🤣🤣roho mbaya, na Tembo ss hawauziki wamekatwa mikia, mabiashara yao bila kodi ndio yalikua wananenepa, ss kulipa kodi Magu mbaya washindwe na walegee mafisadi wakubwa
He has made BILLIONS and BILLIONS at the expense of CCM - Lakini ndio mchezo uliruhusika mda ule, ila wananchi wa kawaida ambao walicheza foul wameadhibiwa lakini wana CCM ambao walicheza Foul naona kidogo wanachukuliwa lightly....Kwanini? Kwasababu walikuwa wana CCM? So what? Hali ya Nchi inaonyesha kwamba kulikuwa hamna utumishi, walikuwa wanaiba tu! Let's realize our mistakes and move on......
@@omarkhelef7631 kwani nilikuwa najua watamua rais wangu na kuchukua madaraka tena kwa kumsomesha yule mwanamke? Sio Nchi... ni akili zetu tu binafsi ambae inaruhusu Ujahilia kama huu... Tumwombe mwenyezi mungu mwezi huu awape watanzania taqwa.
SAFI ROHO YANGU NYEUPE ASANSTENI HUO NDIYO UMOJA
Viva CCM
NI furaha kubwa tuu mpo vizuri
And today he is the Party Vice Leader
Wache MUNGU AITWE MUNGU
Ok
RIP JPM
Hii inaitwa kutesa zama.
J
Mzee kakondaaa
🤣🤣roho mbaya, na Tembo ss hawauziki wamekatwa mikia, mabiashara yao bila kodi ndio yalikua wananenepa, ss kulipa kodi Magu mbaya washindwe na walegee mafisadi wakubwa
@@sheryphamwenevalley6124 Mmmmh sasa naona gurudumu limeshakaa upande wake unasemaje?
He has made BILLIONS and BILLIONS at the expense of CCM - Lakini ndio mchezo uliruhusika mda ule, ila wananchi wa kawaida ambao walicheza foul wameadhibiwa lakini wana CCM ambao walicheza Foul naona kidogo wanachukuliwa lightly....Kwanini? Kwasababu walikuwa wana CCM? So what? Hali ya Nchi inaonyesha kwamba kulikuwa hamna utumishi, walikuwa wanaiba tu! Let's realize our mistakes and move on......
Move on!!!!!! wapi sasa amesharejea tena unalo la kuongea hahaha maisha haya noma.
@@omarkhelef7631 kwani nilikuwa najua watamua rais wangu na kuchukua madaraka tena kwa kumsomesha yule mwanamke? Sio Nchi... ni akili zetu tu binafsi ambae inaruhusu Ujahilia kama huu... Tumwombe mwenyezi mungu mwezi huu awape watanzania taqwa.
HII NDIYO CCM BWANA NA SIO CHAMA CHA DEMOKRASIA YA MAENDELEO YA MAFISADI TANZANIA!! MBOWE AKIAMUA KITU BASI??
Huna akili
Mm naona we we ndyohnaakili
@@kulwaswetu4457 zerozero wewe