Makala: kinachompa Membe UJASIRI,'JEURI' mbele ya wembe unaokata,'SIRI NI SILAHA?'

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 9 ก.พ. 2020
  • #Membe #uchaguzi2020 #ccmnachadema--
    Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali tembelea www.dar24.com
    #Dar24 #Dar24Media

ความคิดเห็น • 160

  • @amannkondo5232
    @amannkondo5232 4 ปีที่แล้ว +10

    Smart...presentation, Big up bro umefanya poa sana👏👏

  • @majosamalundi4016
    @majosamalundi4016 4 ปีที่แล้ว +23

    Mtangazaji uko vizuli kwenye utangazaji hongela

  • @aliebrahim9423
    @aliebrahim9423 4 ปีที่แล้ว +5

    Best presentation!!! Upo vizuri Kaka.

  • @khatibuhabibu2465
    @khatibuhabibu2465 4 ปีที่แล้ว +15

    Umewasilisha kwa weledi. Hongera.

  • @nestoryklevakleva929
    @nestoryklevakleva929 4 ปีที่แล้ว +5

    Good presentation brother

  • @lubigisajr.1251
    @lubigisajr.1251 4 ปีที่แล้ว +32

    Mh! Kama waandishi wote wakiwa na hulka hii, tathinia ya habari itakuwa bora sana.

  • @yahyakifea7805
    @yahyakifea7805 4 ปีที่แล้ว

    Kaka today it's finally happened...
    Is a member of A.C.T.
    Maaaa shaa Allah good prediction

  • @amanijampion3045
    @amanijampion3045 4 ปีที่แล้ว

    Tunashukuru kwa makala nzuri iliyoshiba. Tuandalie zingine

  • @shawangijuma1041
    @shawangijuma1041 4 ปีที่แล้ว

    #Nice

  • @alimakame9215
    @alimakame9215 4 ปีที่แล้ว

    Mtangazaji hongera

  • @jumamakuri3218
    @jumamakuri3218 4 ปีที่แล้ว

    Uko vizuri kaka!

  • @choganyamtema115
    @choganyamtema115 4 ปีที่แล้ว +1

    Unajua sana kusimulia historical

  • @angeljoyce6836
    @angeljoyce6836 4 ปีที่แล้ว

    Mtangazaji nakupenda bure uko vizuri sana

  • @nestor384
    @nestor384 4 ปีที่แล้ว +14

    Aacheni kupotosha Umma MTU WA KAWAIDA SANA RAISI BORA TANGU 2015 MPAKA LEO NI JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI
    Hakuna Waziri zama zote za Mkapa na Kikwete Hakukuwa na mtu bora na mwenye sifa zote Kama John Pombe Magufuli.
    Ever John P. Magufuli💪🏻

    • @victorkyara393
      @victorkyara393 4 ปีที่แล้ว +2

      Nestroy Buyungu u

    • @neemamasimba2981
      @neemamasimba2981 4 ปีที่แล้ว +2

      Oyo oyo oyo oyo sema kaka Jembe ni MAGUFULI POMBE JOSEPH, Mzalendo wa kweli mwenye uchungu na nchi yetu, wengine ni wapiga dili hakuna aliyewahi kupiga kazi ya kuitumikia TZ Kama mzee baba Magufuli

    • @adolphmbuta7643
      @adolphmbuta7643 4 ปีที่แล้ว

      Nestroy Buyungu hamnaki2

    • @sarahalmasi873
      @sarahalmasi873 4 ปีที่แล้ว +1

      @@adolphmbuta7643 zero

  • @isackkiteve5975
    @isackkiteve5975 4 ปีที่แล้ว

    Well researched and presented

  • @sadikimtega4135
    @sadikimtega4135 4 ปีที่แล้ว +19

    Membe hakuwa na mjadala kichwani, aliamini kuwa waziri wa nchi za nje ni tiketi tosha ya kuwa Rais

  • @nurdinathumani3989
    @nurdinathumani3989 4 ปีที่แล้ว +2

    Mtigaaa Abdallah

  • @musayahya702
    @musayahya702 4 ปีที่แล้ว +1

    Mmmh letu sikio

  • @kizitototo8923
    @kizitototo8923 4 ปีที่แล้ว +1

    Membe wapinzani wanakupenda. WANAKUITA unabusara wanakukaribisha nenda kwao. CCM una chako tena.

  • @gracemima5234
    @gracemima5234 4 ปีที่แล้ว +7

    Tunashukuru huyu mzungu wweusi hakupata fursa ya kuiongoza Tanzania, Membe mwenye majivuno, mwenye kuangalia Watanzania kama wote hawajaoga Na bado alikuwa na nia ya kuwaongoza kwa remote control wakati yeye yuko New York. Mungu anawapenda Watanzania kumuchaguwa mtoto wake Rais Magufuli akawazawadia Watanzania na kuwaambia huyu ndiye atawafikisha Kanani na siyo huyu Membe mwenye majivuno. Majivuno ni zambi kubwa tunayofanya binaadamu kila siku bila kujuwa. God forbids for Membe to be a President of this great country Tanzania.

  • @clvestartanzania2024
    @clvestartanzania2024 4 ปีที่แล้ว +3

    Kuhusu #B.membe nikiongozi na anasifa za kuwa kiongozi na msimulizi asee yua the best uko vzr sn #Tanzania ina rasilimali watu wakutosha sana

  • @mashakakalamba519
    @mashakakalamba519 4 ปีที่แล้ว

    Wewe mwandishi upo vizuri saaana ! Una upeo mkubwa sana. Unamzidi sana Membe.

    • @sasakaba5718
      @sasakaba5718 3 ปีที่แล้ว +1

      @ Mashaka Kalamba ... Anamzidi na Magufuli

  • @dazk7861
    @dazk7861 4 ปีที่แล้ว

    Unajua sana kuelezea

  • @gastordominic410
    @gastordominic410 4 ปีที่แล้ว +9

    Tutaelewana tu ngoja kidogo

  • @shariaathumani3261
    @shariaathumani3261 4 ปีที่แล้ว

    Nimekukubali sana hukuongeza wala hukupunguza

  • @rodigensinkwela5964
    @rodigensinkwela5964 4 ปีที่แล้ว +5

    Ngoja tuone

  • @petermichael593
    @petermichael593 4 ปีที่แล้ว +1

    Hongera xana...

  • @ahmadehassaneahmadehassane5901
    @ahmadehassaneahmadehassane5901 4 ปีที่แล้ว

    Ahmade hassane

  • @evaristmandilindi6147
    @evaristmandilindi6147 4 ปีที่แล้ว

    Mzee haruna tunda la MYCN my class mate and moko 1 intake

  • @salimmohamedsalim4448
    @salimmohamedsalim4448 4 ปีที่แล้ว +1

    Nasoma comment

  • @issackchalahani1235
    @issackchalahani1235 4 ปีที่แล้ว +3

    Of course Jamaa ni mzuri sana kwenye masala ya diplomacy wala halina ubishi na ndiomaana magufuli na watu wake wanamuona ni MTU hatari sana kwao.

  • @saidhamis5956
    @saidhamis5956 4 ปีที่แล้ว +5

    Kwakweli nimeamini msemo wa ccm kuwa wanambinu kibao ambazo kuzigundua inapasa uwe makini Sana kama hamja jifunza shauri zenu mimi fangu macho ila kuweni makini na migogoro ya CCM

  • @muniraahmed624
    @muniraahmed624 4 ปีที่แล้ว +14

    Membe in miongon mwa viongoz weny busara mno yan🙇

  • @praygodlema3962
    @praygodlema3962 4 ปีที่แล้ว +1

    Huyu ange simama 2020 angepita

  • @chachatheambassadorguide
    @chachatheambassadorguide 4 ปีที่แล้ว +15

    Ha ha ha, walishazoea mbio za kupokezana vijiti, hii sio Mali ya genge fulani, au mashemeji fulani, watuachie nchi yetu, walipewa madaraka wakafanya ikulu Business as usual, tembo wakateketea, twigs wakapanda ndege, NO ANOTHER CHANCE.

    • @richardmollel8655
      @richardmollel8655 4 ปีที่แล้ว +1

      Mzee wa oic

    • @Teksani
      @Teksani 4 ปีที่แล้ว +3

      Huyo aliye madarakani sasa hivi si amepokea kijiti pia? ndio akipitishe na yeye. Isinge kuwa kapewa kijiti asingekuwa rahisi. So aendeleze mchezo tu.

    • @zahraalbaloochi2841
      @zahraalbaloochi2841 4 ปีที่แล้ว

      @@Teksani 100% umeongea good point

  • @raymondbashaka5948
    @raymondbashaka5948 4 ปีที่แล้ว +11

    Membe hakukatwa jina aliingia hadi top five

  • @adrophwilliam3225
    @adrophwilliam3225 4 ปีที่แล้ว +2

    Duu! Bongo kuna watu wanajua mambo!!

  • @alexchacha4441
    @alexchacha4441 4 ปีที่แล้ว +1

    Wewe nakupongeza sn kwa ujasir wako hongera san ila ckushauli kuwa uwamie kweny vyama vngne endelea hivyohivyo nakukubali sana

    • @msuyaherbalresearcher7184
      @msuyaherbalresearcher7184 4 ปีที่แล้ว

      Membe.hii nchi ni ya Watanzania.Aliyeko madarakani,Mwacheni amalinze kazi nawewe ukalale.na usirudie tena kuutafuta uraisi.hatukutaki.kalale huko

  • @johnmwita221
    @johnmwita221 4 ปีที่แล้ว

    YES

  • @sudyslaa8278
    @sudyslaa8278 4 ปีที่แล้ว +1

    hapo kwenye mfano wa mwishoni kwa raisi wa marekani kuchafuliwa kuna kitu kikubwa cha kujifunza.

  • @mittiroctiiz6579
    @mittiroctiiz6579 4 ปีที่แล้ว

    ,,,,sioni ukweli wala ushindi kwake

  • @elizabethmatilia9527
    @elizabethmatilia9527 4 ปีที่แล้ว

    Membe uko juu
    kwa njia yoyote ile unakubalika
    urais unauweza sanaaaaaa

    • @kilitv5761
      @kilitv5761 4 ปีที่แล้ว

      we hujielewi hata kidogo

    • @lysajohn7405
      @lysajohn7405 4 ปีที่แล้ว

      @@kilitv5761 mpe wewe urais akuna ata watu wanaomtaka turudishe mambo ya Epa

    • @richardthobias5657
      @richardthobias5657 4 ปีที่แล้ว

      Mkubali ww kwenye familia yako na sio watz, leo hii watu wana akili ww

  • @ramadhaniligoneko1221
    @ramadhaniligoneko1221 4 ปีที่แล้ว

    ni siasa ya nchi

  • @jumajembe3570
    @jumajembe3570 4 ปีที่แล้ว +15

    Unauma huku unapuliza!

  • @ibrahim10chimah64
    @ibrahim10chimah64 4 ปีที่แล้ว +5

    Kweli hyo ni siri

    • @eddyhongeramaalimseifulipo6612
      @eddyhongeramaalimseifulipo6612 4 ปีที่แล้ว +1

      nisawa na kujitupa mkondoni kwa kutegemea kuipata juuu lakini humo humo usiombee kukumbana papa na nyangumi

    • @prospermiraji8473
      @prospermiraji8473 4 ปีที่แล้ว +1

      Membe upo ngangari sana, Watanzania wenye GB vichwani tunakuelewa vema.

    • @rehemachaula8621
      @rehemachaula8621 4 ปีที่แล้ว

      Chadema kuweni macho msipokee MTU wanataka kupeleleza Uhuru wenu lowasa ilikuwa hivhv

  • @heraldloshi1864
    @heraldloshi1864 4 ปีที่แล้ว

    Mheshimiwa Membe,ni nyegere wa siasa.Ana ngata kweli.

  • @mwajumashomari5279
    @mwajumashomari5279 4 ปีที่แล้ว +1

    Kwa kweli niliwashangaa sana hasa mbowe na Mbatia kumpa lowasa kuwa mgombea wao, hata mimi kula yangu ilikuwa iende ukawa lakini sikuitoa kula yanhu niliona bora niludi ccm kumpa Magu.

  • @burkardkayombo5271
    @burkardkayombo5271 4 ปีที่แล้ว +1

    Membe NDOTO uliyoota unapoteza muda, sanasana nakuomba kumbuka na jiulize huyu Maguful unayemgusa niyule wa 2015? Ukipata jibu ni yuleyule, na wapinzani ni wapya, ENDELEA. Vinginevyo ACHA.

  • @richardthobias5657
    @richardthobias5657 4 ปีที่แล้ว

    Wembe ni ule ule hata aende chadume lazima atakatwa mkia teeeena. Nimeipenda hii..

  • @ramadhanmsora1566
    @ramadhanmsora1566 4 ปีที่แล้ว

    Sisi yetu macho ns masikio tu

  • @harounali9057
    @harounali9057 4 ปีที่แล้ว

    Kazi mujaraab kabisa

  • @jumasaidi8157
    @jumasaidi8157 4 ปีที่แล้ว +1

    Ukopoa sana mtangazaji.

  • @jhayparism1152
    @jhayparism1152 4 ปีที่แล้ว +6

    Yani unauma unapuliza' unauma unapuliza.
    Hata hueleweki' muache Membe apambanie kile anacho kiamini na kwa namna anavyojua.
    Tatizo umezoea kuona Viongozi waoga waoga dhidi ya Chama na Serikali.
    Tz ingekuwa na watu watano tu kama Membe naamini Chama Tawala kingekuwa ni Chama bora kabisa kuliko Uozo uliopo sasa.

    • @vonostus
      @vonostus 4 ปีที่แล้ว

      Hutaki tu kumuelewa kwa mlengo wako Ila kiukweli jamaa Yuko vzr

    • @buthosll2874
      @buthosll2874 4 ปีที่แล้ว

      Kmly

  • @masidiindakazi5136
    @masidiindakazi5136 4 ปีที่แล้ว

    Uko vizur sana mtoatalifa wote wabgekua kama wewe mbn tunge enjoy you tube

  • @sadayomoses5735
    @sadayomoses5735 4 ปีที่แล้ว

    ira kwenye macho ya mtuu uwezi kujuwa anacho fikiria mm nashangaaa sana kuona watu kama hawa naamaana membe wakati akiwa waziri wariifanya ikuru kama gesit Hus wakawa wanaingia nakutoka reo hii eti anasema yy kabaki hatima wakati wao ndoo wezi wakubwa wa ichii hii wametuibia sana hawa

  • @charleschacha7819
    @charleschacha7819 4 ปีที่แล้ว +1

    Kumbe angetuingiza kwenye balaaa, anaingia kwenye ugomvi wa Israeli tena, this is wrong battle

  • @mubofuthegreat4955
    @mubofuthegreat4955 4 ปีที่แล้ว

    Yametimia sasa

  • @tobaramadhani7139
    @tobaramadhani7139 4 ปีที่แล้ว +1

    MAMBO YA NCHI HII INACHEKESHA SANA YANI RAIS KILASIKU ANASEMA NCHI IMECHEZEWA LAKINI HAO WALIOCHEZEA NCHI HAWATAJWI NI CHAMA GANI ILA WATU WANALOPOKA TU OVYO OVYO NAUNGANA NA MEMBE YATIMA ACHAGUI MBOGA

  • @ngabolipurkeilaizer7002
    @ngabolipurkeilaizer7002 4 ปีที่แล้ว

    Eeh mtangazaji umejaribu

  • @jacksonjohn7378
    @jacksonjohn7378 4 ปีที่แล้ว +3

    Kisura mbona anafaa xna mmm

  • @husseinchiaseeds2653
    @husseinchiaseeds2653 4 ปีที่แล้ว

    Sauti makini

  • @queenambakisye5576
    @queenambakisye5576 4 ปีที่แล้ว

    Membee achaizo mnawatia aubu watoto zenu tosheka Tamaa sio nzuri,

  • @rashidibwire429
    @rashidibwire429 4 ปีที่แล้ว +2

    TUMAINI JIPYA

  • @cheupemwanga3326
    @cheupemwanga3326 4 ปีที่แล้ว

    Sasa aneoteshwa

  • @sheryphamwenevalley6124
    @sheryphamwenevalley6124 4 ปีที่แล้ว

    Kakatwa zaudi ya mkia 😂😂😂

  • @happinessmwenda2773
    @happinessmwenda2773 4 ปีที่แล้ว

    SIASA NI MAZINGAOMBWE AFRICA.

  • @sadayomoses5735
    @sadayomoses5735 4 ปีที่แล้ว

    ira kweri mwizi hana aibu sawa na uyuu mzee

  • @francisbuya8357
    @francisbuya8357 4 ปีที่แล้ว

    Mzee tambua masihara masihara mbuzi alimpanda mama yake. Ushauri jipange upya kuomba msamaha ili uishi kwa heshima mzee

  • @kizitototo8923
    @kizitototo8923 4 ปีที่แล้ว

    Eti ka group kadogo ka wapinzani wa JPM. ATI WANAJITOKEZA HUMU ETI WANAONA eti membe anaweza kukipalaganisha Ccm. Nawenyewe ETI WANAMSIFIA HUMU. UKIWAAMBIA MCHUKUWENI watamkataa vibaya mno. SASA MEMBE ANABAHATI MBAYA YANI POTE HATAKIWI. HAKUNACHAMA KINACHOMTAKA

  • @ilynpayne7491
    @ilynpayne7491 4 ปีที่แล้ว

    Hi nchi kilichobaki pumzi tu maana nchi wana peana wana gawana watajua wenyewe na mambo hao

  • @charleschacha7819
    @charleschacha7819 4 ปีที่แล้ว +2

    Nchi za kiarabu zimeungana Mara kadha zikipanga kuipiga Israeli lkn waliamburi umasikini na kipigo na kufarakana sasa sisi Tanzania kweli, nimakosa makubwa sana kuingilia huo ugomvi ss bado tuko mbali sana

    • @kaungufelista9463
      @kaungufelista9463 4 ปีที่แล้ว +1

      Charles Chacha membe uko vizuri nakukubari sana tupo pamoja

  • @edithkovary3654
    @edithkovary3654 4 ปีที่แล้ว

    We do not need USA. Please leave us alone

  • @azizauledi4108
    @azizauledi4108 4 ปีที่แล้ว +2

    Membe ndio nani wametafuna sana pesa za nchi hii na mbumbumbu wanamshangilia na mwenyewe alisema mkipotea step mumpe urais ntaisoma maji mtaita water mtaendelea kula ugali na chachandu mpaka yesu harudi😂😂😂.

  • @neversonkunoga6692
    @neversonkunoga6692 4 ปีที่แล้ว +1

    Kuweni makini upizani huo ni mtego kama ulio pita, jiulizeni kwanini jambo hilo lisingetokea mapema lije litokee leo kuelekea ucha

  • @polebugalama6015
    @polebugalama6015 4 ปีที่แล้ว +6

    Bora membe

  • @dicksonnelson6663
    @dicksonnelson6663 4 ปีที่แล้ว +3

    Huyu jamaa c alikuwa wasafi

    • @jumannesaidi2917
      @jumannesaidi2917 4 ปีที่แล้ว

      Harun tabwe hajawai kuwa wasafi aliekua wasafi anaitwa mtiga abdalla

  • @paulkisatulusana1142
    @paulkisatulusana1142 4 ปีที่แล้ว +2

    Yeye alikuwa na Ndoto yake sawa siyo Ndoto ya watanzania
    Membe unatamaaa tuu
    Mwache JPM anatufaaa sana kuliko wewe

  • @valentineevarist5628
    @valentineevarist5628 4 ปีที่แล้ว

    kwahiyo membe kukaa kimya wao ina wahusu nini ama walitaka na yeye mda wote awe ana sifia ovyo kama mwehu

  • @meddymushimaz4998
    @meddymushimaz4998 4 ปีที่แล้ว +6

    CCM HAIWEZI KUMPA NAFASI MTU MWENYE TAMAA AINA YA MEMBE, AENDE CHADEMA KUNA UHABA WA VIONGOZI HUKO, HAPA CCM INAZALISHA VIONGOZI KILA SIKU, CHADEMA SASA KIMEO HICHO ANZA KUMSAFISHA SASA AGOMBEE URAISI CCM HAINA AJA VIONGOZI KAMA HAO, NENDENI AKAPAMBANE NA MBOE

    • @innocentmulungu4375
      @innocentmulungu4375 4 ปีที่แล้ว

      An Intelligent enemy is better than a stupid friend.

  • @kizitototo8923
    @kizitototo8923 4 ปีที่แล้ว

    Nashauri watanzania TUPAMBANENI NA HAKO KA GROUP. MOJA TUMNG'ANG'A RAIS JPM TUMUONGEZEE MDA ili wachoke kungoja mpaka wazeeke. Haka ka group kanaonekana ni ka hatari

  • @kyakaabp3048
    @kyakaabp3048 4 ปีที่แล้ว

    BASI NANI ALIYE MSAFI ASIYE NA DOA KAMA NDIVYO HIVYO?

  • @ephraimndelwa4073
    @ephraimndelwa4073 4 ปีที่แล้ว +16

    *_Ana intelligence gani huyu mbona 700ml zilikamatwa!!? Kama angelikuwa nguli wa intelligence mbona angefanya mambo yanayofanana na uNguli wake!?, hana lolote huyu anatapatapa kaukosa uRais wa urithi...._*

    • @mohammedameir1268
      @mohammedameir1268 4 ปีที่แล้ว

      Hata neno lenyewe hujui linaandikwaje then unakuwa na nguvu ya ku Criticise

    • @hukulumundo1033
      @hukulumundo1033 4 ปีที่แล้ว +1

      Intelijensia (intelligence)

    • @josephgomalo41
      @josephgomalo41 4 ปีที่แล้ว

      Usijali ndio maana tunapewa asilimia 70 ktk IQ .. ambayo ni utaahira! Watu wetu wana tatizo la kupenda na uwezo mdogo wa kuchangua mamabo na ni wasahaulifu.. Na hawaangalii SUBSTANCE ..kwa viongozi .. labda kutokana na kuhongwa! Kama waziri wa mambo ya nje wakati wake .. Kikwete alisema angejaribu ku-renegotiate ile mikataba mibovu iliyoingiwa na Mkapa.. Je Membe alifanikisha cho cho te.. zaidi ya kuchukua hela za wazungu ili aje kuwa rais amabaye angetuuza zaidi? Leo hii kuna Kabudi na mambo yanatokea.. dhahabu ilizoibiwa zinarejeshwa, tumeweza pata asilimia 16% na 50/50 kwenye PROFIT SHARING .. ! Where was Membe during his tanure..?? What did he do to help Tz ?? WALIKUWA WANAPISHANA ANGANI NA KAKA YAKE KIWETE AU SIO..?? Leo hii Watanznaia madwanzi wameshachoka jinsi serikali ilivyofanywa kufanya kazi..chini ya Magufuli..?? REALLY! MADWANZI TU WANAFIKIRI HUYU MSENGE HAS ANYTHING TO OFFER..!

    • @frolahassan5359
      @frolahassan5359 4 ปีที่แล้ว

      Wwe

    • @nestor384
      @nestor384 4 ปีที่แล้ว

      Well said

  • @abdalahfarida2074
    @abdalahfarida2074 4 ปีที่แล้ว +7

    Tatizo la Watanzania wamezoea kula Matapishi. CCM ni chama kimepitwa na wakati na hakiwezi badili vijana wa Kitanzania hata waongezwe miaka mingine kumi. Hivi unawezaje kununua ndege urudi uwatukane wenye viwanja ulaya, Asia na Marekani. Hakunaga wendawazimu mkubwa kama huo. Watalii wanatoka nchi hizo unawatukana hivi watakuja Tanzania kweli ndugu zangu. CCM wanamlipa Makonda na Musiba kutukana Wazungu na sasa Musiba kaja na Staili nyingine ya kusema Tanzania kuna Magaidi. Hilo ni kosa kubwa kwani tulishawahi kuwa na vijana Magaidi sasa macho na Masikio yote ya Marekani yameelekezwa Tanzania na tayari kuna Makachero wa Kimarekani nchini kufuatilia kauli zake. Kitakachofuatia kwa ujinga wa Makonda, na Musiba ni Magufuli kutolewa madarakani kama Gaddafi. Bashiru anakimaliza chama kwa kuwaweka watu kwenye Makundi. Eti anamuhoji, Membe, Makamba, January, Kinana na Nape. Anajua CCM ilikoanzia. Bashiru Unahoji waanzilishi wa CCM utaponaaaaa.

    • @josephgomalo41
      @josephgomalo41 4 ปีที่แล้ว +3

      We una wazimu.. anatukanwa Trump na ni mtu mwenye nguvu zaidi Ulimwenguni leo hii.. itakuwa mshenzi yeyote anayetuletea figisu..? Hivi hii akili ya kitumwa mtaiacha lini.. ? Mtu ye yote duniani akileta za kuleta kutunwa ni halali yale.. kinacho shangaza ni kwamba wabong madwanzi ndio wanaoumia mzungu akitukanwa aua kuambiwa ukweli.. huko ni kukosa akili.. na hutokea kwa watumwa peke yao.. wanaofikiri kulamba matako ya wazungu ndio wajibu wao.. peleka else where..!

    • @veronicascottmollel7897
      @veronicascottmollel7897 4 ปีที่แล้ว +1

      Pole inaonekana umeumia sana!

    • @dinho6292
      @dinho6292 4 ปีที่แล้ว +3

      umajitahid sana kuandika lakin inadhihirisha upeo mdogo kichwan ulio nao...mzungu hawez akakupenda ww ngozi nyeusi hawa watu sio wa kuwanyenyekea ata km elimu huna ebu funguka broo dunia saiz iko wazi.

    • @jenyyusuph4973
      @jenyyusuph4973 4 ปีที่แล้ว +2

      Koma na kauli Zako zakishetani tena ushindwe kwa Jina LA mungu Ala marekani marekani alaaniwe amtegemeae mwana damu ohoo baki natumaini kwamba marekani ndio kila kitu mm naamini Mungu ndio kila kitu kwanini mnapenda kumsifia mtu mbaya tu ni kwasababu naatisha kibinadamu? Na kwanini mnapenda KUMZARAU mtu atakama nimazuri nikwasababu ya chuki za rohoni kwani aliyosema musiba niya uongo? Au makonda? Unamuombea magufuli auliwe kama gaddafi kwasababu marekani ni wazuri kuliko magufuli? hawachukii Malizetu hawapati mataifa mengine? Hawajawatesa babu zetu ww unahakili timabu unatetea tu kwasababu babaako ni kibaraka wawa zungu UNAFIKILI watu wanaelewaje ww na baba yako rudisheni pesa za wazungu lasivyo mtakufa watawauweni na marekani wakiendelea kufata Fata magufuli haki ya mungu watakua kama wa misri hakika nakuambia ww unaona Saw marekani walivyomuuwa gaddafi bila Kosa

    • @jenyyusuph4973
      @jenyyusuph4973 4 ปีที่แล้ว +1

      ATI membe sijui Nani wanajua CCM ilikoanzia waambie hivi wanapofikilia CCM watabaki kulindiana mabaya Kuna Mungu siku atapitisha mkono wake alafu kitanuka Ala mwanzilishi nyerere na kafaliki membe kinana sijui na nani ni kitu cha kawaida kama walifikili watasanya ufisadi maisha Yao yote basi Mungu kawawachokea kwenye awamu ya5 Kawa choka wala hamtaki kuwafikilia

  • @clementmgiga6438
    @clementmgiga6438 4 ปีที่แล้ว

    Membe ni mfano wa lulu,kama CCM hawajaiona kwa maslahi yao binafsi acheni upinzani waiokote

    • @solomonmichael9735
      @solomonmichael9735 4 ปีที่แล้ว

      Lulu??? Labda lulu michael

    • @asalasaad7568
      @asalasaad7568 4 ปีที่แล้ว

      Hio sio lulu mi naona ni bora unyamaze tafadhali

  • @maulidmkana791
    @maulidmkana791 4 ปีที่แล้ว +1

    Asiende kokote Kama atagombea asimame kwenye kura za maoni akikosa Basi. Upinzani wawaachie wenyewe wanawavurugia tu kinachofanyika c Tunaona watu wanawaamini Mwisho wa siku wanahama

    • @mwajumashomari5279
      @mwajumashomari5279 4 ปีที่แล้ว

      Kwani lazima wamchukue? We wenzio washaliona kape tupu wew umelichukua na kuliona bado zima , basi utajijua mwenyewe

    • @maulidmkana791
      @maulidmkana791 4 ปีที่แล้ว

      USiandike kitu usichokijua.. Au kuelewa Unapita tu

  • @bakarimngazija6672
    @bakarimngazija6672 4 ปีที่แล้ว +1

    Kama ukijuwa kuna watu wanamaamuzi na kukujadili ujuwe huko peke yako wako wengi hawakubaliani na unayoyataka . Membe ni kiongozi mashubuti na ana uwezo kufanya maamuzi bila kugeuza mameno.

    • @josephgomalo41
      @josephgomalo41 4 ปีที่แล้ว +2

      Mchague peke yako.. Sisi wengine hatutampigia kura Membe.. Kama ni babu yako ita familia mmpigie kura..!

    • @barakayohana6021
      @barakayohana6021 4 ปีที่แล้ว

      We Joseph tuko wengi tutakao mpigia,Hujui tu

    • @josephgomalo41
      @josephgomalo41 4 ปีที่แล้ว +1

      @@barakayohana6021 Kama kweli mnaitaka Ikulu jiandaeni kwenda msituni ili tuwamalize HARAKA.. kama wale wenzenu wa Kibiti .. tuendelee kuijenga nchi yetu! Hivi mnalo hata moja la kuonyesha alilolifanya huyo msenge wenu.. wakati akiwa waziri wa mambo ya nje?? Unafikiri ni kwa nini hata kaka yake Kikwete hamkumpendelea yeye na badala yake akampigia kifua Uncle Magu..? Matako kweli nyie..!

    • @kuchagammole8738
      @kuchagammole8738 4 ปีที่แล้ว

      @@josephgomalo41 km kachaguliwa na mungu awe kiongozi ataja kuwa kwa namna yeyote ile hata ccm wabaneje. Na km hajachaguliwa na mungu hawezi pia hata afanye kitu gani, muda utazungumza ukifika, cha msingi tupatiwe kiongozi mzalendo, mwenye hekima na huruma kwa raia anayeongoza badala ya kutawala tena kwa kufuata the rule of law km sifa moja ya democratic government.

    • @josephgomalo41
      @josephgomalo41 4 ปีที่แล้ว

      @@kuchagammole8738 Mzalendo tunaye. Sasa kinachoshangaza ni madwanzi kutka hawa walioitumbukiza Tz katika rushwa warudi madarakani tena. Tembo walikuwa wanamalizwa, makinikia yalikuwa yanaibwa, rushwa na ubadhirifu vilikuwa vimekithiri.. mikataba mibovu ambayo kaka yake Membe aliahidi kuirejea hata mmoja haukurejewa badala yake wakawa wakipishana angani na kaka yake.. ktk safari za nje ambazo hazikuwa na tija! Ni Mungu yupi anachagua viongozi wasiomjali Mtanzania wa kawaida kama afanyavyo Uncle Magu? Naona wengi mmeshachoka serikali safi mnataka madwanzi na wala rushwa wairudishe Tz nyuma ..! Ndio tatizo la waswahili.. mmezoea kulalamika.. Alipopata nafasi ya uwaziri wa nje angeonyesha uwezo.. badala ya kula bata.. muda akina membe haupo tena..! AKAFIE MBALI. Kuna akina Majaliwa sasa..! NI muda wao.

  • @ramadhanathuman940
    @ramadhanathuman940 4 ปีที่แล้ว +2

    Membe yupo juu kuliko magu na katembea inchi nyingi dunian pia nafasi alizozishika ni nyingi hata friends anao wengi

  • @dazk7861
    @dazk7861 4 ปีที่แล้ว +1

    Unajua sana kuelezea