kwa Ushauri wako 🙌
Third party👏🏾👏🏾(Key word)🙏🏾
Ahsante Sana kaka Angu
Ahsante saaana kwa ushaur,Mungu akubariki sana dr.
Laiti ningeiona hii cilp kabla cjamwambia mtu madhaifu Yangu ningejiona mwenye bht sana ataivyo MUNGU namshukr sana kama naona mwanga Tena kwenye maisha yangu😢😢
Thanks Chris this topic was helpful to me
Hii video ngoja niiwatumie watu wa karibu wasome wataelewa
Asante saana baba🙏🙏
Asante baba kwa ushauri mzuri ubarikiwe
Asante 🙏 nimepona
Asante San Dr Chris ujumbe nzuri
Nakuelew sna uncle
Asantee kaka kwa mafundisho mazur kwel yatupasa tuepuke kumshirikisha Kila mtu nitakutafuta for more details
Asante sana kwa somo zuri sana nimejifunza
Hakika mwenyezi Mungu akubariki sana
Asante kwa somo umenifungua
Well said Dr. Mauki 👍
Aksante sana kaka kwa kunishaur
Shukrani Barikiwa
Asant sana nimejifuza kitu
My role model
Asante kwaushauri wako mzuri sana, nimejifunza vitu vingi san
Nikweli Dr hayo ndio maisha niliyoyachagua umeniongezea nikitaka ushuri nitakutafuta tunaongea tumalizana hili leo ubarikiwe
Nampataje huyu dr
Ahsanteeee Sana Dr 🙏🙏🙏🙏Ubarikiwe Kakaangu
Asante saana mafundisho mazuri
Asante sana Dr. Mauki🙏💗💗
Asante barikiwa
Mungu akubari.
Big up Doctor!
Asante Mr Christ Mauki
Safi doctor Mauki
Mungu azidi kukupa maisha yenye mibarrk ,na uzidi kuielimisha jamiii😅😅
This is so touching. Thank you so much Dr.
Asaaaante sana
Ahsante dr
mmmm kweli nimechewa kukufahamu tupo pamoja nafatilia hadi ulizokua umetoa
Barikiwa baba,,,,ila unachekesha,,,hatunyimani umbea😂😂
True kaka,, Halipiti MBINGUNI
Kweli kbs najifunza mengi sana kupitia masomo yko🙏
Ahsante❤
Thank very much
Nimejifunza
Ahsante sana 🙏
Asante doctor ur blessing
Asante Sana dr
Umesema kweli ubarikiwe
Asante
Mia kwa Mia Dkr
Thank you very much
Nakupata wapi kwa ushauli zaid wakaribu for now nipo Botswana 🇧🇼
Kabisa
Big up chris
MUNGU akubariki doctor wengi tunafeli sabababu yakutoa mamboyetu kwa watu naanza kuchkua hatua ntakupa matokeo
Akhasante dokta.naomba namba nikupigie pls
Hicho kipengele nahitaji neema ya Mungu nafeli mara kwa mara naomba namba yako mtumishi ninamatatizo mengi nahitaji msaada wako
Dr Chris's mauki kwanza hongera sana kwa kipaji ulichonacho masomo yako yananipa afya ya akili. Lakin nikuulize kitu. Wewe ni Dr by professional?? Or by what? Asante sana
Ni daktari wa saikolojia by proffesion.
Kweri kabisa
Umeongea ukweli daktar mauki ntazingatia haya mafunzo yako
Umenigusa Dr
Ahsate dk..lakin wakati.mwingine vichwq vinataka kupasuka unaona bora umwambie . Mtu kwa haraka
😅😅😅😅😅💫
Yan nikwel kbisa
@@morato6522 mm huyu sinaga siri hehehehe
Kweli kabisa kama mm huwa bajikuta huwa naongea mwenyewe hata njian
Ahutumihi mitandao mingine?
Naomba namba yako
Please doctor naomba nisaidie number yako nna matatizo nahitaji ushauri wa kisaikolojia
nitafute pia nitakuongezea kitu
Dr. Naomba utoe video ya kutufundisha uzazi wa mpango kwa kutumia kalenda
🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿😢😢
Mauki bora ukakaa na jambo lako maana rafiki ndo mbaya wako
🙏🙏🙏🙏🙏
Leo umenigusa mpaka naogopa
🙏
Somo limenigusa mno
🥰 💥
👏👏👏👏
Naomb namba yako brother
Aki nguvu ya usiri ni kubwa kuliko kulopoka
Kushirikisha watu mambo yako ni sumu kubwaaa mnoo
Mimi nilikutafuta Sana Ila tatzo gharama nilizopewa ilituongee nikashindwa Ila ninashida Sana na kuongea na wewe
Kwani ni vema kumficha mke Siri ?
Asante ssna Dr charis mauki 🙏