Hakika nafurahia sana vipindi vya EBM. Kwa wale mnaotaka kucheki maisha ughaibuni na hata kwa wale ambao tayari tupo ughaibuni. Hizi information ni nondo. Mungu endelea kuibariki kazi ya EBM.
Brother unavyo sema siokila Mtz alieko USA Sio mbeba BOX 📦 Unakosea sana kunawatu wanafanya hizo kazi namaisha yao wana yasukuma vzur napia wapo proud about it. Na wanashinda mushahara badhi ya wasomi wengi walioko Bongo kwahiyo jaribu kurekebisha kauli yako please
Congratulations to our brothers and sisters and thank you for setting a great example for all Africans. Kazi ni kazi... But always have a plan and a goal.
Mbeba boksi ni term tu ya kumaanisha hawaafanya kazi za maana haina maana kabisa ya kubeba boksi. Wengi ndivyo walivyo hawafanyi kazi za maana Pamoja na kuwa hata Hizo kazi za hovyo SINA competitive advantage on terms of Dollar and Tshillings wanapotuma PESA Tanzania but when it comes kutuma Hizo PESA ndani ya Marekani ni struggle. I have seen many doctors with PhD Wanaosha vyoo na kuendesha taxi so inategemea how lucky are you.
Mambo ya kusema kuwa watu waliopo US na Europe ni wabeba Box mostly ni maneno ya haters wanaotamani wangepata nafasi ya kwenda Europe na US lakini wameshindwa..
Kazi ni kazi ughaibuni. You can do many jobs, Phd or a degree is not all that important. You can clean public toilets get paid well on weekends and public holidays. Kazi ni kazi!
Hopefully few years to come I'll in America that's my dream and Mr EBM your are the catalyst of my Dream.God bless you all my African Brother and sisters in America
Wazungu hawabagui Weusi na Waafrica tunabagua hata mkimbizi tu unamnyima haki ya msingi,Mtu kazaliwa 1972 Tz mpaka leo ni Mkimbizi,ni Haki hiyo??Marekani ukifika leo Ukiomba ukakubaliwa tu mwanao akizaliwa tu ni Raia hata kama wewe mzazi si Raia
I real appreciate you jmn. I wish to get connection ya kukuja huko mambele. For sure natamani ulaya saaana ila namuamini Mungu. Mchaga og nifanyie basi mchongo best
🤔Funua funua bro. Kila ukifunua stori na maendeleo ya Watanzania nje ya nchi itawatia motisha Watanzania wengine kufanya jitihada ya kufikia malengo kama ya hawa wenzetu. Asante EBM kwa habari🤝
Hata kama ni mbeba boksi, bado anapata pesa halali hata mbele za Mungu. Akilala ni usingizi wa amani. Kuliko msomi kwenye ofisi za selikali anayeibia wananchi, siku zote usingizi wa hofu akihofia kufa na kukutana na Mungu.
The africans are complicated,these kubeba boksi job ,they pay here in Minnesota 18$/hr I was googling to see how much is paid Doctor in Tanzania :5000000shillings Brothers,hakuna kazimbaya America . I came here in America 2019,natumika kwa factory ,iam paid18,65/hr I have bought fuso fight from japan ,now it is working in Kampala ,im planing to build a house of 30000$,during 2 next years. Sijuwi watu wanazarawu kazi za hapa America. Bado kuona mtu anabeba boksi kwa mugongo awu kicwa.
Title ndio ameiweka vibaya eti sio wabeba boksi wakati Mbeba matakataka wa USA analipwa kuliko Professor wa UDSM. Mentality ya Mtanzania kama huyu ni Title ya Mtu na sio kipato cha Mtu.
@@trophywilson7211 najua zipo kazi nyingi zinalipa sana ila nilichukua ratio ya chini kutokana na sfatement eti sio kila Mtanzania ni mbeba Box. Is a job People make living. Yeye anaona ni kazi duni sana
Kiwanjani (canada & america) mchawi nguvu zakoo hakuna kazi ya kubeba box hakunaga hyo kaziiii ukifanikiwa kuingia ni rahisi kutusua coz michongo iko mingii fundi ujenz hapa canada analipwa hela nyingi kuliko mfanya kazii wa maana kabisa humu humu canada ,madereva wa magari taka wanalipwa mpunga mzurii tu madereva wa mabasii wanalipwa mpunga mzurii tuuu so bnafsii naaamin katika mipangoo ukifika kiwanjani kama hauna familia jipe miaka zaidi ya mi4 kuseto down usiwe na preshaaaa 🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿
Bora 📦 kuliko HR kwa 17-20/hr kukaa officine au bank teller fir 15/hr while on boxes delivery I can earn up 35/hr plus tip lol marekani ni uwe na Target tu Kuna watu wame spend 4yr on college plus student loan still they can make 10k annual gross 😝 😄 😀
Mambo ndugu yangu Mimi nitafutie ndugu yangu anaitwa muktari magoma,Mimi ni mmoja wa ndugu yangu Mimi ni hussein magoma,huyo alikuwa mtoto wa mtangazaji magoma najua utakuwa unamjua
Hamjaelewa tuu Mbeba box maana yake sio kubeba box km ilivyo. Nikufanya kazi tuu.Baadhi ya inchi huwaita waosha masufuria. Kwahiyo toa hiyo mentality yako.
Very good video, it's good kuona WaTanzania wenzetu wameweza achieve the best education level. But after kuipata, why wameshindwa kuja convert their education where it's actually practical? Why wameshindwa kuja share with the rest of sisi nobodies?
Hii imekaa vzuri sana kaka EBM..Nafurahi kuona watanzania wenzetu wanaofanya vzuri ugenini..Love my people so much…Kzi nzuri kaka EBM..👏🏾👏🏾👏🏾❤️🇹🇿🙏🏾
Congratulations to our Tanzanian brothers and sisters for the greater heights they have attained,much love from kenya.
Nasisi tunawapenda wakenya ❤️❤️❤️
@@rukiaiddyyahaya9506 sote ni ndugu na Dada ,karibu sana
Minabeba boksi kwa mshara $22 kwa saa kwangu mimi niko sawa tu
Ndo upambanaji kikubwa kusaka pesa na mafanikio🙏
Big up bro keep it up... And for how many hours do you do the Job
Halloo there! Am also from Tz
Mi ni kinyozi ninauzoefu wa miaka 20 vipi naweza kupata kazi?
Mambo vipi!! Naitwa Rosemary Niko arusha can we talk more if you don't mind
Hakika nafurahia sana vipindi vya EBM. Kwa wale mnaotaka kucheki maisha ughaibuni na hata kwa wale ambao tayari tupo ughaibuni. Hizi information ni nondo. Mungu endelea kuibariki kazi ya EBM.
EBM sasa matumani yamerudi, kama hamna anayebeba boksi basi ntajitahidi nije huko. EBM unafanya kazi nzuri.
Km hipo kz yakubeba boksi basi watwambie tusiyokuwa na Elimu ya juu jmn
Brother Ernest ..Huyu mchaga nimemuelewa sana
Inaonekana yupo smart sana 😁
@Juakali Tamthilia 😂
Uraia Pacha unahitajika haraka sana Tanzania, hii rasilimali ya Watanzania tunaihitaji nchini haraka sana.
Kabisa aisee
Hongera kwa hao wote Asante sana Bwana EBM
Brother unavyo sema siokila Mtz alieko USA Sio mbeba BOX 📦 Unakosea sana kunawatu wanafanya hizo kazi namaisha yao wana yasukuma vzur napia wapo proud about it. Na wanashinda mushahara badhi ya wasomi wengi walioko Bongo kwahiyo jaribu kurekebisha kauli yako please
Stop complaining and learn
Yes don't claim because hayo ndo Mambo yaliyozoeleka kusemw kuwa watu wanaosha vyombo
EBM, this is a great video, informative and educative.Keep it up!
EBM hii nimeipenda Sana I wish na mimi ningekuwepo Leo.
Congratulations to our brothers and sisters and thank you for setting a great example for all Africans. Kazi ni kazi... But always have a plan and a goal.
Mbeba boksi ni term tu ya kumaanisha hawaafanya kazi za maana haina maana kabisa ya kubeba boksi. Wengi ndivyo walivyo hawafanyi kazi za maana Pamoja na kuwa hata Hizo kazi za hovyo SINA competitive advantage on terms of Dollar and Tshillings wanapotuma PESA Tanzania but when it comes kutuma Hizo PESA ndani ya Marekani ni struggle. I have seen many doctors with PhD Wanaosha vyoo na kuendesha taxi so inategemea how lucky are you.
True
Nataka sana nije Marekani nipambane.
EBM barikiwa sana, karibu Texas, yupo Bishop Robert kuanzia tarehe 9/09/2022,kupata link ya mtumishi ingia TH-cam andika Robert tv Tanzania.
Kazi nzuri EBM
God bless you
Mambo ya kusema kuwa watu waliopo US na Europe ni wabeba Box mostly ni maneno ya haters wanaotamani wangepata nafasi ya kwenda Europe na US lakini wameshindwa..
Safi sana maisha kutafuta ..,
Great
EBM I’m patiently waiting for all the videos from DICOTA event
Kazi nzuri EBM ,number 1 fan from Kenya.
miaka 21 nipo marekani huo ni umri wangu 😁😁
anyway didn't expect that brother you look younger👏👏
Hiyo Ni no ya wtsapp
Pole njoo ubebe box
Nimefurahi kumuona Dr.Mohamed Zuhery,wakati nipo Form 1 Popatlal Sec School Tanga alikuwa School Headboy wetu!
Jamani mweee first gal talking my schoolmate vero, happy seing her !
Very inspirational
Kipindi ni kizuri.
Lakini ni vizuri watu wajitambulishe wenyewe na kujieleza.
Congratulations.
Mahojiano ni mazuri sana. Hongera sana Mtangazaji...Nimempenda mchaga og 🤣 anavyoongea amewakilisha..wachaga hoyeee ❤❤
Amazing stories 🙏🙏 I will like to visit USA & Canada ❤️❤️
Kazi ni kazi ughaibuni. You can do many jobs, Phd or a degree is not all that important. You can clean public toilets get paid well on weekends and public holidays. Kazi ni kazi!
Well said
Exactly….Kuna watu wanabeba box na wafanya mambo makubwa tu..
well said lakini yule jamaa truck driver ange angaza hii comt yako mzee anatengeneza 40k a month ukitoa expenses zoote pamoja na kujilipa 1000
Nawatupe Kazi Cha kuosa choo
Hopefully few years to come I'll in America that's my dream and Mr EBM your are the catalyst of my Dream.God bless you all my African Brother and sisters in America
Welcome
Titels ziko Sanaa Africa. Sababu wanataka Sana ukubwa. Na ubabaishaji.
Inaonekana huko hakuna ubaguzi katika kazi niliona wtz wengine wako jeshi America,EBM thanks for inspiration
Wazungu hawabagui Weusi na Waafrica tunabagua hata mkimbizi tu unamnyima haki ya msingi,Mtu kazaliwa 1972 Tz mpaka leo ni Mkimbizi,ni Haki hiyo??Marekani ukifika leo Ukiomba ukakubaliwa tu mwanao akizaliwa tu ni Raia hata kama wewe mzazi si Raia
Dr Veeee ni mrembo Mungu azidi kumbariki
Interesting video.
I real appreciate you jmn. I wish to get connection ya kukuja huko mambele. For sure natamani ulaya saaana ila namuamini Mungu. Mchaga og nifanyie basi mchongo best
Apply green card rafiki ndo mchongo pekee ukipata umeula ndugu. Cha msingi apply apply apply Tena
kazi nzuri
EBM barikiwa sana
Mangi nimependa the way unaelezea jambo #welcome #December#2022
🤔Funua funua bro. Kila ukifunua stori na maendeleo ya Watanzania nje ya nchi itawatia motisha Watanzania wengine kufanya jitihada ya kufikia malengo kama ya hawa wenzetu. Asante EBM kwa habari🤝
Amen 🙏
Nimependa 💞
Dokta p ni mrembo kweli maashaallah ❤❤❤❤
Asante sana Ebm kwa shule tunajipanga tutaonana October
Mungu akubariki Kwa ufahamisho
Kiongozi miyoyo yetu inandoto tayari yakwenda huko,hata box tutabeba tu,
Umeonaeee tuko tayari kikubwa ni connection tu
good job
Jaman nımewapenda sana hongerenı nataman sıku mnıalıke nataman kwel .
Mungu awabariki
EBM the great
One day I will earn my Law PhD in America.
Amen
much love guys🇰🇪❤️
Boss fanya interview na Roma mkatoliki
Sijapata simu yake. Hopeful one day
Mchek dm
Safi sana.Lkn next time zingatia sound makelele ni mengi sana
Hata kama ni mbeba boksi, bado anapata pesa halali hata mbele za Mungu. Akilala ni usingizi wa amani. Kuliko msomi kwenye ofisi za selikali anayeibia wananchi, siku zote usingizi wa hofu akihofia kufa na kukutana na Mungu.
AMINA
nimempenda sana mangi huyo. yuko realistic sana na anapenda asili yake na hajaisahau.
Wameshiba, maisha mazuri huko!
Kama tunawasomi huko SI Bora waje Tanzania wengine wawe viongozi hapa Sasa tunawapigaji tu viongozi ovyo sana hawana uzarendo nikutozwa tu Tanzania
Mmh na hizi Tozo? Hawatawezana
👏🏿👏🏿
.
🇹🇿
Nimependa Sana tujitahidini Sana wenzangu tunaweza kabisa
Napenda watanzania! 🙏
Karibu
Hope to be there one day
Karibu saana
The africans are complicated,these kubeba boksi job ,they pay here in Minnesota 18$/hr
I was googling to see how much is paid Doctor in Tanzania :5000000shillings
Brothers,hakuna kazimbaya America .
I came here in America 2019,natumika kwa factory ,iam paid18,65/hr
I have bought fuso fight from japan ,now it is working in Kampala ,im planing to build a house of 30000$,during 2 next years.
Sijuwi watu wanazarawu kazi za hapa America.
Bado kuona mtu anabeba boksi kwa mugongo awu kicwa.
Title ndio ameiweka vibaya eti sio wabeba boksi wakati Mbeba matakataka wa USA analipwa kuliko Professor wa UDSM. Mentality ya Mtanzania kama huyu ni Title ya Mtu na sio kipato cha Mtu.
Wewe 18$/hr ,Amazon wanalipwa 3o$/hr ndugu yangu
@@trophywilson7211 Weee..Amazon ya wapi hiyo.??😳ziko hapa OH kibao wanalipa 19-21 inategemea na shift
@@trophywilson7211 najua zipo kazi nyingi zinalipa sana ila nilichukua ratio ya chini kutokana na sfatement eti sio kila Mtanzania ni mbeba Box. Is a job People make living. Yeye anaona ni kazi duni sana
Mimi mkenya hivi kubeba boksi ni kazi Gani?
EBM uyo mohamedi ally wajina wangu yuko huko Fanya mpango nimfate
Kiwanjani (canada & america) mchawi nguvu zakoo hakuna kazi ya kubeba box hakunaga hyo kaziiii ukifanikiwa kuingia ni rahisi kutusua coz michongo iko mingii fundi ujenz hapa canada analipwa hela nyingi kuliko mfanya kazii wa maana kabisa humu humu canada ,madereva wa magari taka wanalipwa mpunga mzurii tu madereva wa mabasii wanalipwa mpunga mzurii tuuu so bnafsii naaamin katika mipangoo ukifika kiwanjani kama hauna familia jipe miaka zaidi ya mi4 kuseto down usiwe na preshaaaa 🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿
Mangi hatareee..😁😁😁
Nimecheka sana eti sio mbeba boksi
Aisee Kinabo kumbe upo hukuuuu..salams bro..
Dr veeeeee
😂😂😂😂hawa itakua wanafanya hotelini ndio maana wanene hivii. Mungu awabariki ndugu zangu mzidi zaidi na zaidi.
Mmm kila mtu akitaka kuwa mnene huku anakuwa
Safi hiii🇹🇿
Mazungumzo mazuri lakini angalao yangelifanyika sehemu ambayo haina kelele background..,natumaini utafanya vyema mbeleni.
20 years in USA my whole families here.
Yes Me too now 12 years
haina part two hii?
Hapa mwendo wa box tu Hamna chengine wakusoma asome 😂
Mm ni refrigeration technician na aluminum welder, how and what can I do nije huko boss.
Njoo Brasil kazi zipo mbona sio mpka marekani
@@leecode6135 utaratibu ukoje kuja huko?
Ntakutumia maelekezo
@@leecode6135email au contact please
Lee code nipe mchongo WA Namna ya kupata kuja huko Canada
Nimesikia dr kibona
WAHA TUNAKUBARI SANA KAKA
EBM naomba namba yako tueze kuongea maswala kadhaa kiundani....mimi ni shabiki wako👍
Mchagha kanikosha jamani
As longer unalipa bills who care kinachomatter what u earn na si kufurahisha watu mimi nabeba
Bora 📦 kuliko HR kwa 17-20/hr kukaa officine au bank teller fir 15/hr while on boxes delivery I can earn up 35/hr plus tip lol marekani ni uwe na Target tu Kuna watu wame spend 4yr on college plus student loan still they can make 10k annual gross 😝 😄 😀
Bro hbar naomba unisaidie na mm nipate kazi marekani
Huyo Dr wa IT ana miaka zaidi ya 20 US ila ana kiswahili amazing hadi anataja neno "UDOHOO" kama kashata ambalo ni kiswahili cha ndani ndani.
Huyo Mchagga anaongea kama NIKKI #WA#PILI
Mimi hata kama kuna kazi ya kuogesha mbwa na paka am rediiiiii to gooo
🤣🤣🤣🤣🤣
Hahahaha 😆😆😆
Mambo ndugu yangu Mimi nitafutie ndugu yangu anaitwa muktari magoma,Mimi ni mmoja wa ndugu yangu Mimi ni hussein magoma,huyo alikuwa mtoto wa mtangazaji magoma najua utakuwa unamjua
Huyu mzee nampenda jaman niunganishe na mr.fundi nakubali Sana na dada yangu hapo
Ss ambao hatuna high school equivalents na za u.s.a fursa zetu zinakaaje
Mpaka uje kama visitor ndipo ujipange namna ya kusoma
Ni wamarekani wenye asili ya TANZANIA
Leteni raia pacha mbwa nyinyi,mnakaa bungeni na posho zenu za tsh elf 8
Hamjaelewa tuu
Mbeba box maana yake sio kubeba box km ilivyo.
Nikufanya kazi tuu.Baadhi ya inchi huwaita waosha masufuria.
Kwahiyo toa hiyo mentality yako.
Very good video, it's good kuona WaTanzania wenzetu wameweza achieve the best education level. But after kuipata, why wameshindwa kuja convert their education where it's actually practical? Why wameshindwa kuja share with the rest of sisi nobodies?
Mshahara Tz mdogo ndiyo maana tunabakia huku
@@trophywilson7211 Safi Sana 👏👏
Nafanyaje na mm nibak?
We mwenyewe unafahamu, bongo miyeyusho sana
@@anastaziuscyriacus5415 kwakweli changamoto ni nyingi na kubwa
Mohamed zuberi was my school m.et at Gerezani primary school
Natamani kupata scholarship nije kusoma nitimize ndoto kaka EBM nisaidie sana
Wasiliana na wengi tu wanajua njia
🇹🇿
Hello brother 👋
Mangi angekomaa huko huko ulaya tu. Asirudi bongo. Huku bongo watampoteza. Bongo ngoma ngumu sana
Uwe unajitahidi sauti ikae vizuri
Kubeba box ni lugha tu lakini hakumaanishi ni kubeba box
Kaka EBM naomba nikutanishe au nisaidie nipate mawasiliano na huyo Dr aliyesoma masters ya Marine Science
Ones a chaga always a chaga nani
✈️✈️✈️ chiiiiii