ROSTAM AZIZ AFICHUA SIRI YAKE NZITO na LOWASSA - ''HAKUWA RAFIKI - NI NDUGU - TUMEISHI WOTE''...
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 14 ก.พ. 2024
- ROSTAM AZIZ AFICHUA SIRI YAKE NZITO na LOWASSA - ''HAKUWA RAFIKI - NI NDUGU - TUMEISHI WOTE''...
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
JIUNGE KWENYE CHANELI YETU YA WHATSAP ==> whatsapp.com/channel/0029Va7u...
My sincere condolences to you Sir... EDWARD was a precious gift to Tanzania.
⚘Eternal rest grant unto him O Lord and let perpetual light shine upon him. May his beautiful soul rest in peace. Amen
Huyu ndo Aziz,,,Inasemekana ni Mwenye Taiga Gas Kenya
On a tellement dit sur vous que ce n'était pas vrai. Tous les bâtiments qui étaient en construction dans la ville disaient qu'ils étaient tous à vous. Dieu seul sait tout. Même si vous êtes parti, Que Dieu seul se venge de tous ceux qui vous haïssaient sans raison. Repose en paix le bon fils de sa mère Tanganyika.😢😢😢😢
Pole sana rostam
Rostam he was in great painfully😢😢😢😢
Hawa watu ukiwa na akili vivu na isiyo na maarifa unaweza waona wa maana. This is among of the ‘big fishes’ you have not to believe.
I have no doubt about Edward Lowasa kubeba maumivu ya kusingiziwa ili wengine tena wakubwa kuliko yeye wakati waonekane wema.
Ni ujuha na uzembe wa kufikiri kuamini speech kama hii.
RICHMOND IMEKUWA MWIBA KWETU SASA WANAFURAHIA MAISHA SISI TUNAUMIA. WATANZANIA WANAHITAJI MAOMBI KUJITAMBUA
Huyu jamaa mtu mwema ni wa wapi? mbona anaongea kiswahili vizuri sana? safi sana kijana barikiwa mno
Ndugu ni mtanzania huyo n Tajiri mkubwa t
Huyu alikua mbunge wa igunga jembe la tz hilo
@@lorelore2930 huyu ni mtanzania? kweli?
@@user-xv1ef1bk7v alah mbunge tena? huyu jamaa huyu?
Anaitwa Rostam Aziz ni tajiri wa pili Tz Kwa utajiri.
Umewambia walimfanyia hujuma lakini Mungu aliwalipa Kwa kuonja joto la JPM.
wanadhani tumesahau, toka mwaka 2008 waliendelea kumbana na kuhakikisha hakai pale jengo jeupe
Inapsa viongozi watangaze mali wakiwa baada ya kuacha kazi ya umma kuungana na rais ili isiwe hoja mara apatapo umauti
Duu😢
Jk typing........
Kuvunja na kumtendea haki mwana ccm
Ndugu rostam alikua jiran yetu na mbunge wetu ni mtu mwema sana hatujawi kuona
Big fish spoken... lazima ateteee mtubaliyejitoa muhanga kwa ajili yao those days... wamshukuru sn marehemu hamna kitu hapa wadhukuru lowasa aliwaokoa kwny lile jahazi la richmond na mengineyo ila wote wangeozea segerea madako yao
Jela gani? Ww
Nawewe umeandaa atakae kusemea utakapo kufa?
Mzee mnafiki huyu
Wacha wewe alishawah kukunafikia?
IKO HAJA YA SUALA LA RICHMOND KURUDI MAHAKAMANI ILI UKWELI UWE WAZI LOWASA ALIJIUZURU SI KWA KUPENDA NI KWELI MAANA KITI CHA WAZIRI MKUU NI KITAMU BALI ALIFICHA UKWELI WA WASHIRIKA WENZAKE WA RICHMOND!
Ushuhuda wa kishamba unaposema hakutendewa haki kwa maana ipi
Wewe sindio ulimsaidia kikwete kupata uraisi,mjinga ww
Acha kutumia mitandao vibaya kutukana watu na huna ushaidi tahadhari unaweza saidia polisi kwenye upelezi ktk hayo unayo sema
Mpumbavu mmoja hv anajiekezea
Ila ana hela😂