MENENO YA MWISHO YA KIKWETE KWENYE KUMUAGA RAIS MSTAAFU MKAPA.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ก.ค. 2020
  • Katika Safari ya Mwisho ya Kumuaga Rais mstafuu wa awamu ya Tatu Benjamin Mkapa, Rais Mstaafu Kikwete Alizunguma haya.

ความคิดเห็น • 26

  • @sindayboniface1131
    @sindayboniface1131 4 ปีที่แล้ว

    Maneno mazuri sana Rais wetu mstaafu Kikwete

  • @remigiuschilewa8142
    @remigiuschilewa8142 4 ปีที่แล้ว +5

    Best speech

    • @kasonadrien1585
      @kasonadrien1585 3 ปีที่แล้ว

      I guess Im pretty randomly asking but do anybody know of a good website to watch new series online?

    • @avilangston6170
      @avilangston6170 3 ปีที่แล้ว

      @Kason Adrien I dunno I watch on flixportal. Just google for it :D -avi

    • @kasonadrien1585
      @kasonadrien1585 3 ปีที่แล้ว

      @Avi Langston thanks, signed up and it seems to work =) I really appreciate it !!

    • @avilangston6170
      @avilangston6170 3 ปีที่แล้ว

      @Kason Adrien Glad I could help xD

  • @baranmohamedmbashir5299
    @baranmohamedmbashir5299 4 ปีที่แล้ว

    Mungu amuake pema penye wema peponi inshallah mzee wetu mkapa

  • @fredkendrick3691
    @fredkendrick3691 4 ปีที่แล้ว +3

    Spana tu😄

  • @shadhuriluambano7556
    @shadhuriluambano7556 4 ปีที่แล้ว

    Very nice

  • @jumamnyambwa3490
    @jumamnyambwa3490 4 ปีที่แล้ว +1

    Viongoiwetu mjitaidi kututoa kwenyeurofa

  • @dignanyanana3295
    @dignanyanana3295 4 ปีที่แล้ว +1

    Naamini hatapata 🤣🤣🤣🤣tunajua kwani kula za wengine amuzijari🤪

  • @chrissmwangosi8601
    @chrissmwangosi8601 4 ปีที่แล้ว

    Ndio kitu gani hiki mbn munashusha brand ya Clouds jmn tunazidiwa Hadi na Bongo5

  • @zefaniandimie6594
    @zefaniandimie6594 4 ปีที่แล้ว

    Huyu WA sasa kaua viwanda mwambieni ukweli

  • @nassorsuleiman7813
    @nassorsuleiman7813 4 ปีที่แล้ว +4

    Sifa moja kuwa mstaafu ni busara, lakini hii ya mzee kikwete kurusha mawe gizani si busara ni wivu kwani kama yeye wananchi walikuwa wanaraha kwa nin hawa kumsifu ila mwenzie akisifiwa shida, mbona mzee mwinyi hanaga noma toka kitambo, mzee kikwete akubali katik uongozi wake kulikuwa na dosari kubwa hasa ufisadi ndo ulimwangusha.

    • @MJOMBA_NI_MAMA2020
      @MJOMBA_NI_MAMA2020 4 ปีที่แล้ว

      Acha Maneno.mwinyi amekaa.kimya.kwa.manufaaa ya Mtoto wake.

  • @abbiemulindwa7116
    @abbiemulindwa7116 4 ปีที่แล้ว +2

    Clouds sasa hivi nimewapenda bureee😂😂😂 mngerudia hiyo "Kiongozi thabiti, hakujali populism" mara 24, moja kwa kila saa yake, hoy 😂😂 mmewaua Magufulise, chaliii.
    Oh, Kikwete, just how do we miss you 😂😂 Fisadi, check. Mbadhilifu, check. Mhuni-mhuni, check. Mpiga mademu hotels Manhattan NY, nakumbuka, check. But mjanja pia, mtoto wa mjini😂😂 na Mzee wa Mipasho. Mtoto wa Pwani kama mimi, karibu kwetu Bwagamoyo, oh, sorry, I meant Bagamoyo. Lakini ujumbe umefika, unadulterated. Au kama anavyosemaga huyo Tyrant mwenyewe, "Message sent and delivered." Imeingia iyo, anajuta kimya-kimya kukupa nafasi uongee hapo😂😂😂
    Naona Mzee Mwinyi anatamani aseme "imetosha yakhe, dogo, msamehe"😂😂
    Mimi sio fan wako, Kikwete, kwani najua wewe mwizi tu kama wengine. Ila ningekua Tanzania come October 28th, tungemkaanga Magufuli pamoja, kwani najua wewe Kikwete utamchagua Membe, ila ni siri yako tu, huwezi kusema, wewe na wenzako wengi vigogo wa zamani wa CCM kabla haijaporwa na "Mshamba" fulani😂😂😂😂😂😂