ZITTO; MAKAMBA, KINANA WAMEIOKOA NCHI/AWATAJA KIKWETE, MKAPA, WARIOBA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ก.ค. 2019

ความคิดเห็น • 633

  • @petermakowe2564
    @petermakowe2564 5 ปีที่แล้ว +21

    We Zitto nchi haijapata taharuki kwa issue ya Kinana na Nape nchi iko vzr sana chini ya Commred Magufuli zaidi ya yote Watanzania tuko macho kwenu nyinyi wahuni na walaghai.

  • @damascongongi1609
    @damascongongi1609 5 ปีที่แล้ว +13

    Ninachofurahi Mh. Rais JPM anachanja mbuga kutupeleka kwenye nchi ya asali na maziwa.

  • @mathiaszakaria7052
    @mathiaszakaria7052 5 ปีที่แล้ว +10

    Asante mh.Zitto nimekuelewa Sana umeongea fact

    • @lugumijr1180
      @lugumijr1180 5 ปีที่แล้ว

      Haaah....Jamaa yangu ww mtanzania kweli?

    • @mathiaszakaria7052
      @mathiaszakaria7052 5 ปีที่แล้ว

      Bro ukimskiliza Zitto huku una msisimko wa kiccm huwez muelewa ila mi nimemskiliza kwa umakin Sana kaongea fact,nashkuru mi ni mtanzania ila sijarithi akili za kitanzania

  • @onionpeeling5822
    @onionpeeling5822 5 ปีที่แล้ว +2

    Lakini kiukweli Raisi Magufuli amewafundisheni how to be a leader na kuna viongozi waliopita wanaona haibu na haya kua ni kweli nchi ilikua shamba la bibi, nwacheni apige kazi na inabidi apewa sapoti sana mzee wetu.

  • @cypmkutubi3109
    @cypmkutubi3109 5 ปีที่แล้ว +21

    Kwanza utuambie kilichokuondoa CHADEMA ni kitu gani? Yaliyomo ndani ya ACT hujayamaliza, unarukia ya chama kingine, sisi Watanzania sio nyumbu! Wana-CCM wenyewe wameubeza huo waraka wa Kinana na mshirika wake Makamba, eti wewe yumba jirani unaunga mkono. Nimekudharau sana Zitto!!

    • @omspayne5830
      @omspayne5830 5 ปีที่แล้ว

      Kyangwe Suba Endelea tu.. kwanza kwanza.. kesho watafika kwako.. usicheze na watu wa uamuzi mgumu. Utapotea upatikane kijijini bina meno.. unazania watachangua yupi na yupi... ohhoooo!

    • @zacharialadislaus8846
      @zacharialadislaus8846 2 ปีที่แล้ว

      Njaa ya tumbo na uroho na ubinafsi.

  • @mariamfaicalhassan2890
    @mariamfaicalhassan2890 5 ปีที่แล้ว +4

    Zitto umenyooshwa

  • @benjaminlijongwa3715
    @benjaminlijongwa3715 5 ปีที่แล้ว +10

    Mnatuzingua mzee magufuli anaenda vizuriii na nchi inaheshimika

  • @gavanashy3197
    @gavanashy3197 5 ปีที่แล้ว +6

    Big up brother & Kamanda zzk ...nimekuelewa vzr ...mwenye mackio tumekuckia na kukuelewa...barikiwa

  • @charlesghuliku5651
    @charlesghuliku5651 5 ปีที่แล้ว +3

    Mtaangaika xana kaka 2020 mtaelewa tu

  • @endricerick8640
    @endricerick8640 5 ปีที่แล้ว +1

    Mrundiwewe

  • @dominicmawala5614
    @dominicmawala5614 5 ปีที่แล้ว +3

    Wewe sawa na Kimambi tuuu!!! Mnafiki saana Zzk , na pia punguani tuu!!! Kwani ya akina Kimambi hukuyasikia?!!!! Musiba anasema ukweli mtupu muheshimu saana

  • @rajabomar2524
    @rajabomar2524 5 ปีที่แล้ว +4

    Dhambi ya ubaguzi haijawahi kumwacha MTU salama ,

  • @mawazomawazo959
    @mawazomawazo959 5 ปีที่แล้ว +27

    Siasa zabongo zinategemea matukio,mpinzani waukweli alikuwa nidokta Silaa alikuwa hasubiri matukio.

    • @nashirkamugisha9425
      @nashirkamugisha9425 5 ปีที่แล้ว

      dr silaaa hakuwi kuwa mpinzani na kamwe hatakuwa mpinzani, husimzushie

    • @adrophwilliam3225
      @adrophwilliam3225 5 ปีที่แล้ว

      Mawazo Mawazo Akiwa chadema dt uliwahi kumkubali?

  • @kaiemujaya7697
    @kaiemujaya7697 5 ปีที่แล้ว +15

    Tulisema kwamba ipo siku tutaongea pamoja..wapo wanaopinga lakini ipo siku tutaelewana.

  • @Lahyzeecrucial
    @Lahyzeecrucial 5 ปีที่แล้ว +25

    Watanzania wa sasa tunaakili sana Zitto tupo makini....hyo siasa mlokua nayo tokea kipndi hicho cha enzi za mababu zishapitwa na wakati za kutetea maslahi yenu binafsi. TAIFA KWANZA, RAIS WETU ANATENGENEZA TRUST KATIKA NCHI YETU ILI TUJENGE TAIFA ZURI.

    • @georgekimasa7393
      @georgekimasa7393 5 ปีที่แล้ว +3

      Abdillah R. Nyonje we ni moja ya watu walio pevuka na unaonesha uzarendo wa inchi yako big up.

    • @himmasomemasomemasome7998
      @himmasomemasomemasome7998 5 ปีที่แล้ว +1

      Huna lolote wameiokoa taifa kutika wapi mpuuuzi MKUBWA huna jipya.toka zako kafie mbali huko.

    • @simonmanyelezi628
      @simonmanyelezi628 5 ปีที่แล้ว +1

      Kakusema hata wewe kwann hamuendi mahakamani?.

    • @simonmanyelezi628
      @simonmanyelezi628 5 ปีที่แล้ว

      Hawan lolote.

    • @henrymatebe1492
      @henrymatebe1492 5 ปีที่แล้ว

      WA Tanzania wasasa wepi ambao hawaoni haki za binadamu kuporomoka ktk nchi?
      Labda umakini wako ni ule wa kulea familia yako

  • @hemedyswaibu9799
    @hemedyswaibu9799 5 ปีที่แล้ว +9

    Wamesema kwkuwa wemeguswa wao mambo mangapi awajasema nyie kaz yenu kushadadia mambo,

  • @allyalijai7143
    @allyalijai7143 5 ปีที่แล้ว +10

    Zitto acha unafiki, yaani unatumia destructive techniques. Yaani panzi wagombane ili kunguru nyinyi muchekelee meno kuneee..

  • @stevemwakisimba5986
    @stevemwakisimba5986 5 ปีที่แล้ว +6

    Sasa tunawatimua jiandae kuwapokea

  • @peterhelpeterluena9191
    @peterhelpeterluena9191 5 ปีที่แล้ว +24

    Washauri waje wajiunge na ACT maana ndicho unachokitafuta. Mwaka huu mtapigwa nje ndani na mwakani ndio zaidi.

    • @braxedafiroza2444
      @braxedafiroza2444 5 ปีที่แล้ว

      Hahahaaa waambie hao

    • @omspayne5830
      @omspayne5830 5 ปีที่แล้ว

      Peter Helpeter Luena Wewe hutaki upinzani, leo Zito, kesho wewe kaka! Kua Imani..

    • @peterhelpeterluena9191
      @peterhelpeterluena9191 5 ปีที่แล้ว +1

      @@omspayne5830 Upinzani sio homa Ila NI upinzani WA namna gani? Awachukue wamsaidie kuimarisha chama chake ili afurahi zaidi. Alianza na #kazinabata baadaye #shushatanga #pandishatanga. Nasubiri ujio mpya.

    • @sospetermathias4253
      @sospetermathias4253 5 ปีที่แล้ว

      Unamanisha hawatoi hata droo

    • @peterhelpeterluena9191
      @peterhelpeterluena9191 5 ปีที่แล้ว +1

      @@sospetermathias4253 Kwa kipi wanachofanya? Tuambie kizuri hata kwenye chama Tu. Leo CHADEMA wapo kwenye uchaguzi Mkuu WA chama, lakini hakuna hata kinachosikika. Mwisho tutasikia Tu Mbowe amechaguliwa kuwa mwenyekiti WA chama Taifa.

  • @leonardemmanuel9249
    @leonardemmanuel9249 5 ปีที่แล้ว +10

    From chadema to ACT wazalendo,hatukujuwa kama ungeweza kutoka chadema

  • @mswanawamswana3129
    @mswanawamswana3129 5 ปีที่แล้ว +7

    Tokea lini Zito ukamtetea Membe?

  • @frederickmachunda435
    @frederickmachunda435 5 ปีที่แล้ว +5

    SAFI SANA MH.ZITO.. Kumbe kuna mashetani yalipanga kufuta uchaguzi 2020 na kutawala kwa nguvu!..Hongera Kinana na Makamba kwa kuokoa nchi

    • @davidrugabuka3222
      @davidrugabuka3222 5 ปีที่แล้ว +2

      Acha ujinga Frederick, hauna uzalendo

    • @jamesfrancis98
      @jamesfrancis98 5 ปีที่แล้ว +1

      kinana makamba kaokoa nchi ip??? kaa kimya km hujui ktu.....Mhe Magufuli endelea kupiga kazi hii mijitu akna frederick na zitto ipo2 hata ukifnyje uckatshwe tamaa tunakuamini xana xana Mungu yu upande wako komesha hao watu...wezi tuu

  • @mariahkilimba1840
    @mariahkilimba1840 5 ปีที่แล้ว +4

    We Mnafiki hakuna asiyekujua.. Umesahau uliwasnitch Chadema kabla kusepa na kuanzisha ACT

  • @nyawawawanyawawa935
    @nyawawawanyawawa935 5 ปีที่แล้ว +4

    Umekodiwa uwasemee.. Upinzani Tanzania umefubaa kaaa...Huyu jamaa anatoka kuzungumzia mambo ya CCM Mmmh... Na huyu mtu alikuwa akiwananga akina Nape and co... Nilijuwa hili hutoliacha lipite bila kufungua mdomo wako... Haya kazana

  • @mzeechidi6612
    @mzeechidi6612 5 ปีที่แล้ว +4

    Mnaanza kukikimbia kivulu chenu, unaomba huruma

  • @salamamousa1721
    @salamamousa1721 5 ปีที่แล้ว +4

    Wewe.kaa kimyaa.
    Maana wewe ni fisadi number one..

  • @ianamran3039
    @ianamran3039 5 ปีที่แล้ว +11

    Nilijua tu lazima Zitto aje, nape, makamba na Januari lenu ni moja,,, tunajua pia kuwa Wamechukua kadi za uanachama. fanyeni tu mambo wazi msifichefiche, Musiba hamumuwezi nyie. fanyeni tu siasa safi mtachemka wenyewe

  • @anuaryally6177
    @anuaryally6177 5 ปีที่แล้ว +7

    Mbona wewe zito unamsema rais unaisema serikari siku zote pia unaisema serikari ukiwa ughaibuni mange kimambi anawasema watu mashekhe rais mbona amkusema

  • @damascongongi1609
    @damascongongi1609 5 ปีที่แล้ว +4

    Jambo hili linahitaji hekima ya hali ya juu kama huelewi unayejiita mpinzani.

  • @fareskabaka5749
    @fareskabaka5749 5 ปีที่แล้ว +16

    Wewe umesoma ila huwezi kubadli hisia zetu kwa anko magufuli we usalam wa nchi unaujua au unaropoka tuuu wewe shona tulia bado magufuli ni kiongozi wetu sisi wanyonge

    • @japhetjoseph1772
      @japhetjoseph1772 5 ปีที่แล้ว

      Hahahhahahha kwel kwa maguu watakoma wamuacha
      Mm mwanzo nilijua magu mbaya lakn ukwel rais wanawanyoosha Paka wasitaafu. Sema zitto nilikuwa namkubal kan sikuiz anafel kinooma

    • @dastanbufe2436
      @dastanbufe2436 5 ปีที่แล้ว

      @@japhetjoseph1772 anafeli kwa lipi wew acha hyo ni siasa

    • @jovanmpondela3401
      @jovanmpondela3401 5 ปีที่แล้ว

      ni kweli kaishiwa

  • @machintangachibwena5922
    @machintangachibwena5922 5 ปีที่แล้ว +3

    Huyu nae ameshaoza tayari hana lolote lile

  • @seifzongo320
    @seifzongo320 5 ปีที่แล้ว +26

    Kazi bure ww zito mnafk sna unatetea ugali wako..at the end sisi wananchi ndio weny maamuz,na maamuz yetu n kwamba magufuli aendeleee kama Gaddaff tunachotaka n maendeleo

    • @omspayne5830
      @omspayne5830 5 ปีที่แล้ว

      Seif Zongo hata wewe mnafiki Zongo.. tunampenda Raisi Magufuli na tunampenda Zito kama mpinzani.

    • @lugumijr1180
      @lugumijr1180 5 ปีที่แล้ว +1

      Magu Naona eendeelee tu ata miaka Mungu atakayomtaka atuongozeeee....

    • @mariasimon7545
      @mariasimon7545 5 ปีที่แล้ว

      Hahaha

  • @chrisantgeorge3677
    @chrisantgeorge3677 5 ปีที่แล้ว +1

    Mnafiki wa Taifa

  • @kassimtanda7321
    @kassimtanda7321 5 ปีที่แล้ว +5

    Tengeneza chama chako yako yatakushinda

  • @morandraymond8602
    @morandraymond8602 5 ปีที่แล้ว +3

    Mafisadi wanatetea duh magu noma anachapa kama fimbo ya mussa

  • @danielbugwema6969
    @danielbugwema6969 5 ปีที่แล้ว +3

    Huyu naye Zwazwa mzee wakudandia treni kwa mbele,mbona nyie kwenye vyama zenu hamtaki kusemwa? Kweli siasa imewafanya kuchanganyikiwa hao upinzani mliwatukana wastaafu leo mnawatetea,Ustaafu wa mtu haumpi uhalali wakutosemwa

  • @tinyaanosiatha1118
    @tinyaanosiatha1118 5 ปีที่แล้ว +6

    Wewe unasema eti waliokoa nchi na wakati walikuwa majizi ya nchi . Kwenda zako zitto hakuna cha maana unachoongea hapo. Ya ccm hayakuhusu . Ongea ya chama chako.

    • @macariusturuka453
      @macariusturuka453 5 ปีที่แล้ว

      Eti walikuwa majizi! Mbona hamuwapeleki mahakamani kama ni wezi?

    • @tinyaanosiatha1118
      @tinyaanosiatha1118 5 ปีที่แล้ว

      Macarius Turuka subiri watappelekwe tu

  • @fareskabaka5749
    @fareskabaka5749 5 ปีที่แล้ว +8

    Kwani wewe nani alijua kua utaitwa msaliti ndani ya chadema?

  • @anuaryally6177
    @anuaryally6177 5 ปีที่แล้ว +4

    Siku zote wanazungumzwa watu mafisadi akina kikwete lowasa sumaye mbona awakusema au musiba tu nape ndio nani kinana makamba ni wezi tu waende maakamani nchi inaenda vizuri usitafute sera wewe mkongo

  • @josephnchunga3019
    @josephnchunga3019 5 ปีที่แล้ว +19

    Uko mwanahalisi sasa hivi ,mbona mwanahalisi alipokuwa akiikosoa serikali ya kikwete mbona hujamzungumzia kama alikuwa anaikosea, wenae bwana hupitwi acha kujipendekeza huo ni unafiki umewahi kuwasema wewe mwenyewe kuwa hao jamaa ni watu hatari sana Leo hii unajifanya unawatetea mbona wanasiasa wengi mnakuwa ndumia kuwili ndio maana hamuaminiki .toa unafiki hapo hata kama ni mbunge wa kutoka kwetu mwandiga mnafiki wew

    • @gizakazeno1688
      @gizakazeno1688 5 ปีที่แล้ว

      Hahahahaaa

    • @josephnchunga3019
      @josephnchunga3019 5 ปีที่แล้ว

      @Ali Ali we ni mwizi huna akili unasumbuliwa na kichaaa cha akili

  • @yusufrajabu8425
    @yusufrajabu8425 5 ปีที่แล้ว +3

    Ili jamaa nilikuwaga nalikubali zamani ila kwasasa silipendi kweli yn, bola kupenda kido kuliko ili jamaa, we unasubili matukio ndio useme.

  • @getaromagaiwa7918
    @getaromagaiwa7918 4 ปีที่แล้ว +2

    Safi ZITTO KABWE "" hoja nzuri!!!!!

  • @lucykilongozi9946
    @lucykilongozi9946 5 ปีที่แล้ว +6

    Acheni maneno ya uongo ivi nyiniyi mnamuabudu mungu Yupi. Mbona vinywa vyenu havisemi kweli

  • @danielbugwema6969
    @danielbugwema6969 5 ปีที่แล้ว +5

    Dada Zitto Kabwe madela hujavaa dela tu siku hizi umeishiwa sera,mlitengeneza Mange Kimambi katukana watu,Tundulisu,na wale wanaoishi nje kumkejeli Rais wa nchi hamkumkemea hadi Msiba alipoamua kupana naye naakatulizwa Leo kisa kinana midomo inawatoka kweli wewe kunguru jenga chama chako unatia aibu.

  • @salvatory2987
    @salvatory2987 5 ปีที่แล้ว +1

    Watanzania wenye akili timamu hatuwezi kuwaunga hoja wazee wenye nia mbovu na nchi yetu, kwanza wathibitishe kwanza kuwa yale maneno sio yao..

  • @paull8659
    @paull8659 5 ปีที่แล้ว +9

    Kama wasingeguswa wao hao maCCM, hata wapinzani wakapigwa risasi wote, wasingesema kitu.

    • @boazsigala3284
      @boazsigala3284 5 ปีที่แล้ว

      Ww wambie wahimie kwenyechamachako tunajua unachota watanzania tunamwamini Raisi wetu milija yote imeminywa mtasema sana 2020 ndipo mtajua

    • @paull8659
      @paull8659 5 ปีที่แล้ว +1

      @@boazsigala3284 , mimi sina chama chochote, ni sauti ya mzalendo wa mitandaoni, anayeililia nchi yake. Hao magaidi wa Chama chenu cha magaidi( CCM), wahamie wanakotaka . Watakowapokea nao watakuwa wanakubaliana na unyama huu wa kuteka, kutesa na kuua wananchi wa Tz.

    • @magesamatiku7364
      @magesamatiku7364 5 ปีที่แล้ว

      We Pumbavu kweli acha kisu kikate kwa makali yake CCM ni maji kama huogi utakunywa Magufuli acha Mazwazwa yaongee wewe piga kazi

  • @emanuelgaddafi7651
    @emanuelgaddafi7651 5 ปีที่แล้ว +3

    Nazima simu maneno ya shombo

  • @loishiyemollel8071
    @loishiyemollel8071 5 ปีที่แล้ว +18

    Mh Tundu Lisu aliwahi kusema ,wakitumaliza sisi wapinzani ,watawageukia ninyi na hakutakuwa na wakuwasemea wakati huo ,mimi naona kichwa kimeanza kuonekana ,

  • @josephkessy5486
    @josephkessy5486 5 ปีที่แล้ว +8

    Nyumba ndogo akikushauri juu ya ndoa yako msikilize ila pia fikiria Mara mbili. Kamwe hawezi kuijenga ila ukitekeleza kinyume cha baadhi ya ushauri wake unaweza kukusaidia.

  • @magellasaid28
    @magellasaid28 4 ปีที่แล้ว

    Huna jipya mazee

  • @philemonmahega4389
    @philemonmahega4389 5 ปีที่แล้ว +4

    mhani ni mhani tu

  • @magesatv9659
    @magesatv9659 5 ปีที่แล้ว +3

    Kiki kwa piki piki Hilo ni Jambo la kichama co la kitaifa

  • @severinemabirika2249
    @severinemabirika2249 5 ปีที่แล้ว +15

    Wewe nae una siasa za kutoeleweka ....

    • @lugumijr1180
      @lugumijr1180 5 ปีที่แล้ว

      Anijiita mjaaamaa wakati Roho yake ni Mjamaa mchumia Tumbo.

    • @djmeza411a58
      @djmeza411a58 5 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😂🇹🇿👍

  • @yusuphmkanga5786
    @yusuphmkanga5786 5 ปีที่แล้ว +1

    Mungu ibaliki Tanzania Na wananchi simpingi yeyote simsifu yeyote

  • @bonifacendyabhanigwa6262
    @bonifacendyabhanigwa6262 5 ปีที่แล้ว +2

    Normally people mean what they don't say and they say what they don't mean ,Zitto zuberi kabwe (Mwami Ruyagwa ) keep it up brother

  • @kobajumakuziwa9976
    @kobajumakuziwa9976 5 ปีที่แล้ว +4

    Hatari katika taifa ni wewe unaeisema ccm pia kama musiba hamna tofauti yoyote au unamunea gereee 😂😂😂😂

    • @mwajumashomari3916
      @mwajumashomari3916 5 ปีที่แล้ว

      Hahaaa kazi mnayo wewe kazima uone utawala mbaya kwa maana sasa hiv pangu pakavu, sisi oya oya tuu , Magufuli oyeeeee oyeee.....

  • @salehmkandala1170
    @salehmkandala1170 5 ปีที่แล้ว +3

    Yachama chetu tuachie wenyewe acha ujuha

  • @charlesowuor7939
    @charlesowuor7939 5 ปีที่แล้ว +1

    Zitto tulia wewe siyo mwanachama wa chama cha mapinduzi tuachie kama kuna tatizo tutarekebisha sisi na siyo utoke kwenye chama chako na kuja kuongelea mambo ya watu sawa na mtu anaevamia mambo ya familia ya mtu mwingine sisi tunamsemaji wa chama kwani MAGUFULI kuwa Rais ni tatizo acheni jamani.

  • @rosemarymsulwa203
    @rosemarymsulwa203 5 ปีที่แล้ว +36

    Wewe ndiyo unaharufu mbaya kuliko. Kazi yako uchochezi . Musiba kawaumbua. Na bado musiba atakuumbua we domo kaya.

    • @ramadhaniathumanimlenge6641
      @ramadhaniathumanimlenge6641 5 ปีที่แล้ว

      Katombwe wewe hujui usemacho

    • @rosemarymsulwa203
      @rosemarymsulwa203 5 ปีที่แล้ว

      Anza na mamako

    • @ukhtyalpha1344
      @ukhtyalpha1344 5 ปีที่แล้ว

      Mtakufa na kijiba cha moyo madomo kaya nyie mnoshabikia udhalimu na huyo mnafiki mwenzenu musiba musiba kweli wanafiki wakubwa uko vizuri Zito endelea kufunuwa vichwa vya samaki hao magu kafanya lipi geni wenzake wote wamefanya mazuri na wao

    • @rosemarymsulwa203
      @rosemarymsulwa203 5 ปีที่แล้ว

      Musiba kaza buti.

    • @edwardsichilengwe2330
      @edwardsichilengwe2330 5 ปีที่แล้ว

      Rosemary Msulwa umemjibu vyema, mpumbavu mjibu sawasawa na upumbavu wake

  • @kahibiraphael2902
    @kahibiraphael2902 5 ปีที่แล้ว +1

    Mbona jamani mheshimiwa Tundu Lissu anaposema hamsemi akamatwe? si ni mtanzania na anasema anazungumza kwa mujibu wa katiba invyomruhusu, kwanini Musiba azibwe mdomo? au kuongea mpka uwe mbunge wa chadema? ombeni na Tundu Lissu akamatwe sasa maana kaongea hadi nje ya Nchi.

  • @irakizanelson3350
    @irakizanelson3350 5 ปีที่แล้ว +31

    nani alijua kuwa zitto ungeasi chadema?

    • @magesamatiku7364
      @magesamatiku7364 5 ปีที่แล้ว

      Kwa undumilakuwili wake

    • @davidedward7281
      @davidedward7281 4 ปีที่แล้ว

      We we kama nnataka nchi dini yenu rudini rufiji mkutane nasiro tunamuogezea miaka miaka magufuri ,from mby

    • @davidedward7281
      @davidedward7281 4 ปีที่แล้ว

      We we kama nnataka nchi dini yenu rudini rufiji mkutane nasiro tunamuogezea miaka miaka magufuri ,from mby

    • @davidedward7281
      @davidedward7281 4 ปีที่แล้ว

      We kinana makambazitto back january

    • @davidedward7281
      @davidedward7281 4 ปีที่แล้ว

      Kinana no nani wewe tunaju MNA taka kuchukua inch I mfasdi ,andmdominat rerigion yenu.nendeni maituni

  • @ismailyusuph740
    @ismailyusuph740 5 ปีที่แล้ว +3

    Sikiliza Mh zitto ‘ umeongea jambo Kwa upande wa Musiba sahihi kabisa ‘ silipingi’ Kwa maana hakuna mtu mwenye nafasi ya kutukana watu’ jumlajumla’ au Rejareja...!
    Lkn kinachonishangaza hapa hukuongea kwamba hao wastaafu na WARAKA wao ulipaswa uende Ndani ya Chama chao ama Public..?
    Kama uende Ndani ya Chama iweje uje PUBLIC..?....Kwani Musiba kama kakutukana Kwa nini usijibu Kwa kukanusha kama anavyofanya yeye’ Ama ikiwa huna utamaduni wa kumkimbiza chizi aliyekuibia nguo zako ukiwa unaoga’ na ili nawe usionekane Chizi si wangemshitaki kimya kimya mahakamani’ tena na FIDIA wangemdai..!
    Au kama Wazee hao wastaafu walikerwa na maneno ya Musiba na wakaona watumie Chama chao kutafuta suluhu ya kukomesha tabia ya Musiba si wangemtafuta Mwenyekiti wakamueleza ikiwa ni pamoja na kukutana wenyewe Chamani kwao...?.....Haya yote hapo hujayazungumza’ ulichozungumza hapo ni kama kuona umepata pa kuongelea na Ndio maana unaona hao wazee wastaafu wamefanya vyema ‘ bila kuona WALIPOTELEZA...!....Hili suala ni la Chama Chao’ kikipasuka kiache kipasuke ‘ ..!
    Lkn Zitto ukiwa kama mtu makini ilibidi unapouchambua WARAKA huo uongeelee pia na KAKITU kalikojificha na walichotaka kukifanya WAZEE hao ambacho kinahitimishwa na VISAUTI vyao vya KIPUUZI vinavyotambaa mitandaoni...?..hakuna watakachoweza wao wala hilo kundi lao maana HILA ZAO zishajulikana...KHALAS...!
    Pia lazma mjue nyie WANASIASA sisi WATANZANIA Sio wajinga’ jambo liko wazi Sasa nyie VIONGOZI wa VYAMA VYA SIASA mtaanza kuingiza INTEREST zenu za KISIASA kwenye jambo hilo ambalo lilitakiwa aidha lijadiliwe ndani ya CHAMA cha viongozi waliotukanwa’ Ama kumjibu Kwa mtindo uleule huyo anaewatukana’ Ama wahusika wangefungua kesi...!
    Kwa hivyo hili halikutakiwa kuwa la kitaifa ‘ Lkn Kwa Sababu walengwa wa Waraka wameonyesha wamemlenga KIONGOZI na Uongozi wa Nchi ‘ ikitokea wakachukuliwa hatua Kwa mujibu wa Sheria na IWE HIVYO’ Kwa ushahidi wa mipango yao waliyokua wanaipanga’ Na hii yote ni kuonyesha kwamba wanatumika na Watu ambao Sasa mambo yao hayaendi kama ilivyokua TAWALA zilizopita...!
    Hivyo usiwaaminishe WATANZANIA kwamba sijui Uchaguzi utasimama’ sijui Janga la kitaifa...Musiba ni mtu tu’ ambae nyie wenyewe mdeal nae Aidha kimahakama ama kujibizana ‘ maana sisi tunajua Ndani ya SYSTEM mna mambo mengi nyuma ya Pazia’ Na ni Serikali zote Duniani ziko hivyo’ ....Mna mambo ya HOVYO sana nyie WANASIASA...!
    WATANZANIA ni wakubwa na wa muhimu kuliko SIASA zenu wakati mwingine zinakua za KIPUUZI ‘ ..!...Chama chako kinajipambanua kama ni Chama Cha Wazalendo ‘ Lkn unapokosa kuweka Uzalendo wako kama mwenyekiti Kwa kukosoa pande zote ‘ unataka kutuaminisha kwamba UZALENDO wako ni wa KISIASA SIASA zaidi na Sio kuegemea MUSTAKBALI wa WATANZANIA na NCHI yao...!
    Ni WATANZANIA wachache wanaopinga maendeleo yanayofanyika Nchini ‘ Lkn wengi wanakubali juhudi zinazofanywa na RAIS MAGUFULI pamoja na SERIKALI yetu...!...huu Sio wakati ule mliozoea kukumbatia MABEBERU wala RUSHWA’ hawagusiki’ wana vivuli SERIKALINI...!..Sio wakati huu’ MIRIJA yote imekatwa na iendelee kukatwa...!
    KAZA MUHESHIMIWA RAIS MAGUFULI NA TIMU YAKO’ ACHANA NA HAO WANAOWEKA VYAMA MBELE’...!

    • @rosemarymsulwa203
      @rosemarymsulwa203 5 ปีที่แล้ว +1

      Ismail yusuph waraka Mzuri sana natamani ungeutoa kwenye magazeti. Ndiyo walleye.

    • @ismailyusuph740
      @ismailyusuph740 5 ปีที่แล้ว

      #RosemaryMsulwa ....Wapo humu hao’ na WADAU watauona tu...!
      Wanasiasa wengi wa Nchi Hii wananadi VYAMA Kwa maslahi yao...!

    • @gloriousn6425
      @gloriousn6425 5 ปีที่แล้ว +1

      Ismail Yusuph wow, you can say that again
      Yaani UMEONGEA POINTs ni mwenye akili kubwaaa tu ndo atakuelewa
      👌👌👌👌🙌🏼🙌🏼
      Kuna mengi sana nyuma ya pazia
      Haya tunayoyaona huku mbele ni matokeo ila agenda kubwa wanaijua wao
      NA HAYA YOOTE KWASABABU walitegemea JPM atawaunga mkono (business as usual)
      Mambo yamekau ndivyo sivyo and many more are yet to come
      Na source ya hizi zoooote ni WAZUNGU if you know what I mean 🤔🤔🤔🤔

    • @alinanusweedward3761
      @alinanusweedward3761 5 ปีที่แล้ว

      Musiba anaongea Public haongelei private kumbuka kuwa ukiona mtu ameacha mfumo mbadala wa kuhojia ametafuta mwingine ujue kuna Mahali sio sahihi Tundulisu alipigwa Risasi alipoona hakuna mamlaka inayo mtetea ndipo akaanza kuongea nnje ya nchi

  • @simonmanyelezi628
    @simonmanyelezi628 5 ปีที่แล้ว +13

    Msiba kawashinda mnahitaji usaidizi. Wazee waacheni wapumzike. Tena ww zito mnafiki si ndio nyinyi mlisema serekali ya awmu ya nne ni legelege. Mtauno moto. Ucjifanye unawakumbuka. Mm siafiki wazee waingilie mambo yakijinga kama haya. Waende tu na mavu viongozi kuchafuliwa kupo kama unajisikia maumivu nenda mahakamani

  • @benobenedicto7998
    @benobenedicto7998 5 ปีที่แล้ว +4

    Zitto Zitto unaaibisha chama chako nawewe mwenyewe Tanzania Iko macho sana saizi

    • @abrahamhassan351
      @abrahamhassan351 5 ปีที่แล้ว

      Wewe dogo Beno unaongea nini pumbavu mkubwa tafuta mwanaume akushindilie mboo ya mkundu wewe unaleta utoto jambo serious hilo magufuli hata kutoka madarakani ndio mpango

  • @benjaminulanga6749
    @benjaminulanga6749 5 ปีที่แล้ว +2

    Uko sahihi sana ndugu yangu hapa kuna hatihati ya kupoteza watu na amani yetu km unapenda hii kitu isitokee gonga like za ela yote

  • @musamwafongo3430
    @musamwafongo3430 5 ปีที่แล้ว

    Mungu tusaidia TANZANIA

  • @johnkanuda9355
    @johnkanuda9355 5 ปีที่แล้ว

    Musiba anaweka wazi majizi yote ya enzi ndani ya CCM & nje ya CCM,,....JPM mzee songa mbele mungu akulinde daima aisee,,....majizi KANYAGA, wanafiki KANYAGA,,.............watu wenye mawazo hasi kama huyu jamaa KANYAGA,,...........

  • @abdallahjamaly6970
    @abdallahjamaly6970 5 ปีที่แล้ว +1

    Noted

  • @kfastak
    @kfastak 5 ปีที่แล้ว +2

    Well said Mr. Zito

  • @jimmymnuano7165
    @jimmymnuano7165 5 ปีที่แล้ว +16

    Hapo mzee wa michopo najua hutoweza kustamili kujichomoza hapo hapo unapika biriani hapo sio pilau tena

  • @binjmwinyirain1133
    @binjmwinyirain1133 5 ปีที่แล้ว +3

    Mange kimambi hujamskia kabisa Wala hujui Kama Ana exist looh
    Zito mnafiki wewe

  • @kaiemujaya7697
    @kaiemujaya7697 5 ปีที่แล้ว +13

    Nakuelewa Zitto.

    • @gorofurodgers1404
      @gorofurodgers1404 5 ปีที่แล้ว

      Kaie Mujaya

    • @khalidmwingiro8154
      @khalidmwingiro8154 5 ปีที่แล้ว

      Zito akili za mwenzio changanya na zako hebu nyamaza imairisha chama chako .usijidanganye hizo ni janja za CCM yuko wapi Lowasa na chadema

  • @mtungatv2432
    @mtungatv2432 5 ปีที่แล้ว +1

    nyinyi mtanyoooka ccm mbele

  • @javangabriel4551
    @javangabriel4551 5 ปีที่แล้ว +3

    Mnafiki ww naniasiyekujua kinyonga hahahah

  • @yahayamkone4040
    @yahayamkone4040 5 ปีที่แล้ว +1

    Wanasia wa Tanzania kweli mmeishiwa Sera jamani sasaivi wanaichtunataka maendeleo c kelelezenu nyie ni wachumia matumboyenu c kutetea maslai ya wananchi temewachoka

  • @ricksonmrema1693
    @ricksonmrema1693 4 ปีที่แล้ว

    Sawa kabisa zito du hatari kabisa

  • @magesamatiku7364
    @magesamatiku7364 5 ปีที่แล้ว +1

    Shikamoo mzee Zwazwa Kilaza 😂😂😂

  • @irakizanelson3350
    @irakizanelson3350 5 ปีที่แล้ว +3

    kumbe alichokisema msiba kuwa akina kinana wameungana na upinzani nisawa kabisa , zitto unaingiaje kwenye ccm? wewe tulia uone mwisho wake mbegu ili iote lazima ioze.

  • @macdonamasali
    @macdonamasali 5 ปีที่แล้ว +6

    Sijaona hoja, unabwabwaja tu. Ya ccm waachie ccm wenyewe. Wewe kapambanie kura huko jimboni. Waache wezi watulie dawa ipenye.

  • @tedymwandara5480
    @tedymwandara5480 5 ปีที่แล้ว +3

    Zito wa chadema c Zito wa ACT.Cha msingi JPM apige kazi.Zito unatafuta wanachama kwenye chama chako, walichokemea hao wazee sikioni, wangeyatumia hayo mawazo yao wakati wako viongozi asingekua na kazi nzito Magufuli.Mwacheni mwanaume afanye kazi.💪

  • @manyikarithe717
    @manyikarithe717 5 ปีที่แล้ว

    Moja ya mwanasiasa boya ni Huyu.....Hajielewi kabisa!!

  • @maxlattinokiki8105
    @maxlattinokiki8105 5 ปีที่แล้ว +1

    Zito tuwache bana

  • @stevemwakisimba5986
    @stevemwakisimba5986 5 ปีที่แล้ว +1

    Na tukitaja uchafu wao kwenye taarifa za chama lipoti ya katibu mkuu uwe tayari kuwatetea!

  • @fransiscomadelemo9299
    @fransiscomadelemo9299 5 ปีที่แล้ว +2

    Huyu ni msanii tumeshamchoka

  • @nagmaali3650
    @nagmaali3650 5 ปีที่แล้ว +1

    Sioni point hapo

  • @elminakalunga4030
    @elminakalunga4030 5 ปีที่แล้ว +1

    Mbona umesahau kumtaja 'shoga yako' mstaafu Maalim Seif!!! Zito bhana unamwepusha na GENGE LA WAZEE WAHUNI***😕😕😕

  • @danielalphonce1653
    @danielalphonce1653 5 ปีที่แล้ว +13

    Zitto Zitto kwani kila jambo we lazima udandie yaani hadi umekuwa kero. Mambo mengine kaa kimya na kama limewauma we na kundi lako la hawa wazee si mwende mahakamani. Kweli Mh. Magufuli si dikteta watu kama hawa nchi ishaanza kushika kasi wanaanza kukwamisha juhudi ni kushika sukuma ndani mambo mengine yaendelee. Tunatakiwa tuwe na wimbo mmoja 'maendeleo' basi.

    • @fathermore9772
      @fathermore9772 5 ปีที่แล้ว

      Daniel Alphonce ameishiwa hoja ...kawaida ukiona mtu anadandia dandia vitu kila akisikia ujue ashakengeuka na hupaswi kumuamini hata chembe

    • @gizakazeno1688
      @gizakazeno1688 5 ปีที่แล้ว

      Pamoja saaaaana daniel

    • @danielalphonce1653
      @danielalphonce1653 5 ปีที่แล้ว

      @Ali Ali Ali Ali huyo jamaa yako anatia hasira muda mwngne akaage kimya kwan lazima aongee yeye...

    • @saidfundikila6555
      @saidfundikila6555 5 ปีที่แล้ว

      Vichwa panzi hawawezi kumuelewa zitto lakini anae jitambua ameelewa wengi ni mambulula hamjuwi yajayo zitto chapa kazi anabisha shauliyake

    • @alimasijuma8248
      @alimasijuma8248 5 ปีที่แล้ว

      Wewe Zito mbona huwauna maneno ya kizwazwa

  • @tgeofrey
    @tgeofrey 5 ปีที่แล้ว

    Mungu kaipendelea Tanzania

  • @dastunluswaga5182
    @dastunluswaga5182 5 ปีที่แล้ว +1

    Wapinzani yanawahusu nini swala ccm...pambaneni na msiba wenu...hahahahaaa

  • @gregorychogelo2013
    @gregorychogelo2013 5 ปีที่แล้ว +1

    Musiba kawashika pabaya!!

  • @sabraham5308
    @sabraham5308 5 ปีที่แล้ว +2

    Watu waliokua hawajapata kukamata uongozi wa juu katika nchi hii,ndio awamu hii,ulimbukeni umewazidi,na uongozaji wao,ni kuruka mipaka ya kikatiba na kisheria,kuendesha nchi kwa vitisho,bila kujali uhai wa raia wema,masikini tanzania,tuwacheni kuungana mkono kikabila au kiukanda,wengine humu vijana wadogo ambao wamekosa kutokujielewa ,wamepotezwa na kasumba,zilizokosa uhalisia

    • @anuaryally6177
      @anuaryally6177 5 ปีที่แล้ว

      Tunataka maendeleo huo ulimbukeni unajua wewe pumbavu

    • @sabraham5308
      @sabraham5308 5 ปีที่แล้ว

      @@anuaryally6177 Wewe ndio mmoja ya hao vijana wasiojielewa,ndio wale vijana,wenye bongo za samaki,upeo wako wa kufahamu ni mdogo,ni viumbe wana maumbile makubwa ya kibinaadamu,lakini vichwani wapo watupuu.

  • @SIMULIZIZONE
    @SIMULIZIZONE 5 ปีที่แล้ว

    Lijue kabila la wahehe

  • @eliahmhanzi6357
    @eliahmhanzi6357 5 ปีที่แล้ว

    Nilikuwa nakukubali hadi hapa basi kura yangu hauna

  • @fredernestonline6011
    @fredernestonline6011 5 ปีที่แล้ว +1

    Nmekuelewa san

  • @abdalamusalashid5755
    @abdalamusalashid5755 5 ปีที่แล้ว

    Hahaha utanyoka tu magu hatari

  • @binrshid127
    @binrshid127 3 ปีที่แล้ว

    Haughairishwi huo umepita na lisu ni mshindi, ww waache wagombane wao kaa wao, watajijua wenyewe

  • @Le_petery
    @Le_petery 5 ปีที่แล้ว +3

    Leo Zitto kweli hataki freedom of speech.! Kwann unataka Musiba azibwe mdomo.!

  • @deusmanyanya5949
    @deusmanyanya5949 5 ปีที่แล้ว +5

    Wakina mdude wanamtukana mpaka rais lkn wapo kimya kisa ni upinzani musiba akiitetea serikali kawa mbaya... Nyie mbwa mkija kupata nchi cjui itakuaje maana ni wanafki wakubwa sana

  • @gracemima5234
    @gracemima5234 5 ปีที่แล้ว

    Ningekuwa mimi Zitto ningefunga mdomo. Ukisoma comments hapa hakuna anayemuunga mkono. Mbwa ikipiga kelele bila kisa watu wanapuuza, hawatishiki tena. Zitto Kabwe kila kitu negative kuhusu serikali anakuwa musemaji bila ya kutumwa, anabwata tu.

  • @simon.mlawilila9334
    @simon.mlawilila9334 5 ปีที่แล้ว

    Nafikiri yapasa tuwe na Busara sana kwa hili, hapa Mwanaharakati, Rwanda ilikuwa Mtangazaji.