Rais Mwinyi aizindua boti ya kasi ya Zanzibar 3, hii ni kama ndege ya baharini

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 31 ต.ค. 2023
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi amezindua boti mpya ya Zanzibar 3 ya Kampuni ya Zan Fast Ferries itakayofanya safari zake Pemba hadi Unguja kwa muda wa saa mbili, Tanga na Dar es Salaam bandari ya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba leo tarehe 01 Novemba, 2023.

ความคิดเห็น • 7

  • @abdulkweka-im4tw
    @abdulkweka-im4tw 9 หลายเดือนก่อน

    kazi nzuri mnooo docta mwinyi anaupiga mwingi, hongera juu media kwa habari muruwa.

  • @Mariam-tx5pu
    @Mariam-tx5pu 9 หลายเดือนก่อน

    Mashallah🎉

  • @user-dt1ez2jv9h
    @user-dt1ez2jv9h 8 หลายเดือนก่อน

    Tunaomba ziwa Tanganyika nako wake wawekeze kwani hatuna meli huku jaman tinawaomba

  • @AdamSaffi211
    @AdamSaffi211 9 หลายเดือนก่อน

    This is a real President, anabadisha Zanzibar bila weekly masafari nje. A good investment environment, neema inakuja tu! Zanzibar will be like Monaco very soon!

  • @rehemambwana
    @rehemambwana 9 หลายเดือนก่อน

    Woooohhh!!!! Sasa hivi tutafika Pemba mapema

  • @user-gc6be7xm7y
    @user-gc6be7xm7y 9 หลายเดือนก่อน

    Safi sana

  • @masoudalriyamy6298
    @masoudalriyamy6298 9 หลายเดือนก่อน

    Mwinyi zazibary tulinunua meli mpya ikenda kununuliwa meli yuzd kwanini usiwakamate warejesha pesa usione aibu huseni mtu asoaibu usimuonee aibu bot pemba haifai bahari kubwa hao watakwenda mwezi 1 watashindwa walokula hela ya meli hawajafa nakuomba wakamate warejeshe pesa usiwaonee aibu hata mara 1